MAOMBI YA KUFUTA MANENO MABAYA ULIYOTAMKIWA AU ULIYOJITAMKIA by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect KZfaq Link: / holyspiritconnect
Пікірлер: 151
@martinkihumbe3 ай бұрын
Nafuta maneno yote mabaya yaliyotamkwa dhidi yangu, au nimejitamkia mwenyewe. Wote walionuia dhidi ya maisha yangu. Nayafuta kwa damu ya Yesu mwana wa Mungu aliye hai. AMEN
@rehemasuleiman746911 ай бұрын
Kwa Damu ya Yesu nafuta kila maneno niliyotamkiwa au niliyotamka mwenyewe,najitamkia afya njema ustawi pamoja na familia yangu
@agneskhambaita796115 күн бұрын
Nafuta maneno yote mabaya ninayo tamkiwa na watu wote , majirani, jumuiya, ndugu zangu,na watu wote wanao haribu ndoa yangu, afya, watoto wangu, kila nguvu za kichawi zipate kuteketea kwa jina la yesu na ndamu ya yesu ikateketeze yote yaliyosemwa kwangu.🙏
@elizabethmwendwa735710 ай бұрын
Kwa damu ya yesu natamka baraka na urejesho kwa doa yangu,natamka baraka kwa watoto wangu na kazi yangu,nafuta maneno mabaya kwa damu ya yesu.amen
@MbogolinyoJp2 ай бұрын
Ameen nafuta maneno mabaya yote watu walionitamkia juu yangu au nilojitamkia mm mwenyew dhidi ya hii mimba washindwe kwa jina la yesu wanaonitamkia vibaya juu ya hii mimba yangu
@user-dy4xj9wv5s11 ай бұрын
Nafuta maneno yote mabaya niliyotamkiwa na Yale niliyojitamkia mwenyewe kwa jina la Yesu
@elizabethsembuyagi99812 жыл бұрын
Damu ya Yesu ikafute Kila maneno mabaya niliyotamkiwa kinyume na maisha yangu nafuta kwa damu ya Yesu
@anuciatamlay74472 жыл бұрын
Kwa Damu ya Yesu Kristu nafuta kila neno baya nililojitamkia mwenyewe nikiwa katika hali yoyote kwa kujua au kutokujua au kutaamkiwa ambayo leo hii yamekuwa mwiba kwangu nayafuta kwa Damu Yesu Kristu ,,,nageuza maneno hayo kuwa baraka kwangu 🙏🙏🙏
@valentinanduku87184 ай бұрын
Amen nafuta maneno yote mabaya niliotamkiwa na mtu yeyote ama mimi mwenyewe nafuta maneno yote kwa damu ya Yesu na jitamkia matamko mema
@catherinesamwel19092 жыл бұрын
Amen Mungu akubarik zaid 🙏 najitamkia baraka katika masomo yangu, amani ktk maisha yangu, afya yangu, mafanikio na uchumi wangu, mahusiano yangu, uhai wangu na imani yangu katka jina la Yesu Kristo🙏
@nowadianice4801 Жыл бұрын
Amina mtumishi napokea maombi haya kwa jina la Yesu yakazae matunda katika kila eneo la maisha yangu barikiwe sana mtumishi
@NeemajuliusKalembi20 күн бұрын
Damu ya yesu ikawe juu yangu na yote niliyotamkiwa
@beatricedemason73642 жыл бұрын
Amen,nimetangaza ushindi wa Kila kitu Asante mtumish.🇰🇪barikiwa
@isariashoo660 Жыл бұрын
Ameen nafuta maneno yote mabaya niliyojitamkia mwenyewe na yote niliyotamkiwa na mtu yeyote nayafuta kwa jina la YESU
@isariashoo660 Жыл бұрын
Najitamkia mema juu ya afya yangu,kazi yangu watoto wangu na kila eneo la maisha yangu
@godsgrace4682 Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🤲🤲 barikiwa sana kakaa
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@user-np4io9vq4z6 ай бұрын
Amen mutumishi wamungu
@theresiagisberth6197 Жыл бұрын
Amina Mtumishi naaimi nimefungiliwa maana ulipoanza maombi kwamba nifuyafuteaneno niliyotamkiwa au kujitamkia nimeguatisha ghafla nimenza kupiga miayo ya ajabu Sana, Mungu akutie nguvu uzidi kutufungua.
