HEKIMA YA MASKINI HAISIKILIZWI TAFUTA HELA NDUGU "PASTOR MGOGO

  Рет қаралды 87,528

Pastor Daniel Mgogo

Pastor Daniel Mgogo

4 ай бұрын

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZfaq : Pastor Daniel Mgogo kzfaq.info/love/eNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 115
@user-qz1yx8hf1z
@user-qz1yx8hf1z 2 ай бұрын
Neno lako linaniinua sana, barikiwa mchungaji mungu akuinie na akupe nguvu🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 3 ай бұрын
Nimekuelewa sana pastor❤❤❤
@BoniphaceMwitamwera
@BoniphaceMwitamwera 2 ай бұрын
Amina
@user-kh7oq3fg7r
@user-kh7oq3fg7r 4 ай бұрын
Pastor, unafanya kazi nzuri. Natamani mapastor wote wangekuwa wanaubiri ukweli hivyo.
@Catekathika88
@Catekathika88 4 ай бұрын
hii neno nilangu leo
@JoyceNicoleKwizera
@JoyceNicoleKwizera 2 ай бұрын
Asante sana mcungaji Mungu wkubaliki
@magrethclement7243
@magrethclement7243 3 ай бұрын
Mungu akupe miaka mingi zaidi yenye furaha na amani katika Kristo Yesu. 🙏🙏
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Nikweli kabisa safi sana nafarijika sana
@user-eg9ms7qt2h
@user-eg9ms7qt2h Ай бұрын
Mchungaji,,,una neno siyo maneno!waaaau barikiwa sana🙏🙏🙏
@Anifanusura
@Anifanusura 2 ай бұрын
Ubarikiwe Pastor hayo ni mafundisho ya baraka kwelikweli
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Tuko pamoja ni kweli kabisa
@philemonkatembo7126
@philemonkatembo7126 10 күн бұрын
Amen umenisaidia baba muchungaji , nakufuata toka RDC/Butembo
@danielshauri9263
@danielshauri9263 3 ай бұрын
Big up Much Mgogo kwa kuhubiri ukweli na mafundisho yasiyochosha
@nelsonkabakakayumba2401
@nelsonkabakakayumba2401 4 ай бұрын
Asante Sana Mushungaji ❤ Umetutia nguvu Sana Baba
@princekapocho2132
@princekapocho2132 3 ай бұрын
Mungu akulinde na akupe afya njema🎉
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Aminaaaa
@kengaswedi3989
@kengaswedi3989 3 ай бұрын
Praise God man of God,a man can be poor and be a friend of God,and a man can be sick and be a candidate of heaven.
@mollysmith-wu1vb
@mollysmith-wu1vb 2 ай бұрын
Asante sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@levocatuspjohn8638
@levocatuspjohn8638 2 ай бұрын
Asante mtumishi Mungu akubaliki kwa neno 🙏🙏🙏🙏
@geoffreynyongesa3583
@geoffreynyongesa3583 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana, pastor Daniel Mgogo. Kutoka Nakuru, Kenya.
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Waoooo hakika Mungu anavyombo
@gladyskerubo6075
@gladyskerubo6075 2 ай бұрын
Aki Huyu pastor ni wakenya Amen Amen grory to God
@gladysramadhan4008
@gladysramadhan4008 3 ай бұрын
Huu ndio ukweli pastor🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@NyamboriOnsabwa-wf2gv
@NyamboriOnsabwa-wf2gv 3 ай бұрын
Be blessed pastor 🙏
@user-ur2kc6cc1j
@user-ur2kc6cc1j 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi,Kila ninapokusikiliza napata kitu kipya maishani.
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Yaaani Mungu akulinde kabisa
@user-ed5sm3pi8u
@user-ed5sm3pi8u 3 ай бұрын
Aminaa mchungaji🙏🙏
@MohammedOtundo
@MohammedOtundo 3 ай бұрын
Kweli🎉mchugaji
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL 4 ай бұрын
Mungu wambinguni azidi kukulinda, na Akupe maisha marefu tena yenye amani na furaha 😊❤
@user-xh5wn4sr3r
@user-xh5wn4sr3r 3 ай бұрын
Amina, ahsantee kwa elimu kwa wore.
@francoismalenge1373
@francoismalenge1373 3 ай бұрын
Amen Amen
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Safi sanaaaaaa
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Ni kweli kabisaa
@user-ob9mc5zc1k
@user-ob9mc5zc1k 3 ай бұрын
Hapo nimekuelewa MGOGO
@user-qd2hv6rs2f
@user-qd2hv6rs2f 4 ай бұрын
Amen
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Mungu akulinde kabisa❤
@julianairumba8159
@julianairumba8159 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana baba❤❤
@user-wk5yv4um4m
@user-wk5yv4um4m 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana muchungaji ❤❤❤❤❤❤
@neolynechemtai1745
@neolynechemtai1745 4 ай бұрын
AMEN
@user-od1bn8js7i
@user-od1bn8js7i 3 ай бұрын
Ameen mchungaji mungu akubaliki sanaa🎉🎉
@user-gw6md3qn7n
@user-gw6md3qn7n 3 ай бұрын
Sure
@Freench20204
@Freench20204 3 ай бұрын
Nakupenda sana❤❤❤❤
@rahma6189
@rahma6189 3 ай бұрын
Aminaaa
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 3 ай бұрын
AMINAAA Mambo ni Moto
@user-ty9uh9ht5c
@user-ty9uh9ht5c 4 ай бұрын
Blessed
@user-qi5fc8dt4c
@user-qi5fc8dt4c 3 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi mahubiriyako yananijega kabisa
@jaytoomatisa5617
@jaytoomatisa5617 3 ай бұрын
Mungu akubariki🎉🎉
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 2 ай бұрын
My goodness my goodness my goodness my goodness ukweli Sana Sana na Sana zaidi...❤❤❤❤❤❤nyundo oye!!! That , kama ukweli wa Nabii mkubwa Daniel Mtume Mugogo. Aliyetumwa humu Duniani na Bwana, Kutuokoa Sisi wakina" Thomas".kama ukweli huu UU anaoongea, ugalikua pesa ugelipeleka Kwa BANK!!! Cheers kutokea Niederosterreich oye nyund, Honga!😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu Ukupe nguvu ya kuibiri injili yake na akufunike oye ukweli wote unenwe bila fear!!!!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-cf4hz3vd5l
@user-cf4hz3vd5l 2 ай бұрын
🙌🙏👍🔥
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
@hellenkinene2586
@hellenkinene2586 2 ай бұрын
Thanks pastor for the word
@user-yw1to1st4k
@user-yw1to1st4k 3 ай бұрын
Hiyo nikweli mungu pekee nguvu🎉
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 3 ай бұрын
Ameeeeeeeeeen❤❤❤
@JulyClaud-mu2qy
@JulyClaud-mu2qy 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Sawaaaa
@daisynyerere5730
@daisynyerere5730 3 ай бұрын
Namsikiliza Pastor D huku nasoma comments na kulike zote❤
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ahsante kw fundisho hili
@Bernadetterehema
@Bernadetterehema 3 ай бұрын
Ubalikiwebaba balikiweeee
@MazariZawadi
@MazariZawadi 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-fn7js5uo7i
@user-fn7js5uo7i 3 ай бұрын
Mngogo mungu akubariki kwamafunzo yako
@ismaellourence4321
@ismaellourence4321 2 ай бұрын
Amen amen
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 3 ай бұрын
Thank you very munch pastor❤❤❤❤
@AbrachidiYusufu-jz4sb
@AbrachidiYusufu-jz4sb 3 ай бұрын
N'a kupenda sana papa Daniel mungu aku bariki kabisa ❤❤
@user-zd9mt6hf8m
@user-zd9mt6hf8m 3 ай бұрын
Asante mungu nime Kubi tatizorangu najuwa kunasiku ritayisha
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 3 ай бұрын
Wewe mgogo kiboko kweli
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Kweliii
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 2 ай бұрын
Ooooh Myyyy Goodness 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤You also so Funy Funiest Truth truuuuuuth...Turuthi...yaaani maaana yaaaake UKWELI Kweli❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-yw1to1st4k
@user-yw1to1st4k 3 ай бұрын
Hapo pa benk na kukufa
@user-tm6no4pl7i
@user-tm6no4pl7i 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🤗🤗
@baderahchantal7672
@baderahchantal7672 3 ай бұрын
Injili hii kali kabiza injili ya mifupa sio maziwa ao nyama ni mifupa barikiwa babu capa kazi kwenye uongozi wa roho mtakatifu❤
