Hongera Baba kwa kufikia miaka 50 ya upadri na 80 ya kuzaliwa tunakuombea baraka za Mungu na jubilei njema.
@zenobiasangawe70907 күн бұрын
Hongera sana Mungu akutangulie katika Safari ya utume wako ninakushukuru sana baba ❤kwa kunisaidia wito wangu na mimi ni sista 🎉🎉🎉🎉
@cosmatitus55097 күн бұрын
Mungu aendelee kukupigania baba
@johnrizi59787 күн бұрын
Baba umefanya kazi kubwa ktk utume, MUNGU akupe miaka mingi na heri zaidi.
@benedictampery32756 күн бұрын
Mtangazaji nafikiri ungeanza kwa Sala ingependeza zaidi Au padre mwenyewe asalishe
@hadijasufiani61675 күн бұрын
Hongera sana baba mkwe Mungu akupe afya njema ❤❤ naomba namba yako baba Mimi mama Irine mke wa marehemu Patrick Rogath mkenda kwa foto nimefurahi sana kukuona