No video

Historia ya Kusisimua ASKOFU MKUU Thaddaeus Ruwa’ichi OFM Cap Sehemu ya 1

  Рет қаралды 84,885

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

5 жыл бұрын

Historia ya Kusisimua ASKOFU MKUU Thaddaeus Ruwa’ichi OFM Cap Sehemu ya 1

Пікірлер: 85
@vicenttarimo8752
@vicenttarimo8752 5 жыл бұрын
Toka Mbulu kwenda Dodoma Hatimae Mkoa wa Mwanza sasa Dar salamu mwenyezi mungu akulinde umalize safari yako vizuri baba askofu umesema vizuri haipendezi kujisifia Bali uyaseme ya kristo mwenyezi mungu akulinde
@leonardissaay581
@leonardissaay581 4 жыл бұрын
Hongera sanaa Baba Askofu, Namkumbuka sana ulipokuwa Jimbon kwetu Mbulu
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba Askofu Mkuu. Sis Jimbo Katoliki la Mbulu hatutakusahau tunakuombea katika Majukumu yako Mapya.
@romanaeugen3066
@romanaeugen3066 5 жыл бұрын
Tunatamani Sana'a Urudi Jimbo la Mbulu baba Askofu...bc kwa kua ni kazi ya Mungu unafanya si upendavyo weweee.....Bali apendavyo Mungu......Utume mwema baba Askofu.
@annamaokola807
@annamaokola807 4 жыл бұрын
Hongera kwa wito hakika ni kuhani uliyempendeza Bwana
@agnesshayo9371
@agnesshayo9371 5 жыл бұрын
Asante Sana Izahack Mwacha kwa kutupa nafasi ya kuofahamu Historia ya Baba Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwa'ichi🙏🙏 Nimebarikiwa sana kwa historia yake. Majibu yake yanagusa mnoo. Tangu mwanzo mpaka mwisho neno kwa neno yanagusa. Zaidi jibu la kipaumbele ni la Maongozi ya Roho Mtakatifu kabisa sio rahisi kibinadamu. Baba Askofu Mkuu Mungu akubariki sana katika Utumishi wako🙏🙏🙏🤝🤝
@josephelias6066
@josephelias6066 5 жыл бұрын
Duuuu historia ya kuvutia sana hii Mungu akuongoze baba Askofu
@sofiamtenga798
@sofiamtenga798 4 жыл бұрын
Hongera sana Baba Askofu Mkuu kwa historian ya kusisimua iliyojaa hekima ndani yake. Mungu akuongoze ili uendelee kumhubiri Kristo
@rosepeter415
@rosepeter415 5 жыл бұрын
Natamani Mungu anipe mtoto wa kiume na Mimi awe mchungaji
@albertosimplisti1416
@albertosimplisti1416 4 жыл бұрын
Rose Peter Mungu atakubariki utampata mtoto wa kiume sali saana
@255digitaltv7
@255digitaltv7 5 жыл бұрын
mungu akulinde baba Askofu una upendo wa dhati kwa watu wote tuliobahatika kua na wewe jimbo moja tunakukumbuka
@newagecommunications7258
@newagecommunications7258 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde Baba Askofu Mkuu
@emmanuelcharles1442
@emmanuelcharles1442 4 жыл бұрын
Tunakukumbka sana baba wana jimbo la mwanza
@augustinozachariapanga1314
@augustinozachariapanga1314 5 жыл бұрын
Hongera Baba Askofu Mkuu Jude Thadeus.
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 жыл бұрын
Yaani siyo kanisa la fulani ni kanisa la Kristu likiongozwa na Roho Mtakatifu. Majibu yenye hekima
@emmanuelcharles1442
@emmanuelcharles1442 4 жыл бұрын
Hakika
@raphaelmutinda540
@raphaelmutinda540 3 жыл бұрын
Naomba mahojiano ya mhashamu askofu mkuu Gervers Nyaisonga wa jimbo kuu la Mbeya
@hilarymbowe7336
@hilarymbowe7336 4 жыл бұрын
Bwana Mungu akuongoze na akuimalishe zaidi ili uliongoze kondoo wake.Tumsifu Yesu Kristo
@romanaeugen3066
@romanaeugen3066 5 жыл бұрын
Asante sana kwa maneno mazuri yenye hekima Baba Askofu mkuu...Mungu Roho Mt.akuongoze katika kuliongoza vema kanisa lake..
@bestinathadey7767
@bestinathadey7767 5 жыл бұрын
Proud of you father. Mungu akutunze sana. Tunakupenda.
@annaantoni133
@annaantoni133 4 жыл бұрын
Amen Mimi na familia yangu tunakupenda Sana Baba ruwaichii
@EdgarErasmus
@EdgarErasmus 4 жыл бұрын
kwenye mahojiano ya mda mrefu ya moja kwa moja kama haya ingefaa zitumike zile microphone ndogo hata za kuninginiza kwenye nguo. Asanteni kwa kipindi cha historia pia. Atukuzwe Mungu pote daima.
@rosepeter415
@rosepeter415 5 жыл бұрын
MUNGU akulinde siku zote mchungaji wetu
@maxinmwalimo9541
@maxinmwalimo9541 4 жыл бұрын
Mungu akupe afya njema ya kuliongoza taifa la Mungu
@sabaschembele5775
@sabaschembele5775 4 жыл бұрын
nakuombea maisha marefu askofu wetu
@elibarikimollely7474
@elibarikimollely7474 5 жыл бұрын
MUNGU akujalie maisha maefu snaaa Father Ruachi huwa nafarijika xana kwa maneno yake
@agnesmwita5910
@agnesmwita5910 4 жыл бұрын
Hongera sana baba askofu kweli ni historia ya kusisimua
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
Tunakuombea sana Baba yetu mpendwa Mheshimiwa Baba Ruwaichi MUNGU AKUTUNZE na Roho Mt akuongoze ktk kazi yako hiyo ya KITUME
@seraphinqorro5039
@seraphinqorro5039 5 жыл бұрын
Baba hongera Sana. Tunakuombea afya njema ya roho na mwili ili uweze kufanya majukumu yako kwa ufanisi wakati wote
@slaabeabayo6059
@slaabeabayo6059 5 жыл бұрын
Amina.
@mallyasokoine8100
@mallyasokoine8100 5 жыл бұрын
Hongeta Baba Askofu
@mwaratychambuso4290
@mwaratychambuso4290 4 жыл бұрын
Nakupenda Baba yangu uliyenipa kominio hadi kipaimara Mungu akulinde
@christinamichaeel9713
@christinamichaeel9713 5 жыл бұрын
Mungu akuongoze katika utume wako
@acquelinapissa2968
@acquelinapissa2968 5 жыл бұрын
Mungu akutangulie kwa kila jambo fadher wetu wa kiroho
@rehemakabanga1305
@rehemakabanga1305 4 жыл бұрын
Mungu akulinde baba askofu
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki uendelee kuihubiri injili. CV nzuri sana.
@roseeugen8728
@roseeugen8728 4 жыл бұрын
Hongera sana Baba Askofu,Tunazidi kukuombea
@angelmaganga9482
@angelmaganga9482 5 жыл бұрын
mungu akulinde baba askofu
@simonzungu4535
@simonzungu4535 4 жыл бұрын
Baba mungu akulide utume mwema
@andrewsemka7191
@andrewsemka7191 4 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu baba yetu upone naurejee ktk majukumu yako
@florachogo5537
@florachogo5537 5 жыл бұрын
Asante sana. Mchungaji wetu.chunga kondoo wa bwana
@sikatendedominique6353
@sikatendedominique6353 5 жыл бұрын
Mungu akubariki askofu mkuu wetu
@rosemaryorio9342
@rosemaryorio9342 5 жыл бұрын
Mungu akubariki baba yetu tunakukumbuka sana dodoma
@bernardminja5089
@bernardminja5089 4 жыл бұрын
Maana ya ruwa naichi maana yake Mungu anajua
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 4 жыл бұрын
Ameruka Alipokuwa Katika Kanisa la Parokia ya Mashati Rombo. Alinifundisha Mafunsdisho ya Kipaimara,
@asiasalimkapalato7463
@asiasalimkapalato7463 5 жыл бұрын
Allah akujaalie afya njema uwatumikie vyema waumini wko
@mrpauljulias3628
@mrpauljulias3628 5 жыл бұрын
asia salim kapalato ukovizuri Dada nimependa sana moyo wako waukarim
@mumyhendry3126
@mumyhendry3126 5 жыл бұрын
Asante sana mpndwa....you are so different my love😘😘😘
@mumyhendry3126
@mumyhendry3126 5 жыл бұрын
Mungu akujalie Amani,Furaha ,Upendo na akujalie kila hitaji la moyo wako@asia salimu
@kelvinmlay9750
@kelvinmlay9750 4 жыл бұрын
Asia salim nimepnda sana coment.....ubarikie sana
@shukuruantipas8712
@shukuruantipas8712 4 жыл бұрын
amina sana baba yangu wa kiroho
@mbowethaddeus8851
@mbowethaddeus8851 5 жыл бұрын
Dogo mwacha uko vizuri naona
@ladiucamani8098
@ladiucamani8098 4 жыл бұрын
Hongera,Sana
@sirilimichaelpamojasana2033
@sirilimichaelpamojasana2033 5 жыл бұрын
mungu akubariki askofu wetu yuda kaributena parokia ya ovada
@edwardituja1999
@edwardituja1999 4 жыл бұрын
Deus creavit te sine te, non salvabit te sine te.
@vanillamziray2303
@vanillamziray2303 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@annaantoni133
@annaantoni133 4 жыл бұрын
Inaeleweka sanaaaa
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 жыл бұрын
Amesahau Alipokuwa Parokia ya Mashati Rombo, alipokuwa akifundisha Mafundisho ya Kipaimara.
@annakisenga167
@annakisenga167 4 жыл бұрын
munguakubarikimimi. isidorirombo
@gracevalentine4234
@gracevalentine4234 4 жыл бұрын
😀😀
@mrpauljulias3628
@mrpauljulias3628 5 жыл бұрын
amani ya bwana iwenawe ikutangulie kila utakapo kwenda
@titusngapemba970
@titusngapemba970 5 жыл бұрын
Kipindi kizuri ila mambo ya kurekebisha (1) Picha ipo out of focus, Mwanzoni. (2) Hupaswi kushika mkononi macrophone muda mrefu hivyo wakati wa mahojiano. (3) Microphone ipo juu na hivyo kumfanya Askofu Mkuu aongee huku akiangalia microphone (4) Mpiga picha hakuwa well focused.(5) Poor background.(6) Mwandishi haikuwa lazima uonekane wakati anatole maelezo.(7) Uvaaji wako siyo sahihi kwa kipindi hicho. Hujamjua “Source” wako vizuri, ungepata angle nzuri sana.(8) Tumieni mwanga wa ziada kwa picha nzuri.Vinginevyo siyo haba
@emmanuelgeofrey5513
@emmanuelgeofrey5513 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana ,kwa mtumishi wake ambaye ni baba wa imani nazidi kukuombea sana dea r anko ,nashukuru umenilea vyema nakumbuka fadhila zako
@shimijuvenary6783
@shimijuvenary6783 5 жыл бұрын
mi nashukuru umewashauli vema
@gracevalentine4234
@gracevalentine4234 4 жыл бұрын
😊
@estermartine2032
@estermartine2032 5 жыл бұрын
jaman askof wet bado tunakuhitaj Mwanza
@elishakasambo3242
@elishakasambo3242 4 жыл бұрын
Mtu anaposema padre aokoke amekuwa mzee sasa ,kwani mtu aweza kumkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yake (kuokoka) ,au kuokoka ni kufanyeje kwa ulimwengu wa sasa huenda dhana yake imebadilika haijarishi mtu yupo dhehebu gani
@ragiranyamjari9644
@ragiranyamjari9644 4 жыл бұрын
wonderful job
@CasDigitaltv
@CasDigitaltv 2 жыл бұрын
Kama wewe ni mkristo na hujui Dhambi Hizi za MTUME PAULO basi Bado hutoshi Kuwa mkristo kzfaq.info/get/bejne/gdianrWjlrmWlHU.html
@simbanzee3958
@simbanzee3958 4 жыл бұрын
Hyu jamaa historia yake inajirudia mm sielew kabisa mskilize vizur
@akanishabani5789
@akanishabani5789 4 жыл бұрын
Mpaka hapo mzee unatumikia dini tu! Okoka sasa umtumikie Yesu. Maana bila kuokoka utumishi wote ni bule! Mungu akupe macho ya rohoni uone njia.
@edwardituja1999
@edwardituja1999 4 жыл бұрын
Kuokoka Ni kufanya Nini?,Imani yako si mahala pake hapa. Muacheni askofu wetu ruwaichi afanye Yale mungu aliomtuma.
@charlesmgomba8124
@charlesmgomba8124 4 жыл бұрын
Ahsante sana BABA Askofu, Mungu akusaidie
@charlesmgomba8124
@charlesmgomba8124 4 жыл бұрын
Hongera sana, ubarikiwe Baba
@josephlango5591
@josephlango5591 4 жыл бұрын
Ole wako unayejikweza na kujihesabia haki kwa majivuno mengi kwa jina la ulokole huku ukiwa umeliasi Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume na Ekaristi Takatifu, na kuzipotosha njia zenu kwa mafundisho potofu ya kupunga mapepo, mkiuziana karama za Mungu kwa fedha.
@annaantoni133
@annaantoni133 4 жыл бұрын
Alishaiona ameacha yote
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 5 жыл бұрын
Unaongea Christ mchana usiku unafanya ibada nyingine! Know that Jesus is coming back soon for justice.
@macmillanmakawia1542
@macmillanmakawia1542 5 жыл бұрын
Cupcakes and dounuts salam
@macmillanmakawia1542
@macmillanmakawia1542 5 жыл бұрын
Salam mtumishi wa Mungu
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 5 жыл бұрын
Macmillan Makawia shalom ndugu.
@julianasamweli7225
@julianasamweli7225 5 жыл бұрын
Hongera baba yetu wa kiroho tunakukumbuka sana jimboni
@theresiamathew3689
@theresiamathew3689 5 жыл бұрын
Baba Mungu akutangulie ktk kila jambo unalo fanya
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 5 жыл бұрын
Hongera sana baba Askofu mkuu. Mungu akubariki na akutie nguvu ya utumishi.
Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap
4:34
Ufficio Comunicazioni OFMCap
Рет қаралды 53 М.
Sehemu ya 2 Historia ya Kusisimua ASKOFU MKUU Thaddaeus Ruwa’ichi OFM Cap
13:31
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 73 МЛН
MFAHAMU ASKOFU NZIGILWA "WALEI NIMEISHI NAO VIZURI,MPANDA WAJIANDAE NINA MIPANGO MINGI".
43:27
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН