No video

HAJIRA KIDOTI AJIBU KUTOKA KIMAPENZI NA STEVE MWEUSI, UTAPENDA MAJIBU YAKE

  Рет қаралды 240,208

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 360
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Жыл бұрын
Steve mweus anawashinda wakina chesco coz wao wanavaa nusu Uchi kwenye kazi zao mara mtu kavaa kanga tu afu anigiza I think ndo 7bu ilomtoa hajra ila kwa Steve sijawahi kuona wakiigiza na mavazi ya hovyo hongera kwa Steve mweusi
@mrben227
@mrben227 Жыл бұрын
Kwl
@etrismshana
@etrismshana Жыл бұрын
Ila ana roho mbaya steve bora chesco mtu kama humjui steve unaweza msifia sasa nena kafanyenaye kazi akikubalia uniite mbwa ila chesco mtu poa sana hana makuzi pia hata mambo mengi amewasaidia wengi ikiwemo steve amesaidiwa kwa wewe usijua sanaa unaweza sema hivyo
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Hongera xana mtangazaji wanawake wachache xana wanaoweza kumsifia mwanamke mwenzao🔥🔥🔥🔥
@scolas3134
@scolas3134 11 ай бұрын
Kweli kabisa 🎉🎉🎉
@refaredkoome2632
@refaredkoome2632 Жыл бұрын
Hajra mrembo kweli, likes from Kenya
@joelosoro524
@joelosoro524 Жыл бұрын
absolutely
@user-qq9ns8nx2y
@user-qq9ns8nx2y 10 ай бұрын
❤❤🎉
@zainabmaulidi7211
@zainabmaulidi7211 Жыл бұрын
Hongera Sana classmate hajra kdoti napenda vile unavyoendelea kujistiri from ilala islamic up to now bg up my bff❤
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 10 ай бұрын
Congrats 👏 Steve mweusi I love your work
@WardaMussa-du9sc
@WardaMussa-du9sc 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@banzaChristian
@banzaChristian 7 ай бұрын
😂 please Siku njema Kaka Steven mambo
@user-fq9ol4nr9x
@user-fq9ol4nr9x Жыл бұрын
Hyo mwanadada ni mzuri sana vipindi vyake vya busara pamoja na Steve bila kusahau ndaro😂😂😂😂
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Mtoto mzur hastahili kuzuzuka na mitandaon ni mtoto wa kuolewa na kulea watoto,mrembo sana hajra achana Mitandaon uolewe dunia itakudanganya uzidi kupotea
@alexwaiguru7130
@alexwaiguru7130 11 ай бұрын
Kwakweli hii ni ukweli thanks for this from Kenya 🇰🇪
@kassidpandu866
@kassidpandu866 11 ай бұрын
Mtangazaji unamlazimisha Hajra iwe unachotaka wewe tu why?
@banzaChristian
@banzaChristian 7 ай бұрын
❤ Siku mwema mrembo hajra information sleeping beauty i love❤you
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Жыл бұрын
Mdada mtangazaji you have so nice voice 😘😘😘😘
@zainabually2079
@zainabually2079 Жыл бұрын
Yeah like Zamarad
@AdamZainab-mb7qj
@AdamZainab-mb7qj Ай бұрын
You zai
@abdisalat6497
@abdisalat6497 Жыл бұрын
Mtangazaji pia ni mzuri MashaAllah ❤❤❤
@LuchanganyaMasali-ew6uc
@LuchanganyaMasali-ew6uc Жыл бұрын
Safi sana mnaipenda nchi yetu na watu wake
@banzaChristian
@banzaChristian 7 ай бұрын
yes tuneipenda sana
@shuaibkaahiye6411
@shuaibkaahiye6411 Жыл бұрын
Mashaa ALLAH to hajra beautiful girl with those hijab Mashaa ALLAH congratulations to you hajra and Steve ako na moyo mzuri Mashaa ALLAH.. we love you All ..
@shuaibkaahiye6411
@shuaibkaahiye6411 Жыл бұрын
Steve. Mkweli
@casto_iq9632
@casto_iq9632 Жыл бұрын
Hongera ndugu mtangazaji unajua kuhoji maswali yenye maana all the best
@jamalibaruti7126
@jamalibaruti7126 7 ай бұрын
Big up dada hajirat uko vizuri kwenye kazi yako na interview imekaa vyema
@user-ts4zn1sx7h
@user-ts4zn1sx7h 26 күн бұрын
Hongera sana mtangazaj wangu Unajuwa kuupig mwing na maojiano yko nimeapend sana nakwakutoa sif kwa mdada hyo we kma mtoto wakik duh Hongera sana ❤❤❤❤
@EbengoLenge
@EbengoLenge 4 ай бұрын
Hajra uko mlembo saana 🌹💐🌹🥰🥰🥰 likes from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ihuriroGroup
@ihuriroGroup Жыл бұрын
Love from Burundi
@jafariikumbo7858
@jafariikumbo7858 10 ай бұрын
Mambo😢🎉
@dieudonnekasuku
@dieudonnekasuku 11 ай бұрын
Je t'aime trop ajira ❤ ila mupende clam vevo niko from Congo uvira like apo
@sagemunenge-bw6th
@sagemunenge-bw6th 11 ай бұрын
she is so kill and pretty love from south Africa
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 Жыл бұрын
Ila Hajira ndaro umejuwa kumnyoosha asee🤣🤣🔥
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Mitihani ila una subra simchezo alafu mzuri dada 🥰🥰🥰
@ruqaiyamilandu
@ruqaiyamilandu Жыл бұрын
Nampenda sana hajra kidoti kwakazi nzuri anazofanya mashallah 👍
@ruqaiyamilandu
@ruqaiyamilandu Жыл бұрын
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Hongera sana kwake mdada🙌🏿🥰
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mashallah mungu azidi kumpa moyo waimani hatakama yuko kazini lakini anajistiri vizuri
@athmanmuhammed7333
@athmanmuhammed7333 Жыл бұрын
Kujistiri ni kutoka nywele mpaka miguu sio kichwa au nywele pekee sasa ukiangalia clip anazo cheza anajistiri mwili mzima na pia kuna kujistiri ya mwanaume yeyote asiuguse mwili wako jee yeye anajistiri kwa hayo?.
@onesmusjackson254
@onesmusjackson254 Жыл бұрын
Hajira uko sawa,na content yenu iko juuu sana
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 11 ай бұрын
Mashallah hajira yko na majibu mazr san wallah❤❤❤
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Tafadhal naomba namba zake Ni mzuri sana kidoti namkubal
@khamisikhalfan4720
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatu rudi kwa mola wako kama ni kutoa elimu kalinganie dini maana kwa madai ya kuelimisha jamii hivyo kwa kukumbatiana na wanaume ambao sio wako kwa Mungu ni mtihani,,fanya yote lakini kumbuka maisha ya akhera
@sumuyaodawayao4775
@sumuyaodawayao4775 Жыл бұрын
Hajraa anaweza sana mtangazaji upo vzr sana maswali yako ya kiakili mnoo
@shabani_Osee_Ngena
@shabani_Osee_Ngena Жыл бұрын
Nguvu moja twende sawa 💪
@scolas3134
@scolas3134 11 ай бұрын
Nakupenda wewe mdada mtangazaji. Nimzuri sana ❤❤❤
@earlykaligula9130
@earlykaligula9130 Жыл бұрын
Hajra mzuri sisiri namfatilia sana👌
@harryziro4344
@harryziro4344 Жыл бұрын
Ni mzur kwel masha-allah
@maniliki
@maniliki Жыл бұрын
Angera sana Steve nakubali kuwa ww upo vizuri
@maigamasesa564
@maigamasesa564 10 ай бұрын
Kwel Hajra is so beautiful 😍,namkubal sn huyo mdada
@fernandshabani
@fernandshabani Жыл бұрын
Na Shukuru..naitwa Fernand ku toka congo DRC
@SultanSalim-sx7vq
@SultanSalim-sx7vq Жыл бұрын
Yeah it's true that this lady is beautiful
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Tatizo la Steve sura na na usilious kwenye comedy ndio unaomponza
@vicentsumbi-ln5bf
@vicentsumbi-ln5bf Жыл бұрын
Hongera sana Hajira wakwetu iramba nkulu
@youngkiller4920
@youngkiller4920 Жыл бұрын
That's good Alf wew MBENGO After kufanyisha interview huyo Dada, m nataka umtafute yule mwingine bado anaigizaga huko kwa STIVU, Dada mwenye Hips zake hivi......yeah
@elmosteve586
@elmosteve586 Жыл бұрын
Aziza ?! Washamfanyia interview
@youngkiller4920
@youngkiller4920 Жыл бұрын
@@elmosteve586 bytha niliiona.....NILIKUA NATAKA INTERVIEW YAKE BAADAE NIKAJA KUMUONA ✅
@shabanifp8711
@shabanifp8711 Жыл бұрын
Unapendeza na vazi yako ya kiisratabu. Nasisi tunakupenda hili vazi. U are u beautiful dear.
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 10 ай бұрын
Hajira is beautiful na kazi yake nzuri
@mashafestusmramba7577
@mashafestusmramba7577 Жыл бұрын
Huyuu dada yuko sawa. Kwanza mstarabu kabisa. Yupo vizuri. Nita fwata stevu anipe number
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Uchokozi huo hukumwona siku zote mpka mmezio kapta
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Жыл бұрын
Kama unasoma comment huku unaangalia video gonga like ili tujuane
@evancedamiano1860
@evancedamiano1860 Жыл бұрын
good
@evancedamiano1860
@evancedamiano1860 Жыл бұрын
nooma sanaaaa
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Жыл бұрын
@@evancedamiano1860 ndiyo
@shedrackjofrey118
@shedrackjofrey118 Жыл бұрын
Hatari
@user-gq5np4qp4l
@user-gq5np4qp4l Жыл бұрын
My beautiful sister kiukweli upo vizuli kimaadili mungu azidi kukubariki kwa style nzuli ya kivazi
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Wanyiramba wazuri sana...nimeoa huko
@helkiaclaramarine9730
@helkiaclaramarine9730 Жыл бұрын
Ni kweli wanyiramba wazuri sana.kifupi watu wa singida wazuriiii
@kidco8725
@kidco8725 Жыл бұрын
Hapa ni kiswahili tu! Kiingereza hamna...........
@Mekelelepanks
@Mekelelepanks 7 ай бұрын
Beautiful girl hajira ni mrembo sana aki mashallah
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akufanyie wepesi katika njia ilionyooka
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Ila hajra Ni kisu sanna, macho kidoti amaizing sana
@user-nr4wl4lu5e
@user-nr4wl4lu5e 11 ай бұрын
wanaendana waowane tu mungu atawabariki
@gun60jgt40
@gun60jgt40 Жыл бұрын
Steve ni fundi sana aisee,, 🚁🚁
@BelindaAchieng-yj1so
@BelindaAchieng-yj1so Жыл бұрын
wow jicho mama
@aloycemdete
@aloycemdete Жыл бұрын
Your so beautiful dadaa
@user-um1wb1ks5b
@user-um1wb1ks5b 9 ай бұрын
jaman uyodada mwenyekidoti nimemuelewa Sana dah mungufundi. kweli jaman
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
Hajraaaaaa
@user-fm7wn3ti2l
@user-fm7wn3ti2l Жыл бұрын
Hongela sana dadaa
@EsterSaidi
@EsterSaidi 7 ай бұрын
Good girl.
@silasila3111
@silasila3111 Жыл бұрын
Kazi nzuri bengo
@KhamsoCtunyesh
@KhamsoCtunyesh 5 ай бұрын
Much 💕 hajira hongera sana
@user-bm8dc3gg1q
@user-bm8dc3gg1q 10 ай бұрын
hajira ongela sana napenda comedy zako pia wewe ni mrembo sana
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Жыл бұрын
Fanya uolewe,au kama hana mpango wa kukuoa huyu basi njoo nikuoe mm🙆🙆🙆🙆
@athumanmgissasimbadamu3316
@athumanmgissasimbadamu3316 Жыл бұрын
Timu wanyirambaaaa 😀😀😀🤗
@user-yk5jr7ry8u
@user-yk5jr7ry8u 10 ай бұрын
Mm nimeipenda huyo mtagazaji😂😂😂
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 Жыл бұрын
For sure she's a beautiful🇧🇮🇿🇦
@AsmaHindu-fv7re
@AsmaHindu-fv7re 7 ай бұрын
Hongera sn mmy mpenzi ❤❤
@paulokarota4202
@paulokarota4202 11 ай бұрын
Hajira ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JovinSylivester
@JovinSylivester Жыл бұрын
Mtangazaji tomboy pita uku😢😢😢😢
@Messi234
@Messi234 Жыл бұрын
Nice san
@user-nr4wl4lu5e
@user-nr4wl4lu5e 11 ай бұрын
sasa mimi nipo USA sasa nawezakupata excusiv zeni vipi nazipenda namimi ni mtanzaniya
@user-lh7sr7nk5b
@user-lh7sr7nk5b Жыл бұрын
❤hajra n'a wewe
@RammyGing
@RammyGing 11 ай бұрын
Hajranimrembo mungu akuongoze nakipajichako my
@masterpeter896
@masterpeter896 Жыл бұрын
Hajra mrembo kdoti kweli kweli 🥰🥰
@user-nr2ki5fu8c
@user-nr2ki5fu8c 11 ай бұрын
Natokea nchini Kenya,huyu mdada mzuri sana jameni
@RitaAli-tk3ud
@RitaAli-tk3ud 10 ай бұрын
Dada napenda sana.kazi zako💖💞
@Ali-xr8bd
@Ali-xr8bd 3 ай бұрын
Hajra waa❤
@jacklinejacklinejonh6530
@jacklinejacklinejonh6530 Жыл бұрын
Mzur kweli
@abdulmagembetz9188
@abdulmagembetz9188 Жыл бұрын
Nakubal Xan
@mbazumutimabonfils3023
@mbazumutimabonfils3023 Жыл бұрын
Nampenda saana Hajra
@user-ws9uv3sq3j
@user-ws9uv3sq3j 5 ай бұрын
Wow napenda maneno yake
@mosule9262
@mosule9262 Жыл бұрын
Hiyo shungi SI ya kiislamu jitahid kujistir halafu Sanaa haiwezi kukufanya usijistir kwa namna yoyote Ile Allah akupe ufahamu uijue dini viz
@dericko10
@dericko10 Жыл бұрын
Umbwa wewe
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Hajra ni mrembo sana jaman
@obadiakaguo1116
@obadiakaguo1116 11 ай бұрын
Beautiful Girl ❤❤
@NtihaboseReverien-in4ku
@NtihaboseReverien-in4ku Жыл бұрын
Namimi Stevi nampenda sana
@HASHIM-rt4mf
@HASHIM-rt4mf Жыл бұрын
Nimependa sana
@ZunguSimon-ut8vf
@ZunguSimon-ut8vf 10 ай бұрын
VP
@nassibali9267
@nassibali9267 10 ай бұрын
Mm namkubali sana Hajra n msuri sana
@denotheactor
@denotheactor Жыл бұрын
Mmmm Nice content from kenya
@suleimanjabir6795
@suleimanjabir6795 Жыл бұрын
Hajra upo vizuri bt mimi ningepata namba ya Steve ningefurahi coz najihisi nko n kipaji
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 Жыл бұрын
Mtangazaji tom boy PITA HUKU
@ramseyrmsy3366
@ramseyrmsy3366 Жыл бұрын
Huo ushungi kumbe sio kwa ajili ya Mungu na kama kwa ajili ya Mungu basi usivue kwa ajili ya kazi kama uliacha kazi kwasababu ya dharau basi ikifika unatakiwa uvue huo ushungi acha kazi kwa ajili ya Mungu
@user-fm7wn3ti2l
@user-fm7wn3ti2l Жыл бұрын
Steve 👏👏👏👏
@DavidShopairtel
@DavidShopairtel 4 ай бұрын
uyu mwanadada ni mzuri sana.
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Жыл бұрын
Unashindwa kusema huushungi ni matendo yetu waislam na ndio stara kwa mwanamke pumbav sana
@maxpesa8811
@maxpesa8811 Жыл бұрын
Kweli nami nimeshangaa ila nilichokiona ushungi kwake ni mazoea tu ambayo amekuwa akiwa kazoeshwa hivyo na wazazi hapa ndipo unaona umuhimu wa kusoma dini yako mtu yuko kwenye mahusiano anaziniwa tu wala haoni shida Utandawazi umeshamvaa ndio maana anasema ikija kutokea kufanya komedi ya kichwa wazi pia atafanya astaghafil
@shuaibkaahiye6411
@shuaibkaahiye6411 Жыл бұрын
Msilimishe Steve awemwiislam ...
@AmirMagembe-wg3np
@AmirMagembe-wg3np 4 ай бұрын
😢very nice
@FunnyCaveWaterfall-xo2pm
@FunnyCaveWaterfall-xo2pm 7 ай бұрын
Nakupenda naomba no zako
@fellst4159
@fellst4159 10 ай бұрын
Hongera san ❤❤❤❤
@babazungu3180
@babazungu3180 7 ай бұрын
Jina la mama yangu( hajra)
@user-gp3ru4fv1b
@user-gp3ru4fv1b Жыл бұрын
Ni2mie namba yako bc hajira jaman
@juma2979
@juma2979 11 ай бұрын
Huyu Hajra angekuwepo Zanzibar ameshaolewa zamani tu
@migoboy569
@migoboy569 Жыл бұрын
Unyama sana
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 85 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
steve mweusi na mario wafanya zoezi ya wimbo wa Aaaaah,sikiliza mwenyewe
1:15
NDARO NA STEVE KUMBE MAFUNDI UTACHEKA
14:02
Mweusi Family
Рет қаралды 450 М.
Kuoga Aaah  Steve Mweusi (Official video music)
3:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 705 М.
NDARO NA STEVE WALIVOMPIGA MGANGA UTACHEKA
15:45
Ndaro Tz
Рет қаралды 461 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 85 МЛН