HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

  Рет қаралды 191,882

TBConline

TBConline

26 күн бұрын

Mvutano mkali umeibuka bungeni leo Juni 4, 2025 kati ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kiwango cha sukari ambacho nchi imeagiza kwa ajili kuondoa upungufu uliopo, ambapo Mpina amesema upungufu uliokuwepo ni tani 110,000 na hivyo kuishangaa wizara kuagiza tani 410,000.
Katika maelezo ya Waziri Bashe amesema kuwa sukari hiyo imeagizwa ili nchi inaposimamisha uzalishaji mwakani, kuwepo na sukari ya kutosheleza kwa miezi miwili ambayo uzalishaji utasimama.
Mpina ameliambia Bunge kuwa Waziri Bashe anadanganya, na hivyo Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akamtaka kuwasilisha uthibitisho kuwa waziri amedanganya Bunge, kama ambavyo kanuni zinataka.
Je, Mpina anao ushahidi? Kanuni zinasemaje akikosa ushahidi? Endelea kufuatilia TBC Digital.

Пікірлер: 466
@obednyagani506
@obednyagani506 10 күн бұрын
Wanaomkubali mpina tujuane waziri hadi anasaidiwa na spika
@babukije268
@babukije268 9 күн бұрын
Wapuuzi
@shabanjuma7102
@shabanjuma7102 7 күн бұрын
Sio anasaidiwa na spika, hapana spika anafata Sheria mbunge haitakiwi kudanganya bunge anaweza kuleta taharuki Kwa wananchi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 6 күн бұрын
​​​@@shabanjuma7102na we we una viasili vya uspika?au unafikiri spika anakufahamu? kupitia njia gani ambayo inakufanya kumtetea Spika? aliyetoa hoja ni mbunge na ni mmoja wa wabunge wanaotunga sheria za nchi hii na Mpina anaongea alichokiona,usjipendekeze unachangia kutuumiza maisha in magumu kama unakaa kwa Spika unakula Burr hujui kitu kwa wanaonunua sukari
@isaachayes9783
@isaachayes9783 6 күн бұрын
Mpina anatumiwa na wafanyabiashara wa sukari, mpina ana usongo wa kukosa uwaziri
@birianination7097
@birianination7097 3 күн бұрын
Mpina ni mwizi
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 6 күн бұрын
Watanganyika tupo pamoja nawewe Mpina mzalendo wa kweli🇹🇿👊✊
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 3 күн бұрын
watu waongo ndio wapo na muongo mwenzao
@nunguhassani1743
@nunguhassani1743 2 күн бұрын
BASHE NI MWANANCHI WA KWELI MAWAZIRI NA WIZARA KUJULIKANA NI WAZIRI KUFANYA KAZI BASHE KIJANA WANGU HONGERA MSAIDIE MH DR SAMIA RAIS WETU TUPO PAMOJA
@charlesrogers4547
@charlesrogers4547 2 күн бұрын
majala hawo ni michosho
@FrankoLugendo
@FrankoLugendo 8 күн бұрын
Mpina umezungumza fact sana mpina oyeee ♥️♥️♥️♥️
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 4 күн бұрын
Mpina forever hata wakikufuza ubunge ccm ukienda chama chochote wana mwanza tutakuchagua tu 💪
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 2 күн бұрын
Hadi raha na Mpina wetu.
