Historia ya Rais 'THOMAS SANKARA' Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU

  Рет қаралды 778,287

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Historia ya Rais 'THOMAS SANKARA' Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
Nchini Burkina Faso katika kipindi cha utawala wa kampeteni Thomas Sankara, mambo yalikuwa shwari mno na hasa hiyo ilitokana na uzalendo wa rais huyo anayetajwa katika historia kuwa ni mmoja wa wapambanaji na wamfano barani Afrika.
Lakini hatma ya rais Sankara ni kuuawa kikatili tena na rafiki yake kipenzi kampten Blaise Compaore, hali iliyomfanya Compaore kushika nchi hiyo na kuiongoza kwa miaka 27.Global Tv, imekuletea historia ya kiongozi huyo.
#THOMASSANKARA
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitte GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

Пікірлер: 549
@selemandenja2951
@selemandenja2951 5 жыл бұрын
mauaji yake yalirabiitiwa na kupangwa na nchi ya france .historia ya sankara haitofauni na comrade patrice emery lumumba wa congo kwani nae aliuwawa na watesaji na wakoloni mambo leo EU,USA ,Lumumba aliuliwa na majeenti waCIA na juzi kati serikali ya belgium imekili na kuiomba radhi ikulu ya kinshansa kwa kuhusika na mauaji ya lumumba.
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 4 жыл бұрын
Kama mzalendo wa bara la Afrika Gonga like hapa......."You can not cary fundamental change if u don't have a certain a mount of madness" (huwezi fanya mabadiliko makubwa kama huna ukiachaa).
@ramadhanthabeety105
@ramadhanthabeety105 3 жыл бұрын
Kifo cha Rais Magufuli kimenifanya nirudie kutazama hii may your souls rest in Paradise our Champ 🙏
@clqudiaemmanuel7740
@clqudiaemmanuel7740 5 жыл бұрын
Mekupenda bureee kpnz changu Thomas Sankara hakika haiwezi rejea Tena hakika hata Mungu anakuona ulipo pumzika kwa amani kpnz Cha wengi
@seifmatimbwa4379
@seifmatimbwa4379 5 жыл бұрын
Aliongoza kwa mfano...R.I.P Thomas Sankara
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 5 жыл бұрын
JPM ana maaono kama ya Tomas nimefatilia historia hii sijaona utofauti kati ya viongoz hawa wawili! Ila kuna mijitu haitaweza kuona kwa sasa mpaka historia ya Mzee magu ianzwe andikwa na kusimuliwa namna hii!!
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 5 жыл бұрын
Daima nitapenda zaidi misimamo ya huyu shuja.R.I.P Thomas Sankara
@lordrichreuben1446
@lordrichreuben1446 3 жыл бұрын
Walioisikia hiyo ya majina mobutu seseko,idd Amin dada,gonga like hapa
@selector728
@selector728 5 жыл бұрын
Aisee huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana nimeipenda...let late comrade sankara rest safely in peace
@esterabonga7947
@esterabonga7947 5 жыл бұрын
Ndo tatizo watu wema uwa awakawihi duniani 😭😭😭
@barakachami8218
@barakachami8218 5 жыл бұрын
Kwel mwenye upendo wa kwel awadumu ktk maisha Rest in peace Tomas Sankara
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
R.i.p Thomas Sankara "the face of Africa"!!!!!❤ from 🇹🇿
@mojamal007
@mojamal007 5 жыл бұрын
Hiyo Pande Ya Wabunge Wa Kenya Hujakosea Kabisa. Na Bado Hawatosheki, Wanaiba Kila Siku. Walafi Sana.
@gracedaniel1924
@gracedaniel1924 5 жыл бұрын
Love from KENYA thanks president Sankara
@mohidinmohamed7653
@mohidinmohamed7653 5 жыл бұрын
Best president in the world!!!!!
@mtungilandegeya6312
@mtungilandegeya6312 5 жыл бұрын
KAMANDA HAKIKA KIPAJI UNACHO!!!
@FrancisAMligo
@FrancisAMligo 5 жыл бұрын
We need these leaders in Africa. Well done Sankara.
@sugarray312
@sugarray312 4 жыл бұрын
Ahsante broo! Kwa historia yenye mafundisho kwa vizazi endelevu
@damarissantangelos9329
@damarissantangelos9329 4 жыл бұрын
I Love Thomas Sankara....from Kenya
@ashamnyambu4056
@ashamnyambu4056 4 жыл бұрын
Thomas Noel Isidore Sankara,Julius Nyerere,Kwame Nkrumah,Malcolm X,Nelson Mandela,Patrice Lumumba,Martin Luther King,your spirit never dies
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 50 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 67 МЛН
OMAR  AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe
17:00
Global TV Online
Рет қаралды 639 М.
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 813 М.
Weidel wünscht sich Trump als US-Präsidenten | ZDF-Sommerinterview 07.07.2024
20:20
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН