No video

Hotuba nzito ya Raisi wa TEC kwa Umoja wa Watanzania waishio Italia/wengi wao ni Mapadre/Akemea haya

  Рет қаралды 13,142

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Жыл бұрын

Raisi wa Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania Mhasham Askofu Gervas Nyaisonga alivyohutubia mbele ya Maaskofu wa Tanzania pamoja na Watanzania waishio Italia kwa idadi kubwa wakiwa ni Mapadre,Masister na wenye muelekeo wa kanisa baada ya ibada ya Misa takatifu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Paolo Dominika ya kupaa Bwana.
#breezonlinetv #daressalaam #popefrancis

Пікірлер: 21
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 Жыл бұрын
Mungu akutunze
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba Askofu Nyaisonga kwa wosia nzuri
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Жыл бұрын
Asante mhashamu Baba Askofu
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 Жыл бұрын
Nashukuru sana Baba Askofu Mkuu, Nyaisonga kwa wasaa mzuri.
@deogratiasrwechungura3451
@deogratiasrwechungura3451 Жыл бұрын
Hongera sana Baba kwa Neno/hotuba yako nzuri kwa ndugu zetu Watanzania
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Bila unafiki Asante san kiongozi❤
@SamwelMahela-je8nm
@SamwelMahela-je8nm Жыл бұрын
Mungu mwenyewe azidi kuwabariki viongoz wangu wa kiroho ...
@noelinasaru1496
@noelinasaru1496 Жыл бұрын
Asante sana Baba.hongera Sana Mungu akubariki na kukutia nguvu.umesema ukweli kabisa.mkitutuma turudi jamani .
@suzannakipapy5951
@suzannakipapy5951 Жыл бұрын
Well said. Message send, delivered and saved. Thanks 🙏
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Asante Baba Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza. Umeongea ukweli mtupu. Asante sana. Tunawaombea wenzetu walioko huko nje Mungu aendelee kuwaongoza.
@joshuaqamunga9200
@joshuaqamunga9200 Жыл бұрын
Tuombean
@paulprosper4139
@paulprosper4139 Жыл бұрын
Excellent !
@urumtewele9693
@urumtewele9693 Жыл бұрын
Umewapa ukweli na lamsingi mwenye kuelewa ameelewa Mungu azidi kuwatumia roho wake
@FlaviusRwelamira-ok2op
@FlaviusRwelamira-ok2op Жыл бұрын
Nipo Kolping Tanzania Iringa Asante Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Nyaisonga kwa hotuba nzuri 🙏
@TheGiftedSingers2023
@TheGiftedSingers2023 Жыл бұрын
🥰🥰
@visensiakadege6608
@visensiakadege6608 Жыл бұрын
ASANTE BABA KWA UJUMBE MUHIMU.
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Жыл бұрын
Huyo mnaemwabudu je mnauhakika kama ni nabii yule anayewapeleka watu ile sehemu ya mateso lakini au
@eunicemligo5290
@eunicemligo5290 Жыл бұрын
Acha comments za chiki! Haya kuhusu na hujaalikwa, endelea na shughuli zako, Acha chuki
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Жыл бұрын
Somesheni na wanawake pia,labda tutapata nafuu
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Kwani watawa hawasomi?
@epifaniaassenga
@epifaniaassenga Жыл бұрын
Ni kwel
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН
KASMUEL MCOURE || TOMORROW'S ROAD MAP
4:32
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 2,8 М.
MAASKOFU WAMTEUA PADRE KIKUDO SEKRETARIETI TEC,ASKOFU RUWA'ICHI APANGUA SAFU YA MAPAROKO...
16:02
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН