Km upo chama tofaut na ccm lkn unamkubal anko magu like yako tafadhali
@flightclubtanzania16384 жыл бұрын
Na wewe umekaa mno kwenye mgongo wangu, na wewe unachangia ngapi?
@halimasaleh57054 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣ndio mkuje vyama vingine mchangie sio blablaa maendeleo hayana vyama👏👏👏👏wallah rais kauzu eti na ww sio unakaa tuu nyuma yng na ww unachangia ngp . Asante mr president
@issaomarhajj4704 жыл бұрын
Huyu ni rais wa kipekee so Tanzania tu bali duniani
@CTM.24Updates3 жыл бұрын
05:50
@tahiraabdul17014 жыл бұрын
I love Magufuli/from Kenya
@jazzymkalitv55354 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti kubwa....Kisha nikahisi naonekana Kama chizi vile......😂😂😂😂😂😂
@maryamanalisi1973 жыл бұрын
Baba wa kujali wanyonge ameenda huyoo jmn daah alhamdhulillah 😭😭😭😭😭😭😭
@beatricekamengekamenge55434 жыл бұрын
😂😂😂😂😂magu haki baba kula yangu aijaenda bule
@kilirombo46034 жыл бұрын
Na wewe unatazama mno sema unachangia ngapi
@simonmuga20834 жыл бұрын
😁😁😁😁 sema uncle magu kauzu katojolesha hadi bodyguard miksa dereva wake
@explorelondon36953 жыл бұрын
04:02
@happinessmkambeni82034 жыл бұрын
😍😍😍Nampenda sana anko magu yaani natamani hata aiendeshe nchi mpka tuseme bassssssss
@vj83134 жыл бұрын
Hadi bodigadi😁😁 Dah safi sana mkuu wetu Wa nchi,Mungu akutunze
@minaside67174 жыл бұрын
Magu ww n kiboko ya watanzania
@lion_land_safaris4 жыл бұрын
6:26
@tzmny49094 жыл бұрын
Uyo sio body gad uyo anaitwa mpambe body gad avai magwanda
@henangokanywanyi77414 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@suzanampanda62424 жыл бұрын
Kweli nimeamini hali ngumu mbele ya raisi watu wana pledge mapaka laki🙆🏽♀️🙆🏽♀️ tena kutoka kwenye ofisi za selikali na taasisi🤪🤪mimi ni nani hasa nikaone aibu kupredge elfu kumi kwenye michango ya harusi 🙄🙄🙄