Iyo nyekundu inapatikana wap mm npo buswelu, inauzwa bei gani
@ashurajengela3926Ай бұрын
Da malkia kuna izi kutoka china zina watts 3500 zingine 5500 na zinauzwa elfu 50-65 ata ukisaga matunda yenye maji inaungua jamani wachina wamejua kutupiga na vitu vizito wapenda bei rahisi 😢😢
@rahelmmari3751 Жыл бұрын
1st
@arthalesha5825 Жыл бұрын
Napenda unavyopika ila video zako unapeleka haraka haraka sana za mapishi
@malkiafoods Жыл бұрын
Videos zina dakika 4 mpaka 7. Bado ziwe haraka jamani?