@user-bt4mk5wg4l
@user-bt4mk5wg4l 3 ай бұрын
Napenda masomo mchunganji mgogo Daniel
@nyiranzimami728
@nyiranzimami728 3 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@joeljonas703
@joeljonas703 3 ай бұрын
Aminaa
@user-hl7bo4qp5y
@user-hl7bo4qp5y 4 ай бұрын
@nyiranzimami728
@nyiranzimami728 3 ай бұрын
🙏🙏🙏👍👍👍👍😍😍
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Kaaa kwakweli kama hatukuelewi ni bahati mbaya
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Nafurahi sana leo
@user-qk7rl1jg4n
@user-qk7rl1jg4n 2 ай бұрын
Weeeeeeeeh😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤Oye
@user-ch2qb3mm2x
@user-ch2qb3mm2x 3 ай бұрын
Pastor mgogo ubarikiwe samahani siku moja nilikuona ukiwa mgeni rasmi pale alipofungua kanisa matha balaka.aliye mwacha mume wake balaka aliye funga ndoa pale mbeya.E.A.G.sasa kafunga ndoa na huyo mwingine uliye muona akiwa anamtambulisha mbele yako je?huoni kuwa ulikuwa unasapoti uzinifu.nakwerewa sana lakini kwa pale sikukwerewa.
@daisynyerere5730
@daisynyerere5730 3 ай бұрын
Huwa mnataka wanawake warudishwe wamekufa wapo kwa jeneza ndio muamini wanapitia magumu na ukatili?
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Hallelujah hakika YESU ni BWANA
@salamasemkuya
@salamasemkuya 2 ай бұрын
Neno ni dawa ya uponyaji barikiwa mchungaji
@janeelisha4460
@janeelisha4460 4 ай бұрын
Sema Baba kanisa lipone
@RosePatrick-vh2or
@RosePatrick-vh2or 2 ай бұрын
Kwenye deni hapo Kuna shida mtumishi
@lovenessasimwe5391
@lovenessasimwe5391 3 ай бұрын
Pastor ton
@MwunguraGwiyereka-bg3vd
@MwunguraGwiyereka-bg3vd 3 ай бұрын
❤❤ 14:52
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Mifano ni mizuri sana tena sana
@user-vi2ow7cr1v
@user-vi2ow7cr1v 3 ай бұрын
Napenda mahubiri yao kwa sababu ya nanijenga
@salamasemkuya
@salamasemkuya 2 ай бұрын
Tuombee mchungaji Hali ya uchumi ngumu Sana bariki biashara .
@user-ed5sm3pi8u
@user-ed5sm3pi8u 3 ай бұрын
1:04:14
@maksudientertainmentandeve7508
@maksudientertainmentandeve7508 3 ай бұрын
Wise man of God
@mosesmuthama473
@mosesmuthama473 4 ай бұрын
Kweli
@user-xw9kh3vm8i
@user-xw9kh3vm8i 2 ай бұрын
Huwajui kausha damu😅 wanadai haooo
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
Nikweli kabisa
@user-kk9zw5lc1g
@user-kk9zw5lc1g 3 ай бұрын
Tusaidiane kushangaa mbona sipati pesa ya kukulipa😂😂😂😂😂hapafi mtu apa😂😂😂😂😂😂
@Simonirafael-wt4lc
@Simonirafael-wt4lc 3 ай бұрын
Kweli wapiga kamera mbarikiwe
@DoraGanyara
@DoraGanyara Ай бұрын
Ni kweli mchungaji tuombee uchumi. Barikiwa na BWANA.
@MussaSimkonda-xg8tm
@MussaSimkonda-xg8tm Ай бұрын
Am blessed man of God
@user-vr9sy6bm6w
@user-vr9sy6bm6w 3 ай бұрын
Pasta hata mke awe na hela atakuwa chini ya mume si kwamba kwakuwa ana hela anapashwa kuwa juu ya mume, je tajiri iko juu ya kanisa???
@justinemalima6701
@justinemalima6701 3 ай бұрын
Swali zuri
@pascalnsambi7722
@pascalnsambi7722 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@deokanyerere979
@deokanyerere979 4 ай бұрын
Hakika
MCH DANIEL MGOGO - WANAWAKE WANA MATATIZO MAKUBWA MATATU (OFFICIAL VIDEO)
10:04
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 50 МЛН
NAMNA YA KUJENGA FAMILIA NA MAHUSIANO "PASTOR MGOGO
1:28:47
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 1,6 М.
NACHOTAKA NIWE / NIKIWA NAWE NITASHINDA/ MUNGU MWENYE ENZI/USINIPITE MWOKOZI #subscribe #GuzaTv,
1:01:53
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 108 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 986 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН