jinsi ya kupika ugali wa dona na mboga ya mlenda😋

  Рет қаралды 5,868

homecookingtz

homecookingtz

2 жыл бұрын

#mboga ya mlenda
majani ya maboga
bamia
nyanya chungu
magadi(yanapatikana sokoni popote)
karanga.
#mlenda upo wa aina nyingi na huu wa kwangu ni wamajani ya maboga na bamia
#ugali wa dona,niugali unaopikwa na unga wa mahindi ambao hujakobolewa Yani hujatolewa kile kiini ambacho ndicho chenye faida mwilini ikiwemo wanga
*ondoa fikra kwamba kula ugali wa dona ni umasikini

Пікірлер: 10
@ayaansugow7826
@ayaansugow7826 7 ай бұрын
Mpoga
@happnessjackson1696
@happnessjackson1696 2 жыл бұрын
Asante sana dada nimefurahi kwa video yako nzuri
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 2 жыл бұрын
Nafurahi pia nikiona subscriber wangu unafuraha
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 2 жыл бұрын
Ndiyo Dada nazidi kufurahia video zako
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 2 жыл бұрын
Nashukuru sanasana
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 2 жыл бұрын
@@homecookingtz2488 karibu dada yetu....pamoja
@maryamhamad3485
@maryamhamad3485 Жыл бұрын
Sante sana nimefurahi maana kunawatu wanajifanya wanajua sana kupika mlenda wanasema hautiwi nazi wala karanga wanakera
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 Жыл бұрын
Mlenda unawekwa karanga tena ni asili kabisa:mfano wanyamwezi,wasukuma hupenda sana labda kwa jamii zingine sijui
@ayaansugow7826
@ayaansugow7826 7 ай бұрын
Dada umewaka nini na nini
@homecookingtz2488
@homecookingtz2488 7 ай бұрын
Kwenye mlenda(bamia,majani ya maboga,nyanya chungu,magadi,karanga
UGALI + DAGAA WA KUKAANGA + BAMIA LA KUKOROGA(MLENDA)
11:58
Ika Malle
Рет қаралды 178 М.
【獨生子的日常】让小奶猫也体验一把鬼打墙#小奶喵 #铲屎官的乐趣
00:12
“獨生子的日常”YouTube官方頻道
Рет қаралды 112 МЛН
pika hivi majani ya maboga yenye karanga, utaipenda mboga hii😋
2:48
Ndizi Mshale za Nyama/ Ndizi Moshi Taamu
3:56
Malkia Foods
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUPIKA MLENDA
3:04
MAPISHI CHANNEL
Рет қаралды 4,2 М.
Jinsi ya kupika supu ya ngo’mbe (Beef soup )
9:23
🥕Nyau Kitchen🥕
Рет қаралды 514 М.
JINSI YA KUPIKA MLENDA WA BAMIA NA KARANGA 😋😋
3:46
Cook with Daniela kitchen
Рет қаралды 8 М.
JINSI YA KUPIKA MAJANI YA MABOGA MATAMU SANA
4:36
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 9 М.
JINSI YA KUPIKA BAMIA/MAPISHI YA BAMIA/NAMNA YA KUPIKA BAMIA
5:02
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 17 М.
JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI/SARO
5:03
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 7 М.
MAPISHI YA MBOGA YA CHAINIZI TAMU SANAA😋😋😋|TANZANIAN YOUTUBER
9:42
Ilafasher Ntigonzer
Рет қаралды 35 М.
КТО ЭТО😱
0:41
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,4 МЛН
it takes two to tango 💃🏻
0:18
Zach King
Рет қаралды 13 МЛН
Она Постояла За Себя! ❤️
0:25
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 8 МЛН