HATUA TANO ILI KUWA NA MFUNGO WENYE MATOKEO

  Рет қаралды 198,328

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

4 жыл бұрын

Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Пікірлер: 334
@user-kv3ho7dl8c
@user-kv3ho7dl8c 5 ай бұрын
mtumishi unakitu chenye u Mungu halisi ndani yako naomba ufunikwe kwa dam ya Yesu usije igeukia tamaa ukapoteza kusudi la Mungu alilokuwekea.
@vivianboaz8653
@vivianboaz8653 4 күн бұрын
Oooh my Lord sijawah kuupata huu ufunua..Mungu nakushukuru kwa hili..mtumishi ubarikiwe sana
@PeterYohana-n4x
@PeterYohana-n4x 2 күн бұрын
Ubarikiwee sana baba mungu wa mbinguni akubariki❤ by jonson matiko ktoka zanzibar
@gloriamahuna6803
@gloriamahuna6803 9 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji nliwahi kupita tu you tube nikasikiliza neno moja basi nimeanza kuwa nakusikiliza sana Kuna kitu Mungu ameweka ndani yako kuna namna unafundisha mtu anaweza kusikiliza bila kuchoka Asante sana na Mungu azidishe mafuta
@ericaedenthomas8710
@ericaedenthomas8710 3 ай бұрын
1. Nini lengo la kufunga Mithali 28:19 mfano wa malengo : shukurani ; kuhuishwa kiroho; nataka maongozi kutafuta mkakati; ruhusa...uponyaji wa uchumi; mwili; kupata neema kutatua tatizo 2. Kujitoa/ commitment -gharama inategemea na hitaji mzigo haraka.. 3. Jiandae kiroho ( jiweke sawa na Mungu- toba; tafuta maandiko ya kusimamia- Mungu hujibu neno lake ktk maombi Yer 1:12 4. Jiwekee ratiba 1kor 14:40. 5. Tarajia shukurani kwa shukurani- jenga jukwaa ..
@user-wq8qd1ny3t
@user-wq8qd1ny3t 24 күн бұрын
Amen🙏🙏🙏 mtu mishi Wa. Mungu nime barikiwa kwa SoMo Suri sana
@ppcltdppc3402
@ppcltdppc3402 Жыл бұрын
Na hii ndio Injili isiyogoshiwa nimekula kitu kilichokuwa kinanisumbua muda mrefu sana Mungu akubariki sana mtumishi
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Anakuwa sehemu gani jamani
@ChristinaSanga-pl5jm
@ChristinaSanga-pl5jm 5 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumwa wake neno hili ni kubwa sana natamani kama ungekuwa na kipindi kwenye vyombo vikubwa vya habari ili kila mtu asikie kweli ya neno kupitia wewe
@Hekalueliasofficiel
@Hekalueliasofficiel Жыл бұрын
Amen amen amen baba yangu una towa chakula Mazuri Sana wewe una faaa uko Sisi ni wa Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bathshebanyaboke7192
@bathshebanyaboke7192 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN MUNGU nakushukru kwa Mtumishi wako ambaye amenielimisha kuhusu mfungo barikiwa Sana mtumishi
@andelynsanga-ei5td
@andelynsanga-ei5td Жыл бұрын
Ameeen nimekuelewa Mtumishi kwa Somo zuri kuna mahali umeinua kiwango cha Imani yangu
@dorothykinya4398
@dorothykinya4398 3 ай бұрын
Thanks Lord for meeting a wonderful man of God with search teaching be blessed man of God for blessings of word, umenitoa mbali.
@susannjoroge3204
@susannjoroge3204 4 ай бұрын
Mungu hajibu maombi lakini ana lijibu Neno Lake! Very powerful revelation!
@winfridamahali6349
@winfridamahali6349 2 жыл бұрын
Nimevushwa sanaaa na hili somo.barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa viwango vya juu 🙏
@neemaleonce1225
@neemaleonce1225 Жыл бұрын
Kiukweli nilikuwa sina huu ufahamu kabisa I know its Holly Spirit na sio kingine. Tunamsujudu yeye na kila mmoja amepata ufahamu. Ubarikiwe baba kwa kutupa haya maarifa
@jordanchisawilo6177
@jordanchisawilo6177 Жыл бұрын
Nipo Dodoma ila Mtumishi najengeka Santa na masomo haya
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Neema huyu mtumishi kanisa lake liko wapi?
@israelnsekwa3002
@israelnsekwa3002 Жыл бұрын
@@jordanchisawilo6177 Pastor BWANA YESU asifiwe MUNGU akubariki , jinsi anavyokutumia nimekuwa nikijengwa sana na mafundisho mimi ni mchangaji ila nimeanza kupata matokeo ninavyo endelea kujifunza
@gabriellumole814
@gabriellumole814 11 ай бұрын
Aminamtumishi
@gabriellumole814
@gabriellumole814 11 ай бұрын
Amina mtumishi
@dionisiakarata6824
@dionisiakarata6824 17 күн бұрын
Asante Kwa somo mtumishi
@user-ps2rv2bj2d
@user-ps2rv2bj2d 4 ай бұрын
Amen Mimi hapa ulikua unanishambulia Mimi Tu wala sio MTU mwengine Yani umenitoa uchafu wote na mungu aniongoze Kwa Kila kitu ubarikiwe 🙏
@user-mw6mn3xq4p
@user-mw6mn3xq4p 4 ай бұрын
God bless you sikujua ratiba ya maombi mi hufunga but wee nachanganya Kila kitu Asante mutumishi wa Mungu barikiwa Kwa mafunzo mazuri nimejua Sasa ratiba ya mufungo
@reshinebakery2846
@reshinebakery2846 3 ай бұрын
Mimi pia
@farajafelix9964
@farajafelix9964 27 күн бұрын
Amena!! Nimebarikiwa na kujifunza mengi kumbe nilikuwa naomba omba tu bila kufahamu hapa nimejifunza
@halaali25
@halaali25 10 ай бұрын
Amen huwa naskia amani Sana ninaposikiliza mafundisho yako yananibariki na kunifungua pastor George Mungu yupo ndani yako ,natamani siku moja nije kanisani kwako nikuone Tu ,umenifungua vitu vingi Sana Sana , kwenye mafundisho yako.
@rachaeljames9364
@rachaeljames9364 5 ай бұрын
Nasikia aman sana nikisikiliza neno lako
@msafirishio3012
@msafirishio3012 Жыл бұрын
Amina mtumishi Kwa kunifungua katika kuomba maombi ya mfungo
@doreen9516
@doreen9516 Жыл бұрын
Very insightful! Asante Mtumishi, God bless you!
@FransiskaJohn-fq1nf
@FransiskaJohn-fq1nf Ай бұрын
Amen amen ,ubarikiwe Kwa SoMo hili ,Mimi nafungaga tu bila malengo na kufuata utaratibu
@priscilamroso5827
@priscilamroso5827 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa na hili somo ,nimefunguka macho ,Asante BABA 🙏
@EvelinaMahenge-xi8fp
@EvelinaMahenge-xi8fp 9 ай бұрын
Asante pasta nimepata maarifa makubwa sana yanisadie kukua kiroho kweli nilikuwa nafunga wakati mwingine nikawa nakosa muda wa kuomba kabisa,ubarikiwe!!
@godfreyngichabe2777
@godfreyngichabe2777 Ай бұрын
Asante pastor kwa neno la mungu
@user-uj8jt2vz9r
@user-uj8jt2vz9r 11 ай бұрын
Namshukuru MUNGU Kwa ajili yako mtumishi wa MUNGU najifunza nilikua nafunga kidini.sasa nitafunga Kwa malengo Asante YESU Kwa kuniona
@beataselestine586
@beataselestine586 2 жыл бұрын
Kuna hatua naenda katika maombi.. Mungu akubariki pastor George hakika ww ni baraka katika kizazi hiki.
@user-gh4ym7ji8v
@user-gh4ym7ji8v 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Mimi ni mmoja wa maelfu wanaoponywa kupitia huduma hii ya utumishi wako mbele za Mungu. Namuomba Mungu anipe neema ya kuyafanyia kazi mafundisho unayotupa na siku Moja nije nitoe ushuhuda mbele za Mungu Kwa jinsi yalivyonivusha. Naendelea kuchuchumilia hadi uzima wa milele. Amen
@claricewasore
@claricewasore Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji kwa ajili ya mafundisho ya kufunga nashukuru MUNGU kwa ajili ya kesho kwa mfungo wangu KUPITIA haya mafundisho 🙏🙏🙏
@maureenmgeni
@maureenmgeni Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu! Jina la BWANA lihimidiwe Milele
@neemashuma4302
@neemashuma4302 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki kwa somo zuri, na Mungu atusaidie sana kuweza kufwata ipasavyo, injili yako hii ya kweli isiyotuwa magumashi
@ruthmuchina3963
@ruthmuchina3963 3 ай бұрын
May God bless you richly mafundisho yenye nguvu za mungu na kuelewa kwa urahisi
@angelamgale3228
@angelamgale3228 3 ай бұрын
Nimependa Mafundisho yàko, sikuwa nimewahi kuyasikiliza. Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU.
@pendoMwanji
@pendoMwanji 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@naikeminja
@naikeminja 2 ай бұрын
Nimejifunza kiasi kikubwa. Sikuwa najua jinsi hii. Hakika nimebadilika sasa . Barikiwa sana Mtumishi.
@lucymurugi4743
@lucymurugi4743 6 ай бұрын
Thank you soo much man of God,wewe ni wa baraka katika mwili wa kristo
@user-ur7ek2bc3l
@user-ur7ek2bc3l 12 күн бұрын
Nashukuru mungu kwa ajili ya mtumishi wako naomba mtunze
@monicakuziwa4434
@monicakuziwa4434 3 ай бұрын
Ameeeen Mtumishi umeniuniua upya sasa nitasimama
@KeziahKattawa-ed8lc
@KeziahKattawa-ed8lc 5 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu umenifundisha kufunga kwa malengo na gharama ya mfungo wangu
@user-tv4fm7rf1p
@user-tv4fm7rf1p 5 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu, Mafudisho yamekuja kwa wakati.
@user-rs6cs3bs4i
@user-rs6cs3bs4i 3 ай бұрын
I'm so blessed by your gospel, may GOD bless your pastor sure I have get many things from you 🙏🙏🙏🙏
@alicewangare7653
@alicewangare7653 3 ай бұрын
Hakika wewe uko na neno sio maneno sikujui lakini wewe ni mtumishi wa Mungu utaenda mbali
@256Angel-
@256Angel- Жыл бұрын
Wow sikuwa na ufahamu bt now am delivered thank you man of God More Grace upon u🙏
@gladyskiprono2461
@gladyskiprono2461 Жыл бұрын
May God bless you for i learnt alot yenye sikuwa naifahamu.God thanks.
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mafundisho yako nayapata nikiwa Zambia, Mimi ni mchungaji, Niko Zambia, naimarika sana mafundisho yako yananiletea mafunuo mengi, kweli yananisogeza sana
@NeemaaliceK2546
@NeemaaliceK2546 3 ай бұрын
Nashukuru sana kwa mwongozo huu nitaufanyia kazi ,ubarikie sana mtumishi wa Mungu
@user-rs6cs3bs4i
@user-rs6cs3bs4i 3 ай бұрын
Injili ya kweli ya mungu inayotakiwa ndyo hiiii mungu akubariki mnooo pastor George
@williethwilson1851
@williethwilson1851 3 ай бұрын
Andika Mungu start with capital later
@FridahFridahcent-qk8hw
@FridahFridahcent-qk8hw 8 ай бұрын
Amina, asante sana mtumishi wa MUNGU umenizaidia kabsa
@wemachristopher8912
@wemachristopher8912 4 күн бұрын
Amina mtumishi❤
@linahliz2130
@linahliz2130 Жыл бұрын
Umenifungua macho, nilikuwa sijui chochote,be blessed Man of God
@jacklinemakali1826
@jacklinemakali1826 3 ай бұрын
Nafarijika kwa somo la mfungo amen
@rosekenya9401
@rosekenya9401 11 ай бұрын
Amen,umenisaidia sana ubarikiwe pastor
@winfridamahali6349
@winfridamahali6349 2 жыл бұрын
Asante mtumishi nimejengwa sana na hili somo Mungu aendelee kuiutumia kwa viwango vya juuu
@joycemabariki9303
