Mashallaah.....sheikh pia tunaomba part 3 ya kadhia Palestina
@rizikirihani79037 ай бұрын
Mashallh
@thedon84678 ай бұрын
Yule sheikh wa ZANZIBAR inavosemekana zamani alikua kweli ana tumia ulevi lkn zamani sana Kwa maana ya sana lkn kaacha kutumia zamani sana sasa zile picha watu walikua wanazo ndio wanazisambaza lkn sio jambo Zuri kusambaza picha kama Ile wakati MTU kashatubia.