Kiredio ukweli tunajifunza Mambo mengi kipitia kazi yako ukweli iko vizuri
@EsterStanslaus-dj6kp6 ай бұрын
Hapo umenifurahisha kiredio big up sana
@ustadhisimbula86226 ай бұрын
Huyu broo bana😂 anafanya kweli namkubal sana japo wenzangu hawampendi ila piga kaz hatutaki uongo kwenye love❤ heshima iwepo watu waishi kwenye true love❤❤
@FaudhiaSwalehe-tp9ox6 ай бұрын
😢😢😢😢 kiredio unasaidia sana wanawake
@estermwakatundu302815 күн бұрын
Kiredio Nakupendaga siku uje makambako hapa jmn🤣🤣
@makepoundbemillionire96886 ай бұрын
Kiredio sio comedian ni content creator
@mamy82206 ай бұрын
😢😢😢😢tena utusaidie umulete hpo 😢😢
@user-uw9og8rb7l6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kiredio umenifraisha
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw4 күн бұрын
kwanza mi nataka waongeze,,,, oyaa kaz nzur,,watu wabak njia kuu shenziiii,,, mwanangu kiredio endelea ivyo ivyoo,,hakuna kupoa
@DayanaPeter-pd9yf6 ай бұрын
Uishi sana kiredio nakupendraaa bureee Wanaume wamezidi sana Unafiki na kujificha na maovu yao
@Boaz226 ай бұрын
Kiredio naomba ukikutana na demu wang usinipigie😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣
@fatmamdihiri41646 ай бұрын
Bado ujasema 🤣 🤣 🤣
@fatmamdihiri41646 ай бұрын
Bado ujasema 🤣 🤣 🤣
@davidrwegiza53166 ай бұрын
dem wako mwenywe anaeza asimpe namba yako😂akatoa namba ya mpenzi wake mwngne
You are so real, Yan hujafake mwingin angetoa bajeti kubwaa kwa mwezi
@estermwakatundu302815 күн бұрын
Hata sisi wamama tunakufaham sana
@CareenMushi-nz9xw2 ай бұрын
yani kiredio mim nakupenda na pia uyo jamaa me simuamini ata kidogo allah akufanikishe
@user-le9xv8os1n6 ай бұрын
Nimekupenda bule😂😂
@aud5486 ай бұрын
This road you are taking ni hatari ...ila kila la heri 😂😂😂😂😂
@sakaraboy89516 ай бұрын
Huu ni Umamaaaa..... Mdogo wangu Kiredio. Watu kama nyingi ndio mnapakwa Mafuta ya Nazi.
@sarahweston27086 ай бұрын
Bila shaka wanaume wote wanamchukia huyu jamaa😂😂😂😂,,ila anaonekana mkorofiii jamani ugomv hauachi hadi aoambane nao😅😅😅😅
@happyniceNassoro5 ай бұрын
Kiredio ufike na GEITA bhana❤🫣
@GodwinonesmoNkollo-el4ivАй бұрын
Kwan geita kuna mahusiàno na huko?
@sarahkeivaly33512 ай бұрын
Kiredio una tabia za uking'ang'a sana; Ila hilo penzi unalolitaja hapo hutaliweza
@JoeMziwanda6 ай бұрын
Ila huyuu jamaa challenge zake anazibadiri kuwa majanga asee acha tuone aendako
@Whoisthismantalking6 ай бұрын
Wenye akili tunamtazama tunagundua amejaa roho mbaya, hapendi mazuri ya wenzie na anajitafutia mwisho mbaya. Anachokitafuta atakipata.
@pendombinga35846 ай бұрын
Mm np hapa nasoma coment hila ipo sku atakuja kuatarisha maisha yk) kwa hichi anachofanya wtu wanakusifia hl utakuja kutekwa na kufanyiwa kitu ambacho kitakugharimu ktk maisha yk ww jisifie ww uko sahihi siku ingia kwa mapenz ya baunsa ndy utaijua dunia ina rangi gn alafu wt wanakusifia watakaa pembeni hl familia yk ndy itapata hasara kiufupi achana na mahusiano ya wt
@rehemasharifu89856 ай бұрын
Mm binafs ata sipendi anavofanya mana hakuna mahusiano yanayokosa ayo mambo kwaio utawaachanisha wangapi??ayo so maisha kiredio fikiria wangapi wanaumia kwa ajil yako wangapi unawatia huzuni??
@user-kd3ky8tb4v14 күн бұрын
😂😂😂😂kiredio buan nakubend bureee wanyoosheee
@user-lx2hl1yl4f6 ай бұрын
Nice
@mariamhelen7808Ай бұрын
Napenda Sana kaz zako kiredio
@user-iw1qp1cu8u6 ай бұрын
❤❤❤ kiledio
@user-qi6wy6kl4g6 ай бұрын
Ila huyu jamaa angeacha hayo mambo ya bifu mana anajiongezea maadui angeficus kwenye challenge tu hayo mengine ayaache
@user-np2tk1jy1t2 ай бұрын
Acha tu mdogo angu kiredio. Masingo tumelea adi stimu za mwili zinakata. Msaidie tu. Uyo Airen
@JoyceLKisha5 ай бұрын
Kama irine alikubali kufichwa aendelee kufichwa
@user-lz3iv7vk4j6 ай бұрын
Unatusaidia sana wanawake🎉🎉🎉🎉🎉
@surusuru19942 ай бұрын
Kiredio umetufuguwa akili ❤❤
@annaphilemon8526 ай бұрын
Atavunjwa kila leo😂😂😂😂
@jeedymasoud42696 ай бұрын
Safiiii
@marymushi18295 ай бұрын
Fanya comedy achana na maisha ya watu banaaa
@zulphatissa5 ай бұрын
Kiredio kam matako et ntavunja mahusiano 700 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw4 күн бұрын
aendelee ivyoo ivyooo mpaka woote tunyookee
@neemachavala65536 ай бұрын
safi kiredio waezoea hawa
@user-cm6om2iv1w2 ай бұрын
Jmn kiredio me nataka challenge na ww
@user-xe1mk9px8x6 ай бұрын
Mmmmmmmh
@habisnasalum-nz4zo6 ай бұрын
Acha umama mwanaume mshamba kweli kwani alivyotongozwa kwanini akubali kuliwa wakati anajua uyo mtu ana mtu wake hakuna mwanaume wa pekeako na kendi kasema utatapatapa sana hawaachani umezeeka uso kwa umbea
@pendojuma80756 ай бұрын
Kiredio hiv kile chuo unachotangazaga Cha kushona kikowap na kinaitwaje
@user-ew7xd1xu3sАй бұрын
Apokwenyekukimbia umenikumbusha mbali
@witnessinary78073 ай бұрын
Irene alikubali ku date na mwanaume mwenye mwanamke why ambebee mimba alafu waanze kusumbuana
@rubbymusa19716 ай бұрын
Nimependa upo mkweli
@user-uh4kj7lx8r6 ай бұрын
Ila jmn
@user-kn8bm3kt1j6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kirediooooooooooo
@Roqua-hs3qf6 ай бұрын
Uyo arobeba mimba ndo mjinga si ndo kaingilia penzi LA watu nyooo ajibebe
@MariamIddi-gs6ij6 ай бұрын
😂😂😂😂😂kiredio kiredio
@user-ib7kn6fs4x5 ай бұрын
Halafu wewe kwanini unafutilia maisha ya watu
@deusdennis48696 ай бұрын
miti asi (meet us)
@ChristinaElia-dl4vw6 ай бұрын
Safii saana kiredio wape adabu😂
@lovelee63806 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aisha75096 ай бұрын
😅😅😅
@awadhrajabu14036 ай бұрын
Makosa Hata Wewe Uko Na Makosa Utasema Wewe Ujawai Kufanya Ngono Wewe Naona Uwe Anisi Nakama Umefanya Basi Achana Na Ayo Mambo Mapenzi Yenyewe Hao Wote Ni Malaya Awako Kwenye Ndoa Zaidi Ya Nipe Nikupe2
@veronicamayenga95312 ай бұрын
Jinga sana
@awadhrajabu14036 ай бұрын
Tz Ziko Weifa Za Kimalaya Malaya Ivi Yani Azina Intaneti Bola Ni Fekifekifeki Kabisa
@CathyMathias-bx4ft2 ай бұрын
Aya kiredio leo nimecheka
@subrynerysegerow13236 ай бұрын
Kwan huyo candy kaolewa bwana atupishe sie
@zulphatissa5 ай бұрын
Asante
@rehemalusindengawa51866 ай бұрын
Kiredio unashida gani na husiano la watu 😂
@zulphatissa5 ай бұрын
Shida n kutukanwa 😅😅😅😅😅
@user-xt3zz7uj4g6 ай бұрын
Bro acha kusema michongo yko ya kaz hadharan binadam so wazur kibaya zaid unatamka mpaka kipato chako
@mushimakoti6 ай бұрын
Kiredio namkubar xana
@user-ib7kn6fs4x5 ай бұрын
Usisediye watu Kwa kugombanisha watu unafirwa wewe
@user-op4sr6fk5u13 күн бұрын
Unaumia kutokea wapi nyoooo😂😂😂
@ramadhaniabdulabdul6 ай бұрын
unachomfanyia mwenzio na wewe pia utafanyiwa hivyo hivyo
@user-ie3nf1tx8q6 ай бұрын
Wewe mtot wa kiume acha ufala
@siahmasamuu12406 ай бұрын
Sio ufalaaa ila ni kwel anachokisem wanaume wamekua mmbwa mwitu