MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE

  Рет қаралды 1,021,639

Bishop Elibariki Sumbe

Bishop Elibariki Sumbe

2 жыл бұрын

Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

Пікірлер: 485
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 2 жыл бұрын
Kama umeangalia clips ya huyo mama mara nyingi kama mm like apo chin
@fatmabakari9958
@fatmabakari9958 2 жыл бұрын
Anaitwa fatma huyo yesu anaoka wapi tn msituharibie majina
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 2 жыл бұрын
@@fatmabakari9958 cjakuelewa kwan kina Fatma hawaokolewi?
@galary8688
@galary8688 2 жыл бұрын
@@fatmabakari9958 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mosesmuyanga3244
@mosesmuyanga3244 2 жыл бұрын
Wakristo nawapenda sana mnamoyo wa huruma sana mungu akabariki sana
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 2 жыл бұрын
@@mosesmuyanga3244 utapeli mtupu
@jeriahonkoba
@jeriahonkoba 23 сағат бұрын
Mungu wewe ni mweza yote tushindie matatizo yote kwa damu ya yesu kristu mwana wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Bahatifatuma-h5m
@Bahatifatuma-h5m Күн бұрын
Djambo mutumishi wamungu naitwa fatuma nakaa uganda.naomba mungu siku yaleo nifunguliwe bamuone mutoto wangu kwenye Scan. Kwa jina la yesu christo Amen
@LuluFwalo
@LuluFwalo 5 күн бұрын
Mungu akubali Sanaa mngu nitetee na familia yangu nikawe naamn
@phoebynjacky3252
@phoebynjacky3252 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@PendoMatemba
@PendoMatemba 12 күн бұрын
Nimejikuta nalia sana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mbarikiwe mliojitoa kwa Ajili ya huyo Mzazi Mungu atatue shida zenu,nimelia kwa uchungu mwingi saana
@bellasfoundation2928
@bellasfoundation2928 2 жыл бұрын
Sumbe uko tofauti sana na watumishi wengine saanaa wengine hawaulizi kama umeokoka wanakuombea tu mungu akubaliki your such unique man of god
@pastortimothyjoshua3304
@pastortimothyjoshua3304 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana mtumishi wa Mungu kwa huo moyo wa huruma! Hivi ndivyo wahudumu wote wa injili tunatakiwa kuwa! Tuige mfano huu mzuri sana katika kuwahudumia watu kwa huruma na upendo
@lucialeoter934
@lucialeoter934 2 жыл бұрын
Ameni mtushi yesu akubali mtumishi ,nami naomba maombi niwe mtumishi wake.
@MerryKingu
@MerryKingu 2 күн бұрын
Mungu akutie nguv dada siku zote za maish yako pole Sana kwa yaliyokukut binadam wana roh mbaya Sana endelea kumwomba mungu ipo sk mume wako atarud mlee watoto
@user-ov2os5ff7x
@user-ov2os5ff7x 15 күн бұрын
mungu akurinde mchungaji usiache kuturinda barikiwa kwa jina la yesu
@dadamkubwa1087
@dadamkubwa1087 2 жыл бұрын
We we mam heeee mungu bwana wako ni wako mme wako must come in jesus name amen 50×wa from saudia Arabia.
@user-np4nv7cv3k
@user-np4nv7cv3k 7 күн бұрын
Amina mchungaji MUNGU akusaidie,azidi kukutunza
@naomymoraa2362
@naomymoraa2362 2 жыл бұрын
Mimi anapenda pastor,mungu akubariki sana.watching from Kenya
@hellenodongo
@hellenodongo 12 күн бұрын
Asante mchuganji mungu azidi kukubarika ufuguwe wengi kwa jina la yesu kristo
@selmasibai5075
@selmasibai5075 2 жыл бұрын
Mchunganji mimi nimuislam lakin ubarikiwe
@PendoMatemba
@PendoMatemba 12 күн бұрын
🥰🥰🥰
@Mr.Isayamaziku
@Mr.Isayamaziku 24 күн бұрын
Nimelia nimelia😭😭😭 upendo wa yesu ulinitoa dhambini yesu yesu yesu ❤
@GeofreyMhagama
@GeofreyMhagama 2 жыл бұрын
Imenitoa machozi ihi video, Yesu akutetee dada angu
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw 21 күн бұрын
Mungu akusaidie mchungaji fungua wengi kwa jina la yesu
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw 21 күн бұрын
Hapo ni ngaramton mchungaji niombee niko mombasa pole sanadada yesu anaweza
@valenakomba7686
@valenakomba7686 13 күн бұрын
Asante Yesu, Asante mtumishi wa Mungu.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asante Yesu kupitia mtumishi wako mwema baba yangu wa kiroho Mungu akubariki
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 2 жыл бұрын
Tanzania iko na ummoja MUNGU AKUBARIKI sana bishop....kwa uwongozi mzuri...
@gervasejerry
@gervasejerry 15 күн бұрын
MUNGU AKUTUNZE MTUMISHI WA MUNGU KWA UNALO FANYA AMEN
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 2 жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana😭😭😭🙏🙏
@moshimatikosendi6906
@moshimatikosendi6906 2 жыл бұрын
Qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 2 жыл бұрын
@@moshimatikosendi6906 🙄🙄🙄
@naikekangele7117
@naikekangele7117 13 күн бұрын
Kwa kweli umeutwa kwa ajili ya mapoma MUNGU akutunze mno umekuwa baraka ktk HUDUMA
@user-oy8gk5fj2e
@user-oy8gk5fj2e 16 күн бұрын
Ubarikiwe baba mungu alutuze
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 26 күн бұрын
MUNGU akubariki sana mchungaji machozi yamenitoka
@Aminaamina-cg8sf
@Aminaamina-cg8sf 2 жыл бұрын
Aki machozi I Atoka yenyewe bila kuhamulishwa Mungu yumwema daima
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Bishop roho ako nzuri aki Mungu akubariki
@dativadaud4300
@dativadaud4300 2 жыл бұрын
Mungu atabariki ili kabisa maana ni watoaji
@louis8474
@louis8474 2 жыл бұрын
Mungu akubariki muchungaji from USA 🙏🙏🙏
@user-st6ve9ce5k
@user-st6ve9ce5k 14 сағат бұрын
Amen 🙏 mungu akutunze nimelia sana
@user-rh3gz7fo2n
@user-rh3gz7fo2n 16 күн бұрын
Wewe ndio bishop wa kweli mungu azidi kubariki kazi zako za kiroho amina
@magrethandrew9503
@magrethandrew9503 2 жыл бұрын
Nimelia mno, Mungu wewe utabaki kuwa Mungu itunze familia hii, Pastor barikiwa sana.
@user-py4ss3sj2v
@user-py4ss3sj2v 2 ай бұрын
Ee Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo Fanya njia na familia yangu, mkono wako si mfupi hata usituguse
@susankitila8684
@susankitila8684 2 жыл бұрын
Huu ni uonezi sana Asante Yesu maana wewe ni mtetezi na utamsaidia
@RoseMorgani
@RoseMorgani 15 күн бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@blackangel3141
@blackangel3141 2 жыл бұрын
She is a superwoman she made me cry 😭😢😩
@GahembaMasudi
@GahembaMasudi 2 күн бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 13 күн бұрын
Pole mama mungu yuko hautateseka in Jesus name
@neemamdawa8369
@neemamdawa8369 2 жыл бұрын
Nimelia sana unaeza ukaona unashida kumbe tunazidiana duuu
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 2 жыл бұрын
Masikin
@papiasniyonzima4289
@papiasniyonzima4289 2 жыл бұрын
YESU akubaliki wewe na kanisa yako yote kwakazi nzuri mnayofanya .Hiyo njo kazi ya Mungu kabisa.
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 2 күн бұрын
Mungu akutunze mtumishi WA Mungu,,,hii video imenitoa machoz,,Mungu akubarik san
@christinakomba689
@christinakomba689 16 күн бұрын
Baba Mungu akubariki
@manirambonajeanne9184
@manirambonajeanne9184 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubalikia pasit muzuli amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@leawamukota9217
@leawamukota9217 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki muchungaji hata nami uniombee tu
@user-qb7ej8cp5y
@user-qb7ej8cp5y 15 күн бұрын
Mungu akutunze mama
@madamloveness7274
@madamloveness7274 2 жыл бұрын
I cry because am a woman too ,I feel sad of this family 😭😭😭😭
@matayoLEKUMOK
@matayoLEKUMOK 23 күн бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe mim naitwa elibarki mim naomba uniombee nipate watot Saif tupo Na Miaka NNE sijafanikiwa kupt Na ninaamin labs Kua hii msg ikifka yordan chochote kilich zuia watt Kwa mda mref kitaondoka Imani warumi 10-17 Mungu naomba unikumbuke Na mim
@SleepyFlamingos-lg1yv
@SleepyFlamingos-lg1yv 12 күн бұрын
@epifaniamwinuka7490
@epifaniamwinuka7490 2 жыл бұрын
Ameen nimebarikiwa
@DellisLema
@DellisLema 10 күн бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu congratulations sana mtumishi
@sayunicasmiry4365
@sayunicasmiry4365 2 жыл бұрын
Hakika Bishop una YESU
@HopeFinder-qq9hr
@HopeFinder-qq9hr 14 күн бұрын
Ooh my God have mercy upon this family
@MuyamaBetwa
@MuyamaBetwa Ай бұрын
Amina Mungu ni mwema
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 Ай бұрын
AMINA 🙏🙏🙏
@akimanaalice7832
@akimanaalice7832 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana utukumbuke na sisi utuombeye tufunguliwe na kupona maladhi
@user-np4nv7cv3k
@user-np4nv7cv3k 7 күн бұрын
MUNGU akutie nguvu dada yangu
@rallyjoe9607
@rallyjoe9607 2 жыл бұрын
From Burundi ,Bwana Yesu apewe sifa ...Yesu ni mzuri sana leo kesho hata milele
@officiallee1413
@officiallee1413 2 жыл бұрын
This made me cry jamani😭
@johnmsaki7920
@johnmsaki7920 2 жыл бұрын
MUNGU amfunge mumewe arudi amwezeshe ili mumewe arudi walee familia katika jina la YESU
@dommykwizera129
@dommykwizera129 2 жыл бұрын
YESU ni Bwana utukufu umurudiye
@dosialugonda2736
@dosialugonda2736 13 күн бұрын
Barikiwa Mtumishi was Mungu
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe Ilakuna mda mnatukosea sana nasisi walio inje kama mimi nimechukua number kila nikipiga haipokelewi nikituma ujumbe haujibiwi Tafazali nawahomba m’ we mnatupokelea sim zeta tunawaitaji watumishi wa mungu
@juliettootu4798
@juliettootu4798 2 жыл бұрын
Adonai I worship you , son of God you are so good , almighty FATHER hello be thy name 🙏,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@NizerMgombele-xn5hb
@NizerMgombele-xn5hb Ай бұрын
Ee mungu niguse mimi unikomboe na kila nitego ya adui naomba uniinue kila mahali
@zainabally1013
@zainabally1013 2 жыл бұрын
Polesana inauma sana
@AminaKamunga
@AminaKamunga 17 сағат бұрын
Mungu ni mwema
@naghenjwaely-muzze3301
@naghenjwaely-muzze3301 2 жыл бұрын
Hiiii imenitoa machozi kweliii
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Pole dada mungu mkubwa nimeliy jamani😭😭😭😭
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏hakika mw MUNGU nimwema daima.