@joycemabariki9303 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi, umenifungua pakubwa sana
@user-nb4ms2vw8c
@user-nb4ms2vw8c 7 ай бұрын
l love this man of God😊...his teachings are bomb💪
@esthershigongo8571
@esthershigongo8571 4 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa kunifundisha namna ya kufunga asante mch nimekuelews ubarikiwe sana
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 3 ай бұрын
Asante pastor kwa mafunzo mazuri aki nmejua mengi sana kuhusu mpangilio wa maombi
@user-gy5hu5fx8q
@user-gy5hu5fx8q 8 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi naomba kuuliza ule mfungo wa Yesu wa siku arobaini ulikuwa kavu ama lah,maana umesema kibiblia mifungo mikavu mwisho ni siku tatu ,naomba unielekeze
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 7 ай бұрын
Mchungaji ni mvivu kusoma comment za Washirika so angalia namna nyingine ya kumpata
@allymwanjota3111
@allymwanjota3111 6 ай бұрын
Barikiwa sana Baba hakika umenifungua MUNGU akutunze kwaajili yetu pia
@TEDYMAKAVISHE
@TEDYMAKAVISHE 4 ай бұрын
Leo umenifungua masikio kumbe ndio maana tunaunga na hatupokei asante mtumishi Mungu alitumia zaidi na zaid
@MnyabiGang
@MnyabiGang 6 ай бұрын
❤❤❤ wewe Mchungaji umebarikiwa sana napenda maneno Yako unafundisha VIZUR mnooo
@user-od1bn8js7i
@user-od1bn8js7i 9 ай бұрын
Ameeen mtumishi wa mungu najifuza namna ya kufunga
@blandinaleonard405
@blandinaleonard405 7 ай бұрын
Asante sana Mungu nakushukiru Kwa ajili ya huyu pastor hakika nimepata kitu
@magdalenandwete-zq9be
@magdalenandwete-zq9be 8 ай бұрын
Amen mtumishi Kuna kitu nimegain thanks a lot glory to God
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og Ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu nahisi kubarikiwa sana
@josephatombati6303
@josephatombati6303 Жыл бұрын
Mungu azidi kufungua mipaka yako mchungaji,nimesikia na kusonga hatua nyingine tena ningependa kukushukuru sana
@janetogalo9681
@janetogalo9681 8 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi kwa mafundisho haya mazuri
@monicahjames7308
@monicahjames7308 13 күн бұрын
AMEEN SO INSIGHTFUL
@user-uu5fi2zz7h
@user-uu5fi2zz7h 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastar kwa kutufundisha, tunakushukuru sana
@getrudamussa5699
@getrudamussa5699 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA,umenivusha,AMEN.
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
❤❤mungu akutunze pastor hakika nimepiga hatua kiroho nakufurahia sana
@user-zj2ev7yy6l
@user-zj2ev7yy6l 7 ай бұрын
Asante MUNGU kupitia mtumish wako ubarikiwe mlele 😢
@SikujuaEmmanuel-fj4mg
@SikujuaEmmanuel-fj4mg 9 ай бұрын
Mungu akubariki baba hakika unatufungua wengi
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Amen Ameeeen. Nimejifunza kitu apa, sijatoka bure kupitia hili fundisho.. Asante roho mtakatifu kunipitisha hapa. Barikiwa pastor George.. 🙏
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Wewe Ni mchungaji na mtumishi qa Mungu halisi. Injili yako haina tashwishwi
@salomepangani7969
@salomepangani7969 Күн бұрын
NimebarikiwA
@user-jl2er1nb2p
@user-jl2er1nb2p 7 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe sana..sijatoka bure mungu anipe hiyo roho ya mfuno kwa jina la yesu
@irenekayombo5509
@irenekayombo5509 10 ай бұрын
Amen mchungaji huwa naelewa sana neno,ubarikiwe
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 7 ай бұрын
Mchungaji nilikuwa nafikiri uwe unapitia comment xa watu wengine wanaitaji no Yako wengine MAOMBI Yako,. Baba upo vizuri sn Kwa mafundisho
@estermkichwe5547
@estermkichwe5547 11 ай бұрын
Amen, nimepata somo jipya, Asante Roho Mtakatifu. 🇹🇿
@calvinmgalula1812
@calvinmgalula1812 7 ай бұрын
This is true gospel of Christ, I have been so much blessed!
