LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU

  Рет қаралды 42,477

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

9 ай бұрын

2 Tim 4:7
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 298
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Күн бұрын
❤❤❤Amina najiumanisha na hii mazabahu mtumishi ninavita nyīngi kiasi kwamba Kuna muda kuomba siwezi Ila nasemga Muñgu naomba msaada wako tu
@DemetriaMbosha
@DemetriaMbosha 2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa maombi mazuri.
@collethageorge512
@collethageorge512 17 күн бұрын
Mungu akubariki Kwa kuwa nimeipata kibali cha kushiriki MAOMBI haya ya vita ni Imani kuwa mungu amisikia n maana sikio lake sio zito asisikie 🙇🙇🙇🙏🙏🙏
@NizaLuka-gi8hf
@NizaLuka-gi8hf 4 ай бұрын
Amina
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 4 ай бұрын
Amina 🙏
@user-li2ux2zn3g
@user-li2ux2zn3g 14 күн бұрын
Asante Mungu kw utukufu wko.umenifanya kiumbe kibya katika Maisha yg
@user-yk7sh5yy5j
@user-yk7sh5yy5j Ай бұрын
Asante mungu Kwa kusikiliz maombi yangu Ee mungu naomba unipe nguv nizidi kuku omba Asante mungu wangu mbariki mtumishi wangu azidi Ku ombe Kwa jina lako
@TatuNassoro-vy2qd
@TatuNassoro-vy2qd Ай бұрын
Amina🙏🙏🙏🙏🙏🍏
@RisperKemunto-dq1zn
@RisperKemunto-dq1zn 4 ай бұрын
Asante mungu kwa kunikomboa sitachoka kukutumikia eeh mungu wangu🙏🙏🙏
@MichaelMnzava-uk7py
@MichaelMnzava-uk7py 3 ай бұрын
Imekaa sawa mno maombi ni vita kama wakristo tungefanya vita namna hii shetani asingepata nafasi na mungu angetenda mambo makuBwa sana kwetu ❤❤
@altrovmajule9485
@altrovmajule9485 Ай бұрын
Damu ya yesu inanena ❤
@user-bq8sk3um6h
@user-bq8sk3um6h Ай бұрын
Mtumishi naomba maombi naumwa kichwa ni zaidi ya miaka 5 hospital hawaoni tatizo zaidi ya kunipa dawa za maumivu naamini Mungu wa Bwana wetu Yesu hashindwi
@AaAa-ue5di
@AaAa-ue5di Ай бұрын
Mungu.wangu.najiunganisha kwa.maobi👏👏
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 4 ай бұрын
Nimejifunza kitu, " vita ya kiroho haipiganwi kimwili" Asante mtumishi wa Mungu.
@dorcasmajela6238
@dorcasmajela6238 Ай бұрын
Asante sana mutumishi wa MWENYEZI MUNGu
@user-ok3jc6fl5k
@user-ok3jc6fl5k 8 ай бұрын
Damu ya yesu ifunike maisha yangu na mume wangu na watoto wangu na familia yangu
@MalyunAdow-iz6ck
@MalyunAdow-iz6ck 2 ай бұрын
Napokea uponyaji kwa jina la yesu
@MagrethFrancis-ly6im
@MagrethFrancis-ly6im 2 ай бұрын
Asante mungu Kwa zawadi ya uhai nakuniwezesha kuyasikia mafundisho haya naomba nikainuke kiroho nanijitambue mm ninan na nipo hapa kwakusudi Gani eee roho wa mungu kaniongoze
@sharonafica1470
@sharonafica1470 14 күн бұрын
Mungu wewe ninguzo sitaacha kukutumikia
@EdwardKadala-fp2js
@EdwardKadala-fp2js 22 күн бұрын
Neema ya mungu itusaidie
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey 6 ай бұрын
Ameni ameni Wana wamungu
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 5 ай бұрын
Asante Yesu Kristo
@marcelineshanga9811
@marcelineshanga9811 9 ай бұрын
Nanamushukuru.mungu.waziriza bibiliazuri .mungu..akubariki saaaaaaana kwakutufunulia..majiramapya..yakuongeza.sikuzakuomba
@edinahogeti7548
@edinahogeti7548 9 ай бұрын
Damu ya yesu kristu ipite katika maisha yangu , ya familia yangu, kwa biashara zangu na kwa mahusiano yangu 🙏🙏🙏🙏
@user-ln7uj4hq1x
@user-ln7uj4hq1x 7 ай бұрын
Nipone mungu na linda mama na. Baba na watoto wagu mungu awapegufu
@ruthgracesinkamba9163
@ruthgracesinkamba9163 8 ай бұрын
Asante Bwana Yesu
@catherinekanini9148
@catherinekanini9148 2 ай бұрын
Asante mungu wangu kwa kunipingania vita Kali sana.
@ZakinaMakokha-fe1sq
@ZakinaMakokha-fe1sq 2 ай бұрын
Asante yesu kwa kuñipigania vita zangu
@marianamaemba6134
@marianamaemba6134 8 ай бұрын
Asante Yesu kwa ukombozi kwa maisha yangu pamoja na familia yangu na watoto wote wa Siri za Bibilia ❤❤❤
@Beaazul7
@Beaazul7 9 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu aliyekuwepo,yupo na atakuwepo🙏🏾🙏🏾
@truphenakhagori9387
@truphenakhagori9387 29 күн бұрын
Amen Amen Amen
@CandySohia-mm9od
@CandySohia-mm9od 27 күн бұрын
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙌🙌🙏
@user-pi7pg5oy4t
@user-pi7pg5oy4t 5 ай бұрын
Asste mtumishi wa Mungu kwa maombi haya nina vita vikali vya ugonjwa wa mishipa ya fahamu na ganzi mikono na miguu ns kupungukiwa na mguvu naomba maombi yalo na ushauri
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 6 ай бұрын
Vunja babamilango iliyotengenezwa kwa ajili ya uchumi wangu mungu fungua
@salamam8721
@salamam8721 9 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 4 ай бұрын
Asante Yesu
@MadrineMurugi
@MadrineMurugi 2 ай бұрын
Amen Amen
@maureenmgeni
@maureenmgeni 9 ай бұрын
Ufalme wa Mungu uzidi kutamalaki duniani na mbinguni
@RachelMallya-gx1sv
@RachelMallya-gx1sv 6 ай бұрын
Asante mungu Kwa kunipigania kwenye vita yangu
@ChalzMahinya-uj1ms
@ChalzMahinya-uj1ms 9 ай бұрын
Amina mtumishi nimbarkiwa
@furahamichael6047
@furahamichael6047 Ай бұрын
Damu ya yesu ituokoe eeh mungu
@maernov4257
@maernov4257 9 ай бұрын
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
@bahatikabala688
@bahatikabala688 9 ай бұрын
Asante yesu
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 6 ай бұрын
Asante Mungu wangu kunifungua
@user-ok3jc6fl5k
@user-ok3jc6fl5k 8 ай бұрын
Asante mungu kwa siku hii ya leo na Asante pia kwa kunifikisha hapa nilipo amina Asante mtumishi
@user-lp9br8lp4y
@user-lp9br8lp4y 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 9 ай бұрын
Asante yesu,kwa neno lako.
@SalvaWatson
@SalvaWatson 4 ай бұрын
Amina,ninaamini hata nguvu zikaongeke
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Asante YESU
@user-jb2sq8oi7k
@user-jb2sq8oi7k 6 ай бұрын
Namshukuru mungu kw kuona cku hii.ya leo
@user-ux1df2ju4r
@user-ux1df2ju4r 7 ай бұрын
Naomba Mtumishi unitumie hivo vipengere vya maombi ubarikiwe sana
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 9 ай бұрын
Mungu Asate Mungu Kwa kutuwezesha kufika apatulipo fikaleo ni kwauwezo wako nihondoleye mbipigamizi vaibirisi vinavyo nipotosha navivyojavyoja Kwa Damu YESU Kristo
@SalomeMwaswale
@SalomeMwaswale 3 ай бұрын
Kupitia maombi haya mungu nifulie njia.
@nelly1419
@nelly1419 9 ай бұрын
Asante yesu wangu kwaukombozi 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@sheilaongamo7983
@sheilaongamo7983 4 ай бұрын
Asante yesu wangu kwaukombozi
@halimakatana7692
@halimakatana7692 9 ай бұрын
Oooo yesss ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@neema2175
@neema2175 6 ай бұрын
Amen 🙏🏼
@meryEzekiel
@meryEzekiel 4 ай бұрын
Ee mungu nakushkuru kwa yote unayonitendea
@DemetriaMbosha
@DemetriaMbosha 2 ай бұрын
Asante mungu Kwa kusikia maombi yangu.
@gabinessjeniffer653
@gabinessjeniffer653 9 ай бұрын
Amen 🙏
@user-gy9bn8fh5q
@user-gy9bn8fh5q 9 ай бұрын
Ubalikiwe mungu azidi kuikuza uduma yako nime pokea
@RusticaNdunguru
@RusticaNdunguru 6 ай бұрын
Mungu naomba unipe kicheko
@user-js9iz9qb9j
@user-js9iz9qb9j 5 ай бұрын
Nakushukuru jehova❤
@bahatikabala688
@bahatikabala688 9 ай бұрын
Hallelujah
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
asante kwa maombi ya vita ubarikiwe n'a mungu
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 8 ай бұрын
Amen amen
@julianamliga5264
@julianamliga5264 4 ай бұрын
Very powerful prayer. Thank you Pastor!
@user-fb9pg4ug6i
@user-fb9pg4ug6i Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu na mwenyezi mungu azidi kukupa umri
@dorcasmajela6238
@dorcasmajela6238 Ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@salomekilavi6421
@salomekilavi6421 9 ай бұрын
Amen and amen
@MuyeMwagambo
@MuyeMwagambo 9 ай бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho yako mungu azidi kukupa hekima naufunuo ubarikiwe sana tuko pamoja
@HildaMwakalebela
@HildaMwakalebela 4 ай бұрын
Naomba na Mimi nitumie haya maombi mtumishi, na Mungu akubariki.
@suzzymussa89
@suzzymussa89 9 ай бұрын
Mungu niludishie mausiano yangu🤲
@isabelaanyanzwa6611
@isabelaanyanzwa6611 3 ай бұрын
Amen
@user-ew2ko2zx7n
@user-ew2ko2zx7n 9 ай бұрын
Nimebarikiwa baba asante sana
@ElizabethAkinyi-ox7rf
@ElizabethAkinyi-ox7rf 9 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 Utukufuu kwa mwenyezi Mungu.... . Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 6 ай бұрын
Kweli mungu ulimtoa mtumishi wako Inno atufumbue macho mungu weka ulinzi juu yke👏
@user-fk4pz6bh3e
@user-fk4pz6bh3e 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi🙏
@agnesminde4081
@agnesminde4081 9 ай бұрын
Naomba kuwa huru kuanzia leo Mimi familia yangu kutokakatika vifungo vyote ogunga maisha yetu,faya zeta uchumi wetu ,kazi biashara,na hata katika elimu, Mungu Baba kwa jina la mwanao Yesu Naomba unikumbuke katika haya maombi na katika sala zeta za kila siku,
@zakayoyusuph
@zakayoyusuph Ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@RachelMallya-gx1sv
@RachelMallya-gx1sv 6 ай бұрын
Asante mungu unanitoa kweny vita biashara yangu kukosa wateja wenye fedha
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 8 ай бұрын
ubalikiwe mtumishi napokea ushindi nakibali chahali yajuu
@agathemichelle238
@agathemichelle238 9 ай бұрын
Amen amen na sa sa Mungu ametusaidia katushindia haleluya amen 🙏🙏
@LydiaJepchirchir
@LydiaJepchirchir 4 ай бұрын
Amen nimefunguliwa na kuwekwa huru
@GraciousJackson
@GraciousJackson 15 күн бұрын
Simama mwenyew mungu wangu mwenyew siweziii bab
@Michael-sd5lv
@Michael-sd5lv 8 ай бұрын
MUNGU nipiganie mm mana moyo umechoka mungu nisaidie yeyote aliye nidhulumu mungu namleta mbele Yako muone Amal ndoro Kwa chochote alicho nifanyie mm na dadangu😭😭😭🙏🙇🙇
@catherinekanini9148
@catherinekanini9148 2 ай бұрын
Siku ya Leo najiweka mikono mwangu ukazindi kunipingania kwa mikono ya wachawi amen.
