INASIKITISHA! Tazama Alichokifanya Mtoto Wa Paula Mbaya Zaidi Wamemrekodi Tukio Zima, Kajala, Paula

  Рет қаралды 22,025

Hot Chamber

Hot Chamber

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@AsjTtr-fx7fw
@AsjTtr-fx7fw Ай бұрын
Kwani jmn tuweni wakweli tu Anae post Mtoto mtandaoni ni Paula pekeake jmn acheni mungu aukumu
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Ай бұрын
MAMA NA MTOTO WOTE HA2ANA HAKILI
@GloryTemba-vl8pc
@GloryTemba-vl8pc Ай бұрын
Hiyo ni juu yao kwa maana ni wakwao vitu vingine havina hata maana ya kuongelewa nikama na kupoteza mda ttu
@KanKiwale
@KanKiwale Ай бұрын
Acheni wapost hata hata kamekalia meno sisi tunaita huo ni ulimbukeni hakun maajabu na akili za class one up to class eight 🤣🤣🙌🏻
@KhadijaRamadhaniKillo
@KhadijaRamadhaniKillo Ай бұрын
Muachege kuyakuza mambo mtoto yoyote kufanya ivyo ni kawaida akihangaika kujigeuza na nyie si mpost watoto wenu kufatilia ya wenzenu tuu ya kwenu anhaa🙄🙄🙄
@KanKiwale
@KanKiwale Ай бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka, akhaa! Ma Mtoto wa mbwa ni mbwa alooh walimwengu tusijisahaulishe ulimbukeni mwingi, Tz na hiz ni kick, maana wasipofanya ivo saa ngapi watakuwa busy muda wote wao ni simu na wao wajitazame ni fans wangap wametazama 😂😂😂 ustar hautengenezwi kwa mazul ni kwa mabay ndo wanapata umaalufu , 😅bongo Daresalam 😎
@ShadiaOthman-vq1jy
@ShadiaOthman-vq1jy Ай бұрын
Hakuna binaadam mbaya Maana hakuna anoweza kujiumbaa tuwenaakili 😮😮
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d Ай бұрын
Nandy alikua anampost mbona
@mariumseif6751
@mariumseif6751 Ай бұрын
We mtangazaji mbona fara Sasa hapo huyo mtoto kafanya nn cha ajabu unachosema Kila mtoto anachokifanya kapostiwa.mbona ht Andy alikuwa anapost mtoto wake hamkusema mkasema anamficha kichwa.sasa kajara kapost mjukuu wake shida tayari.yaani waswahili mnashida anayeumia SI na yy apost wake shida Iko wapi acheni ujinga
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn Ай бұрын
Bora akawa wakike nawaza angekuwa wakiume malezi ya hayo ya kisenge hatimaye anakuwa msenge'
@jeniferslaa200
@jeniferslaa200 Ай бұрын
Mbna hakuna account ya Paula iliyopost hyo jaman, kapost tu kambeba na hata hakuonesha sura yake
@HadiaMfaki
@HadiaMfaki Ай бұрын
Achene scandles jamani
@user-tg2sj7zm6o
@user-tg2sj7zm6o Ай бұрын
Acheni umbea bhn nyie kila kit mnatangaza nyooooo 😢😢😢😢😢😢 kmmk
@MwanaidiAlly-t2j
@MwanaidiAlly-t2j Ай бұрын
@selmezahor4696
@selmezahor4696 Ай бұрын
Mahashuo TU mama kazaa mwana na mtt kazaa mjuku bila ya ndoa waache TU wamtangaz kwani ni ajab kwao,
@NeriaNelly
@NeriaNelly Ай бұрын
Acheni wivu
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Ай бұрын
Babu yake al8sema mjukuu wake asiwe wamtandao sasa bibi halina akili watu wanakupendea mazuri
@AbianaPiason
@AbianaPiason Ай бұрын
Nyie munaoona anakosea ni wajinga coz huwez mpangia mtu maisha yake postn mitoto yenu 'na nyie au haipostik
@Cardreader-gk1pl
@Cardreader-gk1pl Ай бұрын
Mbona unaker san aca ampotsi Ni mtoto wake wanadam shida niulimi tuuu
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 73 М.
Paula kajala Vs Kajala masanja nan mkali
8:28
Eshe Salum
Рет қаралды 80 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 46 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 34 МЛН
The KIOKOS - Relocating To United States of America
22:02
Nicholas Kioko
Рет қаралды 23 М.
Portrait Video Nanny Canon EosR5 + RF85 f1.2L DS
Biography Shop
Рет қаралды 381
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН