IFAHAMU PRESSURE COOKER yako NA FAIDA ZAKE ~ HOW TO USE PRESSURE COOKER

  Рет қаралды 7,876

Cities & Flavors

Cities & Flavors

2 жыл бұрын

Pressure Cooker ni nini? Inafanyaje kazi? Inasaidiaje kupika maharage, nyama nk kwa haraka? Zipo za aina ngapi? Naweza kutumia vipi au kuipata wapi?
Hakikisha unaangalia video mpaka mwisho kujua Kikamilifu kuhusu mambo yote yanayohusu pressure cooker pamoja na vitu muhimu vya kuzingatia unapotumia pressure cooker yako jikoni kwa usalama wako
Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike! kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na ku subscribe kwenye channel yetu. Asanteni sana na karibuni wote.
Instagram link: / fundi_dsm
Facebook page link: / bombaywallla

Пікірлер: 24
@aisaurono8007
@aisaurono8007 3 ай бұрын
nashindwa namna ya kufunga
@almachjohn503
@almachjohn503 Жыл бұрын
Baada ya chakula kuiva unatmia mda gani Ile plesha kuisha na mfuniko kuweza kfunguka
@GiverJustin
@GiverJustin 2 ай бұрын
Shingapi unauza
@user-nz3hk7hv8w
@user-nz3hk7hv8w 6 ай бұрын
napataje
@nataliasulle4061
@nataliasulle4061 Жыл бұрын
Asante kwaababu ninaprsha kuka yangu nilikuwa napika makande kwenye gesi nikawa nimetoka niliporudi nikakuta imeunguwa na kwanzia siku hiyo sifanyi kazi nisaidie nifanyeje niko arusha
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Nenda london baazar arusha wataweza kukusaidia boss wangu
@nataliasulle4061
@nataliasulle4061 Жыл бұрын
Naomba unisaidie naomba za hawa mafundi wa arusha
@dj_kingzton
@dj_kingzton 2 жыл бұрын
Ya kwangu ni mpya lkn haipigi filimbi na inapika vzr
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
Kama unakuja na gari,uber. Bolt, bajaj au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684017700
@user-xe9be6xv7z
@user-xe9be6xv7z 7 ай бұрын
Mimi nahitaji presha nawapataje Hadi kunifikia
@abuuhusseni7340
@abuuhusseni7340 Жыл бұрын
sh ngapi Hy ndogo
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Tunarekebisha tu boss wangu, hatuuzi mapya
@brillianzedson337
@brillianzedson337 2 жыл бұрын
Naomba namba ya simu
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
+255684017700, karibu sana
@user-xe9be6xv7z
@user-xe9be6xv7z 7 ай бұрын
Nahitaji hiyo ya Lita 7 naomba namba ya cm
@dj_kingzton
@dj_kingzton 2 жыл бұрын
Unapatikana wapi fundi pressure cooker yangu ni mpya lkn haipigi filimbi
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
Kama na mwendokasi, Bombaywalla appliance repair and service, mtaa wa mwisho, Njoo kituo cha mwendo kasi ya kisutu, au soko mpya la kisutu, usoni na ATM ya CRDB posta ya libya, zamani standi ya mabasi ya arusha yalipokuwepo, kuna choo cha kulipia, niko hapo nyuma, duka la njano utaliona..au google tu.. simu 0684017700, karibu sana
@JalijiMlenge
@JalijiMlenge Жыл бұрын
Shida hinia kiswahili ndomana watu awasomi
@gladysgladys4934
@gladysgladys4934 Жыл бұрын
Mm nataka mipira ya pressure cooker je nitapata maana zakwangu zimeharbika mipira
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Kama ni za aina hizo za india unapata kwetu boss wangu, simu 0684-017-700
@rosemwanazyungu1175
@rosemwanazyungu1175 Жыл бұрын
Shilingi ngapi
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
hatu uzi...tunatenegenza tu
@sabihunaurisha8847
@sabihunaurisha8847 Жыл бұрын
Mko wapi? Toeni namba
@user-xe9be6xv7z
@user-xe9be6xv7z 7 ай бұрын
Nahitaji hiyo ya Lita 7
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 40 МЛН
Master Your Microwave: Guide to Operating Your Microwave
8:39
Ik Garlic
Рет қаралды 3,5 М.
How to use a Pressure cooker #pressurecooker #Cooking
8:59
Risper B
Рет қаралды 173 М.
UKIKOSEA HIVI WALI HAUTOIVA : RICE COOKER REVIEW
3:37
Snashtz
Рет қаралды 11 М.
JINSI YA KUPIKA PILAU /PILAU LA PRESSURE COOKER @ikamalle
8:14
Unakula Nini? (Maisha Ughaibuni)
5:14
Swahiliwood
Рет қаралды 36 М.
Ijue blender yako, uwezo wake na namna sahihi ya kutumia
7:50
Malkia Foods
Рет қаралды 5 М.
TOFAUTI KATI YA PRESSURE COOKER NA RICE COOKER
10:07
DADE'S
Рет қаралды 2 М.