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@dorahisinika7576 Жыл бұрын
Ninafuta kwa damu ya Yesu kristo damu ya Yesu ikanene mema IJN AMEN 🙏🙏🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@carolyneangeli3625 Жыл бұрын
Natamka baraka katika maisha yangu kwenye ndoa afya uchumi wokovu familia ameeen
@bensonmwadime-pc1cy4 ай бұрын
Kwa jina la yesu hi maombi yawe yangu Kila nguvu za ngiza sikatike kwanzia in the name of Jesus Christ amen
@rachelrichard1091 Жыл бұрын
Yesu wewe ni mwema kwangu
@lall20377 ай бұрын
Kila maneno mabaya aliyonitamkia latifa na mumewe na salma na mwenyenyumba nayafuta kwa jina la yesu kristo🙏
@janekyando Жыл бұрын
mungu akubariki mtumishi
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@gaudensianjile17299 ай бұрын
Nafuta Kila kitu kinilichowai kutamkiwa kibaya au kujitamkia au kujiwazia au walioniwazia maneno mabaya mm na wtt wangu nayafuta kwa jina la YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI na Damu ya YESU KRISTO itufunike in the name of JESUS 🙏🙏🙏
@AnabAbdallah-ii7ou22 күн бұрын
Ninafuta Kila mata mshi kwenye maisha yangu
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Amen amen baba
@rosemarymghoi3581 Жыл бұрын
Amen nime barikiwa sana na maombi na pia nimefunguliwa
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@user-nb6qg2qb9g Жыл бұрын
Amina👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏👏👏🙏🙏🙏🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@rechopeter3644 Жыл бұрын
Amen nafuta Sasa kwa damu ya Yesu kristo
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@gelitepaulo9292 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@paulinastephano19610 ай бұрын
Ameen ameen tunayavunjakwa jina yesu
@elizabethkaonga2552 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumiahi kwa neno lako ameen
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@MorinZadok Жыл бұрын
Kwa damu ya yesu nimekombolewa amina
@janengala1398 Жыл бұрын
Amen , najitamkia afya irudi ,navunja maneno yaliyo tamkwa na jirani yangu kumtamkia mwanangu kiwa atakufa mungu wamgu naomba maneno haya yasikifanyike
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@TeresiaShirima Жыл бұрын
Damu Yesu unitakase kwa mapito ninayopitia
@inessclara12502 жыл бұрын
Kwa damu ya yesu christo nina tamuka baraka katika maicha yangu afia uzawo nina tamuka neema ya milele amani ndoa n'a mambo yote mema kwangu kwajina la yesu christo AMEN Jina la bwana libarikiwe milele
@florencedamian1497 Жыл бұрын
Maneno ya watesi nayaduta kwa Damu ya Yesu
@neemacharles9848 Жыл бұрын
Ameni nawe Mungu akubariki myumishi
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@jamilahmodrick65 Жыл бұрын
Kwa damu ya yesu na kwa jina la yesu nafuta kila maneno mabaya niliyotamkiwa na ndugu ,,marafiki majirani zangu ,,navifuta kwa jina la yesu aliehai🙏🙏🙏🙏
@MbogolinyoJp2 ай бұрын
Amen amen
@janemwakapila577111 ай бұрын
Nafuta maneno yote niliyotamka au kutamkiwa mabaya yoyote nafuta kwa damu ya yesu nakuyafuta nakuw nataka kwajina la yesu ameni
@user-qh4de7gz6i4 ай бұрын
Damu ya yesu ikafute maneno ambayo nilitamukiwa au kujitamkia mm mwenyewe
@kirimiamwakipesile49474 ай бұрын
Amen
@elizabethkaonga2552 Жыл бұрын
Kwa damu ya yesu kristu nafuta maneno mabaya juu ya maisha yangu liwe nimetamkiwa ama nlijitamkia nafuta kwa damu ya yesu kristu 🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@mukandmarieclaudine63862 жыл бұрын
Ni kweli Mutumishi wa Mungu wa kati hunaona shida inakulemelewa hunanzakusema bora nifwe Basi Mungu Baba anisamehee Na ndamu ya Yesu ivute maneno yote mabaya ilitoka kinjwanyi yangu katika njina la Yesu CHRISTU Amen
Natamka nataka ya afya yangu kwa jina layesu dami ya yesu ikanene mema katika jina la yesu kristo
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@frolaalex8734 Жыл бұрын
Aminaa ubalikiwe mtumishi
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@madamleticia9411 ай бұрын
Ameeen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sanaa Sanaa
@mwagala12 Жыл бұрын
Amina mtumishi umetufundisha jinsi ya kuomba barikiwa sana
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@rizikinundu2251 Жыл бұрын
Amen🙏
@TofilaInyasi11 күн бұрын
Nafuta kila chochote nilijitamkia mwenyewe Au kutamkiiwa nayafuta kwa damu ya yesu nafuta kwa damu yesu
@ernestboy3411 Жыл бұрын
God bleees me in my life
@lall2037 Жыл бұрын
Kila maneno mabaya aliyonitamkia uyu amina na nadia haji husein nisipate kazi nayafuta kwa jina la yesu kristo
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@lilianmbeyu7622 Жыл бұрын
Amen naomba mungu anisamehe mahali nimekosea na anibarki kupitia madhabahu haha ninajiunganisha siku ya Leo
@maryjoseph4992 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi tunabarikiw sama
@jacklinenatocho24432 жыл бұрын
Ameeen Asante Yesu 🙏
@adelamlay37262 жыл бұрын
Ameni mungu akubariki mtumishi
@jennipherakyoo80432 жыл бұрын
Amina nashukuru kwakusikia maneno ya mungu
@pendongereja89432 жыл бұрын
Mbona Yesu asifiwe
@aishamwende-po6ls Жыл бұрын
Barikiwa sana najitamkia mema kwa maisha yangu watoto wangu familia yangu be blessed 🙏🙏🙏🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@MorinZadok Жыл бұрын
Amen yesu ni mlinzi na tegemeo langu nashukuru mtimishi wa mungu,mungu wa amani azidi kukulinda asante kwa maombi
@dorithmagige75572 жыл бұрын
Nafuta maneno yote mabaya niliyotamkiwa na niliyojitamkia mwenyewe kwa jina la YESU
@happpyfuraha Жыл бұрын
Damu ya yesu unitakeshe katika maisha yangu
@paschalrenatus5594 Жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@lall2037 Жыл бұрын
Ameen mungu ni mwema tusimamie tupate kz na uyu amina anilipe pesa zangu leo kwa jina la yesu
@rehemamafalo6938 Жыл бұрын
Amen Mungu aendelee kunifundisha nakunishindia afya yangu nafamilia yangu
@fatumamamu7702 Жыл бұрын
Ninafuta Kila maneno mabaya niliotamkia katika ndoa yangu ya kwamba ctadumu kwenye ndoa yangu ninafuta Kwa damu ya Yesu kristo
@suzzyyank74462 жыл бұрын
Amina Amina
@ruthmoranga51422 жыл бұрын
Amina
@evamkevela333 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@merinazyd0532 Жыл бұрын
Ameen damu ya Yesu kristo inilinde
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@betricekasidi6446 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@sarahmuch36372 жыл бұрын
Damu ya Yesu Kristo kwenye maisha yangu na ya watoto wangu
@TeresiaShirima Жыл бұрын
Kupitia damu ya Yesu nafuta maneno mabaya niliyotamkiwa hayatasimama Wala hayatakuwa.
@allenjohn43282 жыл бұрын
Ameen
@sarahkapange252 Жыл бұрын
asante baba kwamaombi ambayo unatuombea nikweri kabisa
@myrah.99372 жыл бұрын
Kipind nakuwa niliwa kujitamkia kuwa sina uzazi mpaka leo niko kwenye ndoa nahangaika kupata mtoto kwa jina la YESU nafuta maneno yote mabaya niliyojitamkiaa
@berthakilangi0315 Жыл бұрын
Natamka mema kwenye maisha yang niliotamkiwa
@annbrendanalech40509 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@dilurai4204 Жыл бұрын
Amen and Amen
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@emmanuelobed5359 Жыл бұрын
Napokea kwajina la Bwana
@kissamwamunyange10182 жыл бұрын
Amen🤲🤲🤲
@user-eq9ry7cd3q3 ай бұрын
Nafuta kila maneno mabaya kwadamu ya yesu
@missmunaf24702 ай бұрын
Nafut manen yot mabay niliotamkiw na kwjn la yesu nayafut kwnzia leo
@lisalisaaa490 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 be blessed paster 👏🏼 👏🏼 👏🏼 👏🏼
@teresawanjiko5370 Жыл бұрын
Ni kweli nabii amen
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🇱🇧🇰🇪
@jennipherakyoo80432 жыл бұрын
Mafuta maneno niliyo jinenea mwenyewe nayafuta kwa jina la yesu kirsto
@user-ps1fx2qs6h2 ай бұрын
Nafuta maneno nliyotamkiwa na baba yangu
@neemacharles9848 Жыл бұрын
Mtumishi
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Yes
@rehema6660 Жыл бұрын
Naomba nifanikiwe uzao was tumbo language na amani ilejee kaita ndoa yangu
Kama mimi ni mengi sana nilitamkiwa na watu kwa sababu wakati nlikua mdogo nilikuanga na mdomo sana.na sahi wale nilikuanga natuzi sahi Hawako walikufa. Kwangu wangekua hai ningewaomba msamaha
@angelinalulu7235 Жыл бұрын
Natamka damu ya yesu inafuta maneno mabaya yote
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@lucykapinga3692 жыл бұрын
en
@agneskhambaita796115 күн бұрын
Nafuta
@rechopeter3644 Жыл бұрын
Amen nafuta Sasa kwa damu ya Yesu kristo
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@user-ey1ws9cb7i4 ай бұрын
Amen amen
@gloriabayeka4235 ай бұрын
Amen
@mercykoech1487 Жыл бұрын
Amen 🙏
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
Ameen
@veronicamtwevu2398 Жыл бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ruthmoranga51422 жыл бұрын
Amina
@nawikemwasamboma55102 жыл бұрын
Amina mtumishi
@fauziakimath7446 Жыл бұрын
@@nawikemwasamboma5510 AAAmeniiiii
@rebeccakiloba Жыл бұрын
Amen
@happpyfuraha Жыл бұрын
Natmk mema walisema sitafanikiwa natmk mema kwa jina la yesu nitafanikiwa mpk ninunua gari kwa jina la yesu kristor