HISTORIA NA SAFARI YA WITO YA MONSINYORI FAUSTINE MATATA MUSHI KUELEKEA JUBILEI YA MIAKA 50 YA DARAJA TAKATIFU LA UPADRE #katolikimoshionlinetv #safariyawito #jubilei #kanisakatoliki
Пікірлер: 4
@kelvinmkama198710 күн бұрын
Hongera sana Mwalimu wangu bora wa Maandiko Matakatifu Kibosho Seminari. Ulinifanya nipende sana Biblia Takatifu. Jubilei njema
@norberkullaya971310 күн бұрын
Kwa namna ya pekee nakuombea Jubilei njema Mungu akutunze kwa namna ulivohudumu kuwalisha kondoo wake.🙏