Sijawahi kula ugali wala kuutamani ila nahisi baada ya kuangalia hii video nimevutiwa såna, nikirudi home ntapika nionje, unavutia såna, na unaelezea vizuri, nilikuwa sijui kuwa magadi ndo baking soda, Asante Sana,
@rosemaryjoseph94144 жыл бұрын
Dagaa fresh ssna
@hadijahlaika38194 жыл бұрын
Yummy 😋 yummy 😋
@aishadjumaphones88774 жыл бұрын
Wewe dada mungu anakuona siyokwa kutukomesha uko wenziyo yake ine sasa atujuwi ugalikinywani mmm adinimejikuta kumezamate nikiisi niko na kura asant saana😍👌😋😋
@beatricemapembe25954 жыл бұрын
Samahani lakini naona kama mlenda umeupika mda mrefu! Nimependa lakini chakula kizuri hongera.
@beatricemapunda25194 жыл бұрын
Asnte Sana nakupenda Ika
@fatumaseleman98704 жыл бұрын
Nimeipenda iyo
@kibouttv71484 жыл бұрын
Jamani Ika Malle mambo gani haya ya kutumanisha hivi 😋 nimependa ulivyopika uko vizuri kwenye mapishi
@aishasuleiman47843 жыл бұрын
Pishi zuri sanaa
@J4UPro4 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Nimekumbuka mbali sana, wewe dada ni Kiboko
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Shukran Sana dadaa Kwa Pishi Zuri,Mpaka nimetamani.
@misshackmanOnly4 жыл бұрын
Ur food looks attractive but please wash ur vegetables well with alot of water. You use small water to wash ur vegetables and fish which is not healthy. Thnx
@ikamalle4 жыл бұрын
Its called editing..
@joslyjojo2214 жыл бұрын
Hasante Sana una mikono mizuri Sana kabisa we ni mswafiii sana dear I like your hands
@kiki168054 жыл бұрын
I love dagaa but the small bones irritates me, nice meal though
@fatmakhalfan28694 жыл бұрын
Maashllah
@lovenessdiva33704 жыл бұрын
Jmn wew dada mbona hvyo kaaah 😋😋😋
@Vivianatz4 жыл бұрын
Ika naomba unialike tu nije Nile, sio kwa kunitamanisha hivyo dah!, love your cooking dear
@ikamalle4 жыл бұрын
😂😂😂 Nakutumia mwaliko sooon
@masibosvlogmasibos97384 жыл бұрын
Dada uko juu ki mapishi
@beatriceeliam21573 жыл бұрын
Umetisha 😜😜😜
@beatriceeliam21573 жыл бұрын
Shabash 👌👌👌
@khursum784 жыл бұрын
Pumpkin leaves, and why use your fingers to cut the leaves when you have a chopping board
@zawadiomari69944 жыл бұрын
Nimependa izo mboga kabisa nitumie
@revinaenos95814 жыл бұрын
Nimependa huo mlenda
@omarmohamad1314 жыл бұрын
Naijua
@rahmaabdillah61113 жыл бұрын
Dah hatareee
@click.keofficial4 жыл бұрын
Tafadhali tuonyeshe jinsi nzuri ya kupika pilau
@barikikaroli60884 жыл бұрын
Leo nimekuwa wakwanza na mimi😀😀😀 nitarudi badae niangalie vizuri maana Mimi napenda dagaa sanaa
@ikamalle4 жыл бұрын
Hahahahhaha Sawa Bariki 🥰🥰🥰
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah shukran da haki na miss iyo chakula japo bamia cpendi nikila naumwa na tumbo
@jelistinajoel58882 жыл бұрын
Naijua😂😂
@fatumaali7474 жыл бұрын
Wanitamanisha kweli
@RuthieNurseLife08294 жыл бұрын
Some of are here scrolling down for English comments🤣🤣🤣
@nestanb83154 жыл бұрын
Nurse Ruthie here I am 😁😁
@RuthieNurseLife08294 жыл бұрын
@@nestanb8315 hahahha I know right...glad I'm not alone🤣
@justdee60864 жыл бұрын
Ooh dear. U don understand Swahili yah?
@beatriceeliam21573 жыл бұрын
Mmmmh
@danielx84 жыл бұрын
Naangalia usiku wa manane, khatari 😁
@lydiayusuph19254 жыл бұрын
Huku kutiana njaa dada we nomaaaaaa
@bahatihadijabahati74564 жыл бұрын
😂😂😂😂😂na vyenye namic ugsli
@asiyaokello80474 жыл бұрын
Yummy
@megoj51793 жыл бұрын
Waooo nimemiss je motherland 🥲🥲 Tanzania mmebarikiwa na vyakula vitamuu tulio nje tunapataje shida ya kumiss ladha ya food za Tz
@alexandrinadomaino98683 жыл бұрын
Me too but soon narudi
@promisechizi58122 жыл бұрын
Nimependa hio bamia
@agnessestoni56314 жыл бұрын
Nimepatwa na njaaaaa gaflaaa mpka mate
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
Napenda ugali sanaa😋lakn dagaa spendi,,turned out real good though😍😍
@hawakalinga40514 жыл бұрын
Niko poa sana..napenda sana
@zennaabdullatwif77184 жыл бұрын
Hiyo mboga mie nafahamu huitwa majani ya maboga nilivyoenda Morogoro nikasikia inaitwa kalubwagila na Bukoba wanaita msusa