NI KWELI HATA SHEIKH NASSOR BACHU TUNAHISI KM YUKO HAI BAADA YA KILE ALICHO AKIKIFANYA YUKO ANAE ENDELEZA NA SIMWENGINE NI KIPENZ CHETU SHEIKH MUHAMMAD NASSOR BACHU ALLAH AMREHEMU
@MuhammedFoum-kr5kcКүн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ShemsaKiobya-x8hКүн бұрын
Shukrani
@user-fq1gg8rj9iКүн бұрын
❤❤❤❤ shukuran ahsant kipenz cha Allah ❤❤
@user-fq1gg8rj9iКүн бұрын
❤❤ Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman ❤❤ Jaazaka llahu khaira ❤
@user-fq1gg8rj9iКүн бұрын
Adi jumba la tren 🙄🙄🙄 Subhana Allah....,, Subhana Allah huu Ni mtihan
@user-fq1gg8rj9iКүн бұрын
Subhana Allah,,,watu wanakula Mali za Mayatima....lnna lillah wainna illaih Rajiuun .... muogopen Mungu Jaman
@binwasiumbanga9256Күн бұрын
Mashaallah, hongera Shekhe umetimiza wajibu wako,umeondoka na dhima mbele ya Allah, lakini sidhani kama watakusikiliza,watu wapo na dunia tu,wanajisaulisha tu utadhani wataishi milele.
@KubwaKuliko-dk4bmКүн бұрын
Allah amhifazii
@OmarSharif-xr3peКүн бұрын
Ameen
@user-fq1gg8rj9i2 күн бұрын
Subhana Allah ni kweli sheikh kila mtu na mtihan wake ktk maisha duniyan ,,kubwa ni tumuombe Allah atupe subra na wepes tuweze kufaulu ktk hiyo mitihan ,,,tucje kukufuru
@dallatode82952 күн бұрын
Ma Sha Allah
@JafaliSaidi-ol3zw2 күн бұрын
❤❤❤😢😢😢
@YahayaGeorge2 күн бұрын
Allah akulipe kheri nyingi Sanaa wewe na Mimi amiiin
@MdNasr-jm8pj2 күн бұрын
SS nyie mashekh mna mtihani 😢tunambiwa siku ya Arafah ALLAH anashuka mchana SS mchna WA Tanzaniaan au huko Makkah iliko Arafah 😢tumuogope ALLAH Kala Jalal
@dudumwechondo2 күн бұрын
Barakalaufiku
@user-bo7rb9ls6y2 күн бұрын
ALLah akupe umri mrefu uzidi kutupa ilm inshaallah
@MsDifai3 күн бұрын
Kweli kabisa exactly 💯
@husnasalim96143 күн бұрын
Kweli kabisa shekhe
@user-fy4op1sw2f3 күн бұрын
Swadakta sheikh wangu
@salmamohd39133 күн бұрын
Elimu ya mjinga ni majungu . Hao ni wataka kiki mjini . Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha inshaallah.
@MuhammedHamad-h9u3 күн бұрын
❤❤❤❤
@hemedjumaa3903 күн бұрын
Jazaakhumullahu Anniy Khayraa 🤲
@mudathirmohamed85773 күн бұрын
Asalam Alaykum naomba muendelezo kuanzia aya 6 sjaiona
@HajiMasmenti3 күн бұрын
Akika shekh
@RamaTafa-h4z4 күн бұрын
Shukurani sana
@hamadiomari78044 күн бұрын
Mashallah mungu akusidishie
@musayosia40814 күн бұрын
Maashaallaah ❤
@SaidiHamadi-m7y4 күн бұрын
Thank you
@SaidiHamadi-m7y4 күн бұрын
MashaAllah wonderful daawah
@kiwitv8684 күн бұрын
Amin
@user-iu1ct4fk9k4 күн бұрын
Shukuran
@ReceptionVerde5 күн бұрын
Ya Allah tupe mwisho mwema
@MohdSuleiman-bb9ty5 күн бұрын
Nakukubali sheikh wangu
@AimanAhmes5 күн бұрын
1:24 1:28
@nassorphamadi60655 күн бұрын
Mashallah amezing
@ummymuya.20605 күн бұрын
Masha Allah, Allah akuzidishie kheri... Ameen.
@OmariAbdalah-vh4jk5 күн бұрын
Sheekh nakutakia maishamema
@OmariAbdalah-vh4jk5 күн бұрын
Sheekh nataka niwemwanafunziwako
@AbdallaDullavichhotmailcoukКүн бұрын
Kama unafuatilia darsa zake kwenye youtube basi wewe tayari ushakuwa mwanafunzi wake @@OmariAbdalah-vh4jk
@MozarySeyouMozarySeyou5 күн бұрын
Mashallau
@user-ef6vj6rm4h5 күн бұрын
Jazaqallah khaira
@amadapembe55915 күн бұрын
😅danloodi 5:30 5:34 5:39
@UstadhiRai6 күн бұрын
😂
@user-kn8mg2su7i6 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@maanoor7607 күн бұрын
Turudini kwa Allah na maamrisho yake na yale aliyomtuma MTUME wake Muhammad (SAW). NAE katufikia kikamilf
@huseynmaitaya90027 күн бұрын
Kumbe balad, mwakusudia ni nchi ! safi sana Mbona sasa mbona yatoke mara nyingine humu humu Tanzania kunawezekena mwezi ukaonekana Na mna ukataa , mkidai mjauona , Kwa mwakusudia kila nchi uwe Na mwandamo wake