HOTUBA NZITO YA LISSU, AMVAA WAZIRI BASHE, ATAKA AJUZULU KWA MAZITO YA MPINA, USHAHIDI WATOLEWA

  Рет қаралды 30,448

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

13 күн бұрын

#TANZANIA: Lissu atoa hotuba nzito Itigi Manyoni Magharibi, amvaa Mbunge wa Jimbo hilo bila huruma, adai alipata kura mbili akakimbilia huko, amvaa Bashe kwa tuhuma za wizi wa mabilioni sakata la sukari, amtaka Rais Samia amfukuze Uwaziri haraka, aungana na Mpina, ushahidi watolewa.
Zaidi: • HOTUBA NZITO YA LISSU,...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 94
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza akuna mwanaume km.wewe uliojitoa maisha yako kwaajili ya watanzania
@joshuarose6756
@joshuarose6756 10 күн бұрын
Dah Ndio Tanzania yetu hiyo 😢
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 11 күн бұрын
Vuteni team zote muhimu ktk chadema hatuangalii chama tuanaangalia uwezo mkubwa wa mwana siasa vyma having tija kwetu tena km ni sera vyama vingi vina sera nzuri lakini Wana siasa wabovu ktk vyama hata ccm lna sera nzuri lakini Wana siasa wabovu ktk serekali na chama uongo mwingi kuliko haki
@robertphilip385
@robertphilip385 10 күн бұрын
Halafu uteuliwe wewe au pelaka uchawa wa ccm huko
@hassanrwitita2503
@hassanrwitita2503 10 күн бұрын
Mfano ni ccm wanaolimdwa na mwenuekiti wa chao labda ndio waliokufunha akili Chadema hayo mambo hayapo mfano ni halmashauri nyingi zilizokuwa na upinzani hasa Chadema zilisimamiwa vizuri kama serikaliningekuwa makini Leo tusingekuwa tunaongea ugoro kama huu ulioandika
@user-cg7ix9yg1m
@user-cg7ix9yg1m 10 күн бұрын
Watanzani chawa wanatumaliza Tuwakatae! Tumechoka
@DamasMwakipesile-qm1nc
@DamasMwakipesile-qm1nc 10 күн бұрын
Mmh! Mungu ingilia kati Tz
@rogersiddy
@rogersiddy 10 күн бұрын
Amina🙏
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 11 күн бұрын
Komaeni cc tumeichoka
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 9 күн бұрын
Shida bungeni tumejaza wafanyabiashara wengi asilimia wote tulikatae hili kila sehemu ukigusa mbunge yupo anatetea sehemu yake
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 күн бұрын
Mungu ulie kila mahali unaona kila kitu. Uwalipe mishahara yao.
@rogersiddy
@rogersiddy 10 күн бұрын
Bashe anajifanyaga anakaza sana pia anajifanya mjuaji lkn mjanja mjanja sana na hili tatizo halitoisha km hatujachukua maamuzi ya kuwaweka pembeni
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 10 күн бұрын
Sio wakati wa kampeni na kutoa sela.bali ni kuelemisha watu.kama hutaki kusikiliza kalale au kazibe masikio unanyonywa na huku una cheka cheka.achana na uchawa
@MAFUNDISHO1
@MAFUNDISHO1 2 күн бұрын
Swala la aridhi ....tukicheza nazo siku zijazo itatuletea shida ....hasa aridhi za vijiji
@evelina9621
@evelina9621 11 күн бұрын
Naomba.chedema.muwe.pamoja.kujenga.inchi.pamoja.na.maendeleo.mbowe.tukuomba.mshikamano.viongozi.wote.afrika.nia.moja.tunakusihi.ww.ndiye.mwenyekiti.mungu.akupe.hekima.mengine.hakuja.chedema.juuuu
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza akuna mwanaume km.wewe uliojitoa maisha yako kwaajili ya watanzania 7:09
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 10 күн бұрын
Tumechoka ccm tumeshituka walaji hao
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 10 күн бұрын
Asiyeelewa elimuaitowayo Tundu Lissu huenda ni taahira. Mungu akubariki na kukulinda Lissu.
