This song deserves 1 Million views it's wonderful mbarikiwe sana
@barakaelnest81903 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongereni kwa uimbaji karibu sana mbagala kuu kwenye kwaya ya mt yohane mbatizaji mbagala kuu tuwe marafiki
@cornelsizimwe32312 жыл бұрын
A five star Catholic song. Angelic voices, classy style. In lov with the shot😍
@anicethsilvester20493 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri mungu awatie nguvu san katika uinjirishaji wetu
@passianmassawe-jd3jc2 ай бұрын
hongereni sana
@NkomokomoMedia3 жыл бұрын
Pongez Sana aiseeeeeeeee niliisubir kwa hamu mno..... Pongezi Anthony Komanya Palluhengo injinia mkuu ......cjamsahau mwanangu Agnes na wengine wote mlofanikisha hili
@ireneodhiambo93902 жыл бұрын
Hongera kwa kazi mzuri... Muziki mtakatifu. Much love from Kenya🇰🇪
@maryonyango71715 ай бұрын
Asanteni kwa uinjilishaji kupitia wimbo huu mzuri wenye mafunzo sana
@daudiwilliam1971 Жыл бұрын
Kaka @Ben Nturama 🎵🎶 uko vizuri Sana. Hongera
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki wana Bakhita Mongo la Ndege....Tamu sana safi sana..
@diselasoka65853 жыл бұрын
Hakika mmeimba vzr sana wapendwa, mungu azidi kuwalinda
@dorothykavira18053 жыл бұрын
ww upo maeneo gani ili uweze kuipata dvd ya huruma ya mungu?
@ireneirene98342 жыл бұрын
Waaah..leo nimeskiza sijui mara ngapi..ujumbe waniguza sana...mbarikiwe sana
@agnesokonda65732 жыл бұрын
Hongera kwa sauti nzuri
@agnesokonda65732 жыл бұрын
Naomba maneno
@arnoldkatunzi26173 жыл бұрын
Mmeimba vizur mno mwanzo mzurr dvd tunaipataje
@veronicamasanja62812 жыл бұрын
Mungu asimame nanyi mzidi kueleza neno lake kwa njia hy ya uimbaji mbarikiwe sana