IBRAHIM ALIVYOKABIDHIWA ISRAEL/KAANANI NA MUNGU

  Рет қаралды 179,728

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

3 жыл бұрын

#Palestina#Israeli#Ibrahimu#Wayahudi
• RAMANI SITA ZINAZOONYE...

Пікірлер: 234
@two_ti2ramlan993
@two_ti2ramlan993 9 ай бұрын
Huwez kuiacha israel kwenye raman ya dunia amin ucamin itakupa tabu mana ni mungu ndio kaiinua...nayapenda sana haya maneno mungu zidi kuipigania israel na watu wake mkono wako ucwapungukie naomba haya kwa jina la yesu ameeen
@Joserine-kw7sg
@Joserine-kw7sg 9 ай бұрын
Amin😊
@lydiakajuju3477
@lydiakajuju3477 8 ай бұрын
Amen
@samsonoyugi7317
@samsonoyugi7317 8 ай бұрын
Israel the choosen people of God
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 3 ай бұрын
Ibrahimu sio myahudi
@patiencekalondji8091
@patiencekalondji8091 2 ай бұрын
hallelujah hallelujah mtumishi tunashukuru ila nafikiri kwamba Abraham alitumie uongo ili farao apate ujumbe wa Mwenyezi Mungu na baada ya farao kupokea Neno la Mungu kupitia Abraham ndipo farao alikubali na kumpa Abraham hesma
@marymaria6544
@marymaria6544 9 ай бұрын
Amen asante n mebarikiwa sana Kwa hii simulizi YA baba Wa Imani kuu
@christineneema3008
@christineneema3008 2 жыл бұрын
Umesimulia vizuri mungu akubariki daima
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Amen
@peterupete8620
@peterupete8620 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@user-eq9ip5ng5o
@user-eq9ip5ng5o 8 ай бұрын
Ahsante Sana kwa historia nzuri na ufafanuzi huu🙏🙏🙏🙏💜💜💜💜nimeipenda Sana hii God bless you and your family
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj 9 ай бұрын
Ameeen ameeen ubarikiwe mnoo mtumishi wa MUNGU❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@peacemwesiga
@peacemwesiga 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ukweli itabakia kuwa ukweli daima milele asante Mungu Baba❤❤❤❤
@gracewilfred7276
@gracewilfred7276 Жыл бұрын
Mungu ahadi zake ni ndiyo na amina
@KissaShao
@KissaShao 8 ай бұрын
Jina. Mungu ni vema usianze na herufi ndogo mungu x tumia Mungu au MUNGU . ubarikiwe.
@schollastickamathanacki6062
@schollastickamathanacki6062 3 жыл бұрын
Hongera kwa simulizi nzuri Mungu akubariki na azidi kukutumia kuwasaidia watu kujua ukweli
@BarakaPeter-yi2nh
@BarakaPeter-yi2nh 9 ай бұрын
Mchungaji umebarikiwa sana akili mungu alio kupa ni zaidi ya wanasayansi tutazidi kukuombea mchungaji mwema wetu❤
@ClementVenance
@ClementVenance 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@Beatriceandeyo
@Beatriceandeyo 9 ай бұрын
Historia nzuri sana ,nimependa kuuisikia sana ,barikiwa sana mtumishi wa mungu
@johnlodaan
@johnlodaan Ай бұрын
Amin Amin.
@kennedykimaro-ss1ll
@kennedykimaro-ss1ll Жыл бұрын
unarikiwe mtumishi wa mungu
@kijanamdogodogo9439
@kijanamdogodogo9439 3 жыл бұрын
Good story Hongera sana tena sana
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 3 жыл бұрын
asante sana sana
@GnakoGnako-ee6jr
@GnakoGnako-ee6jr 8 ай бұрын
mtumishi mungu hakubaliki sana najua IPO sku watajua hukweli kama huu
@user-fi2tm6gy6m
@user-fi2tm6gy6m 4 ай бұрын
Wakenya wafamu neno lamungu ili waaze kuwa mwanadamu zizi wote ni viumbe vya mungu ❤
@user-fk8ul9dd5p
@user-fk8ul9dd5p 8 ай бұрын
wakristu kwa mungu hawajulikani ungeniambia wayahudi kidogo hawo mungu anawafaham kama unabixha niambie dini ya ibrahm
@derickmponzi6582
@derickmponzi6582 9 күн бұрын
Kama MUNGU alimtuma YESU kristu sasa iweje asi wafahamu wafuasi wake ambao niwa kristu
@njugunamichael4017
@njugunamichael4017 3 жыл бұрын
Yahweh ndiye aliyemuita abrahamu, sio mungu mungu ni muchawi ama shetani baba ya Malaya na wezi
@judymwende571
@judymwende571 2 жыл бұрын
Amen
@lulutambi8518
@lulutambi8518 9 ай бұрын
Sasa Yahweh maana yake nin ??
@genstaremetv7997
@genstaremetv7997 9 ай бұрын
Amen ubarikiwe
@omarmgeni8782
@omarmgeni8782 3 жыл бұрын
Lkn Nabii Ibrahim alikua muislam
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 Жыл бұрын
Uislam ulikua hauja zaliwa, uislam una miaka 1660 tuu. Tofauti na ukirsto
@andrewkundya7324
@andrewkundya7324 Жыл бұрын
Ndio mlivyodanganywa....someni mtoe ujinga
@andrewkundya7324
@andrewkundya7324 Жыл бұрын
Uislam ulianza baada ya kuzaliwa Muhamad
@irene3abi123
@irene3abi123 9 ай бұрын
Uislam ulianza baada ya YESU kufufuka na kupaa mbinguni Uislam ni uzao wa maid
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 3 ай бұрын
Uislam uliasisiwa na mtume wa mwisho, Mohamed.
@kombozimbwilo4289
@kombozimbwilo4289 3 жыл бұрын
Ameni apo tupo pamoja kabisa nb zangu zimetumika KWA faida
@user-zz8qr9gn1f
@user-zz8qr9gn1f 8 ай бұрын
Anayejiita Dr Sule na wapotoshaji wenzake hawaelezei kisa hiki cha Mungu na nabii Ibrahim Sule huungana na waarabu wavamizi wa KANANI au Palestina kupotosha ulimwengu ndiyo maana kichapo kinaendelea maana wanapinha mpango wa mungu
@afidhidadi8847
@afidhidadi8847 8 ай бұрын
Simulizi hii na simulizi ya Dr sulle hazina tofauti yoyote. Asa nyie mnagawanyika vipi wana wa kizaz kipya. Maana pia suala la wake wengi kumbe limenza Kwa baba wa Iman abraham.
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 2 жыл бұрын
Jamani,!!! Yani nimeinjoy kwelj kuskiliza simulizi hii 😍😍😍
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
barikiwa sana
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 8 ай бұрын
Simulizi gani wakati NI ukafiri huo.
@user-ci7hd4ip6x
@user-ci7hd4ip6x 9 ай бұрын
Amina mungu akubariki sana mtumishi
@rehemar3659
@rehemar3659 3 жыл бұрын
Ameen
@dismasmtui729
@dismasmtui729 8 ай бұрын
I am a proud christian and I will always be!.
@access48hottestnews56
@access48hottestnews56 3 жыл бұрын
I like your researched keep on
@chairokongo5430
@chairokongo5430 3 жыл бұрын
Yes its good BT this are found in the Bible you can read it and you'll get real knowledge.
@genevievesunday
@genevievesunday 9 ай бұрын
Asante Kwa fundisho barikiwa
@johnlodaan
@johnlodaan Ай бұрын
Waah amin amin, duniani nzima watamini.
@user-ot2xk9kc9y
@user-ot2xk9kc9y 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
🙏👍 A man of God
@jaybeesharon1067
@jaybeesharon1067 2 жыл бұрын
Siri za bibilia Imekua baraka Kwangu
@wallenmaulisa-me4ik
@wallenmaulisa-me4ik 9 ай бұрын
Barikiwa sana kwa neno
@kiraithedouglas
@kiraithedouglas 9 ай бұрын
Sijawahi ona ama kusikia kuja diini yetu utapata Mali ,,,ama tutakupea pesa uwe tajiri,,, dio mahana nko tu kwa mafunzo ya baba wetu aliye mbinguni Amen
@user-ch5wd9dp8h
@user-ch5wd9dp8h 9 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@user-bw2bg6ie4c
@user-bw2bg6ie4c 9 ай бұрын
Bwana awabariki wapendwa abwana
@josephbendera3992
@josephbendera3992 9 ай бұрын
Amina huu ndo ukweli Israel lile NI taifa walilopewa na Mungu mwenyewe
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v 9 ай бұрын
Mungu ongeza ngumvu Israeli
@MyebeChalres
@MyebeChalres 7 ай бұрын
ubarikiwa sana
@user-xk1vu6jd4l
@user-xk1vu6jd4l 3 ай бұрын
Ameeen🙏
@murhabazibanywesizeeliya5246
@murhabazibanywesizeeliya5246 Жыл бұрын
Asante sana bb
@SubiraJoseph-sr7kh
@SubiraJoseph-sr7kh 9 ай бұрын
Ubarikiwe
@rukiagambere8050
@rukiagambere8050 3 жыл бұрын
Mashaallah
@pascasmathew424
@pascasmathew424 3 жыл бұрын
Wakanaani walifikiri kuwa Mungu haoni matendo Yao . Mungu aliwayapika Hadi Leo wanatafuta nchi Yao hawioni , wanasema wanaonewa tuu
@wellahsuleiman7881
@wellahsuleiman7881 3 жыл бұрын
Asante, KWA MAFUNDISHO. TUNAOMBA UTOE MUSIC UNAPIGA KELELE. HAUNA FAIDA
@user-pq9be8re6i
@user-pq9be8re6i 9 ай бұрын
Mungu haendelee kutufunulia
@user-mg6ss2rc8e
@user-mg6ss2rc8e 5 ай бұрын
Ubarikiwe ewe Israel kama MUNGU alivyosem atakayeibarik Israel atabarikiw naye atakayeilaan atalaaniw
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Sema iblhim mwoislam yule
@andrewkundya7324
@andrewkundya7324 Жыл бұрын
Soma ufute ujinga
@eliasfesto4604
@eliasfesto4604 3 жыл бұрын
Story nzuri
@JaneJoseph-op3js
@JaneJoseph-op3js 9 ай бұрын
MUNGU akubariki umeelezea vizuri sanaaa
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri 10 ай бұрын
Amen amen
@pascalhoza6297
@pascalhoza6297 3 жыл бұрын
Nataka nikusahihishe hakuwa falao aliemtaka Bali alikuwa Abimeleki aliemtaka mke wa nabii wa mungu Ibrahim.
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 9 ай бұрын
Soma biblia vizuri wewe
@Ldm7846
@Ldm7846 9 ай бұрын
Ilifanyika mara mbili..Kwa Farao na Kwa Abimeleki...popote Ibrahim alipofika alimwambia Sarah aseme kuwa wao ni ndugu. .Kwa hiyo ilifanyika Kwa Farao na Kwa Abimeleki...soma biblia..barikiwa
@betramsambali
@betramsambali 9 ай бұрын
Saaaafi sana leesamusha 5213
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 9 ай бұрын
@@Ldm7846 ngoja nitafatilia kwa kina mtu wa Mungu
@jlaafc6562
@jlaafc6562 2 жыл бұрын
Ameeeen 🙏🙏
@jlaafc6562
@jlaafc6562 2 жыл бұрын
Barikiwa sana sana
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 3 жыл бұрын
Nice
@ramazanihakizimana9291
@ramazanihakizimana9291 3 жыл бұрын
Asant sana kutujuza historian ningependa kuliza dumascus iko inchi gani nafkiri ni (Syria) kama aijasahau na inchi ya babel kwasasa inaitwa (iraq) kama skusahau
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 3 жыл бұрын
uko sahihi kabisa
@rachelevarist70
@rachelevarist70 3 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 mnachokosea wa kristo hua mnaficha ukweli yaani biblia inavyoongea nanamvyoisoma tofauti huyo sio Abraham anaitwa Ibrahim yani hata majina mnaogopa kuyataja cjui mnaogopa ñn
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
@@rachelevarist70 kabla hajawa Ibrahim aliitwa Abraham
@flova7022
@flova7022 9 ай бұрын
@@rachelevarist70 Rachel hatufichi..Ila biblia ndio imesema hayo
@shirrangimedia4570
@shirrangimedia4570 9 ай бұрын
Huyojamaa hana elimu yoyote namkumbuke kua uislamu umekuja kupinga kila kitu chakimungu duniani hatakama utawaambia ukwer wanalazimisha uongo uwe ulwer biblia ndo kitabu cha kwanza kuwepo duniani nandicho kitabu kinaielezea dunia A..2..Z nandiomaana Qur'an haizui ibrahimu mwanzo hakuitwa Abraham na Israel aliitwa yakobo hapomwanzo nahawajui kua Israel nijinalamtu ambaye watotowake ndio wanashikilia ukoo wa Israel watoto kumi nambili wanakusanya maandiko kutoka ndani ya biblia nayakwao wanatudanganya kua Qur'an ilishushwa namungu daaaa dini bwana mungu awasaidie
@user-gq6vz6we3m
@user-gq6vz6we3m 9 ай бұрын
Kuna dini Fulani inapinga ukweli maana vitabu vyao si vya Mungu havina ukweli tena wanaumia wanaposikia somo hili. Thanks Jesus amen.
@salumuluhanja2049
@salumuluhanja2049 9 ай бұрын
Ibrahim anatokea nchii gan jiulize
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 9 ай бұрын
Kasome vizur?
@wamorire2043
@wamorire2043 9 ай бұрын
​@@salumuluhanja2049Iraq
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 9 ай бұрын
@@salumuluhanja2049 Ibrahim alitokea Iraq. ....
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb 9 ай бұрын
@@aminamikidadi7754 kutokea iraq haimaanishi kwwmba nimuiraq azamani watu walikua wakitembea maeneo mbali mbali wakifanya biashara pamoja na makazi kama vile yusufu alivyo pelekwa misri hadi kuwa mfalme wa misri
@loishiyelukumay6972
@loishiyelukumay6972 3 жыл бұрын
🤲🤲
@user-bf1pv4hz8h
@user-bf1pv4hz8h 9 ай бұрын
❤❤ daima Israel
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo 9 ай бұрын
Amen Amen Amen
@JanethUrasa-qs5ot
@JanethUrasa-qs5ot 9 ай бұрын
Barikiwa
@EvaristLazaro
@EvaristLazaro 2 ай бұрын
Wakati wa Ibrahim Uislam haupo,
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj 9 ай бұрын
Kwakweli bibilia inakila UKWELI, hakuna kitabu Chenies.uhalisia.kama hiking,Mungu.nakushukuru sana kuitwa.mkristo.Amen
@NicksonChengula
@NicksonChengula 8 ай бұрын
Mngu ibaliki esraeli
@joycenose2356
@joycenose2356 9 ай бұрын
Amen
@emelykinsindi9439
@emelykinsindi9439 9 ай бұрын
Nimekuelewa vyema mtumishi
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 9 ай бұрын
Mungu hatetewi na mwanadamu,wameligoroga watalinywa.Israel ni mbonyi Mungu aliye hai.hao warabu watajuta kwa walichokifanya
@huseinmwandwani1909
@huseinmwandwani1909 9 ай бұрын
Ibrahim hakuwa muislam wala hakuwa mkristo bali alikua mcha Mungu sana
@betramsambali
@betramsambali 9 ай бұрын
Hiyo ni hoja nyingine,we sikiliza story hii ya ukweli na imeandikwa ktk kitabu gani. THE BOOK OF BOOKS EVER BEFORE.
@user-mz3hh6pr9x
@user-mz3hh6pr9x 9 ай бұрын
amani mungu baba ainuriwe
@deboramsangi360
@deboramsangi360 11 күн бұрын
Hiyo inaitwa ndoa iheshimiwe, farao alipogundua ukweli akasema mmh,,nenda na mkeo baba
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku 5 ай бұрын
Kabla ujaanza kuongelea mambo ya mungu au yawakina abraham au musa ungefuatilia kwanza ukweli kuusu mungu kama yupo kweli au ayupo na ungefuatilia kwanza uwepo wa dini afrika ilikujaje na ungeenda kufatilia ukweli na uongo wa dini ya kikristo na kiislamu ndo utajua kuwa mungu ajawahi kuwepo na ayupo ajawahi kuzaliwa au kuwa kwenye dunia hiii
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku 5 ай бұрын
Dini za waarabu na wazungu pale walipo ileta afrika ndo imefanya afrika mpaka leo atuna maendeleo nina mengi ya kusema ila kwasababu ni text au commment siwezi kusema yote
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku 5 ай бұрын
Ila hakika mungu ayupo na ajawai kuwepo in this world
@user-ze8tm5zj5q
@user-ze8tm5zj5q 9 ай бұрын
Amen ,,nimefurai sana mtumishi wa mungu
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 8 ай бұрын
Anawadanganya huyo mtumishi wenu. Israel a.k.a Yacob alikuja mbele Sana ya Ibrahim. Sasa unadanganywa maana Israel Yacob yeye Mwenyewe alizisoma habari za Ibrahim karne nyingi zilishapita.
@EvaristLazaro
@EvaristLazaro 2 ай бұрын
Ndg zangu wakristo tembeen kifua mbele kwa kuwa ninyi mmechagua njian ilyo Bora,maana mmekuwa kundi moja lenye mchungaji mmoja,jamani,jaman ukristo ni hazina kubwa na yatupasa kuisoma vyema BIBLIA
@francismsagati7595
@francismsagati7595 8 ай бұрын
❤❤
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 10 ай бұрын
Haki wakristo nimeamini sio wasomi Eti Ibrahim alikabidhiwa Israeli wakati Israel wakati wa Israeli ilikua hakuna, Israel ilianzishwa na mjukuu wa Ibrahim katika uzao wa Ishaq ndio akazaliwa Yacobo na ndiye aliitwa Israel.Wakati Ibrahim yu hai hakukuwa na kikazi cha Israel hebu someni bwana wacheni kutuletea aibu zenu hapa😢
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 9 ай бұрын
Ulie soma basi tupe abari. Umesoma madrasa au darasani poleni lakini 😂
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 9 ай бұрын
Yaaani mtu anakuekea na vifungu vya bibilia bado hawajasoma kasome wewe basi
@saitafrank4945
@saitafrank4945 9 ай бұрын
Huyu hajielewi huenda nae ndo walewale waliopo gizani sisi hatishindani
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 9 ай бұрын
Mimi binafsi apa nashindwa kuelewa historia ya dini zote inatokea apa mashariki ya kati na apo mashariki ya kati ndio pana matatizo makubwa kupita kiasi natumai sisi watu weusi kuna kitu tumefichwa apa wanaenda kutugawa ktk dini.