@upendomokye6803
@upendomokye6803 10 күн бұрын
Mpina tupo nyuma Yako tunakuombea kwa hili
@Benardkituka
@Benardkituka 9 күн бұрын
Hii confidence aliyonayo waziri wa Kilimo ktk kutoa maelekezo,isipelekee watu tumuone wamaana sana,Hii Nchi ina mapapa jamani,lkn pia tunahitaji watu wenye changamoto kama Mpina Bungeni,siyo kuunga mkono hoja tyu,sisi pia wananchi tunahitaji kupata challenge,
@NdageKitahama
@NdageKitahama 7 күн бұрын
Makofi ya nn tunataka watu wenye weredi Kama mpina kasema ukweli na lipot anayo inadhibitisha kuwa ni UFISADI tu ndio uliyofanyika kwenye huo mchakato wananchi tupo pamoja na mpina
@user-bm5ov6kx3c
@user-bm5ov6kx3c 5 күн бұрын
Hiyo ni kweli maana Bashe ni mkali WA mdomo tu laki kutekeleza sithan
@birianination7097
@birianination7097 3 күн бұрын
Ina onekana wote hamja mwelewa mpina, yeye ana tetea viwanda kua viendele kuleta sukari kutona na maitaji yao, ila bashe anataka sukari eletwe kutokana na maitaji ya nchi. Inshot mawazo ya mpina ndio yanayo leta mifumuko ya bei
@user-gc1tx9fd7v
@user-gc1tx9fd7v 3 күн бұрын
Unamukamkabizi mugeni wizara nchi ililaniwa
@user-gc1tx9fd7v
@user-gc1tx9fd7v 3 күн бұрын
Siuwafungie kamawameshindwa
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 2 күн бұрын
Hata wakikufungia kama walivyofanya bado wewe mpina ni wetu watanganyika. Watanganyika all tupe pamoja na ompina wiswe. You are such a brave Tanganyikanian MP.
@Prax1
@Prax1 3 күн бұрын
Bashe usijione unajua sana kuliko wengine
@gabybulba9574
@gabybulba9574 4 күн бұрын
Kumtoa Mhe.Mpina kwa zuio la mikutano 15 hamumuadhibu Mpina bali munaadhibu wananchi mana yeye anawakilisha wananchi na alihoji akitegemea kujibiwa kwa Hoja sio kumpiga vita, hapo mmekosea sana, mnadhihirisha kuwa uwezo wenu wa kujibu hoja zake ni mdogo ndiyo mana mkamfukuza.
@h.jrugashaula1296
@h.jrugashaula1296 3 күн бұрын
Wananchi wanaadhibiwa vipi kwa mbunge ambaye hawakumchagua?...au umesahau kuwa wabunge wote hao ni mali ya chama?
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n 19 сағат бұрын
​@@h.jrugashaula1296Kwan wapo hapo kwa ajili ya nn
@irenekalinga323
@irenekalinga323 5 күн бұрын
Mpina uko vizuri aiseh ila umezungukwa na mapapa ila ipo siku
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 6 күн бұрын
Confidence with Bashe, logic with Mpina
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 8 күн бұрын
Mpina umebaki peke yako Na Mungu akutetee
@octavianrwakatare6279
@octavianrwakatare6279 3 күн бұрын
😂
@robertzingu9889
@robertzingu9889 22 күн бұрын
Luhaga Mpina ni mbunge bora kati ya wabunge wote wa CCM. Wengine wote wa CCM ni mabogus na wapiga meza tu na kuimba taarabu tu. Mpina anajitahidi kusoma sana kufuatilia mambo yote jinsi yanavyokwenda. Hii ndiyo tabia ya Tundu Lissu ya kusoma sana na kuwa na maarifa na ufahamu wa kutosha. Nadhani ndiyo maana mawaziri wadanganyifu huwa na matumbo joto kila anaposimama
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g 11 күн бұрын
Mungu akusaidie sana mh Bashe utuvushe wakulima wa nchi hii
@awadhally1052
@awadhally1052 10 күн бұрын
Bashe akuvushee wapi yeye ndo mwiz namba mojaa
@errydeo8865
@errydeo8865 9 күн бұрын
Huna unalijua,kapiga mabilioni kwenye mbolea! CAG Assad alishakapasua ,nini kilitokea ? Kimyaa! Sukari!? Aongelee report ya CAG Assad
@errydeo8865
@errydeo8865 9 күн бұрын
Ni mwizi kama wezi wengine!
@festomartin8635
@festomartin8635 9 күн бұрын
😢😢😢😢
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i 6 сағат бұрын
Tope
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 10 күн бұрын
Shida kubwa nimeona watu wamekuja na karatasi za kukalili but huyu jamaaa ananyoika sana mim nampingeza sana gud leader Bashe funga masikio chapa kazi mh wazir mim namkubaki sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 6 күн бұрын
Komenti zako za kipuuzi sana endelea na bangi zako huko uliko Nzega ndogo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 күн бұрын
​@@marcokaroje8980acha udini
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani 3 күн бұрын
​@@marcokaroje8980we tahira hivi una akili kweli,unaelewa Bashe anachoongea
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 күн бұрын
@@AthamanRamadhani anaongea inayoyataka wewe unaonekana ni chawa was bashe hayo ndiyo maoni yangu kuhusu Bashe ndivyo nilivyomwelewa kama ni utaahira wangu wewe ni zaidi yangu Bashe kuwa Waziri siyo kuwa anaelewa kila kitu kuwazidi watanzania wote molioni 60 punguza jazba mkuu tunajua wewe ni green guards wajinga wa CCM huko Nzega ndiyo maana hata bus stand yenu haisomi
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 күн бұрын
Nilichogundua ukabila bado upo sana.
@user-ni1lm2md1c
@user-ni1lm2md1c 11 күн бұрын
Huyu vipi Bashe. Baada ya kumshukuru Mungu kwanza unamshukuru Mh. Spika? Kwanza Mungu halafu Mh. Spika.
@visionstudios6804
@visionstudios6804 9 күн бұрын
Ameteleza tu nae ni binadamu
@CytneSikilo
@CytneSikilo 8 күн бұрын
Kumshukuru Mungu sio mpaka umtaje watu wamsikie waweza shukuru kimya kimya
@marianmartin7483
@marianmartin7483 8 күн бұрын
Hapo amekosea bashe kumshukuru spika kabla ya mwemyezi MUNGU.
@user-qy3gk8of7k
@user-qy3gk8of7k 2 күн бұрын
Ww aun akili
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 күн бұрын
Shiida dunia hii,
@Hopemicle
@Hopemicle 9 күн бұрын
Nakukubali sana waziri wangu wa kilimo MH: Hussen Bashe❤..pambana kiongozi wetu tunakuombea.. your my super hero
@JamesAugustine-jl6no
@JamesAugustine-jl6no Күн бұрын
Mbona mpina alikuwa sawa
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 6 күн бұрын
Mpina ana kitu asikilizwe ana hoja
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 8 күн бұрын
Jembe letu mpina na tupo pamoja nawe mana unatutetea wote watanzania mpina oyeee
@user-wg3yu5uy4w
@user-wg3yu5uy4w 8 күн бұрын
Mpina🙏🙏🙏🙏💯
@mlsglobalchannel8219
@mlsglobalchannel8219 2 күн бұрын
Hii Tanzania ina wapigaji sana hawataki viongoz waseme ukweli kwanni....mm naona bunge la vyama vingi linafaa sanaa ccm wapigaji tu
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 күн бұрын
HATA UJITETEE TUNAJUA KUWA NYIE NI WEZI SANA.WATANZANIA HAWA NDIYO VIONGOZI WANAOTUIBIA SANA KATIKA TAIFA LETU
@Prax1
@Prax1 3 күн бұрын
Weziiiiiii
@RamazaniNdegeBedua
@RamazaniNdegeBedua 24 күн бұрын
Hili bunge pasipo na MPINA, mawaziri wanaweza kujiona kama waherevu saana.
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 3 күн бұрын
Sio Mpina tu hata wapizani tu
@mmarandu2417
@mmarandu2417 23 күн бұрын
Taifa lifante huhudi ya kuzalisha sukari zaidi sio kuagiza tu. Mfano mzuri ni Uganda.
@hasbiya-allahu124
@hasbiya-allahu124 Күн бұрын
Huna ukijuacho, Uganda wanaagiza hadi tz bt nenda kagera sugar ujionee msululu wa maroli yao
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 8 күн бұрын
Waziri yupo poa sana hongera kwako 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 күн бұрын
Mpuuzi Tu Bashe yeye na mkewe Wamechukua tenda za sukari mjinga Sana mwizi WA mbolea huyu Hana maana
@elezabethlyombe8804
@elezabethlyombe8804 8 күн бұрын
Speech ya Bashe inajitosheleza sana. Na huyo mpina athibitishe tuu
@sinacksaigodi5876
@sinacksaigodi5876 9 күн бұрын
Mpina is right, he speaks logical with evidence
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 7 күн бұрын
Chukitu usicho elewa hapo nin
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 21 күн бұрын
Kiuhalisia Mpina yupo sahihi! Bashe anaongea siasa tu maneno mengi. Kwa wasiomjua wanaona bonge la waziri kumbe hakuna kitu janja janja tu!
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 20 күн бұрын
Msomali Huyo hao ni wapigaji balaa halafu wizi WA maneno
@aidanexson1634
@aidanexson1634 19 күн бұрын
Mpina ni siasa na challenge tu ila Hana hoja ya kujenga Toka ameanza kuchangia hajawah changia positive
@aidanexson1634
@aidanexson1634 19 күн бұрын
Mpina siyo resourceful kwa taifa ni political questioner
@blockchain1203
@blockchain1203 11 күн бұрын
Na ndio Huwa inaonekana Hivyo ila Tapeli Tu Chuki Kibao na negative Tu Kila Siku Hana Positive Hata Moja.Kisa alitemwa Uwaziri
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 11 күн бұрын
Wewe either ni mjinga au unatawaliwa na chuki
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 13 күн бұрын
Mpina oyeeee.!!
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g 11 күн бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Bashe ni waziri makin sana kuwahi kutokea Tanzania
@emanuelmwakamisa2511
@emanuelmwakamisa2511 10 күн бұрын
Mfuatilie vizur ni bonge la fisadi
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 8 күн бұрын
Msikilize kwanza Mpina kisha uje kuthibitisha umakini huo.
@mussaharun7257
@mussaharun7257 8 күн бұрын
Umepima kwa jambo gani
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 күн бұрын
Mpina tusaidie huko bunge, hawana jipya,hao,janjajanja, Mzee baba
@salumubwa-vf4di
@salumubwa-vf4di 23 күн бұрын
Waziri bora kwangu mm baada ya jery slaa
@jeremiahmushi2093
@jeremiahmushi2093 Күн бұрын
Umemsahau Jumaa Awesu wa Maji jembe kabisa 🔥🔥🔥🤝
@marianmartin7483
@marianmartin7483 8 күн бұрын
Waziri Bashe ukk sawa. Piga kazi.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 3 күн бұрын
Wakilimo mhe Bashe fanya kazi nzuri wewe ni mkulima unasimamia vema huyu akapumzikeeee
@nassoramour8598
@nassoramour8598 4 күн бұрын
Bashe ni kiongozi bora sana! Dhamira yake inaonekana wazi kabisa kuhakikisha sukari ya kutosha inakuwepo nchini, automatically hata bei inashuka! Huyu ni waziri kweli kweli
@obednyagani506
@obednyagani506 10 күн бұрын
Mpina oyeeeee
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 7 күн бұрын
Mpina sialipewa wizara na kaka yake mbona akaboronga
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 7 күн бұрын
Kwa hiyo tukusaiddieje sijuwi?​@@user-ej5ir5pu7r
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani 3 күн бұрын
​@@user-ej5ir5pu7rhapo sasa leo anataka kujiona yeye mjuaji
@gregorypantaleo6987
@gregorypantaleo6987 10 күн бұрын
Kazi nzuri Bashe
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 8 күн бұрын
Kwa hiyo huyu spika anamtetea waziri,badala ya waziri ajitetee mwenyewe,hii nchi ina mambo ya hovyo sana
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 күн бұрын
Spika ubunge utausikia kwajirani wanambeya hatukutaki mpina yupo sahihi unatetea ufisadi umekiuka kazi Yako ya usipika
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 10 күн бұрын
Acha hayo mpina ukiangalia Sheria hizo wananchi watateseka ndomana hata Mzee magufuki Kuna mambo alikuwa anafanya shoti kati ndyo alifanya Bashe kajitahid sana wew mpina unapenda siasa huyu jamaa anafanya uwalisia Bashe mim nampingeza sana Kuna muda unapunguza siasa mwache wazir afanye kazi
@michaelmyaka5367
@michaelmyaka5367 5 күн бұрын
Mbona wameenda vizuri tu,bunge linatakiwa liwe hivi ni si vibaya.
@rasnchimbi
@rasnchimbi 10 күн бұрын
Hii nchi inahitaji #katibampya itayoweka mfumo bora wa kuendesha mambo,vinginevyo ni vurugu tupu mpaaaakaa!😂
@user-od9jp1sm8p
@user-od9jp1sm8p 19 күн бұрын
Bashe ni msomalia
@husseinissa7118
@husseinissa7118 10 күн бұрын
Leta hoja ya msingi sio ukabila ujinga sijui utaisha lini hii bongo na ndo maana tunachelewa maendeleo kumbe ni watu wa sampuli yako
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 8 күн бұрын
Acha ubaguzi wewe mshamba 🇹🇿
@ProfessorNnaji
@ProfessorNnaji 7 күн бұрын
Hio akili usitumie kuvuka highway 🛣
@gstone830
@gstone830 4 күн бұрын
​@@ProfessorNnaji😂😂😂😂
@user-qo2dk6iv3u
@user-qo2dk6iv3u Күн бұрын
Mwamba Hussein bashe upo smart
@MaikoKalonge
@MaikoKalonge Күн бұрын
Bashe mungu akulinde
@ChristianmushiGodfrey
@ChristianmushiGodfrey 22 күн бұрын
Mh wew ni general ,mungu akubariki sana
@tembatembele5332
@tembatembele5332 8 күн бұрын
Maswali ya mpina yote yamejibiwa❤❤❤
@kisinza6077
@kisinza6077 22 күн бұрын
Mpina ni akilikipaji kubwa sana! Bashe ni darasa ubabaishaji ni mwingi, nilishasema siku nyingi sana, Ukifatilia Bashe anaubia mkubwa sana na wafanyabiashara wasiolipa kodi. Sema kwakuwa sisi ni mamburula mpaka tutakoma.
@huyu1993
@huyu1993 10 күн бұрын
Wacheni fitina nyinyi mnataka muongozwe na Malaika kutoka minguni ?
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 2 күн бұрын
Hongera Mpina hujakubali kuwa chawa wala kujipendekeza,, wewe ni mtu wa hoja zenye mashiko shikilia hivyo hivyo mpaka hao machawa wakuogope
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 10 күн бұрын
#TUNAIMANI NA BASHE, TOWA NYASI WEKA BATI WAKULIMA OYEEEEEEEEEE.
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs 24 күн бұрын
Ruhaga mpina ndiye mwenye hoja
@jukiboy7012
@jukiboy7012 3 күн бұрын
Mpina naamini mwakani hawez kuwa ccm maana siku zote ccm hawapendi ukwely
@jaafarwibonela7402
@jaafarwibonela7402 19 күн бұрын
Najivuna kuwa na Mbunge kama Basher. Big up Mbunge wangu
@boniphacesandarya2259
@boniphacesandarya2259 11 күн бұрын
bashee ni mtuu wa ovyo sana humjuii tuu Ile ni timu msoga
@ms123ru
@ms123ru 6 күн бұрын
Bashe mtu muhimu sana ila amegeuzwa mbuzi wa kafara kulinda maslai ya wengi
@shabanmshana6896
@shabanmshana6896 21 күн бұрын
Mpina mutamuelewa tu huyu jamaa Yuko Makini sana
@RobertAndrea-wl4pk
@RobertAndrea-wl4pk 10 күн бұрын
Safi sana bashe
@kabelwasalim6305
@kabelwasalim6305 3 күн бұрын
Very smart speaker 👏🏽👏🏽👏🏽
@user-jx8jx7tz2l
@user-jx8jx7tz2l 14 сағат бұрын
Bashe piga kazi mwamba uko good
@ombenimassawe.uswaamedia787
@ombenimassawe.uswaamedia787 23 күн бұрын
Nakupongeza waziri Bashe
@majidibrahimu6917
@majidibrahimu6917 4 күн бұрын
Tuko pamoja mpina
@ngaboemmanuelas
@ngaboemmanuelas Күн бұрын
Huyu ndiye Bashe tunayemjua. Endelea kupiga kazi kaka
@jeremiahitalange1236
@jeremiahitalange1236 4 күн бұрын
Mpina is right jamani
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 3 күн бұрын
Kwangu Bashe ni wazir bora ninayemuhusudu kama wazir Mchengerwa ispokuwa tunaomba mziangalie korosho mwaka Jana tumepokea Bei ya chini sanaaaa
@mohamednahaja6456
@mohamednahaja6456 2 күн бұрын
Kijana mungu akubariki sana
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf 2 күн бұрын
Mimi nauliza tu ile sukari tunapata kutoka mpakani kule tunduma kutokea Zambia..tunaipata je ina usalama kiasi gani? Wizara mwangalie vizuri humo mipakani sisi na afya zetu sababu inaingiza kiholela
@DaudiLengai-ym5fx
@DaudiLengai-ym5fx 5 күн бұрын
Nilichokielewa mimi bungeni wengi waliopo bungeni hawajui sheria za nchi na ndo maana wanaishia kupigq makofi tu,liwe baya ama zuri
@ismailmasoud5958
@ismailmasoud5958 6 күн бұрын
Nimemsikiliza Bashe kwa umakini, amefanya kazi nzuri
@paulmkai2043
@paulmkai2043 Күн бұрын
Great work
@JumaAbdalla-xm9pb
@JumaAbdalla-xm9pb 9 күн бұрын
Huyu ni waziri ovyo kabisa kuwahi kutokea kwa waziri wa kilimo
@OfficialMutrah
@OfficialMutrah 4 күн бұрын
So kweli mwamba yuko very bright
@user-iy7kf2mj1u
@user-iy7kf2mj1u 17 сағат бұрын
Jaman namkubali sn bashe
@johnjamaly9369
@johnjamaly9369 9 күн бұрын
Wewe mpina achana na bashe ,bashe ni moja ya waziri kijana mwenye vision nzuri kwa taifa na resource kwa tafa wananchi tunampenda na kumuamini .chapa kazi bashe mpina umefilisika.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 9 күн бұрын
Vision gani
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 9 күн бұрын
Tulia usubiri kinachoendelea
@MOKAWAKA
@MOKAWAKA 9 күн бұрын
Hon.. Hussein Bashe safi sana
@nicholausnjoka794
@nicholausnjoka794 9 күн бұрын
Bashe is only sympathising everything. Na unaweza muona anaongea ukweli kumbe bure kabisa
@princesaha3262
@princesaha3262 2 күн бұрын
Mpina anazingua sana!! Kwa hyo anataka tununue sukari 10000
@MOROYAKOBO
@MOROYAKOBO 2 күн бұрын
Hatarii sana
@user-kp2jf5jc2i
@user-kp2jf5jc2i 2 күн бұрын
Mh. Mpina Oyeeee!
@TheKaida23
@TheKaida23 6 күн бұрын
Naelekea huko..... 🎉🎉🎉 BASHE.... na MPINA... SEMA BASI TU.... NGOMA HAIJAKAUKA....
@aaroneu07
@aaroneu07 12 күн бұрын
Wakati wa JPM, sarakasi za Sukari, Umeme, Mbole na Mafuta ya kula zilipotea. Sasa zimerejea kwa nguvu sana. Sijui nimwamini Mpina au Bashe. Lakini lisemwalo lipo. Kama halipo laja 😢
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 20 күн бұрын
CHADEMA walisema mtakapowaondoa wapinzani bungeni kitakachobakia mtasulubishana wenyewe. Kumbe kweli maana ili bunge liende lazima kuwe na mhoji na mhojiwa..
@hajisangu2489
@hajisangu2489 20 күн бұрын
Haikusemwa na chademwa. Ilisemwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa, maarufu Mbwege na hakuwa mbunge wa chadema.
@yusuphmwahalende5286
@yusuphmwahalende5286 4 күн бұрын
​@@hajisangu2489alisema lema
@mnyama-xc8py
@mnyama-xc8py 20 сағат бұрын
Pia CHADEMA walisema bhana ​@@hajisangu2489
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 13 күн бұрын
Nice speech mimi niko ulaya umaskini unanzia kwenye vyakula vya ndani ya nchi,nakumbuka kipindi korona ,kwa nini serikali isiwekeze kwa wakulima huru kwa maslahi ya ya taifa.kunani paleee.kimataifa kuna hotel numefanya kazi naona nembo ya bidhaa ya nyumbani halafu watu wa nyumbani wanakufa njaa ,mnataka tuende na mabepari au..kwa taarifa yenu brown sugar ndio sukari ghali ulaya ianitwa bio sugar came from nature not artificially,waulizeni wajamaika kipindi cha utumwa.
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 12 күн бұрын
Nakuunga mkono broo utumwa nukiukatili wa akili mpaka kinwili
@adow9musictz931
@adow9musictz931 2 күн бұрын
Bega Kwa Bega Na MPINA Mpaka mwisho
@user-vd8hs6ue2n
@user-vd8hs6ue2n 3 күн бұрын
Mbona spika anamtetea waziri
@AnthonyNgowi
@AnthonyNgowi 2 күн бұрын
Fact wth mpina
@GeofreySenka
@GeofreySenka 6 күн бұрын
Humo ndani ni shabibu na mpina tu wengine wote hakuna
@khamisomary7428
@khamisomary7428 3 күн бұрын
Yaani mpina kageuziwa kibao😂 chap Ila tumemuelewa mpina 👍🏿
@deniskt7838
@deniskt7838 2 күн бұрын
Mpina ungekua jimboni kwangu.awam hii ungekua ya mwisho kwako.
@shabanikitula645
@shabanikitula645 3 күн бұрын
Mungu ameanza kukulipa
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 13 күн бұрын
Unakwenda kuuwa viwanda, tusubiri matokeo, data hazifutiki
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 13 күн бұрын
Kama ukiwa mnyonge unaweza hisi anaongea vya maana ,kumbe wote ujinga mtu, Bei ya sukari ni ngapi saiv? Mtu aliekataa upuuzi kiukweli ukweli bila siasa Magufuri tu ndio maana wakamfinya goma lilinyooka kuliko mnyooko wenyewe
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 күн бұрын
Aseeeh mbona Speaker anamtetea sana Bashe !?
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 10 күн бұрын
Mbona bado juu inakuewje kuleni tu sisi tufe
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge 10 күн бұрын
Bila shaka waziri yuko makini pia.wacha bashe afanye kazi yake.
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 Күн бұрын
Mpina huwezi kum outsmart Bashe hata siku moja
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 23 күн бұрын
Tuambie ni lini ambapo sukari itashuka bei hadi 1500/= kama tulivyokuwa tumezoea.
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 3 күн бұрын
Mpina❤❤❤❤ lov
@IsackJoseph-jt3hk
@IsackJoseph-jt3hk 13 күн бұрын
Mtu WA maana sana bashe
@chrissmodo5630
@chrissmodo5630 6 күн бұрын
Sukari kg elfu kumi?ehh au mh!!!! Sijaelewa
@IbrahimShigela
@IbrahimShigela 7 күн бұрын
Hatuna wabunge hii nchi
@josiacharles2778
@josiacharles2778 3 күн бұрын
Wote wawili mko sawa kabisa 😮
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 19 күн бұрын
Tanzania atuna kiwanda ata kimoja kipo chini ya serikali tungekuwa na viwanda vyetu tusingepata shida yoyote hizi kəlele ni siasa tuu
@JudithMarwa-q2m
@JudithMarwa-q2m 22 сағат бұрын
Hatar sanaa
@abasibogga4798
@abasibogga4798 10 күн бұрын
As hapo mpina anaongea nini maana hana hoja zaidi ya chuki flani bashe yuko makin na ni waziri ambae ataipeleka tz mbele kwny sekta yake endapo atapewa muda
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 9 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,1 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 94 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН