INJINIA AINGIA KWENYE 18 ZA RC MWANRI/ ASOMESHWA NAMBA HADHARANI

  Рет қаралды 870,105

Bongo5

Bongo5

5 жыл бұрын

Пікірлер: 369
@peterpain5594
@peterpain5594 5 жыл бұрын
Kama mnaona uyu jamaa anafaa kuwa raisi agonge like apo chini
@brandmj
@brandmj 3 жыл бұрын
Saw
@amiriibrahim9041
@amiriibrahim9041 3 жыл бұрын
Tumbuaaaa kabisaaa ao
@abdulhemedabdulhemed7110
@abdulhemedabdulhemed7110 3 жыл бұрын
Wangapi tumepitia hapa mwaka huu nipeni like plz
@asiasaidi6302
@asiasaidi6302 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupumzisha kwa Aman hayati Dr John Joseph pombe magufuli
@beatricshadrack321
@beatricshadrack321 2 жыл бұрын
Kwa upande wangu anafaa kua Rais wa Tanzania, haki ya MUNGU nasema!!!!!
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 9 ай бұрын
Umeona eee
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 7 ай бұрын
👍👍👍
@slaustv6129
@slaustv6129 5 жыл бұрын
Nataka watu wa mkoa tu wagonge like hapa
@am_blessed.1
@am_blessed.1 4 жыл бұрын
Nataka watu wa mkoa tu GONGA LIKE hp 😁😁😁
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 2 жыл бұрын
Oyooo comedian also
@andrewtamba6671
@andrewtamba6671 5 жыл бұрын
😂😂😂 we Mwalimu Dotto soma uko! Kama umesikia hii gonga like!
@geoffreychurchkayora1230
@geoffreychurchkayora1230 5 жыл бұрын
Hahahaha
@jabirinkama5981
@jabirinkama5981 5 жыл бұрын
Andrew Tamba 🔉ongeza saut
@michaeleustach9352
@michaeleustach9352 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@harunarashid6404
@harunarashid6404 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 3 жыл бұрын
Hahaha noma kweli mwalimu dotto
@eliakazana7252
@eliakazana7252 3 жыл бұрын
Anafaa sana kuwa makamu was raisi,gongs laiki kama umekubali
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 3 жыл бұрын
Yes
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Eliza kazana anafaa kwa kuwa ana akil za kipumbavu kama zako
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Kwa sasa ZILIPENDWA
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
NAGUNDUA NDO MAANA WACHAGAA HATUPEW MADARAKA KWA KUWA TUNAONGEA KWA KUROPOKA
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
KAMA NA WEWE UMEMMIC BINGILIII SUKUMA NDANI PITA NA LIKE👍
@kassimjuma8713
@kassimjuma8713 5 жыл бұрын
Mh. Rais wangu utakapomaliza mda wako mkabidhi huyu uraisi maana wazembe watanyooka2.
@mwidiniharuna9618
@mwidiniharuna9618 5 жыл бұрын
kwa watu wengine nisawa lakn kwako utalia
@leonmushi6
@leonmushi6 5 жыл бұрын
da!
@johnmagati5017
@johnmagati5017 5 жыл бұрын
Hapo umenena iliokweli
@yussuphsnashir5047
@yussuphsnashir5047 4 жыл бұрын
piga kazii
@barakajulius5938
@barakajulius5938 4 жыл бұрын
Hivi Raisi anafuatilia clips za huyu bwana!,huyu ndo best kuliko wote
@dinahshirima6356
@dinahshirima6356 3 жыл бұрын
Nimecheka.yuko sirias
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 moto wakuhoteambali
@isamazatv.115
@isamazatv.115 5 жыл бұрын
Good leadership hongera sana from Canada
@patmochurchsingida7185
@patmochurchsingida7185 2 жыл бұрын
Hello
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 10 ай бұрын
🦓🇹🇿
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Uzuri wa huyu Mkuu wa Mkoa,haingizi siasa kwenye kaz kama wengine
@sengiyumvamathayo1548
@sengiyumvamathayo1548 5 жыл бұрын
Kweli kabisaa!.
@mohammedally5185
@mohammedally5185 5 жыл бұрын
Kweli kabisa..
@mohamedfakili3376
@mohamedfakili3376 5 жыл бұрын
Askar huyo ataingizaje siasa...yeye anafanya vitu kijeshi
@dinahshirima6356
@dinahshirima6356 3 жыл бұрын
Hataki utani
@yahayamkone4040
@yahayamkone4040 5 жыл бұрын
Mzee wangu kweli unapiga kazi kisawasawa hongera muheshimiwa rais wetu kwa kumchangua mpiga kazi huyu
@mohamedkigwehe3479
@mohamedkigwehe3479 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu nimekukubali mzee upo vizuri kwenye kazi yako
@erickmassawe5107
@erickmassawe5107 5 жыл бұрын
huyu mchaga ni noma xana nataman angerud awe mkuu wa mkoa wa kilmanjaro awaonyeshe kaz hapo wanyamwez wamekoma ubixhi
@farajakihembwe307
@farajakihembwe307 4 жыл бұрын
nakupenda,nakueshimu,huko ulipo kiongozi Bora RC agrey Mwanri
@davismremi8986
@davismremi8986 2 жыл бұрын
it is my tradition to come and watch this in a while.....
@godfredmbanyi5389
@godfredmbanyi5389 2 жыл бұрын
I thought i was alone, 😂
@alfredmsambaa1443
@alfredmsambaa1443 4 жыл бұрын
Shika hii kalamu ya kijani leo upate upako hahhahaaaa kama umeskia iyo mwishon apa gonga like...
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 5 жыл бұрын
Dah yani huyu mkuu ni nomaaa,hataki utani na kazi angekua headquarter ingekua noma zaid
@hamdantwaha8042
@hamdantwaha8042 5 жыл бұрын
Chukua kalamu ya kijani upate upako
@jafarymdollo4420
@jafarymdollo4420 5 жыл бұрын
Napenda kufanya kazi na huyo mzee somaa hiyo
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 4 жыл бұрын
Jamani mwenye namba ya injinia naomba anipe nimempenda sana vile alivyo cool kwenye makelele
@allykazoa7065
@allykazoa7065 4 жыл бұрын
Msiniangalie Kwa Huruma😁😁😁
@decruzz6792
@decruzz6792 3 ай бұрын
27/4/2024 kama unaangalia Gonga Like
@junioramos2997
@junioramos2997 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 daaaaa cjawai kuona uyu jamaaa Hana mambo ya siasa kwenye kazi
@husseinsalimhemed7169
@husseinsalimhemed7169 5 жыл бұрын
Mimi ni mkenya,,nafuraia uwongozi wako tabora,Wewe ni Mzee wa maendelo kabisa
@rahmarama5669
@rahmarama5669 26 күн бұрын
Sema hv Ma Samia Nakuomba Mrudishe Huyu Kazini Tena Umweke na Makonda Utaona nchi itakavyo safishika nakutftia 5 G Bora Tanzania hpo ni 2
@ramsoramaa6798
@ramsoramaa6798 4 жыл бұрын
Mwalimu Dotto pole kwa kusoma 👍👍
@elibarikimiage6204
@elibarikimiage6204 2 жыл бұрын
Enzi wa magufuli kazi ilikua inaenda kwa uhakika R.I.P MAGUFULI
@msafiriduwiya953
@msafiriduwiya953 Жыл бұрын
Juyu ndivyo alivyo toka alivyokuwa tamisemi naibu waziri Kwa kikwete Hana mchezo
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 5 жыл бұрын
Nakushauri next time RC tape measure kule kunapo anzia mpe mtu akushikie wewe uwe unaziona redings wasikudanganye
@abrahamdaniel7564
@abrahamdaniel7564 5 жыл бұрын
Kweli yeye bora asome
@mrs2918
@mrs2918 4 жыл бұрын
hawezi kudanganya sababu wanajua ni dakika 3 mbele, hakawii kurudia kusoma apoteze ajira
@mohamedkichendo7720
@mohamedkichendo7720 4 жыл бұрын
Sanaaa asikae.nwanzi wa tape
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
Soma iyoooh
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 жыл бұрын
Nadhan siku iyoo mwalim dotto alilalaa na dicropa kwa kwelii... 😀
@sarahgihoshwa7715
@sarahgihoshwa7715 3 жыл бұрын