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 8 ай бұрын
Migogoro ya middle east ilianza baada ya dini ya kiislam kukua na kuanza kulazimisha maeneo mengine wafuate imani yao,na ndiyo maana karibu maeneo yote ya waarabu siyo rahisi kuona Watu wa dini zingine
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 8 ай бұрын
@@mwassamwassa7264 sio kweli ndio maana nasemaga kuna kitu kimefichwa sisi watu weusi tusikijue,mosri,irak, even parestina wamejaa kibao watu wasio waislam.
@eliapeter2950
@eliapeter2950 3 жыл бұрын
Sure
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 9 ай бұрын
IBRAHIM ALIISHI KATIKA MJI WA MECCA NDIO ALIUJENGA HUO MSIKITI WA MECCA NA KAABA YAKE NA NDIO ALIKOISHI NA KUZAA WATOTO WAKE ISHIMAEL(ISMAIL) MTOTO WA MJAKAZI NA ISAKA(ISAAC) WA MKE MKUBWA... IBRAHIM ALIISHI HAPO... TOFAUTI NA UONGO UNAOELEZWA NA WATU WA MADHEHEBU MENGINE
@edymoney5895
@edymoney5895 2 жыл бұрын
Duuuu hakika dini peke yakweli nayamitume ni ukristo nikitabu cha kweli ni bibilia takatifu ivyo vingine mungu avitambui
@floraflora5717
@floraflora5717 9 ай бұрын
❤❤ kweli kabisa sindiyo maana anavuruga😅vibaka
@flova7022
@flova7022 9 ай бұрын
Hamna msiseme hivyo...mm mkristu..Ila mkianza kusema hivyo mtaonekana hamtoshi...Mungu kweli anaitambua bibliaa..Ila usiseme havijui vitabu vingine unakosea... kumbuka hata kwenye Qur'an Kuna torati.
@georgemtewele582
@georgemtewele582 9 ай бұрын
Ame
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤good news
@Diana-lf3nr
@Diana-lf3nr 8 ай бұрын
🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@derickmponzi6582
@derickmponzi6582 9 күн бұрын
Mama MUNGU ndie alie mtuma YESU kristu sasa ni vipi asiwa fahamu wafuasi wake ambao ni kristu
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 8 ай бұрын
Mm nime shindwa kuelewa je Abraham alimuacha farao tena mjukuu weke musa aka mpata apa kuna uongo maali tumechezwa
@user-rt7jh8no8p
@user-rt7jh8no8p Жыл бұрын
Endelea Kuwadanganya Watu
@saitafrank4945
@saitafrank4945 9 ай бұрын
Ongea wewe ukweri tukusiki
@irene3abi123
@irene3abi123 9 ай бұрын
Share your link tujue ukweli wako,,,sanamu mtu wewe
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 8 ай бұрын
Neno litasimama tu
@danieldavid4733
@danieldavid4733 8 ай бұрын
Kuna ukweli kuwa Farao kila akitaka kufanya mapenzI na Sara alikuwa anaishiwa nguvu za kiume kwa sababu Sara alikuwa mke wa nabiii
@alimaulid9543
@alimaulid9543 5 ай бұрын
Umetuambia Ibrahim alimuowa kijakazi wake akapata mimba akawa anamzarau sara lkn cha ajabu umesema mtoto wa kwanza wa ibrahim ni isaqa huu ni uongo isaqa ni mtoto wa sara aliyezaliwa baada ya ismail?
@alimaulid9543
@alimaulid9543 5 ай бұрын
Eti umesema ibrahim alitembelewa na malaika 3 kwa muonekano wa binaadam wakaandaliwa chakula wakala huu ni uwongo malaika hawali!
@MyebeChalres
@MyebeChalres 7 ай бұрын
nikweli
@martinmkoba361
@martinmkoba361 9 ай бұрын
Waislamu wanatoa adithi za uongo kuuhusu Ibrahim na kupotosha watu
@guledomary2812
@guledomary2812 7 ай бұрын
Hivi Ibrahim alikuwa dini gani
@JosephNgangaKenyathanksjesus
@JosephNgangaKenyathanksjesus 9 ай бұрын
Ee kweli Ni ameleki 🥱
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 8 ай бұрын
Acha uwongo mbona Israel hakun wakristo? Na mungu gani m, binafsi teuwe taifa moja na kutenga wengine? Ata wewe kama unaamini Mungu yupo wew ni Israel! Soma Wagalatia 3:6,7 kwenye hii dunia hakun taifa la Israel wala bustani ya Edeni hizo ni mifano za biblia! Mfano Tanzania tunaweza kutengeneza story kuwa bustani ya eden ipo Iringa Tanzania hili tupate watalii! Kama wazungu walivyoanzisha taifa la Israel ili waeshimiwe, ninachojua mm Israel ni imani yako! Mungu sio mbaya kiasi cha kuteuwa taifa moja na kubagua wengine... Mungu wetu ni Mungu wa haki❤❤❤❤ nampenda san mungu
@KazunguKadenge
@KazunguKadenge 9 ай бұрын
Simulizi ni Kama kweli lakini umurongo soma mwanzo 13:1.... Siyo kule uarabuni mambo yote yalifanyika africa
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 9 ай бұрын
Hakuna muoslamu Wala dini ya ki islamu Bado nadhani dini ya baali ndo uislamu ulizaliwa humo
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 8 ай бұрын
I'm proud to be christian
@salamabakari8384
@salamabakari8384 8 ай бұрын
Nendeni uko msitudanganye
@guledomary2812
@guledomary2812 7 ай бұрын
Wakristo wanashangaza sana jinsi wanavyowashabikia mayahudi wakati Wayahudi wenyewe hawamkubali Yesu Wala ukristo. Na Wana muita Yesu ni mwanaharamu.. na ni marufuku kuhubir ukristo Israel na hukumu yake ni miaka miwili.
@user-pp9wd1pk4h
@user-pp9wd1pk4h Ай бұрын
Ww fuata dini kenge ww
@user-pp9wd1pk4h
@user-pp9wd1pk4h Ай бұрын
Yako
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 9 ай бұрын
Changamoto ibrahimu nimuitaliano duuu matango poli yabiblia kaz. Kweli kweli
@rodneylamai2847
@rodneylamai2847 8 ай бұрын
Umeipata wapi hiyo?
@hellen9056
@hellen9056 9 ай бұрын
Lakini ni kweli alikuwa dadaake ukiangalia ibrahim na sara walikuwa mtu na dadaake lakini walioana
@Daudshatta-zu4kq
@Daudshatta-zu4kq 9 ай бұрын
Wasiangalie ndev wakathan ukristo umeanza wakati wa aganojipya
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 9 ай бұрын
Msenge wwe kafiri unaesema kuna dini nyingie sio cha mungu laanaikushike
USITOE FUNGU LA KUMI POPOTE PALE // HAKUNA FAIDA
44:32
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 36 М.
SADAKA YA ISAKA MTOTO WA IBRAHIM NA SIRI NZITO/MUNGU AZUIA
22:17
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 21 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,9 МЛН
KISA CHA KUSISIMUA CHA NABII YONA
45:10
Pastor Lazaro Samwel Kilala
Рет қаралды 2,3 М.
#LIVE: ISRAEL KATIKA UNABII - 4 (GOG NA MAGOG)
2:03:49
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
KISA CHA MFALME SULEIMAN NA WAKE ZAKE 700 NA MAKAHABA 300
11:10
Simulizi za Biblia
Рет қаралды 101 М.
UNAOMBA SANA!!!! KWANINI MUNGU HAKUJIBU MAOMBI YAKO???
20:00
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 36 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37