Рет қаралды 9,835
Bi Kioni Khatibu Sharifu (27) Mshindi namba moja wa Juzuu 18 kwa Wanawanake ambayo yaliyofanyika tarehe 15-08-2021 Jiji Dar Es salam katika Ukumbi wa City Garden. Amekua mshindi wa namba 1 na kukabidhiwa zawadi ya Kiwanja ambacho kipo maeneo ya Vikindu Mkowa wa Pwani Wilaya ya Mkuranga, kiwanja hicho chenye Mita upana 16 na urefu 16 akikabidhiwa na Mratibu wa Mashindano hayo Ustadh Muhammad Onari Samata. Bi Kioni amekabidhiwa Kiwanja pamoja na Pesa taslimu za Kitanzania Laki tano.