😂😂😂🤣
@athumankhalfan7836
@athumankhalfan7836 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 hatar
@ayubuwilliam130
@ayubuwilliam130 4 жыл бұрын
Ongera kwa kazi nzuri kustaafu kwako kuwe kwa amani
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 2 жыл бұрын
Utawala wa hawa viongozi wazalendo wananchi tulikua so happy
@ahmadymuhina6546
@ahmadymuhina6546 2 жыл бұрын
😅😅😅😅🙌kama kuna mtu anabisha hapa anyooshe mkono hapa hapa halafu OCD jiandae😅😅
@yusuphwella9651
@yusuphwella9651 5 жыл бұрын
Inamaana wakuu wa mikoa wa sehemu nyingine kwao hawajengi hata vyoo mbona sioni wakisimamia ujenzi ipasavyo
@alikhamisame9636
@alikhamisame9636 5 жыл бұрын
Huyu mzee namkubali Sana hebu angeletwa huku Zanzibar kuna mainjinia wa kichina wanatengeza mitaro ya ya maji taka hadi leo hawajamaliza huu sijui mwaka wa ngapi yani kila zikija mvua lazima mafuriko yatokeee
@innocentoder8481
@innocentoder8481 11 ай бұрын
This is genius leader
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Ukimuangalia huyu mzee unajikuta unachekacheka kwaraha Kama unatekenywa
@veronicasamson7121
@veronicasamson7121 Жыл бұрын
Mwanry anatakiwa kua Naibu Waziri UJENZI. Ndo wajanja WATAKOMA!!!!😀😀. HONGERA SANA MH MWANRY. Kiongozi Bora na mcheshi..😍🤝🤝🤝
@papaampondele1750
@papaampondele1750 5 жыл бұрын
Taifa tunajivunia watu kama hawa! mungu wapemaisha malefu,
@sospetermigera685
@sospetermigera685 5 жыл бұрын
Kiongoz bora kbsaa
@tsagytz6755
@tsagytz6755 3 жыл бұрын
Yaan nataman huyu mbogo apewe cheo cha juu serikalini mbna watajamba ubwabwa 😂😂😂😂 hawa akina bashiru na wakurugenz wa bandari
@stevoovlogs8645
@stevoovlogs8645 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 angekuwa rais huyu tungekomaaaaaa
@omarykindaile6451
@omarykindaile6451 3 жыл бұрын
Hahaha
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Chukua hii kalamu ya Kijani Leo upate upako
@laurentsunta5169
@laurentsunta5169 5 жыл бұрын
Basaga hahahaha
@odilinadonald261
@odilinadonald261 5 жыл бұрын
Kwa nini wakuuu wa mkoa wengi wasiige kazi za huyo yuko vizuriii mno
@beckasalum2620
@beckasalum2620 2 жыл бұрын
Ishu inakuja uyo ni injinia tofau na wengine kwayo umdanganyi
@rashidsalim3801
@rashidsalim3801 5 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
KWELI AWAMU YA JPM NI YA MOTO
@andrewzimba6844
@andrewzimba6844 5 жыл бұрын
Zefa Mange hi
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 жыл бұрын
Nimewakumbuka sana makamanda wa kweli
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Huu ndo ulikuwa uongozi kipindi hicho Agrey Mwanri, Makonda, Sabaya,Ally happy hawa jamaa walifanya kazi na wananchi wazalendo wakifurahia.
@peterpain5594
@peterpain5594 5 жыл бұрын
Napenda anavyosema ATAKUSOMESHA UYO
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 4 жыл бұрын
🤣 Jamani muangaliage nahela zakupja nyingine hazipigiki Jamani kueni makani kazi 🤣🙏👍 Vema sana Mkuu wamkoa Nc
@lucasmanyama2892
@lucasmanyama2892 Жыл бұрын
You deserve to president in this country.
@ishaq9925
@ishaq9925 5 жыл бұрын
rais tupe n.a. cc japo miez6 daa Huyu mzee wa fyekereambali Jiji Liwe ok
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Mbona Makonda naye yupo Moto?
