Shukran sheikh Shams. Leo nilifurahi kukuona live masjid abubader iringa maana nlikua nakuona tu kwenye mitandao ya kijamii. Nakuombea kila La kheir Inshaa Allah
@hanifahnabakiibi69292 ай бұрын
JazaakAllahu khair sheikh Shams Elmi. May Allah be pleased with you. Allahumma amiin. Greetings from Uganda 🇺🇬
@JeySalim-wc6gk4 ай бұрын
Mashallah sheikh shams Allah akuhifadh na shari za dunia.