MSOMI WA DEGREE ALIYETAJIRIKA KWA KUFUGA MBWA HATARI, ANAO ZAIDI YA 300, MBWA HADI MILIONI 10

  Рет қаралды 26,488

Millard Ayo

Millard Ayo

3 ай бұрын

Пікірлер: 68
@johaivenemil2608
@johaivenemil2608
Hivii Vipindii huwa ni vizurii sanaa kwenye hii channel ilaa napenda kutoa maoni yangu kwa haswa wanakuwa wanahoji they should atleast do some home work sababu apaa tukiangalia tunajaribu kutafta cha kujifunza wasiwe kama wanapiga story wawe na vitu crucial vya kuuliza iswe na wao wanashangaa they should atleast have something ili na watazamaji kupata madini ya kutoshaa
@hamismndeme9501
@hamismndeme9501
Napenda kuona watu wakiingia kwenye ufugaji bora wa mbwa. Safi ndugu yangu mringo
@mosespeter5618
@mosespeter5618
Mimi nipo south Africa Pretoria hongera sana ndugu yangu nimkwel aina hii ya mbwa inabei sana nitatafuta mawasiliano yako kunakitu umeniongeza sana .
@geofreymsofe4429
@geofreymsofe4429
Hongera ndugu umejitahidi inabidi utafute na breeds nyingine
@KhalifaMustapha-lx7ni
@KhalifaMustapha-lx7ni
Gongradulation 🎉 brother god stand with you on your business ❤❤
@nwntz
@nwntz
Safi sana kijana mwenzangu ✊✊✊
@aloycemathew3926
@aloycemathew3926
Nakubari kakaaaa!!!!! Mringo hardweare
@unuc4100
@unuc4100
Iyo hesabu ya wapi mtangazaji 16+8=30
@lefinhoAbubakary
@lefinhoAbubakary
Boom Allah atuongezee kweny kaz ya mikono yetu
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815
Hao mbwa ni noma kabisa aisee, Wana hatari sana
@highlightboy255
@highlightboy255
MSOMI WA DEGREE TATU ANAUZA NYANYA KARATU OYAA WANANGU TUPAMBANE TUJIAJIRI
@CharlesChizo-se2qt
@CharlesChizo-se2qt
sio masihara hata me ndo kazi yangu hiii ukiona km dharau hv ila wanahela nzuri hao viumbe ooohoooo
@dstar8454
@dstar8454
goood sema mm nnamtafuta alabai dog nnaweza kumpataje?na shingapi hata kama ana miez 2 powaaa
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b
Rajab handsome
@user-zu5ee3qe6u
@user-zu5ee3qe6u
Duh ni bora uweke cctv tu yaani milion2😂 akiugua ama kufa 😢
@SarahLyimo-wr3ed
@SarahLyimo-wr3ed
Mimi nahitaji huyo mbwa nipe mawasiliano yakopls
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342
NONDO WA ARUSHA Ndio Kiboko yao.
@YogweMwakulola
@YogweMwakulola
Yaani hamjui ata hesabu 8+16 ni 30 kweli ?
@amrandonwayz3445
@amrandonwayz3445
kaka pupy wako viwango sana ntarudi kuchukua wengine aisee
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199
Bruh unahitaji elimu zaidi (dogshandler)
Kilimo Almasi: Ufugaji Wa Mbwa
29:47
NTV Kenya
Рет қаралды 34 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 40 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
MTANZANIA MWENYE NG'OMBE ANAYEUZWA MILIONI 12 'NAUZIA MBWA MAZIWA'
7:18
FAHAMU KUHUSU MBWA AINA YA BOERBOEL DOG
1:29
Mifugo Tanzania
Рет қаралды 118
Biashara ya mbwa ilivyobadili maisha ya kijana wa Tanzania
4:09
BBC News Swahili
Рет қаралды 16 М.
MFANYABAISHARA ARUSHA AJENGA HOTELI YA KULAZA MBWA WA WATU WENGINE
19:14
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 40 МЛН