Ninacho kupenda MCH ni jinsi ulivyofauru kuwaunganisha washiriki wako na kwenda pamoja nao Hakika wamemeza roho yako kama baba kama mimi ningekuwa hapo mbeya hakika ningekuwa mshirika wako Napenda msimamo wako Songa mbele kina yeremia waliwekwa sero ya shimo lenye tope lakini walipotoka hawakuacha kusema kweli ya Mungu UBARIKIWE SANA MCH BARIKIWA
@cecyliamosha3704 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mt.wa Mungu.Mungu akulinde akutunze ck zote
@LuthuBayo-de9wm3 ай бұрын
Asante baba nitatembea na huyo yesu mungu anisaidie kwa alivyo nisaidia kwa injili yako by kaiza 🎉🎉❤
@gpupinternationalАй бұрын
Nakupenda sana kwa ajili ya ukweli wa neno la MUNGU.Tuponyu yako.amina.
@user-jx4rx6jy6y2 ай бұрын
Amen natembea na yesu siku zote zamaishayangu mbalikuwe sana❤❤❤
@annasam-nw4sw3 ай бұрын
Oooh Tembea na Yesu ameeeen ee ameeen eee Ameen haleluya Ameen Usilotaka kutendewa usimtendee wingineeeeee...ameeen haleluya ameeeen ❤❤❤❤Asante babaaaaa ameeeen ..tubaki na Yesuuuu tuuuu
@ALESIACHIJOKA3 ай бұрын
Hongera sana mchungaji na nyimbo yenye funzo kubwa kwetu mbarikiwe wote mungu aendelee kuwalinda daima na kuwstia nguvu milele. Mchungaji nakufuatilia sana .. nikiwa marekani .nafurahi sana .nikiwaona hivyo ..
@gpupinternationalАй бұрын
Amina❤
@sarahmdindile430125 күн бұрын
Mimi naomba muulize roho mtakatifu kuhusu kuweka picha ya mchungaji kwenye nguo ni machukizo kwa Mungu mnakuwa kama mnamwabudu au mnamtangaza yeye ,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu
@victorkamugisha2282Ай бұрын
Safi sana.
@EmanuelRazaroАй бұрын
Ubarikiwa Bwana
@PastorNathanael-ex4co3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumish wa MUNGU
@omanss2683 ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@annasam-nw4sw3 ай бұрын
Asante baba na mama yetu ❤❤
@user-wq8qd1ny3t2 ай бұрын
Na tembea na yesu kila niendapo na tembea nayesu
@user-zs7hm1xh6f2 ай бұрын
Amen kukejeliwa kuko lakini mtazamie tu yesu
@user-wq8qd1ny3tАй бұрын
Natembe na yesu kila niendapo
@hosealutangilo50583 ай бұрын
Tembea na Yesu....Milele yote
@user-uv6km8dg1z2 ай бұрын
Hongera sana baba, hakuna MUNGU azidi kuwatetea na mama ili nasi bila kuchoka tuwafuate nyuma, BARIKIWA sana na wimbo huo nzuri sana, hakika nitatembea nae mpaka mwisho MUNGU anisaidie sana
@user-wt6uo7xm3f3 ай бұрын
Amina
@ndogoroedson199Ай бұрын
Kwa hiyo mtumishi baada ya kutoka jela umewaamuru waumini wavae rangi ya jela?
@sifawayesu70793 ай бұрын
Ameeeeeen
@user-jy3zk5dw6i3 ай бұрын
Mwanaharakati huyo
@mwamuzi3 ай бұрын
Umeanza kufulukuta nawewe
@user-vo6fu3pp1p3 ай бұрын
Kama unavyoona.
@HelbethMlelwa3 ай бұрын
@@user-vo6fu3pp1p Nani huyu alikuwa anakuuliza hivyo??
@samwelnevele77963 ай бұрын
Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana
@user-vo6fu3pp1p3 ай бұрын
Ana heri sana kwa kuwa Mwanamaigizo yanayoleta TIJA.
@Ambwene3 ай бұрын
Basi tufanya mamaako ndo mchungaji
@evanestharold50793 ай бұрын
Aamen.
@JojinaMbwiga3 ай бұрын
Amina
@samwelnevele77963 ай бұрын
Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH3 ай бұрын
Sasa aliekuambia ni mchungaji ninani? Ewe joka mwana wa joka
@user-vo6fu3pp1p3 ай бұрын
Ni heri ambaye ni mchungaji mwanamaigizo ambaye kazi zake zinaonekana na wewe umepata nafasi ya kuzifuatilia.
@omanss2683 ай бұрын
Heri yake mwanangu maigizo kuliko we hujulikani mbinguni na duniani mwenzeo ajulikana mbinguni na duniani
@samwelmswete22323 ай бұрын
Si kosa lako kwakua hujui alicho kiweka mungu ndani yake ila sisi tumesaidiwa na huyu mch .mungu na aongeze neema juu yake.
@HelbethMlelwa3 ай бұрын
Kafuatilie nyimbo za wachungaji, nani kakiita hapa??