@rogersiddy
@rogersiddy 10 күн бұрын
Tena tahira aliekunywa maji ya bendera ya ccm au chawa wa CCM
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 11 күн бұрын
Ccm basi imetosha jamani
@prospermalala6636
@prospermalala6636 10 күн бұрын
IQ kubwa inawatesa Sana CCM, unafundisha elimu kubwa sana ndani ya Taifa letu Tanganyika, elimu iliyopotea imeanza kuwaingia watanganyika waliowengi wameanza kuyaelewa anayofundisha ❤❤❤❤❤❤
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty 9 күн бұрын
waambie watsup wafanye kazi acha porojo zako mama mitano teno tumeamua sisi wa tz wasalendo wote
@tobiasimruma703
@tobiasimruma703 9 күн бұрын
Hiv wewe una akili kweli
@generosennko8343
@generosennko8343 8 күн бұрын
Kweli. Mnahitaji mabadiliko. Hivyo chagueni chama kingine. Chama tawala kimeonyesha dalili ya kuchoka sana. Itigi amkeni
@frankpaulofrank9302
@frankpaulofrank9302 Күн бұрын
Mzee unazingua kumuvhafua bashe niwatu wachache sana kama Beshe waminivu kama mbunge wangu wanzega nakuombatu cheza na pande zako sipendi maneno yako nakuchukia sana hujui hata kuogea huna maneno matamu wala kwa wananchi huleti faida zaidi ya kuvuruga
@ChristerKoku
@ChristerKoku 10 күн бұрын
Dorothy Msuya pamoja na kebei zako kujifanya umjuaji unavyomkebei na kumtusi Lisu,hujui kuwa kipenga cha kampeni bado,ndiyo maana Lisu na wengineo hawawezi kusema wakiwa rais,Mbunge diwani watawafanyia nini watanzania.Unatakiwa kujua hilo muda wa kampeni bado.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 9 күн бұрын
Hata kipenga kikilia hatoboi! Kwani zaidi ya kuropoka amewahi kumsaidia nani! Msijizime data jamani! Samia anatosha!! Heshimuni mawazo ya wenzenu!!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 9 күн бұрын
Mimi binafsi sioni anachonisaidia! Kama mnampenda mpendeni! Mnataka apendwe na wote kwani yeye pesa???
@VictorNgosi
@VictorNgosi 11 күн бұрын
Dawa ni kulinda Kila hii habali tukipiga Kila tunarudi nyumbani harafu wanaiba hapo nd'o kusa
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 11 күн бұрын
Ndugu yangu Victor Ngosi nakupongeza sana, Kwa MAONI yako mazuri Sana, ninayapenda Sana. Tukifanya hivyo yaani tupige Kura na kuzilinda Kura hakika tutashinda.
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 6 күн бұрын
Kauli za vitisho na matusi mnapenda sana chadema, jifuzeni style ya Zitto hoja bila matusi🙊
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 4 күн бұрын
40:27 Hakuna tusi lolote hapo ktk yote aliyosema Mh. Lisu. Ameongea ulweli mtupu hivyo kama umeguswa na huna mchango wa maana kwa wananchi tulia acha kupotosha ujumbe wa Mh. Tundu A. Lisu
@healingsschool4630
@healingsschool4630 10 күн бұрын
Lisu washauri watu wafanye kazi ni wavivu sana hao niliwapa kazi ya kulima wakashindwa ikabidi nikachukue vijana Arusha
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 10 күн бұрын
Sasa mbona cdm nkama Cha Cha mtu au Cha family baba unapont za nguvu nakutufumbua macho
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 10 күн бұрын
Kwa mtazamo wako.wewe hao waliotawala na watoto wao natawala tena huwaoni kwamba nchi inatawaliwa kimtandao wa kikundi nafamlya .???wewe unaona chadema ??pole punguza uchawa 😅😅😅😂😂😂
@user-bz5gl7nb4m
@user-bz5gl7nb4m 11 күн бұрын
Yani ni hasara inchi ilivyo
@edsonleonci5113
@edsonleonci5113 8 күн бұрын
Bashe asijekuwa anapigwa vita maana kwa wale wakulima wa kahawa wanaweza kunielewa Kahawa kwa sasa imepanda kutoka 1500/= kwa kg na kufika 5600/= kwa kg Korosho bei imepanda maradufu … na ufuta pia
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 5 күн бұрын
Mpina siyo wazir lisu
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 8 күн бұрын
Lissu naomba ujipatie ulinzi binafsi, nje ya ulinzi ulionao wa chama. Utanikumbuka
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty 9 күн бұрын
waambie watu wafanye kazi acha porojo mzee
@shabanseif5774
@shabanseif5774 4 күн бұрын
Yaani sukari ilifika 11,000 bashe kapambana wameagiza sukari nje mpaka tunanunua 2300 halafu bado mtu anasema mwizi huyu tayari amefika mwisho
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 11 күн бұрын
