No video

Video music:ANAKUJA YESU. Mbarikiwa atoa wimbo wa kurudi kwa Yesu baada kushtakiwa na Christina

  Рет қаралды 37,370

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

2 ай бұрын

Пікірлер: 179
@user-ed2jz5ym9u
@user-ed2jz5ym9u Ай бұрын
Ubarikiwe nikweli mungu akuongezee ujasiri. Mutumishi. Wa. Mungu
@mtumishiwamungunelson1684
@mtumishiwamungunelson1684 9 күн бұрын
Uwe na akili mbovu mapepo au majini hila huyu mtumishi ni level ingine Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Uzidi kutunzwa na Nguvu za Mungu songa mbele
@josykogei7647
@josykogei7647 2 ай бұрын
Machozi inanitirika Mimi tu sijui ni wangapi watamwona MUNGU aliye hai katika kizazi hiki
@user-te1vg6dc2h
@user-te1vg6dc2h Ай бұрын
Tafakari misingi ya maisha yako ukiona unashuudiwa uko vizuri ingia kazini kuwaambia na wengine mapenzi ya mungu ndoo tutapona sio kuliatu unatengeneza wewe ukimaliza unawatengeneza na wengine warumi 8;16 amina
@niyibigiraesperence7772
@niyibigiraesperence7772 Ай бұрын
Ni kweli
@FESTOJAPHET-cw3fl
@FESTOJAPHET-cw3fl 2 ай бұрын
Huuuu wimbo nimeurudia kama mala 8 mzuri sana
@alexandersanga8461
@alexandersanga8461 14 минут бұрын
Nzuri
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 2 ай бұрын
Huu wimbo upako mwingi sana...
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 2 ай бұрын
Hakika
@mlowegb4097
@mlowegb4097 2 ай бұрын
Amen.... Amen.... Wimbo mzuri
@EmmanuelSimkwai
@EmmanuelSimkwai Ай бұрын
Mathayo 13 14 Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona. 15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
@JoshuaGabriel-f7v
@JoshuaGabriel-f7v 3 күн бұрын
Hakika mtumishi uimbaji wako unanibaliki sana mungu akubaliki saana naitwa Joshua gabrieri kutoka mkoa wadodoma
@dicksonmlelwa1762
@dicksonmlelwa1762 2 ай бұрын
Binafsi nampenda sana huyu mchungaji
@PastorsTz
@PastorsTz 2 ай бұрын
Nami nampenda sana
@samsonnwampinga7787
@samsonnwampinga7787 2 ай бұрын
hata mimi nampenda ajabu
@user-nt4rt4hz1h
@user-nt4rt4hz1h 2 ай бұрын
Nampenda sana sana.
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 2 ай бұрын
TANZANIA NZIMA NI YESU ANAKUJA ,HAYO YA SHUSHO SUKARI TU KWENYE CHAI
@joshuanguo
@joshuanguo 2 ай бұрын
Barikiwa sana sanaaaa tena sana Mbarikiwa baba Mungu azidi kuiponya hali yako na mkeo mpone kabisa mzidi kulitangaza neno lake mtumishi Mungu akuweke kwaajl yetu baba mbarikiwa
@paschalbernardludubula9838
@paschalbernardludubula9838 2 ай бұрын
HAKIKA MBARIKIWA SI MTU WA KAWAIDA, MAHUBIRI YAKE NA NYIMBO ZAKE NI UPONYAJI WA ROHO NA MWILI. Ipo siku nitahamia kwa Mbarikiwa ili niabudu hapo maisha yangu yote.
@Namtumbo
@Namtumbo 2 ай бұрын
Kabisasasa
@user-pk7xj3dr6w
@user-pk7xj3dr6w Ай бұрын
Kalibu
@EmmanuelSimkwai
@EmmanuelSimkwai Ай бұрын
Ongera kwa hilo ila fahamu wakati tulio nao ni mdogo kwani mfalme anakuja kama nyimbo ya baba yangu mbarikiwa inavyo sema fanya uamuzi haraka kaka unachelewa
@yusufulugona3439
@yusufulugona3439 18 күн бұрын
Nyimbo tu zinakupa hamasa za kuendelea mbele,hili ni kamanda la mbinguni
@joycemapunda9915
@joycemapunda9915 29 күн бұрын
Asante maombi ni dawa ubarikiwe mtumishi
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 18 күн бұрын
Wewe ni kiungo cha Mungu duniani hakuna wa kukuzuia songa mbele ktk haki na kweli utashinda zab 25
@user-wm3dc1vq2s
@user-wm3dc1vq2s 2 ай бұрын
Da! MBONA KAZI za huyu mtumishi ni nzuri Sana hazikinaishi Zina nguvu .tukubali huyu nizaidi ya wachungaj wa kusomea bibilia nizaidi ya wachungaji wakubwa duniani.
@BujwigaMao
@BujwigaMao 23 күн бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa mung
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 ай бұрын
Utake husitake, Upende husipende,Uhamini husihamini, Usikie husisikie, Usikilize husisikilize. ANAKUJA YESU Amina haleluya ANAKUJA YESU Amina haleluya ANAKUJA YESU Amina haleluya.
@user-ed2jz5ym9u
@user-ed2jz5ym9u Ай бұрын
Nasikitika. Sana mutumishi wa mungu utalipwa mungu ndie mutetenzi. Wako
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 2 ай бұрын
Taka usitake Yesu yuaja mpendwa. Barikiwa kaka Mbarikiwa na team nzima🙏
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV 2 ай бұрын
UTUKUFU WA MUNGU na uwe juu ya Baba yetu Mbarikiwa Mwakipesile MILELE NA MILELE
@felcRaphael
@felcRaphael 2 ай бұрын
Umenikumbusha ,,dhambi inaua dhambii ,tune yake
@christiankaguo4311
@christiankaguo4311 2 ай бұрын
Bwana atakuja pamoja nawe
@christiankaguo4311
@christiankaguo4311 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏼🙏🏼🇹🇿🇹🇿🇫🇮🇫🇮
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Amen Aleluya Aleluya nabarikiwa sana
@thimoteslangay2010
@thimoteslangay2010 Ай бұрын
Kwakweli baba umewazidi wote
@EstherManda-ex3bc
@EstherManda-ex3bc Ай бұрын
Wimbo mzuli 🙏
@user-ys4md3gg6o
@user-ys4md3gg6o 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU akutie nguvu maana umetumwa kama mjumbe wa kristo kuja kuonya mabaya na ili tuweze kutenda mema jina la BWANA liwe nawe siku zote za uhai wako mtumishi
@LeusiAnton-l6n
@LeusiAnton-l6n Ай бұрын
God bless you more and more
@stevenvictor437
@stevenvictor437 2 ай бұрын
Safi sana mchungaji mbarikiwa Kwa kutupatia zawadi mzuri ya wimbo huu, hakika umenibariki sana mm na family yangu, Mungu akubariki sana Songa mbele, mti utoa matunda yaliyo mema lazima upigwe mawe kwa7bu kwenda kinyume na matakwa ya ulimwengu ni kuharibu falme zao.
@DAUGHTEROFJESUSCHANNEL357
@DAUGHTEROFJESUSCHANNEL357 29 күн бұрын
Hallelujah hallelujah ameeen
@josykogei7647
@josykogei7647 Ай бұрын
Amen amen
@deoelias841
@deoelias841 21 күн бұрын
Amen and amen 🙏🙏
@apostleelisha2994
@apostleelisha2994 2 ай бұрын
Nakuelewa mzee na naipenda namna ya injili yako kutoka moyoni.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu naloli amasiku ghamalikee
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 2 ай бұрын
KESI YENYEWE BAADA YA WIMBO HUU IMEISHAAA❤
@EmmanuelMikael-in1ej
@EmmanuelMikael-in1ej 2 ай бұрын
Wimbo mzuri
@user-cq8nd4ek8w
@user-cq8nd4ek8w Ай бұрын
Amen,Amen, Alleluya Kweli kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri yakwamba YESU NI BWANA
@edwardchange1407
@edwardchange1407 2 ай бұрын
May God bless you abundantly and protect you, plus your family.
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391 2 ай бұрын
Ila mimi ninaumia saana nikilinganisha huduma ya huyu Mwamba na mateso yake,aa basi MUNGU WEWE NDIYE MWENYE MATUMIZI NAE MTUMIE UPENDAVYO AMINA
@user-uh6of4dk6h
@user-uh6of4dk6h 2 ай бұрын
Cjui niseme Nini katika huu wimbo asiyebarikiwa na huu wimbo bass c wa uflme wa mungu na anahitaji kuokoka kabisa.aminaa MCH.mwakipesile
@jacksonlucas9322
@jacksonlucas9322 2 ай бұрын
Goood ubarikiwe Mbarikiwa una kipaji Cha kuimba
@purymumykarisa8863
@purymumykarisa8863 2 ай бұрын
Wow that's wonderful
@pris_jimsband
@pris_jimsband 2 ай бұрын
Amina kubwa
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana huu nimeupenda
@mussajanke
@mussajanke 2 ай бұрын
Neema ni nyingi sana
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 2 ай бұрын
siku zote msema kweli kuchukiwa nakupingwa ila kweli itabaki kweli milele.hata katika ngazi ya familia mkikaa vikao vya familia ukiwa unakosoa wengine kwa kuonya katika yaliyo mabaya kwakesema ukweli wa ubaya huwa itachukuwa,ila kuonyana na kufundishana sio dhambi.Mtu wa Mungu fanya kazi ya Mungu iko siku utalipwa na Mungu na wengi ikosiki watakukumbuka nakuelewa mafundisho yako
@nethosiame14
@nethosiame14 10 күн бұрын
Sauti ya mtu aliayeee Duniani kwasasa. 😭😭😭
@eliaschipanda2006
@eliaschipanda2006 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu. Uko na Mungu. Kamwe hawatakuweza. Songa mbele ili umtangulie shetani.Amina sana
@mtumishiwamungunelson1684
@mtumishiwamungunelson1684 9 күн бұрын
Wimbo unaniliza huu mimi
@user-du3pd7gb4c
@user-du3pd7gb4c 2 ай бұрын
Mungu tusaidie mwenye dhambi akiambiwa dhambi yake anachukia anataman akuue wakati unamupenda Unataka arekebishe,Ili apone,mi natamani nikifanya vibaya Mtumishi wa Mungu hata angenibiga makofi siwezi kuchukia ndipo nitampenda zaidi kuliko mitumishi Ambayo inachukuliana na Uovu.hii Mimi siipendi wanadamu hizi ni siku za Mwisho,unapo tenda uovu umedhalilisha jina la Yesu ukionywa wengine wajifunze wewe unakimbia mahakamani hii ni ajabu sana !!! Ukiharibu hadharani inatakiwa ukemewe hadharan Ili usihalalishe ule ubaya ulio Fanya
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@JuneJune-xf4pc
@JuneJune-xf4pc 2 ай бұрын
Baba Mungu akuweke miaka mingi pamoja naunayo pitia ila Mungu yupo nawe
@PelesiMethod
@PelesiMethod Ай бұрын
Amen Asante kwakutukumbusha haudaiwi kwakila atakae sikia wimbo huu in🙏🏻🙏🏻
@edenfamilymelody
@edenfamilymelody 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi ni faraja tunapoana uko na furaha, maana watesi siku zote wanatamani uendelee kuumia na furaha zaidi pale wanapoona ukionyesha hali ya kuumia. Inatia sana moyo tunapoana unamsifu Mungu kwa furaha
@joyceseguni2038
@joyceseguni2038 2 ай бұрын
Wimbo wa kutuvusha
@user-do9mr6cb1l
@user-do9mr6cb1l 2 ай бұрын
Waovu wakiutazama wimbo huu wanaogopa sanaaaaa wanatetemeka, ila mioyo Yao kubadilika ni migumuuuu!!!!!
@user-wf5tx3cw8e
@user-wf5tx3cw8e Ай бұрын
Mini mkenya lakini kwa hakika baba mbarikiwa nyimbo zako zinafanya unajitowa tu mwenyewe kwa dhambi maana kuna siku ambayo mwakipesile alivo kuwa anawambia na kuna wengi wanasema huyo amepagawa lakini kuna siku watajuwa umuhimu wako hata Noah alinza tu hivi watu wakamudharau kejeli lakini kilicho tokea ni majuto
@FayChalamila
@FayChalamila 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana abariki familia yako na vitu vyako vyote mungu azidi kukuimarisha afya njema oooooh Jesus bariki mtumishi huyu
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 2 ай бұрын
Amen alellujah,,, BABA mtumishi ludi kwenye hizi mambo,, Yani tukisikilizaga haya mambo hata tushida tunakimbia,,
@EmmaKija
@EmmaKija 2 ай бұрын
Hakika wimbo mzuri sana unaleta amani na utulivu kiroho
@gracelossy19
@gracelossy19 2 ай бұрын
Aminaaaa, ubarikiwe songa mbele usiache kusema kweli ya Mungu
@user-wv9wc6yr1u
@user-wv9wc6yr1u 2 ай бұрын
Mungu yu pamoja na mtumishi na katika hayo yote wewe ni mshindi
@user-vq8gk2ub8s
@user-vq8gk2ub8s 2 ай бұрын
Baba mungu akupe kibali chakuishi miaka mia unatuponya mwengi
@barikimtukula1619
@barikimtukula1619 2 ай бұрын
Ubarikiwe baba kazi zako zimevuviwa
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 2 ай бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana baba mungu aendelee kukuinua
@user-nt4rt4hz1h
@user-nt4rt4hz1h 2 ай бұрын
Hakika huu Wimbo unautukufu wa bwana,amen amen amen.❤❤❤❤❤
@FrankMwampashi-om9ww
@FrankMwampashi-om9ww 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 ай бұрын
Amina Amina,,,njoo BWANA YESU KRISTO
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 ай бұрын
Wimbo huu ni neema kutoka kwa mungu ni kwa vile sisi binadamu tumekuwa wagumu kupokea neema hii
@SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc
@SARAHTITOMWAMPASHI-vn9hc 2 ай бұрын
hakika Kila ulimi utakiri yesu ni mungu
@emmanuelMbembela-oy7pi
@emmanuelMbembela-oy7pi 2 ай бұрын
Daaaaaah jamani mungu anavyombo vyake Dunia kama shetan alivyo
@user-cw2pm4hg4t
@user-cw2pm4hg4t 2 ай бұрын
Nimekusoma sana baba
@Kasa.c
@Kasa.c 2 ай бұрын
There is something great God has put in his life. How I wish he stops criticizing people and situations. Vita hivyo ni vya mungu mwenyewe.
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe mtumishi wamungu
@user-lq4mq7rz6h
@user-lq4mq7rz6h 2 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu wetu juu mbinguni amen hallelujah
@miliamdaniel9046
@miliamdaniel9046 2 ай бұрын
Amina mtumishi. Wimbo umenigusa sanaa
@user-ge2vv4zp3i
@user-ge2vv4zp3i 2 ай бұрын
Kwanini weye njo umemutukana shusho kwa sawuti ndefu?.ungemuita unamwambiya muko wa wili.umeongeza cuki ndani ya shusho na weye tena.Na mungu amesema tupendane .tushauliyane.kwa Nini mungu amesema mwenye hajafanya Zambi acukuww jiwe apige ule mama?wote wamefika wanakimbia
@EmmanuelKiula
@EmmanuelKiula 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa YESU anakuja! Pinga upingwe.
@annaezra2344
@annaezra2344 2 ай бұрын
Acha wakusumbue mchungani wataenda na mafuriko mda mfupi ujao sijue wataenda kujibu nini kwa mungu
@valentinakisaka7843
@valentinakisaka7843 5 күн бұрын
Albamu inaitwa vuguvugu
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 ай бұрын
Mungu mwema akubariki mtumishi wa mungu
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 2 ай бұрын
Hahaaaaaaa Baba mtumishi hatuoni kweli eti vimbunga vina majina, Mungu tusaidie tuzijue nyakati
@JentoMmary-et7py
@JentoMmary-et7py 2 ай бұрын
Hakika nais kumuona Mungu kwa ujumbe huuu .......wakujikinai nmewaona ukengeufu
@b.i.gnotorious7947
@b.i.gnotorious7947 2 ай бұрын
🎉
@leonardjamson-tb4jj
@leonardjamson-tb4jj 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana huu
@joyceseguni2038
@joyceseguni2038 2 ай бұрын
Amen sanaaa
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i 2 ай бұрын
Ameena nimebarikiwa sana Mtumishi.
@user-ub8vm1go9j
@user-ub8vm1go9j 2 ай бұрын
Wimbo kutoka rohoni ❤❤❤
@user-br5yb2uf4o
@user-br5yb2uf4o 2 ай бұрын
Àmiñà kubwa sana
@wonderkapichira6929
@wonderkapichira6929 2 ай бұрын
Amen it's powerful massage pastor keep it up more than, we are living in end of the days, may almighty father blesse you man of God l blessed. Mungu akubaliki amen.
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 2 ай бұрын
Anakuja kuwalipa akina Nape......😭😭😭 wapende wasipende
@PastorsTz
@PastorsTz 2 ай бұрын
Inginia inginia,,,sawa watalipwaaaaa kwa kazi zao
@PastorsTz
@PastorsTz 2 ай бұрын
Eunice😢😢
@samsonnwampinga7787
@samsonnwampinga7787 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@MenasehLiula
@MenasehLiula 2 ай бұрын
God bless you mbalikiwa
@happymvula
@happymvula 2 ай бұрын
Mungu atusaidie kujiandaa
@GossesMwambene-eg8lo
@GossesMwambene-eg8lo 2 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏
@Agnesimtaitin
@Agnesimtaitin 2 ай бұрын
Amen baba
@Kasa.c
@Kasa.c 2 ай бұрын
Thank you for the song . I'm blessed.
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Amina anakuja mfalme
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 ай бұрын
Wimbo mzuri wa kuponya roho na mwili
@NuruMbwile
@NuruMbwile 2 ай бұрын
Baba we sema kweli utakapoishia atakuwa Mungu ameamua penda sana nyie
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 2 ай бұрын
Barikiwaaa
@user-vt1hr7vm6p
@user-vt1hr7vm6p 2 ай бұрын
MASHACK NA ERICK WA LWASHO SONGWE TUMEBARIKIWA SANA NA HUU WIMBO
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 2 ай бұрын
TULIO SAFARINI TUJUANE WAPENDWA
Video music. Heri kung'ang'ania kwa Yesu. Mbarikiwa na mke wake June 2024
11:39
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 7 М.
Video music. Naijulikane kuwa uko Mungu wa Eliya. Mbarikiwa Mwakipesile
10:54
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 35 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 181 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 59 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,6 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Mke wa mbarikiwa ala kiapo juu ya wimbo huu
11:58
Yusufu Mahendeka
Рет қаралды 1 М.
Good quality VIDEO MUSIC; MBARIKIWA MWAKIPESILE ANAKUJA YESU
11:02
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Рет қаралды 2,4 М.
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 197 М.
WIMBO WA TENZI NO 129..    Na MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE
7:52
Mwl. Mussa Paul
Рет қаралды 15 М.
UNABII KUHUSU TAIFA LA MAREKANI ||Prophetedmoundmystic
6:47
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 18 М.
Full video. Tenzi NO. 80 kuoshwa kwa damu. Mbarikiwa Mwakipesile wimbo mpya
9:04
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 48 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 181 МЛН