Vijana wenzangu tutafute hela. Tusali sana. Tujipambanie sisi na familia zetu. Harmonize.kiba.diamond.mario sjui simba na yanga wasitufanye tukeshe mtandaoni tujikumbuke. Nakaribisha matusi pia
@JosephDamasimushy19 күн бұрын
Kumamayo bax
@SaidiMkome-qq7hy19 күн бұрын
Wewe mwenyewe unashinda mtandaoni umeonaje🙌🙌🏃🏃🏃
@michaelgeorge143119 күн бұрын
Na wewe ni Kuma unatombwa@@JosephDamasimushy
@michaelgeorge143119 күн бұрын
@@SaidiMkome-qq7hywewe ni mpumbavu
@RutaRubedi19 күн бұрын
Ni kweli, anaye kutukana ipo siku atatamani akutafte akuombe msamaha ila hatakuona
@isackpatrick374316 күн бұрын
Sijawahi aisee kuona interview mbaya ya harmonize kama hii
@reusmwampamba19 күн бұрын
Ujumbe umewafikia No matter what
@EnockLubengo-uu3zi17 күн бұрын
congratulations from Zambia 🙌😍👏
@brightmboya59618 күн бұрын
Iko poa sana one konde boy congratulations
@VunjabeiVunjabei19 күн бұрын
Vijana na wazee natoa ml 200 Kwa mwaka acheni kubeti piga namba hii nikusapoti
@masumbukomoussa97718 күн бұрын
Hhhhhh namba ipi sasa
@hisanmwakijungu1019 күн бұрын
Siasa
@nassercurtis957918 күн бұрын
Dah! Asee eti Mwenuezi Mungu amefanikisha😭 kweli jamani? Hapana hii haikai sawa, tusipende kumshirikisha Mungu kwa mambo ya anasa tena hasa kamari ni mchezo wa laana kupitiliza si poa kumshirikisha Mungu.
@mwankunjatyson18 күн бұрын
Umenena vyema🤝
@AdolfPardon18 күн бұрын
We fala kweli kwahyo asemejeee
@josephlorri43118 күн бұрын
Acheni kamari...tufanye kazi.. Dini zote zinakataza kamari
@madisonjonathan411219 күн бұрын
Mi nmefrah tu alipoongelea ugomvi wake na baba levo kaongea Kwa busara sana
@RomeoGago19 күн бұрын
Big up bro Kila la kheri kwako konde
@hadija84617 күн бұрын
JESHII NIPO PAMOJA NAWE WAKATI KWOTE 💐💕💕💕💕💕KONDE DAMDAM💗
@TellaaxisTz18 күн бұрын
Hahahah mimi sina la kusema apo😂 #tellaaxistz
@AllyBabu-kr6lg15 күн бұрын
Ayo konde ndo abari ya mjini hii imeenda❤❤❤
@karimjuma401919 күн бұрын
Mtangazaji unaongea sana
@nunuuali531618 күн бұрын
Rajab we ndo wangu
@eggysulle798818 күн бұрын
🔥🔥🔥👌👌
@Nasir-zc1mz18 күн бұрын
😂😂😂😂😂anatangaza biashara vzr harmonize dadeki
@Kibudu19 күн бұрын
Unamtaja Mungu kwenye kufungua kampuni y kamali, innalillah
@kennethbenjamin27519 күн бұрын
Uwekezaji wa kibongo bana Betting sjui mamiziki
@AleiHadji-js3ed19 күн бұрын
Mtihani kweli kweli😢😢😢😢😢😢😢dahhhhhhh
@user-le6jm2tf5y18 күн бұрын
Mungu unamjua ww au unatafuta jina Kuma ww
@HalimaKassim-yz3we19 күн бұрын
Jeshii yaoo yaoooh
@alexmbigi487819 күн бұрын
Safi ila betingi dah😢 ime nifilisi sana sina ata hamu nayo uki iendekeza sana una kufu masiki 😅😂😅
@vladimirputn180918 күн бұрын
🙄🤔achaaatu
@titoamani-e8b19 күн бұрын
Harmonize alichokifanya casino ndo kile kile alijaribu kufanya kwa Diamond State House...Kuiba Nyota za Wasanii...Majini amebuma😅😅😅😅😅😅
