Ni Wapumbavu Pekee Watajaribu Kuogelea Katika Ziwa Hili Bila Maboya! Hili ziwa Lina Kina cha zaidi ya Robo Kilometa na Baadhi ya Maeneo Karibu Kilometa Moja, Limeunganishwa Chini na Underground river, Mto ulio chini ya Ardhi Unaoelekea Ziwa Jipe. Siku zote Ukiona Ziwa Lina Maji Masafi ya BUluu namna Hii Ujue, Bila shaka Kwa Chini Yanatembea. Kuweni Waangalifu sana.
@mwikalizawadi94816 жыл бұрын
Wow l miss home chala am in Lebanon Beirut bt am from Chala miss home so much
@lukaz2542 жыл бұрын
Wow..Great shots of this lake man..I'm a small channel..just started doing vlogs of Garissa Town but I'm not as good as you bro. Congrats 👏
@lillianm.munyao77932 жыл бұрын
......maridadi kabisa, mimi natokea Kenya🇰🇪🇰🇪
@raphaelshan49055 жыл бұрын
Hongera ulie tuelezea umetumia mda mchache lkn tumelielewa vizuri kama tumeishafika huko
@smwalukuku15 жыл бұрын
vizuri ela ukitumia kiingereza utavutia wageni hata wakutoka nchi za nje.
@ommarimussa89426 жыл бұрын
liko nchi gani hili
@mwikalizawadi94816 жыл бұрын
Ommari Mussa kenya taita taveta hapo ukifika uliza chala utaonyeshwa tu
@kavisheemanoela46486 жыл бұрын
, lipo wilaya ya rombo, mkoani kilimanjaro
@husseinmohammed51435 жыл бұрын
Ommari Mussa kilimanjaro
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Rombo, Kilimanjaro Tanzania, Na Kwa Sehemu Ndogo sana Taita Taveta