@RisperKemunto-dq1zn
@RisperKemunto-dq1zn 4 ай бұрын
In jesus name amen🙏🙏
@AaAa-ue5di
@AaAa-ue5di Ай бұрын
Kaka.asnte.sana. Amina 👏👏👏
@catherineinyasi5331
@catherineinyasi5331 7 ай бұрын
Bwana kapigane katka vita iliyopo mbele yangu
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 6 ай бұрын
Damu ya yesu inifungulie biashara zangu zimefungw
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 9 ай бұрын
Ameen
@FaithWillson
@FaithWillson 11 күн бұрын
amina asantebyesu
@SamwelWiliamu-be4uq
@SamwelWiliamu-be4uq 9 ай бұрын
Asante roho wamungu kwakunishindia vita yangu ya umasikini magonjwa uchungu huzuni mashaka kutokuamini upumbavu ujinga kuchanganyikiwa ukichaa uwaribifu tamaa hisia mbaya 🙏
@user-ij6jj6hl9r
@user-ij6jj6hl9r 9 ай бұрын
Asantee Bwana yesu kwa maomb ya kumpiga shetan, tunaomba pia uzd kubarik. Mtumish wako uliemleta kwetu. Kwaajili ya kutufundisha nano lako
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 2 ай бұрын
Imeni
@esterponsiano7334
@esterponsiano7334 8 ай бұрын
Asante mungu kwa siku nyingine tena nakuomba baba fanya muujiza juu ya watoto wangu na mm mzaxi wao, mungu bila wewe mm siwezi.
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏
@AminaAmina-ov9cu
@AminaAmina-ov9cu 9 ай бұрын
Karibu bwana katika vita yangu nipe ujasiri wala imani yangu isitingisike kwa jina la byesu.Shalom
@oman5875
@oman5875 9 ай бұрын
Amina napokea kwa utukufu wa Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🧎
@user-rl6pu5hi3d
@user-rl6pu5hi3d 3 ай бұрын
Ashukuliwe Mungu wa mbinguni Kwa muongozo wa maombi haya nateketeza na kuvunja nila zote za muovu shetani hazina mamlaka Tena Kwa damu ya Yesu...naachilia nguvu za Mungu zitawale kote pale niliposhindwa ,Mungu Baba ananipitisha na kunipa umiliki hallelujah 🙏🙏
@annafimbo5917
@annafimbo5917 9 ай бұрын
Mungu nisaidie kutoka katika sheria za kuzimu maombi haya ya leo najiungamanisha nayo mm na uzao wangu tunajitoa huko kwa nguvu ya Damu ya Yesu Mungu tusaidie kutoka huko.
@user-jb2sq8oi7k
@user-jb2sq8oi7k 6 ай бұрын
Mungu anisaidie ktk maisha yangu! Mimi na watoto wangu aniongoze na anifungilie mlango wa mafanikio
@LydiaJepchirchir
@LydiaJepchirchir 4 ай бұрын
Amen Amen Amen nimefunguliwa katika jina la yesu
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 90 М.
USITOE FUNGU LA KUMI POPOTE PALE // HAKUNA FAIDA
44:32
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 35 М.
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,2 МЛН
2 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
2:29:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 24 М.
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 20 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 10 М.
Kitabu cha Zaburi - Sura ya 1 Hadi 150
4:15:34
Biblia Takatifu
Рет қаралды 24 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 85 М.
USIKU WA MAOMBI 28/04/2023 by Innocent Morris
3:03:16
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 263 М.
LIVE: MAOMBI YA UKOMBOZI WA JINA LAKO
1:14:04
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 9 М.
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 18 М.