@user-mi7yx8ew1k18 күн бұрын
Tupe kithibitosho sasa baba levo ana nyota gan mpk iibwe na harmonize😮😮😮
@omarymnuru874618 күн бұрын
Umejenga hoja vizuri lakini haujaonesha aliyecheza na kushindwa ananufaika vipi... angalau ungesema asilimia 10 ya pesa yake atapata...kwa mfano 1000 umeshindwa..unapata shs 100
@ashuramuhammed325719 күн бұрын
Mmbwa wewe unatuletea kamar fk
@JophlayVicent19 күн бұрын
Sio watoto yatima
@omarymbalala622419 күн бұрын
Unampangia tena mtu na Hela zake
@fabianmainchanyangachika501718 күн бұрын
Badala mjenge mashule kukomboa family za kimasikini mnaanzisha michezo ya Kamali kufirisi watoto wa kimasikini
@allysudi442916 күн бұрын
Kwani hamna michongo mingine ya kuongeza production nchini na kutoa deal kwa mashabik zaid ya kamari yan kila sehemu bet kamari tu ela zenyewe ziko wapi mitaa ina njaa kufulu...??
@singidaprincetz188316 күн бұрын
Daaah jmn tutafute pesa mno tuje tusaidie familia zetu jomn
@richkaja331717 күн бұрын
Konde achana na kamali fanya mziki unapitia njia za baba ako mondi pita jia zako
@jumahamadkali468318 күн бұрын
Media kubwa ila inasema uongo
@carrasco41618 күн бұрын
Hawa watu hawakuji na kitu kipya. Diamond kafungua radio kila mtu sasa anafungua media, kaweka betting sasa watu wakimbia huko.
@user-le6jm2tf5y18 күн бұрын
Ukipata fulsa ww piga hela tu mambo mengitu tutakutana nayo mbele kwa mbele tukifa potelea mbali
@kaaakwakutuliaa517918 күн бұрын
huyu jamaa bado hajielewi intervie yako unaanza kuongelea stori za baba levo hujauliza
@allyhamisi639418 күн бұрын
KAMALI😢
@sadikidaudi46019 күн бұрын
Umamsapoti maskini au unazidi kumkandamiza?😅
@eliashibundabalinze275418 күн бұрын
Allah wa waislam amemsaidia kijana kufungua kamali ili watu waendelee kubeti na kukesha kwenye kasino badala ya kukesha misikitini
@josephlorri43118 күн бұрын
Wamechakachua dini ili kuhalalisha maovu.. wengine wamekusanya watoto wadogo kwenye concentration camp kuwafundisha ugaidi
@AhmedMohamed-mw3ev19 күн бұрын
Kamari ni haramu kwa sisi waislamu Allah akujalie uwache mziki na kila linalomchukiza Allah rudi kwa Allah Allah atujalie mwisho mwema na atujalie njanna
@awadhally105219 күн бұрын
Kwel kabisaa
@yama_virginhairthequeen106519 күн бұрын
Upo na akili nyingine au ni hii tu 😢 dini zimeletwa ilamnavyozishobokea😂😂 ww kazana tu ukkdhani Kuna peponi😮 ndio maana hatuendelea Africa kwa akili km zihi😂😂😂
@salimhassan336919 күн бұрын
@@yama_virginhairthequeen1065 Mungu akusamehe sio makosa yko
@AhmedMohamed-mw3ev19 күн бұрын
@@yama_virginhairthequeen1065 sawa haina shida kama ni hivyo tatizo pumzi zina tuhada zitakapo chukuliwa hapo ndo tutajuwa ukweli kama ni shobo au laa