HALIMA MDEE AIBUA UPYA SAKATA LA MPINA, AMVAA MBARAWA, "WAZIRI UNACOPY NA KUPASTE/ KAFUMUE WIZARA"

  Рет қаралды 16,633

Uhondo TV

Uhondo TV

2 ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 36
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
He,he,this is fire. Haya bwana.
@rendiman2878
@rendiman2878 2 ай бұрын
Watanzania fufukeni, Nchi inaangamia
@richardnott4403
@richardnott4403 2 ай бұрын
Inauma Sana basi tu mungu tupe magufuri mwingine tusamehe Sana mungu tupatie viongoxi Kama jpm ,makonda
@telesphorymajumbi
@telesphorymajumbi 2 ай бұрын
Mungu akulinde, sema usiogope maana ndani ya bunge ni mchezo wa Pwagu na Pwaguzi.... Mipango mingi matokeo hakuna. Endelea.
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 2 ай бұрын
Naaaaaaaam 😊
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 ай бұрын
Katika maajabu saba ya Dunia ni pamoja na hili la Halima Mdee kutoka kupigwa taarifa nyiiingi bungeni hatimae Sasa akichangia anaepigiwa makofi Meeengi, Kweli sio kila makofi ni ya pongezi.
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 2 ай бұрын
Hivi kwanini, uwezo wa mtu husitumike.kama kigezo cha kupewa cheo? Mtu kama huyu kuwa nje ya maamuzi!!!! Du!!
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 2 ай бұрын
Wanaopewa nafasi ya maamuzi wako kwenye mfumo mwingine nadhani wasiopenda kuiba pesa za inchi wanadharauliwa ktk kamati zao juu,,,acha wenye nafasi zao wafanye wanacho kitaka,,maana ukiwasema sana wao wana jeshi linalowatii utapewa hatia na kukamatwa,,
@chrissamani7921
@chrissamani7921 2 ай бұрын
This is miss Mdee who i know!
@shedrackclever7423
@shedrackclever7423 2 ай бұрын
Nchi hii tungelishauti bunge liwe na mawaziri wa mkataba
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 2 ай бұрын
Safi sana Mama
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 2 ай бұрын
Haah haah haaa!!
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 2 ай бұрын
Hoja nzuri sana
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 2 ай бұрын
Mungu, asimame
@namaanwilson6467
@namaanwilson6467 2 ай бұрын
Nakuelewa sana dadangu halima.
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 ай бұрын
Huyo mbarawa ni jipu,..litumbuliwe anataka kufrsi tanganyika kabisa!
@diegoshanga8184
@diegoshanga8184 2 ай бұрын
Shida ya bunge letu huwa haliisimamii serikali ipasavyo!! Matokeo yake ....
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 2 ай бұрын
Kusema ukweli wabunge mnasema lakini vinaishia wapi???????? Katiba inawaruhusu kuwa majasili kwa kiasi cha kumtaja raisi ili kumkumbusha kusimamia hayo mnayoyasemaaaa????au mnayasema tu mkijua yanaweza kutendewa kazi ikiwa watapenda tu,,na sio kwakuwa ni sheria imewekwa,!?maana muhimili wa msemaji mkuu wa serikali ndiye mwenye uwezo wa kutoa maelekezo na kuwa mfano wa watumishi kusimamiana na kuonyana kwa kufanya kama magufuri alivyokuwa akionyesha mfano wa kumshusha mzembe au fisadi kwenye nafasi yake ili ajaribu na wengine wenye kiu ya kazi watajifunza kwa mfumo iliyopo wa kutumbuana ,lakini kama sio hivo wabunge watu mtasemaaaaaa,vitachukuliwa wanavyopenda wao tu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Kwa kweli ni majanga. Ni masikitiko makubwa nchi hii na ni aibu kubwa kwa wahusika
@onelovetz7935
@onelovetz7935 2 ай бұрын
Ni WA Zanzibar sio watanganyika wakubali nchi moja au serikali tatu wasikomae na elimu wakomae na hakili JPM makonda oyeee
@gasperswai6963
@gasperswai6963 2 ай бұрын
Wahusika takamatsu wafunguliwe kesi ni wezi kama wezi wengine
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 ай бұрын
Nilitamani kusikiq majibu ya Waziri Bashungwa
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 ай бұрын
❤❤
@geraldsenkondo4334
@geraldsenkondo4334 2 ай бұрын
Makonda mwingine huyu chukueni hawa watu wapeni kazi tunapata matoke nchi itaenda .
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Wanahusika hizo liba wanagawana wangekuwa wanalipa mapema lakini wanajitoa ufahamu
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 2 ай бұрын
MWANZA KABUHORO UPIGAJI BARABARA NDO USISEME
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 2 ай бұрын
Bunge halina meno
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 ай бұрын
Wabunge pia wafukuzwe
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 2 ай бұрын
UONGO WENU umefika MWISHO
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Huyo huyo Mbarawa anataka Tanganyika iwe masikini kupindukia. CCM mtakapotoka mtatoka kwa kukimbia kwrnda kula mapesa mnayoweke Inchi za inje. Mnajiandaa kwenda uwarabuni mkastarehe ninyi wazanzibar. Na wewe Kikwete unatudhararisha Watanganyika kwa kumshauri Samia kutumaliza Watanganyika kwrli sijui kama na wewe utaenda Uwarabuni
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 2 ай бұрын
Kwanini asiende uarabuni nayeye???? Kwani si ikowazi kwamba akiingia raisi asiyekuwa kwenye mfumo wa wapigaji hawa yeye ataanza kuwasumbua tena kama alivyo wasumbua Magufuri ???? Hivyo ni lazima wendelee kujipanga yamkini hata raisi ajaye awe ni miongoni mwa atakaye endelea kulinda masrahi yao wanayojilimbikikia kwakuwa walisha iuza inchi kwa mataifa ya inje,,
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 2 ай бұрын
Chadema shida kabisa,unaweza muacha kiongozi kama huyu kweli.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 ай бұрын
Huo ndio uwezo wako ulipoishia kufikiri.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 30 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 11 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
MWIGULU AMVAA ESTER BULAYA / UNANIANGALIA SANA MIMI / WABUNGE HAMUONI AIBU
9:56
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 30 МЛН