Рет қаралды 37,306
JK Comedian ana kipaji cha aina yake. Mtazame hapa akiigiza sauti za viongozi na watu mashuhuri wakiwemo Rais Dkt John Magufuli, Dkt. Jakaya Kikwete, Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Bi. Kidude Kingwendu na wengine
#ChillnaSky