Sio poa, maisha yashatupiga cheko litoke wapi!? 😂😂😂
@maverickcreativesolutions82854 жыл бұрын
tumekua makatuni tosha ndo maana haha
@Mjingafaki4 жыл бұрын
@@maverickcreativesolutions8285 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@chamblainreuben74313 жыл бұрын
Ukiona ivyo awajachekeshw bd
@raphaelkanoni34534 жыл бұрын
Bonge la show Sema hao Audience inabidi waelekezwe na wapewe Darasa jinsi ya kutoa applause 👏. Na inabidi wawe active namna Fulani yani wamepoa Fulani. Natumaini mtatoa Darasa
@aminathaaibrahim34264 жыл бұрын
This iz more than talent hongeraa sana
@saidikikoma65793 жыл бұрын
Baba yake diamond😁😁😁😁
@ShawnBeatz4 жыл бұрын
Editor kazngua makofi na vicheko haviendani na tukio lenyewe
@islamsefu33943 жыл бұрын
Jamaa anamuezeaga kikwete sana kuliko watu
@francodesus95194 жыл бұрын
Spot on
@lewismpangala9274 жыл бұрын
Good luck bro your de best
@hajikishuwa10784 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Apo kwa dingi mond kmk necheka ka msenge umeuwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
noma sana
@unjubinbadiru58543 жыл бұрын
Safi brother shafiiii
@daudimasano53262 жыл бұрын
Ure very talented make more effort
@mussdossantos64724 жыл бұрын
Am the First one
@jumaally50064 жыл бұрын
Anajua sana mwamba
@shebynizedaudi3364 жыл бұрын
Uko vzl sana bro
@ramakhan5882 Жыл бұрын
Amazing
@annaanyosisye86822 жыл бұрын
Nakumbuka uwepo wako jpm 😭😭😭😪😪jebedali wa Tz🇹🇿🇹🇿
@KINGriiskWorld2554 жыл бұрын
Team #wasafi Kijana wenu nahtaj support yenu pia Naomba ckiliza my single trap music na naomben subscribe channel yetu pendwa 👇👇👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/rsB3qs2Dz7SYh58.html
@jumamofu95734 жыл бұрын
Noma
@charlesroben16664 жыл бұрын
Jamaa ametisha sana
@dapillar54404 жыл бұрын
Wow. Show amazing. Big up to Big Sunday live. Halla
@boryzozo56834 жыл бұрын
Yanga
@joshuapeter69674 жыл бұрын
Sound system haiko sawa mawimbi chenga tupu
@z.shondezshonde56634 жыл бұрын
Hahahahaaaa kwakwel hiki ni kipaji
@peterdaniel31624 жыл бұрын
Nice👏👏
@anoldmedia60364 жыл бұрын
I like it
@nelsonwolden68784 жыл бұрын
Iv kiingilio huwa bei gani? Na huwa wanafanyia wapi? Natamani siku na mm niwepo ila cjui utaratibu jamani nisaidieni
@simplissamba19434 жыл бұрын
@Change Mindset namna ya kupata huo mwaliko inakuwaje
@alexkazimoto70593 жыл бұрын
@@simplissamba1943 hii nikwawanachuo mara nyng
@simplissamba19433 жыл бұрын
@@alexkazimoto7059 kama nilishamaliza siwez ingia piah
@yerikokisoma2363 жыл бұрын
Ni wana chuo tu apo UDSM sana
@bruceclassic71274 жыл бұрын
Jamaa kauuaaa🤣🤣🤣🤣
@user-jh3yu7wl9r8 ай бұрын
❤❤
@frankatilio43774 жыл бұрын
Oyooo
@husseinyusuph54584 жыл бұрын
Ubunifu wa kizaaazi kabisa
@amanromward2074 жыл бұрын
Tuwekeen nzima banaaa
@davidmalachi8824 жыл бұрын
Good
@bonifaceteodol44874 жыл бұрын
Good luck
@sidaryotv88214 жыл бұрын
Nice
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
htre uyu bna
@kiulajoshua60294 жыл бұрын
Mwanaaaa
@samsonjohn49173 жыл бұрын
Safi
@norbertmigele78074 жыл бұрын
Hiyo sauti ya Rwakatale umeuaaaa
@Noah-se3ni4 жыл бұрын
😁😁😁❤🔥🦁
@omarihamisi21864 жыл бұрын
Soma iyooo
@utamuwaleo19704 жыл бұрын
noma sana
@tjking79604 жыл бұрын
Shoo kali
@chiefdarwizziy95184 жыл бұрын
Mkn 🔥 🔥 mkn 🔥 🔥 xanaaaaaaaa
@VyuoTanzania4 жыл бұрын
Mnazingua na hizo sauti za kuEdit, watu hawawezi kucheka then wanyamaze kwa pamoja. Inatoa Ladha Halisi. Bofya picha yangu hapo juu kusubscribe KZfaq channel yangu. #ahsante🙏
@VyuoTanzania4 жыл бұрын
@Change Mindset shukrani kaka, Huna Elimu ya Technology siwezi kubishana na wewe ila wale walionielewa wanajua ni nini namaanisha and by the way USIWE NA MIHEMUKO kwa Mwanaume Mwenzio. #UtageuzwaKisusio
@johnmophat53004 жыл бұрын
🤣
@elishachenya53414 жыл бұрын
Duhhh cyo kivleeeee lakn kwa mbal sana
@emmanuelsiboth91804 жыл бұрын
Sound mbovu sana kabisa...
@issahmtv98534 жыл бұрын
Mnazingua... Kipindi hata mwezi hakina Kimeanza kupoteza ubora Media Inaedit Saut na makofi ya Audiance utopolo mtupu
@allymorata94524 жыл бұрын
We unaangalia kipindi au makofi au we makofi yakiwa hayaendani yanakusaidia nini
@sammysamia75343 жыл бұрын
👌👌👌🤣🤣🤣🤣uko kibokoo
@benjamininyambaso50414 жыл бұрын
hahhaaa
@elsabio113 жыл бұрын
Sauti haiskiki vzr
@OmegaThreads4 жыл бұрын
Kuna vicheko vya uongo humu hakuna uhalisia
@frankatilio43774 жыл бұрын
Ni yeye
@Chimamy52423 жыл бұрын
Hapo kwa baba ake mondi😂😂😂
@gracepaulo73543 жыл бұрын
Yaan ww ni balaaa
@evaristmrope4 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣
@sweetmama68854 жыл бұрын
Jamani huyu kaka hadi amenenepa😁. Kweli pesa sabuni ya moyo na mwili. Khaaa....!
@Ciphalee4 жыл бұрын
N0maaa sanaa
@salhanshimirimana75214 жыл бұрын
😁😁😁😁
@frankchief20324 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 hatarry san
@roseeliasi43394 жыл бұрын
Jamani Tanzania Kuna watu Wana vipaji sio poa
@jisamjoseph45584 жыл бұрын
Hizi Mic mnavyozisogeza mdomoni sijui hata tahadhari mnachukuaje
@Mr_Highlights3604 жыл бұрын
Kwenye send off hukuwepo??
@Balozikijana254 жыл бұрын
Hakuna Corona tz wewe
@franktafu92093 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@surelove96824 жыл бұрын
Kpaji cha hli ya juu
@MZIZE4 жыл бұрын
JK Comedian Umeishaaaa
@AmCool_4 жыл бұрын
Ila huyu jamaa......
@kishimbamusic51164 жыл бұрын
Huyu sauti yake huwa inafanana Sana nag Kikwete
@davido-scooper94713 жыл бұрын
Hatar san
@abuuabuuamed53664 жыл бұрын
Jamaa Ni ataliii Sana uyu
@samwelntevi96204 жыл бұрын
Wasafi Media mmezingua hiii ni talk show si mnarecord live hizo sound effects mmeweka za nn za makofi na watu kucheka then hata haziendani na matukio kuweni makini msipoteze ubora wenu pia huyo mtu anaeswitch hizo camera awe anaenda na matukio pia hata camera inayoshoot audience isiwe shot moja tu wide mchanganye na shot mbali mbali za watu ili kipindi kivutie.Mr Director
@franklugalamila35774 жыл бұрын
we jama fundiii
@fabianndimanya20553 жыл бұрын
Comedy za kwenye stage wanaoweza ni Wakenya pekee
@kiulajoshua60294 жыл бұрын
😂
@blues4life6334 жыл бұрын
Og
@hkfreeboy95334 жыл бұрын
Noumah 🤣🤣🤣
@idelphoncefrolian90674 жыл бұрын
Hao Audience wanazingua wanaboa wameboaaaaaa sanaa watangazaji wako vizuri sema wanachuo hawa wa kizazi cha Corona hawa wanazinguaaaaa hahahahahahhahah
@josephlwagi93703 жыл бұрын
Huyu jamaa kapoteza saut za hao alio waigiza....kama una ungana na mm nipe like sang
@nicksonisaya65508 ай бұрын
Pole we ndio hujui sauti
@kingcicero17084 жыл бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ramadhanyusuph76334 жыл бұрын
KONDE BOY JESHIIIII WEKENI NGOMA ZAKE TUBULUDIKE
@salmacharles65394 жыл бұрын
Mmepoa ka kipolo cha juzi
@madaisaide69714 жыл бұрын
Kkkkkkk
@yasodishonest97923 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@farahanrama61374 жыл бұрын
katisha
@aishaaisha29574 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆
@henrymulengera4 жыл бұрын
Safi sana angalia na hii anaigiza saut ya maraisi wote hadi kicheko bonyeza link hiyo kzfaq.info/get/bejne/qZtipqhlrdyyl3k.html
@tjking79604 жыл бұрын
Jaman tucheki nahii nihatar bonyeza linck usisahau kusubscribe kzfaq.info/get/bejne/f5t2erKHz5Omcps.html
@jacksondenga79304 жыл бұрын
Munafic
@Mjingafaki4 жыл бұрын
Ushanenepa asaiv huwezi kuigiza tena saut za waheshimiwa😂😂😂😂😂😂😂 nenda jimu ukonde koo lirud kwenye hali yake
@Mjingafaki4 жыл бұрын
@Fatherjaytz 😂😂😂😂😂😂kweli kabisa
@abbasmohamed50664 жыл бұрын
dah kwel kbs
@Mjingafaki4 жыл бұрын
@@abbasmohamed5066 😂😂😂😂😂😂😂umeona ee
@boryzozo56834 жыл бұрын
Qsm
@akilalitv57914 жыл бұрын
Hahahahaha uyu jamaa ana Chekesha gusa Link hii kzfaq.info/get/bejne/paxjZ9J0m8-2laM.html