@rosebumi6780
@rosebumi6780 2 жыл бұрын
Barikiwa Askofu sumbe..naitwa Selina Bumi kutoka Redio Okoa fm
@veronicasanga2126
@veronicasanga2126 2 жыл бұрын
Na iwe hivyo kwa Jina LA Yesu
@user-oc3wu7js5k
@user-oc3wu7js5k 14 күн бұрын
Amen
@MichouReinekr
@MichouReinekr 2 ай бұрын
Ashindwe kwajina layesu
@KibandaakiliSoka
@KibandaakiliSoka 5 күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@carolinetoto8706
@carolinetoto8706 2 ай бұрын
Amen👏🏻👏🏻👏🏻
@TheresiaNchahaga
@TheresiaNchahaga 19 күн бұрын
Ama imenitoa machozi hii
@FLORAMWANSULE
@FLORAMWANSULE 15 күн бұрын
Mungu ni mwema sn c kama binadamu anavyotuwazia
@francinelumuna8470
@francinelumuna8470 2 жыл бұрын
Hakuna kinachokushinda ee mungu wa wana waisrael naamini namimi niko kati ya historia yangu 🙏🙏🙏
@HappyCompass-le6ki
@HappyCompass-le6ki 13 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mungu ametenda makuu
@ChristianIssangya
@ChristianIssangya 9 күн бұрын
Amen pastor mungu akubaliki
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Dada umejua kuniliza...Mungu asikupungukie maishani dada🙏🙏🙏
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 14 күн бұрын
Mungu akubariki Pastor kwa kazi Nzuri ya mungu
@christinmulongo8483
@christinmulongo8483 2 жыл бұрын
Mungu Awabariki Sana watu wa mungu bishop pia wewe mungu Akutie nguvu Sana in the name of Jesus Amen 💯
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Nimelia kama ni mimi wanawake tunapitia changamoto nyingi 😭
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Shetani Mbaya
@pendomshema8941
@pendomshema8941 2 жыл бұрын
Mungu anatenda
@BukuruBeatrice-z4f
@BukuruBeatrice-z4f 13 күн бұрын
Yesu naomba namimi unitemberee ndoayangu
@MARYAsembo-ne3xk
@MARYAsembo-ne3xk 14 күн бұрын
Niombe pamoja na watoto wangu
@ruthmbula3564
@ruthmbula3564 2 жыл бұрын
Kutoka KENYA....hakika mungu ni mkuu....Amina
@agnesnafuna8455
@agnesnafuna8455 2 жыл бұрын
Kutoka Kenya... Na Mungu apewe sifa.... Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@AgnessMaffa
@AgnessMaffa 7 күн бұрын
Mungu akubariki pasta
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 2 жыл бұрын
From Burundi! Yesu ni Mwema sana! Injili ya kweli kabisa . Na Mali zetu zitumike kwa kuwaokowa Mataifa. Halelua
@AaAa-vj5id
@AaAa-vj5id 2 жыл бұрын
Wakwetu mungu amaweza
@mdmonyongo4795
@mdmonyongo4795 2 жыл бұрын
Kwa yesu akuna linalomshinda kamwe, Amen Amen
@florasospeter7047
@florasospeter7047 2 жыл бұрын
Jina la mungu liinuliwe
@elizabethtoo352
@elizabethtoo352 2 жыл бұрын
Mbarikiwe pastor and church members Amen
@rehemamhiche6798
@rehemamhiche6798 2 жыл бұрын
Ameonyesha upendo wa kweli. Tuige mfano huu kwani kukatatamaa kwaajili ya tuwapendao nisawa na kujiachia maumivu. Huu ndiyo upendo
@Susanumazi
@Susanumazi 14 күн бұрын
Hii inaumiza ak mungu tenda jambo kwa huyu mama 😢😢😢
@bernardbernard674
@bernardbernard674 2 жыл бұрын
Mungu aibarki familia hii na Mchungaji huyu.
@robypetrice8267
@robypetrice8267 2 жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@renisterhyera2552
@renisterhyera2552 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe namshukuru mwenyez mungu Kwa ajili ya mama huyu ,Mwenyez Mungu jidhihirishe kwake ,mpe hitaji la moyo wake
@PriscaJack
@PriscaJack 10 күн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
24:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 59 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
WIKI BAADA YA KIFO  | 01 |
12:20
Adery Masta
Рет қаралды 566 М.
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
MTEGO WA MAUTI WATOWEKA - BISHOP ELIBARIKI SUMBE
7:43
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 244 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН