Mke wangu alitaka kunidhalilisha katika familia yake kwa kusema mimi ni dhaifu kitandani, dada zake wote walipiga kelele kuwa sio kweli. Uongo tu kuwa mkweli Aaahhh😂😂😂😂 Like za Aaaahh🇲🇿❤️🇹🇿
@Yotv5834 сағат бұрын
Dada walikujua moto wako au walikua wanakutetea 😅😅
@allysimu6856Күн бұрын
Nyimbonzuri kutoasapoti aaahhh
@demolenebooysen20857 сағат бұрын
Like za producer Njunju hapa huyu mwamba kafanya kazi kubwa hadi steve mweusi kasound kama msanii star❤
@aliabdulrahman63092 күн бұрын
Steve sahii hii ngoma iimbe kizungu itrend nje bwana maana wazungu pia wajue maana yake
@stevensilungwe413 күн бұрын
Mimi ni wakwanza kutoka 🇿🇲 Zambia. Nipeeni likes zangu hapa.
@JOAKIMKIFARUКүн бұрын
kula TU kuoga aaah stivu jau huyu
@nyimbompyakilasiku3 күн бұрын
Kama unamkubali steve mweusi weka like 300 apa umalaya tu kuoga aaah!
@pkcamlesh24653 күн бұрын
Kuomba like tu ,kupost video yako tutazame tuilike aaaah
@nyimbompyakilasiku3 күн бұрын
@@pkcamlesh2465 kujibu tu comment za wenzako ila kuandika yako aaah!
@youreallywelcome15963 күн бұрын
Hahhahah
@user-bc1qg6gi5n3 күн бұрын
kufunga duka tu kuandamaaa aaaah 😁😁🤣
@pkcamlesh24652 күн бұрын
@@nyimbompyakilasiku 🤣🤣🤣🤣
@PhilipoKayombo-uv9huКүн бұрын
Mzee baba ongera sana unaupiga mwingi. 𝐊𝐰𝐚𝐢𝐥𝐨 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐚𝐚𝐡!!
@KwizeraDiomede8 сағат бұрын
Nigonge like nyinge nitamupelekea zikienea 1M Mimi from bulundi
@JosiasbagambeSelestine3 күн бұрын
we stive noma sana kwel umeonesha kwel kama msemo niwako kwel achana nahuyo anetenda kwamaneno wew ndo mwamba