@jamesmodest3206
@jamesmodest3206 3 жыл бұрын
Wangapi tumepitia hapa mwaka huu2021
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 14 күн бұрын
Asante baba!
@amanimwaifunga6524
@amanimwaifunga6524 5 жыл бұрын
Mwanri Big up Sana kiongozi
@dennisdennis7559
@dennisdennis7559 5 жыл бұрын
Chukua hii kalamu ya kijan Leo upate upako hahahah
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Yani huyu muheshmiwa ana akili cjapata ona humuibii bwana
@gigotz1755
@gigotz1755 5 жыл бұрын
Magu ampe uwaziri wa michezo
@beckasalum2620
@beckasalum2620 2 жыл бұрын
Kwenye michezo atafer uyo injinia awe wazili wa ujenz
@mwidiniharuna9618
@mwidiniharuna9618 5 жыл бұрын
kwenye karam ya kijan gonga mezaaaaa
@mwalaprosper2291
@mwalaprosper2291 3 жыл бұрын
Mis you mwamri!!
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 5 жыл бұрын
Huyu anawafaa mkoa wa Lindi please
@khanbaba8125
@khanbaba8125 3 жыл бұрын
Mh magufr pls Baba ukistafu mwachie uyuuu mh icho kity ni ombi tu kwa mtazamo wangu
@kindboywillsmis8152
@kindboywillsmis8152 5 жыл бұрын
Amekunywa
@mwengwamwengwa9678
@mwengwamwengwa9678 3 жыл бұрын
Tunakumbuka sana mzee wa soma hiyoooooo
@swaleheally8134
@swaleheally8134 3 жыл бұрын
Kama umesikia mbaka yesu atajua hamja maliza hapa
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 5 жыл бұрын
Sukuma dani mweshimi huyo
@salehali9203
@salehali9203 5 жыл бұрын
Mh,haingizi siasa ktk kazi zake,viongozi wengine waige mfano wa mh,mkuu wa mkoa huyu
@hunchoonetz8747
@hunchoonetz8747 3 жыл бұрын
Uyu jamaa anafka mbali namuombea awe rais aseh
@graysonnyamsogoro376
@graysonnyamsogoro376 4 жыл бұрын
Daah i like this RC
@kyambarungwe4453
@kyambarungwe4453 5 жыл бұрын
jamani tungiwa na kiongozi kama huyu mbeya daaa yani mbeya ingiwa kama ulaya magu mlete mbeya huyu maana ni kiongozi bora
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 5 жыл бұрын
Awamu Hii Wapiga Dili Kazi wanayo Maana Ugali wa Moto Mboga Moto Ulle Umangi Meza haupo Watu Wanawajibika Mbaya !
@ezekielndaraba7221
@ezekielndaraba7221 5 жыл бұрын
😀😀😀jamaa bwana we mwalimu Dotto
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 7 ай бұрын
Angetufaa SANA huyu MWAMBA DUH 🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣
@mchaking6504
@mchaking6504 5 жыл бұрын
Value for Money
@paulkessy5267
@paulkessy5267 5 жыл бұрын
Laaaaaaaaa aiseee noma sana
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 5 жыл бұрын
Naomba Baba JPM mpe Uwaziri mana kazi anaijua vzr piga kaz Mwanri
@moshielfesty7992
@moshielfesty7992 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣HUYU Mzee nikiboko arudi tena 😂
@mgenikilindo5793
@mgenikilindo5793 4 жыл бұрын
Viongozi kama hawa ndo wanatakiwa Tanzania...
@abdullasuleiman
@abdullasuleiman 2 ай бұрын
"msiniangalie kwa huruma, hakuna cha kiniangalia kwa huruma hapa, mimi nabeba zamanaaa😂
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Mwl Dotto tunakuaminiaaaaaa
@proffjay3882
@proffjay3882 3 жыл бұрын
Wapendao maendeleo na kuchukia ufisadi na watakao haki kwa wananchi bila mzaha, tafutieni uyu kiongozi kura za urais muhura ujao....
@kulwamussa2582
@kulwamussa2582 3 жыл бұрын
safisana tukipata viongozi kamahawa nchi itafika mbarisana rakini kwasasa wezi wanajitawara kirakona wenfine tayari wamegeuka madarari wawa china madarari wawazungu huku kwenye utawara uropita wamefanya mambo yakipuuzi kabisa watanzania tusikubari nchihii tunamasomi majizi mafisadi nahayafungwi yanarerewa kirasku nakuchekewa
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 жыл бұрын
Aiiiseee lololoooo atatusomesha uyuu mwambiyee akaye pembenii.. 😂😂
@mstapheradriano1616
@mstapheradriano1616 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa big up
@didiermunguakonkwa5933
@didiermunguakonkwa5933 2 жыл бұрын
Gouvernement kama iyi ikifika DRC yani tuta songa mbele sana Nawapongeza tanzaniya musonge mbele tena muwa chaguwe viongozi wazuri
@johnbuluma8861
@johnbuluma8861 2 жыл бұрын
Jembe langu nakukumbuka sana mwanry, ni wachache sanaaaa
@princegabytv7251
@princegabytv7251 5 жыл бұрын
😹😹😹nacheka sana. Mainjiniaa msomeni huyoooooo
@amriharuna4236
@amriharuna4236 5 жыл бұрын
Mwalimu DOTTOOO
@jamesmassy5022
@jamesmassy5022 2 жыл бұрын
Mama Samia kwanini tumia watu kama hawaaa hasaa apa kwetu mpunguzi dodoma ajeee
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Jaman huyu ndyo magufuli mwenyew sasa au mnasemaje
@jamesmassy5022
@jamesmassy5022 2 жыл бұрын
Dhaaa uyuu mwwmba nomaaa sanaaa namkubali
@sadamrisho7719
@sadamrisho7719 3 жыл бұрын
Yupo vzr sana anafaa kuja kuwa raisi
@ntiliyothomas225
@ntiliyothomas225 Жыл бұрын
Daaaaah 2023 bado naangalia
@japhetmasatu6506
@japhetmasatu6506 2 жыл бұрын
Gonga tumtafute awe Rais 2025 Kwa Chama atachotaka!
@kilingechasimulizi2072
@kilingechasimulizi2072 2 жыл бұрын
Uyu anafaa kuwa waziri wa ujenzi. Kama Mimi ndiye ningekuwa raisi huyu angekuwa ndiye
@ramadhaniibrahimu9308
@ramadhaniibrahimu9308 5 жыл бұрын
katika kazi namkibari uyu hana siasa kazi zake
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa nyoosha tabora yote
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
😂😂😂😂uku tabora balaa tupu uyu mzee watu wanalala na viatu
@ommyathumani7264
@ommyathumani7264 5 жыл бұрын
Hahahahah
@zainabshabani7076
@zainabshabani7076 5 жыл бұрын
Saf
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 5 жыл бұрын
😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🏃🏃🏃🏃🏃🏃👌👌👌👌mambo ni fireeeee
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Hahahah watabika sana😂😂😂
@chidijuma3925
@chidijuma3925 5 жыл бұрын
vingozi.kama.hawa.ndio.wanatakiwa.sio.wanao.ofisini
@MusaMasika-yx6ho
@MusaMasika-yx6ho Жыл бұрын
Mwalimu doto job is present
@abdulkhamis815
@abdulkhamis815 2 жыл бұрын
Hongera
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 139 М.
Simu Mpya za Infinix na bei zake (2024)
10:51
SimuNzuri
Рет қаралды 1 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 495 М.
GACHAGUA AMETOA WAKIKUYU SERIKALINI || COSMO CHOY
4:30
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 4,4 М.
RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"
19:33
Global TV Online
Рет қаралды 996 М.
AFISA ELIMU AZIMIA GHAFLA KISA KATUMBULIWA NA RC MWANRI
7:06
KIZAAZAA CHA RC MWANRI KWA DEREVA ALIYEGONGA MTI WAKE
5:04
Millard Ayo
Рет қаралды 813 М.
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 44 М.
RC MWANRI AIBUKA NA OPERATION FUKUA FUKUA -" Nitapita Nyumba Kwa Nyumba"
7:05
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
0:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 26 МЛН