JAFO AKERWA WAWEKEZAJI KUKIMBIA NJE, WAFANYABIASHARA KUCHUKIANA, ATOA AGIZO

  Рет қаралды 5,437

Millard Ayo

Millard Ayo

26 күн бұрын

Пікірлер: 13
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 16 күн бұрын
Mh.wsziri Hotuba nzuri sana inatia moyo wafanya biashara na wawekezaji ,kama na vitendo vitakuwa hivyo unavyoaahid.safi Go ahead.
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 24 күн бұрын
Huyu jamaa ni hazina ya taifa, siyo akina Mwigulu, Nape, January na akina Tulia.
@AwardHakimu
@AwardHakimu 24 күн бұрын
Namkubali sana huyu jamaa hanaga masifa ni mchapa kazi wenye akili timamu ndio TUnamuelewa huyu
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 24 күн бұрын
Tatizo mnalijua sana: Ni utitiri wa Kodi zenu. Mfano bidhaa nyingi za inchi jirani kwa mfano @Rwanda,Burundi,Uganda, Malawi n:k zinapitia hapo Bandari ya Dar kule zinauzwa nusu ya bei tofauti na siye. Angalieni hilo. Na kinacho sumbua hapo kwetu ni Roho Mbaya za watu na maslahi binafsi zaidi.
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 24 күн бұрын
Nimefurahia sana huyu jamaa huwa ana maono ya nchi iendelee.
@user-vb7vw2jr7d
@user-vb7vw2jr7d 24 күн бұрын
Mimi mwenyewe nimetoka kulipa faini ya milioni moja ya kubambikwa kwasababu hakuna pakusemea na mpango wakuhama kwenda nchi jirani
@halidomar9874
@halidomar9874 24 күн бұрын
Madeni tuna bambikiwa tra hatuyaelew
@tisamokebulemasubugu6222
@tisamokebulemasubugu6222 17 күн бұрын
Wakubwa wanakimbia lakini wadogo wanatishiwa Police ukiziangalia lawama zote tatizo ni maamuzi Kwanini wachumi wa hii Nchi hawana michango katika uendeshaji wa uchumi Endelevu ?
@victorjames3730
@victorjames3730 23 күн бұрын
TRA na Kodi sio rafiki kwa wafanyabiashara
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 17 күн бұрын
TRA just want to see the numbers growing😢😢
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 24 күн бұрын
Hao kina mo dewj wanapaka kuilazimisha ili wapinguziwe Kodi Yani waziri wawachie waende
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 24 күн бұрын
Nafurahi umerudi ulingoni, jaffo, majaliwa, makonda, haya nimejembe, hayaishi ukaliwake, kule walikokuwa wamekupeleka walikuziba mdomo, nakuombea sana Kwa Mungu akupe hekma kumaliza migogoro ya wafanya biashara,
@tisamokebulemasubugu6222
@tisamokebulemasubugu6222 25 күн бұрын
Maamuzi ya viongozi hayaangalii uepushaji wa Athari Kwa wafanya Biashara
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11