Bora angeachwa mzee wa boli linatembea kwanza ili timu ikae kwenye form ndo aje huyu labda mana aliyesajili ni mgunda sio huyu
@JuhudiKasanga-yq5ks15 күн бұрын
Karibu kwenye ligi ya presha ndugu wenzako waliamua kusepa TU kipindi hiki utapambwa kwa MANENO mazuri kweli lakini ngoja ligi ianze utajua bongo ipoje
@christopherchisuligwe51218 күн бұрын
Good Coach
@user-qy7pi3xq7v18 күн бұрын
Huy sijuh Kam atamaliza wiki mbili
@user-fe6bf3td2q18 күн бұрын
sasa kama kafundisha timu ndogo kama kmc wanamleta wa nini simba tena, tunataka kocha mkubwa kama mokweana wa mamelod, pitso mosimane,
@AmaniKihongosi17 күн бұрын
Kwahiyo simba hawajajua cv yake au ndo mwazo wa kubolonga tena?
@user-fe6bf3td2q18 күн бұрын
labda wampe nusu msimu akiharibu anasaepa
@godfrey392614 күн бұрын
Wivu utawaua wajinga nyie.Mnaongea bila kufanya homework..Huyu ndiye kocha wa kwanza kuja kufundisha Tanzania akiwa na UEFA certification, sio CAF, lakini UEFA, meaning anaweza kufundisha timu yoyote Ulaya na ameshakuwa msaidizi. Mnaongeaga ujinga na kiishabiki..Subirini muone ukali wa huyu kocha ligi ikianza, hakuna hata kusubiri, anaanza moja kwa moja..