SUBSCRIBE 📩📩 @dawatul-salafi129 💫 ⬇️ USISAHAU ku subscribe na kugusa alama ya kengele ili uwe wa kwanza Kila tunapo achia video mpya 💫 ⬇️ • HUKMU YA KUSAFIRISHA M... ⬇️ @dawatul-salafi129 💫
Пікірлер: 6
@HajiDibwa2 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@SubaRajabu2 ай бұрын
Shekhe Allah akuhifadhi
@mahamudujuma57603 ай бұрын
Sheikh Allah akuhifafhi
@user-ky5uz5vv7z3 ай бұрын
Asaalaam alaykum, Baarakal LLAAHU fiykum. tunaomba hichoo kitabu kichapishwe na ikiwezekana kisambazwe maana kina faaida nyingi saana
@MaulidiSalehe-rn6po2 ай бұрын
Naam nikweli
@hamisisaidi95253 ай бұрын
Ipi hukmu ya kuzika pamoja waislam na wakristo.? Kuna sehem nimepita katik mkoa wa morogoro(msamvu) mafisa nimepata ona eneo moja wakizika waislam na wakristo. Nauliza ipi hukmu yake,au ni sahihi.