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 3 ай бұрын
Nimeinuliwa cna , na nimepata uwelewa mkubwa 🎉
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Жыл бұрын
Amen.mungu.akubariki.sana.mtumishi
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 2 жыл бұрын
God i thank you for this Pastor, am so blessed.. thanks Jesus
@hffh7717
@hffh7717 6 күн бұрын
Nimependeswa namahubili na nimeguzwa sana mnikumbuke kwa maombi please pastor mimi janet milani
@user-zs1hk3no3f
@user-zs1hk3no3f 4 ай бұрын
Hakika mimi umenipeleka mbali sana kwa mafundiso yako ya kufunga asnte sana ni martin mpeketoni kenya
@dr.violetsasabo
@dr.violetsasabo 9 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nileo mara ya kwanza kanisani JRC kirumba ila imebidi nije you tube nimetamani mafundisho yote ya nyuma niyasikie aise nimejifunza sana🙏
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Amen Amen nimebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@user-mu9vn1mq6v
@user-mu9vn1mq6v 9 ай бұрын
Asante sana nimlishwa neno hili hakika mungu anisaidie nikaliishi balikiwa sana mtumishi wa mngu
@IreneMalema-wh9db
@IreneMalema-wh9db 6 ай бұрын
Daah ..... MUNGU akibariki sana kwa mafundisho yako baba angu%
@sekelamwangobola1674
@sekelamwangobola1674 4 ай бұрын
Amen Mtumishi, hakika umenifungua, nashukuru sana na Mungu akubariki.
@user-du1gd6op3b
@user-du1gd6op3b 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananibariki sana sana kiukweli
@kavuthalinah514
@kavuthalinah514 Жыл бұрын
i need to listen this word again and again
@VivianOnyango-tk4xw
@VivianOnyango-tk4xw 8 ай бұрын
Am blessed so much...Amen
@boniphacemwalikiamos4516
@boniphacemwalikiamos4516 10 ай бұрын
Sijawahi kusikia kitu kama hiki😢😢 ubarikiwe.. Yer1:31
@kilimba687
@kilimba687 6 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu, nimejifunza kitu kikubwa Sana!
@sylvesterlogo8511
@sylvesterlogo8511 6 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu umenivusha kiwango Kingine ubarikiwe
@bosiboriwinnie1363
@bosiboriwinnie1363 6 ай бұрын
Let God be glorified for your sake...... u'r a true man of God.....
@josephkalama9752
@josephkalama9752 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kwa somo hili
@monicajuma3157
@monicajuma3157 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor..umenivusha ktk maombi na mfungo
@user-vk6tv7hh8o
@user-vk6tv7hh8o Ай бұрын
Mafunzo ya ajabu mungu akuzidishie hekima
MAOMBI YASIYOSHINDWA
45:23
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 159 М.
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 196 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 7 МЛН
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 13-10-2022
1:09:20
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 92 М.
KWA NINI NIFUNGE
23:19
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 29 М.
MTAZAMO WAKO NDIO MPAKA WAKO
1:02:20
Reality of Christ Church
Рет қаралды 68 М.
JINS YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO
1:20:32
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 56 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 76 М.
FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.
57:20
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 547 М.
И пусть весь мир подождёт 💞 «Постучись в мою дверь в Москве»
0:37
Этот парень обрёл супер-силу 😂 #фильмы #кино
0:53
чёт жутковато стало☠️
0:20
𝓢𝓾𝓰𝓪𝓻ℂ𝔸𝕏𝔸ℙ𝕆𝕂_Sasha
Рет қаралды 2,3 МЛН
Why You Should Always Help Others ❤️ [ANIME]
0:40
Alan Too
Рет қаралды 15 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
0:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН