MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris

  Рет қаралды 9,749

Holy Spirit Connect

Holy Spirit Connect

2 ай бұрын

MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
Haya ni maombi maalum kwa mtu ambaye amepoteza nguvu ya kuomba, haya ni maombi maalum kwa mtu aliyepoteza kiu ya kuomba. Baada ya kuomba maombi haya utapokea nguvu mpya atakayokupeleka viwango vingine vya maombi.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
KZfaq Link:
/ holyspiritconnect

Пікірлер: 109
@alicksango9878
@alicksango9878 Ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwakunijaza katika nguvu zamambi ndani yangu Mungu akubariki Mutumishi wa Mungu nimebarikia na nimepokea🔥🔥
@gladnesskimati
@gladnesskimati 2 ай бұрын
Wakati sahihi kabisa kuona maombi haya, Mungu anasema, tumsikilizeni yeye. Mtumishi Ahsante 🙏🏾
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@AzizalucasMbiduka
@AzizalucasMbiduka 9 күн бұрын
Balikiwa mt
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 7 күн бұрын
Mungu niwezeshe nipate nguvu yaa maombi ni si Ombersley kawaida kwa jina la yesu amen 🙏
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 7 күн бұрын
Amen mungu niwezeshe nipate nguvu mpya ya kufunga na kuomba
@oman5875
@oman5875 8 күн бұрын
Asante Mungu kwa kunipa nguvu ndani yangu ya kuweza kuomba muda na wakati kama huu Amina🙏🏿
@maulinemakungu5322
@maulinemakungu5322 27 күн бұрын
Nijo dhaifu bwana yesu nipee nguvu mpya Sasa hivi 🙏🙏🙏
@roseboamo5777
@roseboamo5777 11 күн бұрын
Mungu naomba roho yakuomba juu ya watoto wangu.
@roseboamo5777
@roseboamo5777 11 күн бұрын
Mungu naomba nipe nguvu ya moyo mpya, juu yangu ya kuomba kupita kawaida
@user-cs6mk3ry5h
@user-cs6mk3ry5h Ай бұрын
❤❤ameeeeen napokea nguvu mpya yakuomba
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Ай бұрын
Ameen
@AggiesVine
@AggiesVine 27 күн бұрын
Napokea Nguvu mpya Bwana yesu. Asante
@roseboamo5777
@roseboamo5777 11 күн бұрын
Mungu naomba enjo apate moyo wa kutudi dukan kwangu
@christinasimtowe
@christinasimtowe 22 күн бұрын
Asante mungu kuniludishia nguvu ya kumba
@roseboamo5777
@roseboamo5777 11 күн бұрын
Mungu naomba mtu sahihi ikizidi enjo na km ni enjo arudi asubuhi anipigie cm arudi
@neatnessmwanga8653
@neatnessmwanga8653 23 күн бұрын
Asante Mungu wangu
@roseboamo5777
@roseboamo5777 11 күн бұрын
Mungu asante naomba unipe mtu sahihi wa kz dukan kwangu.
@J3nimaNgala
@J3nimaNgala Ай бұрын
Ee mungu naomba unitakase kwa jina lako
@neatnessmwanga8653
@neatnessmwanga8653 23 күн бұрын
Asante migu wangu
@sarahmsita7078
@sarahmsita7078 2 ай бұрын
Amen! Neema niyoipata hapa iendelee kuwa na uwepo ndani mwangu.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen
@MariaJailos
@MariaJailos Ай бұрын
Ee bwana naomba unipe nguvu ya kuomba katika maisha yangu
@pendoanitha443
@pendoanitha443 Ай бұрын
Ubalikiwe sana
@atuganilemwansasu5614
@atuganilemwansasu5614 2 ай бұрын
Ameeen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@roseaidan-yo3rr
@roseaidan-yo3rr 2 ай бұрын
MUNGU niongezee Nguvu za kueza kuomba, Nguvu yakusoma nenolako, Nguvu yakuweza kufunga Nguvu yakuweza kuyafana mapenziyako.amen
@SarahKanyeba-gc7ms
@SarahKanyeba-gc7ms Ай бұрын
Mungu nipe guvu za kuomba niwezeche bwana
@user-mj3zp5ht3b
@user-mj3zp5ht3b 2 ай бұрын
Amen. Nasikuzamombi nikiwa saudia Asate sana mtumi shi wamungu. Kwa maombi y'ako mm ni mukenya. Ann. lngabi. Amen 🙏🙏🙏🇰🇪
@user-bk5rw1tj8p
@user-bk5rw1tj8p Ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@mwikalimboloi
@mwikalimboloi 12 күн бұрын
Amen
@magrethmtwapi4558
@magrethmtwapi4558 26 күн бұрын
Napokea nguvu ya kuomba Kwa jina la yesu kristo
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 2 ай бұрын
Mungu niongesee nguvu za kuomba nakusoma neno la lako katika jina la Yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@allenjohn4328
@allenjohn4328 2 ай бұрын
Amen. Powerful prayers 🔥🔥🔥
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
👏👏👏👏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Be blessed
@CarrolyneInyangala
@CarrolyneInyangala 4 күн бұрын
Nilikosa nguvu za kuomba wakati mume wangu alinifukiza na kuninyanganya kila kitu Hadi watoto, mniombee mungu anipee nguvu mpya ya kuomba ili nidai ndoa yangu kwa maombi
@favoredbyJesus
@favoredbyJesus 2 ай бұрын
Asante pastor
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@gracejaphet9985
@gracejaphet9985 2 ай бұрын
Bwana YESU KRISTO naomba unitakase Kwa Jicho lako la huruma
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@neemajoseph-nm1cz
@neemajoseph-nm1cz Ай бұрын
Aminaa
@MweshMwesh-dr5lp
@MweshMwesh-dr5lp 2 ай бұрын
Amen and amen 🙏
@MamaEdgar
@MamaEdgar 2 ай бұрын
Ameen! Napokea kwa jina la Yesu Kristo Ee BWANA YESU nisaidie 🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@AnneWambasi
@AnneWambasi 2 ай бұрын
Amen ✋
@MbogolinyoJp
@MbogolinyoJp 2 ай бұрын
Amen Amen
@sudiadiane
@sudiadiane 2 ай бұрын
Amen Amen Amen
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 2 ай бұрын
Halleluyah
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@SarahKanyeba-gc7ms
@SarahKanyeba-gc7ms Ай бұрын
Bwana yesu ni Sadie
@WitnecCharles
@WitnecCharles 2 ай бұрын
Amen 🙏🏼🙏🏼
@clarasima5447
@clarasima5447 2 ай бұрын
Amen 🙏
@annamwaipopo9485
@annamwaipopo9485 2 ай бұрын
Amen, ❤❤❤❤❤
@TumainMussa-ns8rk
@TumainMussa-ns8rk 2 ай бұрын
Ameen amen
@WitnecCharles
@WitnecCharles 2 ай бұрын
Mungu nipatie nguvu ya kuweza kuomba 🙏🏼
@PriscaKihiyo
@PriscaKihiyo 2 ай бұрын
Ameeen MUNGU ni kumbuke na mimi uniongezeee nguvu ni kujue zaidi na kuomba zaidi na kusoma neno zaidi MUNGU akubariki sanaa mtumishi wa MUNGU
@RamadanSalima
@RamadanSalima 2 ай бұрын
amen
@MonicahManegene
@MonicahManegene 2 ай бұрын
Mungu nipe guvu mpya,imagine kila wakati na zoea kuomba,,doa inaaza kutigika...kama Sasa atuna amani,,,NAMI nakoza guvu ya maombi,,,,,niombeee am monicah
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Tutakuombea dada Monica. Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
@rolandrekwel6088
@rolandrekwel6088 Ай бұрын
Mungu wangu na akubariki sana.Nimepokea nguvu ya maombi na kusoma neno 🙏
@joycejosephat7986
@joycejosephat7986 2 ай бұрын
Ameeeen Ameeen🙏🙏
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 ай бұрын
Ee Yesu naomba uniongezee nguvu mpya
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Mungu naomba unipe nguvu za kuomba nimepoteza Eee mungu nisaidie
@evalynependo3824
@evalynependo3824 2 ай бұрын
Ameeeeeeeennnnnn
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Ameeeen
@linetogega7626
@linetogega7626 2 ай бұрын
Amen amen
@machaglory1937
@machaglory1937 2 ай бұрын
Napokea nguvu mpya katika jina la Yesu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@frolencialupilya6209
@frolencialupilya6209 2 ай бұрын
Amen Amen Mungu ni mwaminifu.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Hakika ni mwaminifu sana
@eucabethkerubonyambisa875
@eucabethkerubonyambisa875 Ай бұрын
Pastor naomba uniombee mjukuu wangu Hana afya zuri
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect Ай бұрын
Tutamuombea. Mungu atamtendea
@theresialubida161
@theresialubida161 2 ай бұрын
Ameni Ameni Ameni Mtumisi wa Mungu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-cp2ru1ty8t
@user-cp2ru1ty8t 2 ай бұрын
Ameni Ameni:
@alicksango9878
@alicksango9878 Ай бұрын
Eee Bwana nijaje nguvu za maombi katika maisha yangu
@emmyg3990
@emmyg3990 2 ай бұрын
Ameni
@neemajoseph-nm1cz
@neemajoseph-nm1cz 2 ай бұрын
Amina baba kwajin la yes napokea
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@cyprianjuliani5169
@cyprianjuliani5169 2 ай бұрын
AMINA SANA SANA MTUMISHI NABARIKIWA SANA SANA NA MAOMBI NA NENO AMBALO BABA ANAACHILIA KUPITIA KINYWA CHAKO
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen ameeen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@HurumaMtewele
@HurumaMtewele 2 ай бұрын
Mungu nipe nguvu ya kuomba
@user-ps1fx2qs6h
@user-ps1fx2qs6h 2 ай бұрын
Amina baba
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@faithe4063
@faithe4063 2 ай бұрын
Asante Yesu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 2 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Amen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 ай бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@faithe4063
@faithe4063 2 ай бұрын
Katika jina la Yesu kristo
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@user-mn7jm2sf2v
@user-mn7jm2sf2v 2 ай бұрын
Napokea nguvu ya maombi kwa uweza wa Roho mtakatifu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen
@neemajoseph-nm1cz
@neemajoseph-nm1cz 2 ай бұрын
1:29
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@NancyVugutsa-jg6ev
@NancyVugutsa-jg6ev 25 күн бұрын
A mem
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 2 ай бұрын
eee MUNGU naomba nguvu za kuomba
@gidnorahmaganga4527
@gidnorahmaganga4527 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@zedhabari8140
@zedhabari8140 2 ай бұрын
Amen 🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Amen
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@victoriangasa
@victoriangasa 2 ай бұрын
Amen
@Matilda-vw5gf
@Matilda-vw5gf 22 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙌
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 302 М.
MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris
1:45:50
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 4,3 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 28 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)
35:19
YADAH GLOBAL MINISTRY
Рет қаралды 312
✨JESUS CHRIST HEALS YOU IN YOUR SLEEP - LISTEN TO THIS PRAYER EVERY NIGHT✨🕊
2:22:22
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 42 М.
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 2
1:46:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 88 М.
UPONYAJI KUPITIA KUSIFU NA KUABUDU DAY 3 //Dr  Ipyana Kibona
59:12
NENO LA SIKU | Mathayo 3 | Maombi Ya Toba | Isaac Javan
22:03
Neno La Siku
Рет қаралды 3,8 М.
Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris
1:11:14
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 109 М.