Muogope Allah sheikh Faridi hao hawatakuokowa na chochote mbele ya Allah.
@HassanChapa-bi4iz12 күн бұрын
Masha Allah umeniweka wazi shekhe wetu Allah atupandishe daraja
@AbAlhuraas14 күн бұрын
Sheikh farid Ameteleza ,Allah amhifadhi
@KombHaji-dr5pd10 күн бұрын
njo mbuyuni utwambie kateleza wapi
@maanoor7605 күн бұрын
Turudini kwa Allah na maamrisho yake na yale aliyomtuma MTUME wake Muhammad (SAW). NAE katufikia kikamilf
@user-gn2hr4xq3v14 күн бұрын
Mmmmh muamba ngoma xiku zote huvutia kwake but yote kwa yote mashekhe wanadhima kubwa kwa Allah
@rajababdallah923911 күн бұрын
Waislam pia tujifunzeni matumizi sahihi ya mitandao.maana baadhi ya comments hazistahili kabisa kuja mahala kama hapa.inaskitisha sana muislam anaandika kama vile yuko kwenye kijiwe cha wahuni cha wavuta bangi.
@MdNasr-jm8pj12 сағат бұрын
SS nyie mashekh mna mtihani 😢tunambiwa siku ya Arafah ALLAH anashuka mchana SS mchna WA Tanzaniaan au huko Makkah iliko Arafah 😢tumuogope ALLAH Kala Jalal
@alimau793914 күн бұрын
Na ww ukitaka kwenda makka nenda kwa jahazi usiende kwa ndege 😂😂😂😂😂😂
@huseynmaitaya90025 күн бұрын
Kumbe balad, mwakusudia ni nchi ! safi sana Mbona sasa mbona yatoke mara nyingine humu humu Tanzania kunawezekena mwezi ukaonekana Na mna ukataa , mkidai mjauona , Kwa mwakusudia kila nchi uwe Na mwandamo wake
@arafataliomar743211 күн бұрын
Leo ndio najua gari sio teknolojia kule skuli ndio mana tukaita tekelakujia😂😂😂
@allymahaba342514 күн бұрын
Al-hamdu lillaah. Allah (SWT) Akuzidishie kheri Sheikh Farid.
@TalibMuhsin13 күн бұрын
Lazima ufuate muandamo wa mwez nchini kwako watu hem acheni kufata mikumbo na misimamo ya watu binafsi tumeletew kitabu na sunna tufate sio tufate wati na makundi
@allymbarouk536212 күн бұрын
Nimemuelewa sana
@nassorali514314 күн бұрын
Shukran amiri farid hadi, Allah amuhifadhi
@LautaroIshak14 күн бұрын
Kwanzia Leo sitak kundi lolote katika din sitaki uamsho wala salaf wala answar wala Shia wala kadiria wa ibadh kumbe haya makund yananziswa kwa masilah binafs nakumbuka nilipokua uamsho tulikula kiapo kwamba hatutorid nyuma katika kuidai zanzibar lakin Leo hii hawa viongoz wa uamsho ndo wa mwanzo kujipendekeza serekalin duu hatar sitak kundi lolote la kidin
@TalibMuhsin13 күн бұрын
Fuata makundi tu ww
@mohammadswaleh690014 күн бұрын
Huyu anamfurahisha Rais mwinyi ila moyoni mwake anajua TU kwamba arafa inafungamana na hijja
@TwahaKahatan-pt9hg14 күн бұрын
Kwani Nabii akiongea na watu aongea na Kabila Fulani. La! Huongea na waumini wote duniani, hivi unaungana na watu kuwagawa Waumini.
@TwahaKahatan-pt9hg14 күн бұрын
Siku ni Moja duniani na tarekhe ni Moja na mwezi muandamo duniani ni mmoja tu
@TalibMuhsin13 күн бұрын
Kasome tena
@user-ox4fv4cf5l14 күн бұрын
IMEMPANDISHA CHATI GANI SASA? MAANA HANA JIPYA LOLOTE ALILOKUJA NALO!!
@linusfrancis929314 күн бұрын
samahan shekh kwn tofauti ya muda wa saudia na tanzania ni upi? mbn hatukuelewi
@SafiaHaji-fo3sl13 күн бұрын
wacheni mawaidha ya mipasho
@drmahwa816614 күн бұрын
Kabula hujaenda jele hukusema hivyo.umetoka jela na msimamo wa demokrasia kipigo kimekubadikia msimamo
@maulidmponda822414 күн бұрын
Jela sio mchezo leo heshima ipo duuuuu Hataree
@AleiHadji-js3ed11 күн бұрын
Hata mitume waliendaa
@binzubeir651014 күн бұрын
Kila mtu afuate msimamo wake, hakuna haja ya kutoatoa MANENO. Mkiwa mnataka kulitengeneza jambo kaeni mashekhe mtatue ili watu wawe kitu kimoja Ama kutoa maneno tu haisaidii.
@alidochi288914 күн бұрын
Shukran
@nasraissa487314 күн бұрын
makka na tz hatuja tofautiasna hata dakika moja
@mohdkhatib22314 күн бұрын
Farid uislamu huujui, wewe yako ni siasa na kupinga serikali
@fareedahmad685713 күн бұрын
UNAUJUA WEWE NA BABA YAKO...!
@AleiHadji-js3ed11 күн бұрын
❤❤😂😂😂😂
@unknown-zz8ih12 күн бұрын
Sheikh mselem ndio sheikh tu zanzibar nzima
@sumaisabu98166 күн бұрын
Na Muhammad bachu anajitahid
@user-ju1iq1pu3i14 күн бұрын
Hii khutuba kama imempandisha basi imempandisha daraja Kwa watawala ,lakini mbele ya ALLAH imemteremsha daraja tena la chini
@fareedahmad685713 күн бұрын
Usimsemee Allah Subhanahu.wataala إن الذين يفترون على الله الكذب لا يفلحون
@chudashaibu336714 күн бұрын
Ameunga juudi sheikh
@IssaSimbilla-hw9ev14 күн бұрын
Hahaha unaminyana katika batwir
@minaziparasu907413 күн бұрын
Mawahabi wataelewa tuuu
@user-ox4fv4cf5l14 күн бұрын
MIAKA YOTE WANASEMA HAYO HAYO TU
@nasraissa487314 күн бұрын
huyu zamani alikuwa answar
@rayisadesigns264614 күн бұрын
Huyo sufi tangia zamani
@user-hh5ew8wb7d14 күн бұрын
Faridi mpotevu tu
@alimau793914 күн бұрын
Hapo ndipo tulipofikishwa leo tunagaiwa kwa mambo ya ikhtilafu tumeacha mambo ya msingi ktk dini
@mohdkhatib22314 күн бұрын
Imepandisha chati kwa lipi? Kwanza hilo ni la khitlafu kwa wanavyuoni. Wapo masheikh wakubwa tena wengine wakisufi kama aliekuwa mufti wa Misri wamesema arafa ni ile siku mahujaji wanasimama kule Makka katika viwanja vya arafa.
@user-hh5ew8wb7d14 күн бұрын
Mjinga tu huyu miongoni mwa wajinga
@rayisadesigns264614 күн бұрын
Mwerevu ni wewe ambaye hata ukiuona mwezi hapo kwako Tanzania wasaudi hawatakufata wala hawatakuamini zaidi ya wewe kujipendekeza kwao kwa kufata mwezi waliouona wao.