Ccm ilishakufa na magufuri, lililobaki ni kundi la waporaji wa raslimali za watanganyika, na wamepiga matrion ya pesa!, wananunu hadi wachezaji na wana miliki timu , mara kila goli, milion kadhaa , sasa hivi tumaini letu ni Lisu, madeleka, mpina, mwabukusi, heche lema, maombi yangu MUNGU wa mbinguni walinde watu hawa, ni zawadi tuliyopewa na MUNGU
@huyu1993
@huyu1993 11 күн бұрын
Mpuuzi wewe zawadi uliyopewa na Mungu ni pumzi peke yake
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 10 күн бұрын
@@huyu1993 wewe ndiye mpuuzi na mvimba macho agent wa wezi
@akilibinaisa1196
@akilibinaisa1196 10 күн бұрын
Usimsahau Dr silaa nae anatupambania
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 10 күн бұрын
@@huyu1993 wewe ndiye mpuuzi chawa wa ccm
@emanuelmwakamisa2511
@emanuelmwakamisa2511 11 күн бұрын
Hapo kwa serikali ya ccm watamchukia Mpina na sio Bashe
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 11 күн бұрын
Mheshimiwa. Risu. Mbona. Hamzungumuziii. Wakurima. Sasa. Hivi. Mazao. Hayana. Bei. Kabisa. Wakurima. Tunariya sana. Yani sana. Tunariya. Mazao. Hayana. Beii. Kabisa tusaidie. Utusemee
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 күн бұрын
Endereea tu kuriaaaa hadi Risu asikie kirio chakoo
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 күн бұрын
Wooote wanaoichagua ccm sasa ni mavi, waliokosa kujitambua.
@alexanderkisinini9376
@alexanderkisinini9376 8 күн бұрын
Mkuu wa majeshi alisha toa tahadhari kuhusu watu wahamiaji kupewa madaraka.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 9 күн бұрын
Vp maandamano yameishia wapi? Vp katiba ineishia wapi? Mbowe mbona yupo kimya? Anaonekana lissu peke yake? Naomba nijibiwe
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 9 күн бұрын
Mheshimiwa kama Abdul anahusika mama hapo hawezi kuchukuwa maamuzi
@ChristerKoku
@ChristerKoku 10 күн бұрын
Wakulima wa kahawa Kagera wanapangiwa namna na bei ya kuuza kahawa yao.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 11 күн бұрын
Mnaenda upepo hii ilikuwa Point za mpina
@AminoKhalif
@AminoKhalif 9 күн бұрын
Wewe lisu acha fitina
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty 9 күн бұрын
Huna lolote ulimpinga magu saiv unaongea nn
@umlaith5202
@umlaith5202 3 күн бұрын
Nenda zako wewe Mzee Mambo ya Bunge hayajakuhusu,,,
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 11 күн бұрын
Kamanda Yuko pamoja
@healingsschool4630
@healingsschool4630 10 күн бұрын
Ufisadi hauletwi na mfumo . Unaletwa na mtu mmoja mmoja mwenye tamaa." Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe" ccm kuna watu wazuri na wabaya hata chadema nako kuna wazuri na wabaya. Mama anajua kutafuta pesa nje ndo maana nampenda, Lisu unajua kulalamika hao unaowahutubia hawajui kutumia Ardhi ndo maana pesa hawana. Wafundishe kushirikiana kutafuta pesa kama wanavyofanya Linda na Mtwara. Uwatafutie masoko huko Ulaya na ubelgiju unakoenda kulalamika. Nachukia saana kuwa Rais na kiongozi wa watu masikini hata Mwenyezi Mungu hapendi, Ndo maana imeandikwa " Tutakopesha wala hatutakopa" Kumbukumbu 28. Umaskini ukiongezeka kakope kahemee nja kama Abraham, Isaka na Yakobo wavyokua wanaenda kuhemia nja Misri , Babeli nk.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 9 күн бұрын
Sasa akatafute masoko wakati wako tuliowapa MADARAKA wakatafute masoko kwa niaba yetu na tunawalipa? Kwa ujinga wa kitoto huu kwenye mambo ya msingi sana ya umma hatuwezi kupiga hatua, lazima tuache mihemko na ushabiki wa kijinga kwenye vital issues...Hilo la wananchi kuwajibika kazini sawa ila si la masoko kwani wapo wanaolipwa for that...halafu achana na kichaka cha eti tunaangalia mtu na udhaifu au uimara wake na si chama, na UNASHADADIA kuwa eti kote CCM na CHADEMA wazuri na wabaya wako. Umesahau kwingine hao waovu hawawajibishwi na CDM wanawawajibisha wale wanaohujumu maslahi ya umma, that's why nasisiza, TUSIJIFICHE kwenye kivuli cha cha eti kote wabaya, tunataka ambako wabaya wanashughulikiwa kwa maslahi ya umma
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 9 күн бұрын
Mpina sio wazir we kenge!! Chiba weeeeee!!
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 8 күн бұрын
Ukubwa wa kalio lako linazidi ukubwa wa ubongo wako
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Wewe jembe la watanzania wote
@MataighaTiro
@MataighaTiro 11 күн бұрын
Daaa inatisha
@iam_maglan101
@iam_maglan101 11 күн бұрын
Chadema nani 😂
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 10 күн бұрын
Ccm wapumbavu sana sukali za nje bei ndogo mm nipo boda Zambia ila ata ukiwa nakilo5 unaenda mby mapolis wanakuzingua
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 11 күн бұрын
Wenzetu wanaiba sisi tunachekelea
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 күн бұрын
Huna agenda,umekaa kiumbeaumbea na kudandia hoja.Tayari ushadandia hoja ya Mpina ambayo hata haijaanza kufanyiwa kazi bungeni.Looh hapa tunaye kiongozi kweli
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 10 күн бұрын
Wewe hujitambui.huna hoja unalipuka ama kuibuka.bila kujitambua .na wewe ndie una damdia. Sio lisu tunazungumzia maslahi mapana ya nchi.bila kuangalia Chama tunaangalia hoja.wa Chama chochote akitokea anatetea taifa lazima tumuunge mkono.kwa nguvu zote.sasa mpina ni mwanchi mzalendo kwa nn lisu asiongelee hoja yake.???wewe bumunda kama huna hoja kaa kimya chawa mkubwa
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le 10 күн бұрын
Tunayaona...lakini ukiwa upande fulani huwezikuona!
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 10 күн бұрын
Wewe ccm acha kumpinda lisu.lisu anajuwa nn maana ya maisha.sio nyinyi ccm achumia tumbo.mwaka huu ndo mwisho kwenu
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 11 күн бұрын
Yaani umekaa kudandia hoja! Mbona husemi ukiwa raisi utafanyaje ili hayo unayoimba yaishe? Huna uwezo wa kuongaza Tanzania 🇹🇿 wewe piga kelele na wanyaturu wenzio! Kutwa kudandia hoja sera huna tena huna kabisaaa! Ndio maana ccm wanakuchora tu ujimalize mwenyewe!😂😂😂
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 10 күн бұрын
Kampe yako ndipo uwezo wake utaujua pumbavu wewe ni mjinga
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 10 күн бұрын
Unamsema Tundu Lissu. Umeyasikia aliyoongea sheikh Ponda? Jitafakari.
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le 10 күн бұрын
CCM NI TAABU TUPU..NA UKIWA MSEMA UKWELI..UNAAMBIWA HUNA MAADILI.
@robertphilip385
@robertphilip385 10 күн бұрын
Haya majitu ya akina msuya niwasomi lkn yamelishwa lumbwata la ccm Yako kama majinga
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 10 күн бұрын
@@robertphilip385 Acha kuongea kama umekula wewe! Wewe ni nani mpaka unipangie cha kuongea! Hebu pita kule achana na mimi mjinga mmoja we! CCM NO 1! TAPIKA SASA!
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza akuna mwanaume km.wewe uliojitoa maisha yako kwaajili ya watanzania
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 8 күн бұрын
Kama hizi finding ni za kweli !!!!!!! je mwenye nchi upooooooo na kama ndivyo kuna siri gani nyuma ya pazia !!!!!! Hivi mnaohusika na haya mnafikiri mtaishi salama huku chini maisha magumu namna hii alaf kikundi cha watu wachache wanainjoy !!!!!!!
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 11 күн бұрын
Mheshimiwa. Risu. Mbona. Hamzungumuziii. Wakurima. Sasa. Hivi. Mazao. Hayana. Bei. Kabisa. Wakurima. Tunariya sana. Yani sana. Tunariya. Mazao. Hayana. Beii. Kabisa tusaidie. Utusemee
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 күн бұрын
Kweri wakurima tunaria huku tunaenderea kurima na kuriaa,risu tusaidie wakurimaa
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge 10 күн бұрын
Mazao yapi.kwa mfano.
@EdwardJonas-og9xi
@EdwardJonas-og9xi 8 күн бұрын
Usipo.tuongelea wewe au kutusemea wewe nani mwingine ataweza akuna mwanaume km.wewe uliojitoa maisha yako kwaajili ya watanzania
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 1,8 МЛН
Универ. 10 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:04:59
Комедии 2023
Рет қаралды 2,8 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 108 МЛН
LISSU AMVAA RPC ARUSHA AGEUKA MBOGO AMTAJA MAKONDA..
7:30
OFFTRACK TV
Рет қаралды 6 М.
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 1,8 МЛН