HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI TANZANIA BARA,ILIYOFANYIKA BAGAMOYO MKOANI PWANI,NOVEMBA 4,2018
Пікірлер: 32
@marycianakanweki87665 жыл бұрын
rc forever
@mussandaki72275 жыл бұрын
mwenyezi mungu atujalie hekima lkn pia kusimamia ukristo uenee kote dunia,ni chaguo la mungu
@mshindivictor16905 жыл бұрын
I love him,.... Boss wetu.
@lugembesimon70354 жыл бұрын
Baba uko vizuri sana.
@gabrielshewio65995 жыл бұрын
Hongera ndugu Rais
@BedroomTvKe5 жыл бұрын
Safi sana aiseee
@annamsofe46545 жыл бұрын
Mungu amjalie raiisi wetu maisha marefu mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Afrika
@vincentkithinji89032 ай бұрын
Mungu aliwa na mawazo tofauti. Kaondoka mapema Muheshimiwa Magufuli
@BedroomTvKe5 жыл бұрын
👏👏
@mediatz85375 ай бұрын
Huyu Mzee alikuwa genius R.I.P mzee
@Sebastian-to4qd2 жыл бұрын
Tunakukumbuka
@elizaberthbenard6413 Жыл бұрын
Kila tukipitia clip zako unatuumiza watanzania ulikuwa na cifa zakuitwa raise,ulijua nn maana ya utu
@user-ls1es8sd1s5 ай бұрын
Akika lna ski Tisha sana mze wangu una ona watu wana kuche keA kumbe Ao Ndio wa baya wako mungu wetu wa kweli Atupe mwisho mwema R lp Dockta joni pombe magufuri kama inge kuwa ukiwa Na pesa Aufi Basi ninge wasfu wanao uwa wezao kwa kuwa kufa sio kuzuli Rakini wapi jaza nyumba zima pesa uta kufa una zi Acha uTu nikitu kizuri Sana tuna Pita2 ndugu zangu
@elizaberthbenard6413 Жыл бұрын
Sisi sote ni ndugu mungu hakai sehemu iciyo na upendo tuishi kwa upendo Kila mtu aheshim dini ya mwenzake haijalishi unasalio dheheb gan mung wetu nimmoja naanatupenda sote
@godliverclement19232 жыл бұрын
Ulale salama baba
@romancatholic29462 жыл бұрын
Genus president
@user-zo6sc5be8p11 ай бұрын
Huyu ndiye rais tumtakaye Tanzania sio hawa wezi tusaidie Mungu wetu utuondolee hatu
@kelvinmichae7285 жыл бұрын
ally futo hujitambui
@tinamhimba307 Жыл бұрын
pumzika kwa amani jembe
@jamesmwenda54274 жыл бұрын
Huyo Mzee mwislamu hapo nyuma ya rais amekasirika kweli lakini msalaba lazima ushinde.
@alexanderkumbusho416 Жыл бұрын
Rest in peace
@francismigongwa41462 жыл бұрын
RIP MH JPM
@BedroomTvKe5 жыл бұрын
Sisi nasi tulikua na dini zetu.
@beatuskawishe79865 жыл бұрын
Kkm
@melikiorimunisi61425 жыл бұрын
Ukishakuwa kanisani mungu anatosha kukulinda
@BedroomTvKe5 жыл бұрын
Mmetutawala sana nyie na midini yenubhiyo
@deogratiusminja76182 жыл бұрын
Hotoba ya ask Gervas Nyaisonga kuwaapisha maskofu wapya Dar