UNAOMBA SANA!!!! KWANINI MUNGU HAKUJIBU MAOMBI YAKO???

  Рет қаралды 36,442

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

3 жыл бұрын

#maombi#Mungu#wokovu#kuomba
muendelezo wa sehemu ya kwanza..........
Tunahitaji kuomba ili tubadilishe maisha yetu, tunahitaji kuomba ili kudhihilisha imani yetu kwa
Mungu wetu ambaye tunamtegemea, tunahitaji kuomba ili tupate rehema na neema ya
kutuwezesha kuishi maisha matakatifu, tunahitaji kuomba ili tukue kiroho. Lakini vipo
vipingamizi/vikwazo ambavyo vinatokana na sisi wenyewe, ambavyo vinasababisha maombi yetu
yasijibiwe. Vikwazo hivyo ni kama vifuatavyo:-
• HATARI YA KUDHARAU WITO
#sirizabiblia
follow us on
website:www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
Instagram/Facebook/Tiktok- SIRI ZA BIBLIA

Пікірлер: 107
@StellaClement-cv4hv
@StellaClement-cv4hv 11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa maombi yko naona nguvu ndani yangu na vifungu vya biblia unavyotusomea huwa nakwenda kuvirudia nyumbani najihisi mwenye amani sana barikiwa mtumishi wa mungu
@jamesabraham2757
@jamesabraham2757 3 жыл бұрын
Ahsante sana. Siri Za Biblia. History zuri sana Na maombi yako Naomba na wewe kila siku mungu Akubariki sana
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 3 жыл бұрын
amen
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 2 жыл бұрын
Samahani unavyo andika neno Mungu anaza na herufi kubwa kama ni Mungu wa kweli
@JuliaMilanz-df5pr
@JuliaMilanz-df5pr Жыл бұрын
Mambo ni mazuri Sana mtumishi yaani napata Sasa faraja najua wapi nakosea barikiwa sana
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameeeen dady hakha ubarikiwe mno. MUNGU azidi kukutunza❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@agathendolage1179
@agathendolage1179 2 жыл бұрын
Mungu wa Ibrahim, Isaac na Jacob akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa somo izi nzuri za kutuongezea maharifa. Asante sana ubarikiwe na Bwana wetu yesu christu
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Amen
@cerecere5758
@cerecere5758 Жыл бұрын
Ameen mtumishi mungu akubariki umenitia mbali na ninaendelea kujifuza kutoka kwako barikiwa sana
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 27 күн бұрын
Tunashukuru mtumishi wa Mungu kwa neno la MUNGU
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c Ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi kwa ajili ya fundisho hili
@nelly-xf6kg
@nelly-xf6kg Жыл бұрын
Ubarikiwe saana mchumgaji nimejifuza asante 🙏🙏
@margaretmangala5679
@margaretmangala5679 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu nimekufatilia kwa mda mfupi lakini naona kukuwa na hamu ya kuomba na mpangilio mzuri ubarikiwe sana ❤
@annahmukai7775
@annahmukai7775 Жыл бұрын
Ameen amen mtumishi wa mungu kwa mafunzo
@alexmollel-dd5lb
@alexmollel-dd5lb Жыл бұрын
Amina rosho yangu imefunguka sioni kinyongo tena jamani Mungu nimukubwa sana nashukuru atanintetetea mingi
@FaithDoha
@FaithDoha 11 ай бұрын
Amen and amen nimebarikiwa sana
@elizabethnyanda7166
@elizabethnyanda7166 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 Жыл бұрын
Santee sana
@alexmollel-dd5lb
@alexmollel-dd5lb Жыл бұрын
nashukuru mutumishi wa Mungu ubarikiwe namungu sana kwa maombi ambayo unatufuntisha Mungu afungue mlango yako yote Amina rosho mitakatifu
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Ameen Ameen
@marrymchaki9025
@marrymchaki9025 7 ай бұрын
Kiukweli Mungu anaktumia sana na unatufundisha adi tunaelewa .....ninapo sikia mafundisho yako nafarijika sana.....wakatimwingine najikuta natokwa na machozi tu.....zidikubarikiwa Maladufu🙏🙏🙏
@emanuelthomas5905
@emanuelthomas5905 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa vipindi vizuri. Nilikua nina ombi kama utaweza kusoma kitabu cha Danieli na Ufunuo wa Yohana kama ulivyo soma kitabu cha Mathayo mtakatifu. Amen!
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 3 жыл бұрын
endelea kufuatilia channel yetu, vitabu hivyo vimekamilika tayari na muda wowote vitakuwa hewani
@johnmusyoka6015
@johnmusyoka6015 2 жыл бұрын
000⁰00000
@fahmafahma6715
@fahmafahma6715 2 жыл бұрын
Asante sana kweri kunakit2 nimekipata kabisa nashukuru sana mungu akubariki sana
@doreenlyimo4142
@doreenlyimo4142 Жыл бұрын
Aminaaaa
@jacquelineziporaulise7374
@jacquelineziporaulise7374 Жыл бұрын
AMEN Ubarikiwe mchungaji kwa neno au mafundisho.si lali mpaka nisome biblia ubarikiwe mchungaji
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
ameeeen
@lilianberitha9915
@lilianberitha9915 2 жыл бұрын
Umenitia nguvu sana mtumishi wa Mungu.... namuomba Mungu anisaidie niyatilie maanani haya mambo ya Mungu
@salamumwakasangila8109
@salamumwakasangila8109 Жыл бұрын
Amen nimepata nguvu ya roho mtakatifu Mungu akurinde sana mtumishi uenderee kutufundisha
@floraan4388
@floraan4388 Жыл бұрын
Ooh yes yes yes yes lord
@kabangomatete6101
@kabangomatete6101 Жыл бұрын
Asante sana kabisa mtumishi; neno hili nalipenda sana ❤ mungu akubari sana
@albertkarakha4364
@albertkarakha4364 Жыл бұрын
Ubarikiwe saana mafundisho Yako ni sahihi
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 жыл бұрын
Jamaa una sauti nzur sana.... U nanivutia sna hasa unapotoa neno
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Amen.shukran sana
@cerecere5758
@cerecere5758 Жыл бұрын
Amen amen umenitia nguvu barikiwa sana
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Amen sana Mungu nijalie Moyo wa utoaji katika Jina la Yesu.
@deboramsangi360
@deboramsangi360 2 ай бұрын
Nimekujua leo ila napokea vitu. Barikiwa mno
@suzzyyank7446
@suzzyyank7446 2 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa mafudisho Haya nashukuru sana
@user-dq9bf5qy6n
@user-dq9bf5qy6n Жыл бұрын
Amen amen utuzwe sana na bwana Mungu 🙏🙏🙏
@richardkirongo4835
@richardkirongo4835 2 жыл бұрын
Amen
@sarahyusuph3269
@sarahyusuph3269 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumish Mungu aniumbie moyo wa utoaji zaidi UTUKUFU hadi UTUKUFU AMEEEN
@renaldakimambo7232
@renaldakimambo7232 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana kwa mafundisho mazuri sana.mungu akutumie zaidi na kukutunza ili tupokee mafundisho zaidi.
@loylonasy3874
@loylonasy3874 3 жыл бұрын
Asante sana
@neemamwaikamila6044
@neemamwaikamila6044 Жыл бұрын
Ameni
@emilypatrick5509
@emilypatrick5509 2 жыл бұрын
Mungu aibariki madhabahu hii kwan inanifutisha habari ya kwenda kwa baba kupitia jina la yesu mungu awabarikii
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
AMEN
@eddakimario7610
@eddakimario7610 4 ай бұрын
Amina🙏🕊️
@yahayatemu1003
@yahayatemu1003 3 жыл бұрын
Ameni. Kwa Mungu , hakuna kina jambo humu linaloshindikana.
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu nimmebarikiwaa sana kwa mafundisho yako 🙏
@floraan4388
@floraan4388 Жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa mungu nimmebarikiwaa sana sana kwa mafundisho yako mungu hakubariki sana sana
@modestaondemba9708
@modestaondemba9708 2 жыл бұрын
Amen balikiwa
@silviejosephine4046
@silviejosephine4046 Жыл бұрын
Nikweli kabisa asant nimejifunz mengi ❤❤❤
@raphaelomambia9821
@raphaelomambia9821 Жыл бұрын
Umenisaidia mtumishi nilikua nimekata tamaa
@ruthmoranga5142
@ruthmoranga5142 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana kwa mafundisho mazuri mungu akutie nguvu uendeelee kutifundisha maana kama mm naona hivi vikwazo viko kwangu niombeeni nami niweze kuwa na imani thabiti,asante
@user-cg1wb3jj2n
@user-cg1wb3jj2n Жыл бұрын
Ameeeen ameeen mtumishi Wa MUNGU BARIKIWA. SANA🛐🙏🙏🙏
@elizabethtarmo3711
@elizabethtarmo3711 2 жыл бұрын
Amen Amen hakika nabarikiwa sana
@deborahlusenga3574
@deborahlusenga3574 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri, Mungu akubariki
@user-fh8ri5qy2g
@user-fh8ri5qy2g 6 ай бұрын
God bless you Asante pia ubalikie ❤ a'm from burundi Bujumbura
@beatricemdoe7192
@beatricemdoe7192 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mt wa mungu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Ni kweli mwili ukiuendekeza ni balaa! Yesu nisaidie
@ellystephano-ns3uo
@ellystephano-ns3uo Жыл бұрын
Mungu akubariki
@jack-mx8et
@jack-mx8et Жыл бұрын
Ameen
@haruniwabenga
@haruniwabenga 5 ай бұрын
Mungu akubariki naazidi kukuvika nguvu kiukweli nimejifunza kitu kupitia mafunzo haya
@Idmmuedacente
@Idmmuedacente 10 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu ndugu yangu
@BlessedChild-jt2kv
@BlessedChild-jt2kv Жыл бұрын
So glad I came through this channel. Am becoming educated and elevated
@janelaflin2215
@janelaflin2215 2 жыл бұрын
Amen Asante kwa mafunzo haya,nilikua sijui lakini Sasa nimeelewa,nimebarikiwa.Mungu akubariki sana.
@aishanasri7561
@aishanasri7561 2 жыл бұрын
Asante kwamaneno yako yafalaja
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen and Ameeeeeeen man of God
@jeannekatembe6396
@jeannekatembe6396 2 жыл бұрын
Asante sana kwa neno
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri Ай бұрын
Amen amen
@welluschiwanga8445
@welluschiwanga8445 3 жыл бұрын
Amen, hakika nimebarikiwa mno
@user-kq7rg1cu9y
@user-kq7rg1cu9y 2 ай бұрын
Asante
@gracengugi2867
@gracengugi2867 2 жыл бұрын
Mbarikiwa sana
@atupokilemwakagamba5745
@atupokilemwakagamba5745 2 жыл бұрын
Ameen nabarikiwa sana
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Amen amen
@everythingveronica1032
@everythingveronica1032 2 жыл бұрын
So strong🙌
@sophiaisaya408
@sophiaisaya408 2 жыл бұрын
Amen God bless
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 10 ай бұрын
Amen 🙏
@peternjengafarrier3461
@peternjengafarrier3461 Жыл бұрын
Amen And Amen
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 2 жыл бұрын
Mungu akutunze kipindi kiwe endelevu
@doreenmokiwa7171
@doreenmokiwa7171 2 жыл бұрын
Amina🙏
@beatricemuhonja6064
@beatricemuhonja6064 2 жыл бұрын
Amen. Let the anointing of GOD anoint you to continue teaching us to know the truth about the bible and to pray. Be blessed man of GOD.
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
amen amen
@marrymichael7969
@marrymichael7969 2 жыл бұрын
Amina
@irenembula4205
@irenembula4205 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@sarasarunguraru8195
@sarasarunguraru8195 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏Amen Amen
@florencengbebou6422
@florencengbebou6422 2 жыл бұрын
14 Ole kubwa ya mwanadamu ikawa ukombozi wa Hawa, na leo tena, ni ukombozi wa mwanamke, na hii sasa imeingizwa kanisani. [Kc.10v59] #ProphetKacouPhilippe
@user-mz5yp9sc6c
@user-mz5yp9sc6c 2 ай бұрын
🛐🙏🙏🙏
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 жыл бұрын
Ameeeeen
@gracendaki4515
@gracendaki4515 2 жыл бұрын
Ameeen
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Mmh mtumishi unaongelea 35 😅 Tumefika 40 huku Ni kweli kibinadamu na mazingira sio rahisi kutokata tamaa Lkn Mungu mwema
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
oooooh Yesu akusaidie,utavuka hapo kwa ushindi
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 9 ай бұрын
Kwa Mungu yote yanawezekana
@hildakilawe3222
@hildakilawe3222 Жыл бұрын
Naomba namba Yako mtumishi Nina shida binafsi
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
+255 758708804
@jacklinekimaro302
@jacklinekimaro302 2 жыл бұрын
NATAFUTA SEHEM YA KWANZA SIIONI JAMAN
@dorcasshelufumo5274
@dorcasshelufumo5274 2 жыл бұрын
MUNGU nipe moyo wa utoaji
@alexmollel-dd5lb
@alexmollel-dd5lb Жыл бұрын
Amina rosho yangu imefunguka sioni kinyongo tena jamani Mungu nimukubwa sana nashukuru atanintetetea mingi
@SuperYoungAdolph
@SuperYoungAdolph 2 жыл бұрын
Amen
@careenallyally3668
@careenallyally3668 2 жыл бұрын
Ameen
@carolyneshambula6531
@carolyneshambula6531 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@neemametison1477
@neemametison1477 Жыл бұрын
Ameni
@agathemichelle238
@agathemichelle238 Жыл бұрын
Amen
@MwaduduFatma
@MwaduduFatma 9 ай бұрын
Amen🙏
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 жыл бұрын
Amen
@rubenimeshack4965
@rubenimeshack4965 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 87 М.
MAOMBI YA VITA YA MKOMBOZI WA FAMILIA // MBINU ZA KUPAMBANA
27:35
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 26 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
mpoki jafari
Рет қаралды 18 М.
MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI NA NGUVU ZA GIZA
12:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 167 М.
FANYA HIVI UNAPOKUWA KWENYE MAGUMU - Innocent Morris
39:25
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 6 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:52
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA
53:58
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
ISHARA SABA (7) ZA KUKUONYESHA MUNGU AMEJIBU MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA  || 15/02/2024
1:33:38
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 29 М.
MAOMBI MAPYA,TUMIA MAMLAKA ULIYONAYO {YOHANA 15:1}
17:40
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 41 М.
KAZI KUMI NA MBILI ZA DAMU YA YESU KRISTO MAISHANI MWAKO
13:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 53 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37