Me siwapendi paka ila siwachukii na sipendi kukaa nao ndani
@pilimwanza8117 Жыл бұрын
Muandishi unapandishia maswali ila hongera mana napenda Paka. was interesting
@HarounMbegu2 ай бұрын
We Mwandishi huna utulivu,umeuliza swali hajajibu unaingilia
@Mr.officer99 Жыл бұрын
Wazuri 🥰🥳👍
@rashid3562 Жыл бұрын
Unaweza San journalist
@abudhaim45852 жыл бұрын
Good .. Golden mtiro
@hannafal-handro97922 жыл бұрын
Thanks
@sharbaidysalum4 ай бұрын
Huyu muandishi 😂😂 kituko hana utulivu hajuwi hata maswali
@swahibmaqaam93132 жыл бұрын
Interview nzuri sana
@hannafal-handro97922 жыл бұрын
Asante sana
@najashrk37382 жыл бұрын
Paka wamitaani wanakula mpaka tosi na boflo 🤣🤣🤣
@rastapeace96162 жыл бұрын
Baba nambie ras hongera sana
@tulivumacha10 ай бұрын
Nataka mweupe
@aliy33032 жыл бұрын
Muandishi hongera kla jiongeze ktk ufanisi wa kazi
@FatmaFatmA-qk3zl2 жыл бұрын
Kweli PAka wanabei sana sana sana ata Omani piya
@rashid3562 Жыл бұрын
Iyo Kaz naamin so yke kawezeshwa na mzungu huyo , na pia huyo ni Rasta man Hana dini au mlevi tu
@khadijamzee7718 Жыл бұрын
Etoo anasali sala tano, na halewi kilevi chochote wl bange ni mtu mzur mm nimemjua kupitia paka wangu nllikwenda kufata kupandishia, ni mtu mzur huezi amini nilimkuta anatoka masjid alaasir, huez amin cover yake na yy tofaut