No video

GPS: PUTIN atoa ONYO kali kwa MAREKANI na ULAYA, hofu ya VITA vya NYUKLIA yaongezeka!

  Рет қаралды 48,554

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 302
@erickabel6201
@erickabel6201 2 ай бұрын
Kama unaamini kwamba sns media nzuri like hapa 😢😊😊❤
@nevers7561
@nevers7561 2 ай бұрын
Kama unaikubali SNS gonga like ❤
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 ай бұрын
Zote nimetizama spitwi na sns🎉 frome Oman 🇴🇲
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 2 ай бұрын
Huu ndio mfumo mzuri wa uchambuzi wa habar kama hizi..,naomba muendelee hivihivi Kila siku.👍
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Ila nyinyi mnadeserve kuwa wanajeshi kabisa kwamana mnaufaham mzuri Sana mashalah mmejaliwa Sana ufaham wa mambo yakimiritary
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 2 ай бұрын
Hiii urusi ndio nchi ya ahadi sema watu hatujui team Putin tuko hapa like zngu zakutosha
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 ай бұрын
🙌🙌Kabisa
@naslee1010
@naslee1010 2 ай бұрын
Pamoja
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 2 ай бұрын
@@naslee1010 nakubali 💪💪
@user-is9xs1kd9z
@user-is9xs1kd9z 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@lakasid3860
@lakasid3860 2 ай бұрын
​@@RamadhanpMwakilasa-di5hcwatu wa Urusi ni watu wa imani gani?
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv 2 ай бұрын
Dj smaa kwenye mambo ya kijeshi huna mpinzani unavyotaja majina duuh salut 🎉
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 2 ай бұрын
Tuna wakubali sanaa huku mkoani Mbeya Team ya SNS
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 ай бұрын
SNS mpo vizuri sana..mnatupa madini mazuri sana..nakukubali sana sky na dj smaa
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 ай бұрын
Gps ni zaidi ya chuo🙏🙏🙏🇹🇿🇿🇲
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 ай бұрын
hawa jamaa wako vzr Sana
@kombohamad9299
@kombohamad9299 2 ай бұрын
❤SNS no 1 Africa
@user-df8uo2lg9t
@user-df8uo2lg9t 2 ай бұрын
Putin anaweka mambo sawa ulimwenguni maana wamezidi🇸🇮🇸🇮
@vuaimakame300
@vuaimakame300 2 ай бұрын
Hongereni sana wachambuzi na sns kwa ujumla
@Fabricedavid2
@Fabricedavid2 4 күн бұрын
SNS Big respect kwa uwezo wa kufikiri na kufafanua hali halisi ya Siasa. Niwapongeze kwa pakubwa mnawafungua akili ambao hawajui haya mambo. We’re watching this is a serious matter. Nyie ni magwiji Tanzania kwenye sekta ya Watangazaji kwa siasa. #Respect #Sns to the world 🌎
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 2 ай бұрын
Ally dah mwanangu Leo nimemuerewa sana🙏🙏
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 2 ай бұрын
Sijawai kosa GPS hata moja, muko vizuri Dj sma nakuaminia sana Full love from mombasa
@user-zj7tt5gv8y
@user-zj7tt5gv8y 2 ай бұрын
Sns is the best listeenong from 🇲🇸🇲🇸
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 ай бұрын
Uraaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 ай бұрын
Shabiki sugu wa sns , nimesitazama zote. Kutoka 254
@amriseleman9395
@amriseleman9395 2 ай бұрын
Hahahahaha....😂 Shabiki sugu Hahahahaha
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 2 ай бұрын
Mpo vizuri
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 2 ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like zenu🎉
@entertainment-pp7xb
@entertainment-pp7xb 2 ай бұрын
Zikusaidiy nini
@HalimagalgaloMwinyi
@HalimagalgaloMwinyi 2 ай бұрын
Napenda ucbambuzi wenu good information 🎉
@user-ju4md1yq6o
@user-ju4md1yq6o 2 ай бұрын
Safi sana wakuu ❤ I love you so much SNS
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 2 ай бұрын
Hongera kwako masund kwakutupa elimu
@festohaule9716
@festohaule9716 2 ай бұрын
Russia katuma Submarine na meli bila kuguswa Ulaya imeufyata!!!!!
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 2 ай бұрын
Nawapenda sana 🎉🎉
@fatmabukuku5384
@fatmabukuku5384 2 ай бұрын
Keep it up sns, nafatalia GPS nikiwa Belgium
@chachajulius4481
@chachajulius4481 2 ай бұрын
Marengo ya Kremlin yatafiwa haijalishi kwamba Kuna NATO au marekani.
@noelmsofe2589
@noelmsofe2589 2 ай бұрын
Ally ni nouma Yani anakuchambulia ata ukiwa mbumbumbuu unaelewa
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 2 ай бұрын
Mimi nimezitazama zote kutoka Zürich Switzerland🇨🇭
@user-ge8gy1ld8u
@user-ge8gy1ld8u 2 ай бұрын
Akuna atapigwa uyo
@geomangi6123
@geomangi6123 2 ай бұрын
huyo aguse marekani ndio ataskiza mziki hajawahi ona
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x 2 ай бұрын
Ajichokonoe aguse USA kudadeki
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
​@@Njiwamichael-km1dm8et9xVita vya nyuklia havijawahi kuwa na mahindi mkuu.Marekani na Umoja wa Ulaya wataweza kumshinda Russia kijeshi Hilo hatukatai ila madhara yao kiuchumi yatakuwa makubwa hakuna mfano na Hadi hapo kutatokea anguko kubwa sana la kiufupi na China atakuwa New superpower katika ulimwengu.Hilo jambo NATO, EU na USA wanalijua fika na hawawezi kamwe kwenda vitani.
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
​@@geomangi6123USA ipi hiyo hatari ya kwenye Hollywood..?😂 Ile USA iliyokimbia Vietnam 😂😂😂..? Ile USA iliyokimbia Afghanistan😂😂😂..?
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij Ай бұрын
Kaenderee kunyonya uku waachie wanaume we shoga kaa pembeni
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 ай бұрын
You're the best guys thanks
@hemedmbondejr
@hemedmbondejr 2 ай бұрын
Huyu jamaa nae yupo vzuri kwenye kudadavua vitu
@weahfeint3406
@weahfeint3406 2 ай бұрын
Nani sasa😅
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 2 ай бұрын
Dj sma🔥
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 2 ай бұрын
❤urraa ❤ Putin ❤ team urus pa1sana hatuna mpizani team urusi kiboko ya mashoga 1
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 2 ай бұрын
Ahsanteni sana
@user-rp2br1um5y
@user-rp2br1um5y 2 ай бұрын
Napenda sana mukitoa maelezo na uchambuzi muweke na video munakua munatufanya tujiskie vizur sana
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 2 ай бұрын
Safi sn Ali salute
@user-jq7dy4iy7y
@user-jq7dy4iy7y 2 ай бұрын
❤Russian V/ African❤
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 2 ай бұрын
Hawa ndo wakuwapa nafas kwenye masuala ya ulinz na usalama big up Sana sns wazee
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn 2 ай бұрын
Mnaongea kwelikweli kabisa
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 ай бұрын
Nani amegundua kwenye SnS GPS kuna tuvimtu tuwili tutatu tu ndo tunapinga hawa wachambuzi, Tunachekesha sana kuiponda Russia wakati wana uhakika mrusi mkali mno.Napenda sana kuona comments kibao za wana Sns wanao jielewa na hawaamini mainstream media.
@bubashabalebanga4183
@bubashabalebanga4183 2 ай бұрын
Asante kwa tarifaa
@kitosio
@kitosio 2 ай бұрын
Tunawakubali sana sana Taarifa zenu ni Facts.
@deocresmodest6148
@deocresmodest6148 2 ай бұрын
Nawakubali sana kwa kutupa elimu wanaotuma meseji za ushabiki ata mabom ya mbagara na gongolamboto awajawai kuyaona wanamkubali mmarekani kutokana muvi zake wasamee tu
@abrahamhabarugira2483
@abrahamhabarugira2483 2 ай бұрын
Ally massoud una akili sana
@amriseleman9395
@amriseleman9395 2 ай бұрын
Jamaa ni kichwa sana yanj
@user-cf6qo9rs4f
@user-cf6qo9rs4f 2 ай бұрын
Nakubali dj smaa sana tuu❤❤❤
@chidiomari.65
@chidiomari.65 2 ай бұрын
Duh nyie jamaa ni noumaaa sanaaa🙌🙌🙌 yaaan hichi kipindi ni ballaaa, much love from Helsinki Finland 🇫🇮
@zayumar2955
@zayumar2955 2 ай бұрын
🔥 🎉
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Atulinde, Norway ni Jirani ya Russia.. 🙏🏼🙏🏼
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 2 ай бұрын
tnawafatilia sna dj smaaa uliwai kusema ktk zile option 3 Kuwa urusi haiwezi kutokea kuishindwa vita na ukrei, ispokua kuwe na option 3 moja kuripuka kinu cha zapoziha, pili nato waingie moja kw moja, tatu wakbali matakwa ya urusi. Mpaka sasa urusi wameshindwa vita sasa ulaya imebaki option ya vita tu
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 2 ай бұрын
Sasa yukrein hanahizozote na ndio urusi wameshindwa kuchukuwa yukrein.
@kassimbayuu
@kassimbayuu 2 ай бұрын
Cool
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Allah yaaram..mwenye ujuzi Zaid ni yeye muumba wetu jinsi dunia inavyokwenda sasaiv
@joeboa3139
@joeboa3139 2 ай бұрын
Leo mi wa pili
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 2 ай бұрын
Usipendelee Rashiya saana
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 ай бұрын
Tupo ma1 na ninyi vizuri zaidi msionekane kuwa washabiki wa vita mtapendwa na wengi
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 2 ай бұрын
SNS❤
@kingpunzy194
@kingpunzy194 2 ай бұрын
Kuna watu wanasema Dj sma anauelekeo wa Urusi. Hata mimi ningekuwa sns ningekuwa nipo katika mlango wa Urusi. Nawakumbusha tu Uchambuzi nao pia ni uharakati lazima uelekee kwenyee upande uliosahihi (haki) Uchambuzi wa siasa sio mpira. Mpira hata uchambue vipi hauna natija katika maisha ya binadamu. Amerika ni waovu watangu na tangu, uovu wao ulijificha kwa kigezo cha Demokrasia way back ago, now umedhihirika wazi. Rusia nao ni waovu ila sio wenye misimamo mikali sana. Ukisoma fikra zao za kimaisha (Nidhamu za kiuchumi) Utagundua kuwa Uchumi wa kirasilimali ni mkali sana kwa raia tofauti na uchumi wa kijamaa. So kuna uhafadhali kidogo wa kutawaliwa na MRUSI kuliko MMAREKANI. Hapa ndipo wachambuzi wenye akili kama DJ SMA hawezi kaa kwenye UMAGHARIBI.
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty 2 ай бұрын
Mm nmedhaliwa najikuta nmshabk wa urusi cjui kwnn
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 ай бұрын
Hii GPS ni balaaa lingine nchini Kwa sasa
@danielmkama24
@danielmkama24 2 ай бұрын
Bro mm sijawah pitwa na GPS au kipindi chochote kile ambacho kuna saut yko hapa SNS #sky
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 ай бұрын
Kwanza kabisa masuala ya idadi ya nyukilia hiyo ni Siri ya NCHI husika kuwa Wana idadi ipi sahihi ,lakini yote Kwa yote Putin sio mjinga atapigwa mtu mpaka ashangae yaani kama mbwa mwizi 😂😂😂😂😂
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
Urusi ina silaha nyingi sana za nyuklia kwasababu uranium wanachimba wenyewe wana uranium yakutosha, marekani uranium ananunua 😂
@user-jq7dy4iy7y
@user-jq7dy4iy7y 2 ай бұрын
🌍🌍🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🌍🌍
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Ай бұрын
Hakika ni kweli km ni hivyo hawatamuweza mrus
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 2 ай бұрын
Huyu hatufai anapenda sana rugha za watu sio mzalendo kama dj sma
@husseinmanyanga1587
@husseinmanyanga1587 2 ай бұрын
Daar nilikua skufatilii ilakuanzia leo nitakua nakufatilien muko vizur sana
@sydioslibanais6840
@sydioslibanais6840 2 ай бұрын
Nawakubali mnoo Wana SNS family, but naona mna puuzia mnoo nguvu ya marekani japo nikweli akuna muafrika mzalendo wa bara lake au nchi yak ambae anaweza kupenda US, ila UKWELI usemwe kwamva kwenye utabiri wamaandiko ya kiimani utawala wakidunia US imo sofano
@vanny387
@vanny387 2 ай бұрын
Asanteni sana kwa iki kipindi.... Mi natokea Burundi ila kwa sasa naishi Afrika Kusini...
@JoshuaMwandwanga
@JoshuaMwandwanga 2 ай бұрын
@SaidyMwajeka
@SaidyMwajeka 2 ай бұрын
Very well 👏
@festohaule9716
@festohaule9716 2 ай бұрын
Usisahau kuwa Ulaya ni Nchi ndogo ndogo Sana sana... Russia anaeneo kubwa kama karibu na bara la Afrika....Maeneo yaliyotekwa Na Russia ndani ya Ukreni Yana ukubwa sawa na Nchi ya Ugiriki na ureno......
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Kumbe ana eneo kubwa na aridhike na eneo lake kubwa.sasa kwa nini yy anataka kupora ardhi ya nchi nyingine ndogo ili hali yy ana eneo kubwa?
@Siasia209
@Siasia209 2 ай бұрын
Wewe nae ebu kafwatilie usome uko unatia aibu hp kuuliza swali halina kichwa wala miguu​@@MathewNathan-yb2bz
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 2 ай бұрын
Fact Russia anajilinda
@festohaule9716
@festohaule9716 2 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz Russia anajilinda na kuwalinda Warusi ndani ya Ukreni...Hata majimbo aliyoteka yanawakazi asili ya urusi....
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bztatizo umekosa elimu 😂
@danielmgonja9906
@danielmgonja9906 2 ай бұрын
Kuna sehem jamaa katonywa umeingia ndani sana afu akapotezea aisee daaah
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 2 ай бұрын
Nikweli Binadamu nimbaya mara kumi kuliko Shetani
@josephm4233
@josephm4233 2 ай бұрын
Thank you very much guys, I am impressed by your holistic analysis, which is by far broad and deep, permission to use your conversation to provoke discussion in my lecture sessions🙏
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 ай бұрын
Thanks Joseph, permission granted
@josephm4233
@josephm4233 2 ай бұрын
@@SimuliziNaSauti I appreciate
@dereckdavid9609
@dereckdavid9609 2 ай бұрын
Contents za GPS zinaenda sana as per views 🔥🔥
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 ай бұрын
Ila mnajua tunao comment humu ifikapo 2099 tutakua tumekufa tujitahidi kafanya ibada 🙏
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 ай бұрын
Shida ni nini sasa!?
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 2 ай бұрын
Wallahi mwana fuse na kikosi chake ni wadadavusi wa kuchakatua maswala ki kwa tecnology ya kisasa hongera sana kwa uchambuzi unao eleweka kwa ufasaha.
@habibumnibo4000
@habibumnibo4000 2 ай бұрын
GPS🔥🔥🔥🔥
@hanspop6961
@hanspop6961 2 ай бұрын
Nataka kujua nani anae pima kujua nchi fulani ina nyuklia nying
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Shirika la Atomiki duniani mkuu.
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h Ай бұрын
Ptini kasha kula maisha anataka amalize Kwa kufa na wengine
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Vita vme mahinda anajipendza ulaya markan
@abuuiqrimah1125
@abuuiqrimah1125 2 ай бұрын
DJ sima naomba namba yako
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 2 ай бұрын
Tupo pamoja South Africa 🔉🔉🔈📣🔊
@chachamturi259
@chachamturi259 2 ай бұрын
Aisee kweli mungu fundi yaani kwenye hiyo safu mliyo nayohapo. Kila mtu ana madini yake. Tukianza naskay dj smaa masubi nahuyo mmwingine kiukweli mmefaa sana.
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 2 ай бұрын
Vita haina macho watakufa wote
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 2 ай бұрын
Putin atapigwa tu wanamuacha tu adhoofike kiuchumi watamalizia akiwa dhoofu Sasa Wana zisoma silaha zake zote anazozitumia ssasa hivi
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Unalolisema Lina ukweli mkuu.Ila china Hawezi muacha Russia aanguke kiuchumi maana anamtegemea kwa teknolojia ya kijeshi na usalama pia mkuu, maana china pia anachukuliwa kama adui na Marekani na Umoja wa ulaya.Biashara ya china na Russia sasa hivi ni $ bill 240 mkuu ila wanatarajia ifikie $ bill 487 kufikia mwaka 2030 mkuu.Kumbuka kabla ya vita Russia exports yake kwa ujumla ilikua ni $ bill 586 mkuu, Hadi hapo Ulishaona namna Gani uchina anavyomuokoa Russia kiuchumi.Pia tambua gesi asilia kwa uwingi IPO sana Russia mkuu mwezi wa nane mwaka jana wamegundua reserves ya miaka 97 kutumia pia ukubwa wa nchi kaka sio mchezo eneo la kilometre mill 17.2 sio mchezo.Japo Russia anaumia kiuchumi kwa kiasi kikubwa ila kuanguka sio kwa leo mkuu ila china ikianguka basi hapo tambua Russia pia ndo mwisho wake.
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 2 ай бұрын
Kupata vichekesho hv piga 0000😂😂😂
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 2 ай бұрын
We ni shoga
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
upo ulimwengu wa giza 😂😂😂😂😂
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 2 ай бұрын
Wewe unafahamu,
@fredoadams7169
@fredoadams7169 2 ай бұрын
Sky next time katika Wachambuzi wako awepo 1 au 2 ambao ni pro West/USA ili knowledge iwe pana zaidi
@HashimuMandala
@HashimuMandala 2 ай бұрын
Toa ujinga 😅😅😅😅
@besteva499
@besteva499 2 ай бұрын
Mungu ayirinde Africa namajanga yahawa mafisadi
@user-ku3om4bu8j
@user-ku3om4bu8j 2 ай бұрын
Putin ni raisi bora sana
@hamisikingakachu1259
@hamisikingakachu1259 2 ай бұрын
Ivyo mnajua marekani anavinu vyanyukili vingapi mnajua anandege zakivita 15000 miaka nane iliyopita inafatia nauchina 4000 urusi yatatu jeshi bora duniani nimarekani linavifaa vyakisasa kuliko jeshi lingine lingingine lolote lile duniani
@nizarrama225
@nizarrama225 2 ай бұрын
😂😂 unadanganywa na Hollywood movie
@iddykivu1336
@iddykivu1336 2 ай бұрын
Mrusi Amewashika Pabaya Sana Hawa Mashetani wa West na Mpuuzi Mwenzao Marekani
@georgedalali3852
@georgedalali3852 2 ай бұрын
Mwambie DJ Smaa, kutoonesha mwelekeo ni sifa ya mchambuzi Bora.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 2 ай бұрын
Wamalekani wanajua Wana Cho kifanya Hakuna taifa litakalo shindana kivita na taifa Hilo wasomaji wa Bibilia wanajua Hilo,
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
mbona kama sauti ya FA kwa mbali
@AyoubHajj
@AyoubHajj 2 ай бұрын
Me naomb kuuliza ivii total number of Ukrainian soldiers And how many are remain adii saa
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 2 ай бұрын
Kumbukeni , Urusi ndio walitanguliya kuwingiya yukrein
@tyivbra
@tyivbra 2 ай бұрын
Huyu broo mwanasheria anajua mpk anakera an Navituko vyake ety kiini macho Never get tired listening
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
✌️👊👍.
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 2 ай бұрын
Mbeya chapa like ..
@user-cn1ft8sx2q
@user-cn1ft8sx2q 2 ай бұрын
Yeye mbona anatumia silaha za Iran?
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Nenda ukanye kama umeshiba ,
@user-jo1zp7fj7r
@user-jo1zp7fj7r 2 ай бұрын
mwambiye huyo​@@uwimana6533
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti 27, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН