Mimi ndie wakwanza ku comment 🎉nipeni like zangu ❤❤
@PrinceBonnyTz811 ай бұрын
Likes hua inawasaidia nin
@BarackOmary11 ай бұрын
Nice
@MikaelAmr11 ай бұрын
Kosa wa2 wasifie kwamba wa2 wana Fanya kaz nzur kazi kuomba like 2
@MikaelAmr11 ай бұрын
@@PrinceBonnyTz8 wame kosa kaz hawa
@cosmascastory919310 ай бұрын
Kazi wafanye wengine likes uombe wewe duuuh
@hashimuyiredisawiniq899211 ай бұрын
Stivu , Nakuomba uyo Dada Usimuache, Anatuongezea ziku za kuishi kwa kweli'
@kingrabi511811 ай бұрын
Ndio kbs hata Mimi nimempenda
@Bushman54444 ай бұрын
Huyu mama ni danger. 🇰🇪
@annasaidi561311 ай бұрын
Uyo dada anaongea saaaaana jamani 😂😂
@berthamavere567111 ай бұрын
Kusema ukweli huyu dada nampenda, toka enzi zile za MKOJO WA NGEDERE🤣🤣🤣😋
@jacquesmulalirya170411 ай бұрын
Wamama wa ki Africa😂😂 mama sele😂😂,,hii from congo 🇨🇩 pamoja 🤝sana nawapenda sana
@hatangafelix559811 ай бұрын
We dada kama uko ivo na maisha ya kawaida mume wako ana shida kweli kweli 😢😢mtu unaongea kama umewekwa batteries
@user-qs3mr5ze7g11 ай бұрын
😂😂
@eugenenkandu128711 ай бұрын
Such people they are so quiet in their normal life
@mercy34211 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@owenjuniorkravecki787411 ай бұрын
@@eugenenkandu1287 sio kweli
@consolatamedard659311 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@daaemerson358611 ай бұрын
Uyu dada nime mpenda❤🇧🇮🇺🇸
@tozzymusic25411 ай бұрын
Huyoo dada simpendi anangea mpaka Ana boa yani Steve na ndaro mob love from kenya bros
@emmanuelbernard955211 ай бұрын
Huyu dada yupo vzur sana,sana tu.
@jovithatibatekeleza659811 ай бұрын
Steve huyu dada ni kiboko usimuache😂😂
@PacifiqueSumaili-xg5xk11 ай бұрын
Nipeni jina la uyu mdada mama SELE, namkubali kabisa 💪💪💪💪💪💪💪💪 mama kazaa kokoto.
@Izohdemepp11 ай бұрын
Zainabu
@everlynkimaro4011 ай бұрын
TATU KIPEPE🤣🤣
@PacifiqueSumaili-xg5xk11 ай бұрын
@@everlynkimaro40 🤣🤣🤣
@consolatamedard659311 ай бұрын
Tatu unarangi nzur Mpenzi usijichubue jaman umependeza haswaaa❤❤❤
@qaseemayoub675811 ай бұрын
Master of ending ndaro😅😅
@abdulrahimdasilva396611 ай бұрын
Stive unaongeaga sana lkn uyu mdada kiboko 😂😂😂
@elijahclassicboy822811 ай бұрын
Stive uyu dada usimwache jamani ana mambo uyu jamani ❤
@consolatamedard659311 ай бұрын
Sana anajua
@hajrabablysh889211 ай бұрын
watanzania bana, we angalia content iliyopo sio kubagua, talents zamtu huyo dada yupo fresh, sema mnayataka yakilasiku, hkaaah, kazi nzuri sana Steve support wengine
@francismuthiani34911 ай бұрын
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪😅😅😅😅.
@Izohdemepp11 ай бұрын
Black is beautiful, being African is sweet.... What a beauty!! I love the Energy of Mama Sele😂😂. Onelove from Kenya
@erickkalama38211 ай бұрын
Tatu 😂😂😂 new signing ina mdomo😂😂😂😂😂 one love from kenyaa
Ahahahahaha😅😅Watanzania wanasema kabisa kama kapalata wa congo kabisa, sijawahi kusikiya watu wanaongeya kama wa tanzania kweli. Steve usimuache uyu dada kweli..
@rendee26711 ай бұрын
huyu dada anajua sana
@ndikumanaarchimede317211 ай бұрын
bumekuca sasa.mpaka steven kazima na akaziba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GhislainNyakasane-sb9tl11 ай бұрын
Amesema sana mpaka masikio yamefungana
@user-fs7hl6vg2p11 ай бұрын
Mumetisha saaaaana mwaaaaasmbaaaa
@user-xf6cm3in8t11 ай бұрын
Ndaro na Steve nawakubali sana
@ojunecyprian372711 ай бұрын
Enyewe humu ndani kazi ipo
@user-lv3yu7bg3b11 ай бұрын
Yaaani hyo dada atolewe kwenye hii comedy Hana motisha😢
@rehema-lg5cl11 ай бұрын
Kweli kabisa mimi ananiboo😢
@clintonikyando641011 ай бұрын
Dada yupo good sio lazima kila sku tuwaone wale wale acha roho mbaya
@RichardKabasa-iu4gp9 ай бұрын
KHAA 😮 SELE kazi unayo dogo 😂😂😂 mmh ndaro nao Kaz bado hawajaanza kimenuka
@kalibuoy385011 ай бұрын
Steve kaimba hehe😂😂😂
@mbogazamajanicrew332611 ай бұрын
Kwani huyu HAMADI mwenyewe kasemaje
@SuLeimanHusseinShehe11 ай бұрын
Hahahahaa nampenda uyo mdada akiongea hamezi mate
@benmpoletv68311 ай бұрын
Shabiki mkuu from kenya. My likes please
@DIEUMEJRTZ-wu3cw4 ай бұрын
niatari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 africa moja iyo
@irfanabdi887711 ай бұрын
Anaharibu hatupat kucheka mtoe huyu mwache akaigize serius movie
@agostinhocosmetobias897111 ай бұрын
Dada umetisha kama ni hivyo ni bora kukaa bila kuowa from 🇲🇿
@user-ys9hb1pm1g8 ай бұрын
Nimempenda uyu dada anachamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SaidSalum-bo1bg2 ай бұрын
STEVN namtafta uyu dad
@Barry.ginger11 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰👊👊nice one🥰🥰🥰🥰
@auleusmuyamba420811 ай бұрын
😂😂😂😂Daaaah huyu dada!!!!!
@tumajunior608011 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hatuja pata kazi lakini hapa ndani kazi ipo😂😂😂😂😂😂😂❤❤🥰🥰🥰🥰🥰
@sospeterkinunda11 ай бұрын
Nainjoy Sana kutoka mbinga ruvuma tz
@Relaxer0211 ай бұрын
Waah Tatu ni Kijenereta cha Tiger😂😂
@andallaathman385611 ай бұрын
Inasinya hapa hapa dakika zote zimeisha kwake wala huoni point
@theophilwhiteheart199711 ай бұрын
😂😂😂huyu dada ukijaaa kwenye 18 zake walai anakuua na maneno
@FathmaIbrahim-pj7es11 ай бұрын
😅😅😅😅khaa
@HeroJoseph-nm8pv11 ай бұрын
Stivy ameshtuka 😂😂kumskia amad kijicho kumb mam sio poa,mumezoeya ma bodaboda sas huyo hapo jee mpo kikazi!!!!?😊
@mercyfaith85669 ай бұрын
Waongea sana adi waboesha aalaa
@omarokech739511 ай бұрын
Dada unasema kama chiriku Duh! Nakukubali
@EliasJohn-lc8nu11 ай бұрын
Dogo sele tunakupenda iringa
@jacksonmadulanga712111 ай бұрын
Duuh huyu kaweka chelehani mdomoni ase
@ambrose-exclusive-hunterst3535 күн бұрын
Steve et hataki kazii 😂😂😂😂😂 kakomaa leo😂
@user-nm8fk6ui4r6 ай бұрын
mmetisha ndaro na steve
@user-uh2yu5sp5c7 ай бұрын
Uyu Dada mwisho aloooh dah no comenty
@joshuanyaulingo410911 ай бұрын
Steve ,,,ety had hamad kijicho😅
@fettyulomiamina907111 ай бұрын
Weeeeee tukome wakina fatuma
@RemmesNemmes-uo6gj11 ай бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Ndarooo uachweeee Ila Humo ndani kazi Ipo Kwel
@fatmaally725210 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atuja pata kazi lakini umu ndani kazi ipo uwiiii 😂😂😂😂😂
@irfanabdi887711 ай бұрын
Steve mtoe huyu hii ni comedy sio serious
@mugencomedytz997311 ай бұрын
Huyu demu tusimuache 😂😂😂😂bhn
@kassimmachela825911 ай бұрын
Ukioa mke wa aina hii unaweza kufungwa ana mineno michafu hatari
@user-ux2nr5yw2p4 ай бұрын
Uyu Dada mm namwagiya manji
@scholarrimoy81323 ай бұрын
Unaweza mudog wangu
@Fc_mobile20211 ай бұрын
nimependa sana ❤❤❤👊👊 👊👊 👊👊 👊
@hamisisalim8 ай бұрын
Steve unaweza kaka
@levisdiamond479711 ай бұрын
Ujaribu uweke ndani mke kama huu utatamani ujana urudiwe utongoze upya.
@nockigona516011 ай бұрын
angalia video zake tibwili la asha ngedere utamuona ni wa kitambo mno sema stiv kamuamsha upya