Karibu ujifunze somo hili na umshirikishe na mwingine ili tuweze kujinusuru sisi na uzao wetu. usisahau ku Subscribe
Пікірлер: 6
@magrethuronu7190Ай бұрын
MUNGU akubariki Sana mwlm na akutunze kusudi lake ndani yako likatimie AMINA
@lymsannouncement23217 күн бұрын
MUNGU akubariki sana mchungaji kwaku mleta mtumishi wa Mungu James kamera. KWELI HUYU MTUMISHI Mungu ambariki sana KWELI Kila nikimsikiliza lazima utoke na kitu kikubwa SAAAANAH
@innocentmwakisale61334 ай бұрын
Hii siku nilibarikiwa sana Mungu akubariki sana Mchungaji kwa vyakula unavyotupa.
@justinendizeye7144 ай бұрын
Mungu tusaidiye umurinde huyu mwalimu wakristo tujitasmini sana