WALIOINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI AWESO WAKIPATA CHA MOTO “ASKARI KAMATA HUYU”

  Рет қаралды 47,550

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewatia mbaroni Mhasibu na Mwenyekiti wa Jumuiya ya watumiaji Maji wa kijiji cha Berege kilichopo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kubaini ubadhirifu wa fedha katika jumuiya hizo ambapo pia ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya hiyo na kutaka jumuiya zote nchini ziundwe upya kwa kuzingatia uwepo wa wataalamu wa maji na wahasibu wenye Taaluma.
Waliotiwa mbaroni na kupelekwa kuhojiwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Mpwapwa ni Scolastika Simbangulu, ambaye ni Mhasibu na Gideon Chesco Mwenyekiti wa Chombo cha watumiaji maji.
Aweso amesema jumuia hizo zimegeuzwa kichaka cha watu kugawana fedha hali inayozorotesha upatikanaji wa maji hivyo kila Jumuiya nchini zinapoundwa zizingatie uwepo wa watu wenye utaalamu ili kuepusha ubadhilifu wa fedha za maji.

Пікірлер: 144
@eliakazana7252
@eliakazana7252 3 жыл бұрын
Ukushiba chezea kidevu chako na tumbo lako,,gongs like kwa mheshimiwa wazr WA maji!
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuongozee asiye kuwa na macho haaambiwi tizamaa kazi nzuri brother oweso unajuwa na unatimiza wajibu wako wa kazi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Muishimiwa uwesu Mungu akulinde na kila Shari unaifanya kazi vizuri hadirah WA TZ tunafarijika kumbe wapo waaminifu watendahaki Uwesu💕💕💕💕💕
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Sana a Mhe aweso tia ndani mijizi mingi iko kwenye dawasa njoo na huku mkoa wa pwani kibaha
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Safi sana Raisi wa kesho ndotunataka wt km nyinyi safisana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Kwel
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 3 жыл бұрын
Hongera sana AYO MEDIA mmekuwa mkitupatia habari za ukweli na uhakika!!👏❤
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 жыл бұрын
Safii sana kaka yangu kazi iendelee mungu akuongoze l nshaallah
@alphoncembasa1775
@alphoncembasa1775 3 жыл бұрын
Safi sana waziri .
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 жыл бұрын
Kila nikiiona sura ya Aweso, naiona Tanzania mpya 2030 inakuja, Mwenyezi Mungu naomba Umpe afya njema Aweso,...
@sadickshabani2271
@sadickshabani2271 2 жыл бұрын
Uraisi unamufaa Sana waziri juma 2030/ gobea uraisi mungu akupatie afya njema na maisha malefuu 🙏
@eliakazana7252
@eliakazana7252 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Awesso nakukubali sana
@abuumbegu8657
@abuumbegu8657 3 жыл бұрын
Aweso unauwezo mkubwa wa kusimamia, safi sana.
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 жыл бұрын
Urais awamu ijayo unamhusu l nshaallah
@kabwikaibrahim9502
@kabwikaibrahim9502 Жыл бұрын
Thanks!!
@Jal210
@Jal210 3 жыл бұрын
Safi waziri mambo mazuri sana tumbua hawa, wafilisiwe na funga iwe mfano kwa wengine
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 3 жыл бұрын
Mueshimiwa uje na huku Arusha pls bill laki sisi wazee stress zinatuuwa 😢
@evaristlucas6338
@evaristlucas6338 3 жыл бұрын
Very nice aweso umecheza nafasi yako vizuri sana hii ndo maana ya msaidizi wa raisi
@oscarkasalile8442
@oscarkasalile8442 3 жыл бұрын
Safi sana wazir mzalendo
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Daaaah waziri sukuma ndani hao weziwakubwa haoo
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Waziri unapambana sana Watendaji wako wanakuangusha sana .Komaa nao .Pesa za Miradi inaliwa sana
@joramkaganda976
@joramkaganda976 3 жыл бұрын
Kazi iendeeee
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Жыл бұрын
Mweshimiwa mwenyezi mungu akupe maisha marefu zaidi hapa Duniani kwani wewe ni mwamba
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 3 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi Pekee ambayo watu wao hawataki kubadiriki na hawaitaji kusaidiana na serikali
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie.waziri wetu
@mkombwemkumbwa2305
@mkombwemkumbwa2305 Жыл бұрын
Ongera kwa kazi zuri
@deuspaschal7616
@deuspaschal7616 2 жыл бұрын
Nakukubali wazili,pia nilitaman Uwe waziri full
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Awessoooooooooooo hongerasana sukumandani
@SaudaLilandi-tg4wi
@SaudaLilandi-tg4wi 10 ай бұрын
Napenda sana waziri kama juma hawesu nakubali sana
@oscargmosha3108
@oscargmosha3108 2 жыл бұрын
Mh juma awesome nimejikuta nakuhusudu sana sikua nakufaham wala kukufuatilia vizuri ila sasa nimepata matumaini mapya nimekutazama kwa macho ya ndani nimekuona .hakika wewe ni timing la wa Tanzania hata kwa miaka ijayo nitakuombea sana kwa mungu kilasiki sitoacha kukuombea ili mumgu akulinde na akuepushe na maadui wasikukaribie kabisa
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Жыл бұрын
Juma aweso waziri wa maji na Dotto biteko waziri wa Madini wako vizuri sana jaribu kuwafatilia uone
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Hizi ni zama nyingine tafuteni pa kuibia watu wamekua waelewa Sana sasa ngoja muipate dawa yenu mheshimiwa tambaa nao hao tumechoka mhasibu mwenyewe hajielewi yeye pia mwizi
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 жыл бұрын
Mkuu waziri nimecheka hadi machozi hii ya leo naomba iwekwe kwenye documentary au ichezwe movie au wasanii wetu wa nyimbo basi watunge wimbo.Mhasibu nionyeshe mahesabu tangia uliposhika ofisi... jibu aliyekuwepo alikimbia.waziri aaa ya kwako achana na aliyekimbia .HII NI BONGE LA MOVIE ..
@aminibungara5158
@aminibungara5158 2 жыл бұрын
Watanzania tunapenda kiongozi kama huyu safi sana mungu ajalie
@rajabulipongo4135
@rajabulipongo4135 2 жыл бұрын
Mm nakupa taarifa mana mh wetu Abdalaa chikota naona anachelewa kukuambia njoo hapa Nanyamba mtwara Kijiji cha HINJU hali hiyo ipo nabado wanchi tunashida yavirula nahatuvipati sehemu nimoja tu inayopatikana maji sasa mh Juma Uweso njoo utusaidie chonde chonde
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hheeeeee jamanii wiziii huo wakiwaziwazi kama hivoo
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Yàani
@dearmama7865
@dearmama7865 9 ай бұрын
Awesu mungu akuweke
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 3 жыл бұрын
Safi sana aweso
@emmanuelelam555
@emmanuelelam555 3 жыл бұрын
Jaman pesa ya uma haichezewi bado hamjui mbaka Leo weka ndani hao najua waziri unatimiza majukum yako mungu akujalie
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Mwenyekiti na mhasibu mungu anawaona
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
MHASIBU Huyu na wala hajui hesabu,halafu pumba kweli.
@thomasmakweta1007
@thomasmakweta1007 2 жыл бұрын
Safiii sanaaa Aweso
@kalengemochi9471
@kalengemochi9471 3 жыл бұрын
Aibu sana kwa kweli
@deoluma1706
@deoluma1706 2 жыл бұрын
Huyu ni wazir kweli kweli.yaan nikimuona nafarijika Kwan nahc magufuri anaishi
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Bekegee oyee safiii
@perepetuarwabona4178
@perepetuarwabona4178 3 жыл бұрын
Kazi iendelee
@laulymo2063
@laulymo2063 3 жыл бұрын
Uweso nakukubali sana mpambanaji 🙏
@stephencharles2967
@stephencharles2967 2 жыл бұрын
Me huwa najiuliza viongoz wengine kama DC,mkurugenz na wakuu wa idala huwa wanafanya kaz gan mpka waziri ndo aje kuona madudu haya
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Huyu naye ni kelele nyingi, mifumo na mabommba mengi yametandazwa mvua zinanyeshalakini mabomba hayana maji. Huku ni Majohe, Ilala dsm
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Kime umanaaà😅😅😅😅
@jumaabdala7530
@jumaabdala7530 2 жыл бұрын
Angekuwa Magufuli baba hapo ww mama usinichekee mm sichekewi tunahitaji pesa za wananchi onyesha hapa utazitapika Kama ulizila
@johnassey170
@johnassey170 3 жыл бұрын
Kijana wangu aweso pambana kwenye jumuiya za maji kuna ufisadi kinoma
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Mheshimiwa toaamri makusanyoyote yafanyike kwakulipa na cotrl namba wesipokee pesa mkononi
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Жыл бұрын
Tunataka na wazuri wa mazungira waseme hela za taka wanakusanya na gari haiji kumchukua nataka hawaji pesa zinaenda wapi kila mwezi wanachukua hela kila nyumba
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Yani kunawatu hawana huluma na watanzania maskin
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Ila hii nchi yetu inaendeshwa Kiswahili swahili sana, huwa wanasubiri mpaka balaa litokee Ndio viongozi waje kuanza kukamata kamata watu. Wekeni mifumo ya ki elektroniki. Lasivyo hakuna kitu hapo...
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Awesso nchihii nishida watumishi wanakwibasana
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Tumempata mridhi wa Magu
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 жыл бұрын
Umeona eee live bila kupingwaaa
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Chapa kaz kijana mie nakukubali SANAAAAA
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ndio mh pita kote maanake kuna pumba hatari.
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Жыл бұрын
Nyie wakuu mnawaweka mambumbu mradi mkubwa huu wakati wasomi wapo msiwafunge waacheni huru
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Ujishiba chezea kidevu siyo miadi 😁😁😁
@benardsenguji8254
@benardsenguji8254 3 жыл бұрын
Kweli Mhasibu hana taaluma hiyo.Anacheka cheka tu.
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 3 жыл бұрын
Miradi ya maji inahujumiwa na hao wataalamu,wanalipana posho wenyewe kwa wenyewe na siyo kushughulikia matatizo yanayohusu kutoka maji,hivyo badget zao huwa zinafanyiwa re allocation mara kwa mara ili wapate posho
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 3 жыл бұрын
Safi dana
@ExcitedPicturesqueLake-uj8ve
@ExcitedPicturesqueLake-uj8ve 2 ай бұрын
Mh: aweso njoo na ileje
@jamilakizya7792
@jamilakizya7792 3 жыл бұрын
Safi kwa maamzi walipe
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Ukishiba chezea tumbo. Na kidevu chako Siyo milada 😁😁
@salimanyagawa5816
@salimanyagawa5816 3 жыл бұрын
DUH KUPATA WATU WAADILIFU NI KAZI KWELI KWA NCHI ZETU ZA AFRIKA. HILO SOMO LIANZIE LABDA CHEKECHEA HUKO ILI TUWE WAADILIFU
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
TATIZO LA KUTOKUWA MUADILIFU, HALITEGEMEI UMESOMA AU LAA, NI UGONJWA UNAOTOKA MOYONI MWA MTU. HAKUNA MTU YEYOTE ANAEWEZA KUTIBU ISIPOKUWA YESU KRISTO PEKEE, MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. ALIYEKUFA NA SASA YU HAI.
@kabogeof9597
@kabogeof9597 3 жыл бұрын
Aweso mungu akupe ujasiri na ulinzi wa malaika
@nkeyembampenda898
@nkeyembampenda898 4 ай бұрын
Mbona hauji kigoma sisi tumesahaulika
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 7 ай бұрын
Amlisha kute walipe kwa cotro nombayaserikali
@bebisheni4380
@bebisheni4380 3 жыл бұрын
unapo tuma mtu beki aweke pesa taarifa inarudi kwenye simu ya mwenye akaunt lakini upande wa maji unaletewa bili ukituma mtu hupewi marejesho ya malipo eti anapewa mrejesho alie tumwa
@deogratiusmahinyila6065
@deogratiusmahinyila6065 3 жыл бұрын
Huyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Berege ndio tatizo. Anahujumu fedha za wananchi kwa kiburi cha kwamba analindwa na Mtu anayeitwa Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa. Tunaomba hawa watu, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Kijiji wachunguzwe juu ya huu ubadhirifu wa huku Berege.
@godsonjohn5321
@godsonjohn5321 3 жыл бұрын
Mkuu nakuomba uje pwani kuna madudu zahid ya hayo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Waweke ndani hao mijizi
@alihu3752
@alihu3752 3 жыл бұрын
Tanzania ni nchi ambayo ina watu hawapo tayari nchi ibadilike dunia nzima watu wameendelea kwa kushilikiana vyema na serikali watu wanaokwamisha miradi kwa makusudi harafu wananchi wanaangaika tu vitu vya ajabu miradi yenu badala kichunga unafikili watu akili hazifsnyi kazi
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Next JPM
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Kumbe magu hajafa yupo safisana mwamba. wanyooshehao unauwezo wakuongoza
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 Жыл бұрын
Aweso unatisha mzee
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Aweso umetusha unaingea hata mate humezi.Ila watendaji wako ni vichomi
@DM_15
@DM_15 2 жыл бұрын
Hakokadada kamanakaonaivi kanavyo pitana toyo kuelekea oficeni namchana kanaagiza chips hukukanapeluz KZfaq
@rashidiabdallah5970
@rashidiabdallah5970 3 жыл бұрын
Uko vizur.ila vip pangani kuhusu maji
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Jaman huyu mbina anauwezo wakuongoza inchi yaan anauchungu na inchi
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 3 жыл бұрын
mh waziri tembelea jumuiya zote nchi hii kuna usenge sana
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 жыл бұрын
Aweso mkuu hii itunze ili baada ya Uwaziri aidha iwe kwenye documentary au uje uifanye Movie.. .
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Huyu aweso mbna km mwanajeshi..yaan Hata jamaaa ajielezi duuu
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Pigakaz babaaa iposiku tutakupa inchi tu. unakipaj cha uongozi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
JPM mtamkumbuka daima ,kila siku ni majanga
@athumanimohamed3457
@athumanimohamed3457 3 жыл бұрын
JPM, ameshafariki kwahiyo tunapwa kumtia moyo mama samia afanye vizuri, lakini bila shaka anafanya kazi vizuri
@elephantachaman2347
@elephantachaman2347 3 жыл бұрын
Matatizo unayoyasikia yote yalikua enzi za magufuri uyouyo unae muona mkamilifu acha ushabiki wakijinga mama ndio anataka ukweli ndio mana unaona madudu mengi yanafichuka aya ndio madhara yakuaminishwa hakukua na matatizo kumbe yako mengi tu
@mzalihalisi4357
@mzalihalisi4357 3 жыл бұрын
acha ujinga...maana hii shida imeanza leo au...?..mbona i ya siku nyingi acha unafiki...wanafiki kama nyie muko tu kila mahali mnamkumbuka Magu....unataka kuniambia hizi shida zote zimekuwa ndani ya miezi miwili ya ...use your head...
@salummbunga4167
@salummbunga4167 3 жыл бұрын
WE MSENGE KWELI KUMA WE UNAAMBIWA HUYO MUHASIBU ALIINGIA KATIKA NAFASI YAKE TOKA MWEZI WA 12 MWAKA WA JANA JE KIPINDI HIKO MAGUFULI ALISHAKUFA?? NCHI KUBWA HII KUDHIBITI KILA ENEO NI KAZI KUBWA SO CHA MUHIMU KILA MTANZANIA AWAJIBIKE KIMAADILI YA KAZI KWA NAFASI YAKE
@mariammpina8103
@mariammpina8103 3 жыл бұрын
@@salummbunga4167 x
@cleopakahungo1614
@cleopakahungo1614 3 жыл бұрын
Wazir njoo Same tunateseka maji hatuyaoni
@dearmama7865
@dearmama7865 9 ай бұрын
Mh piga chini hao wanakusumbua tu
@MrCosmas15
@MrCosmas15 3 жыл бұрын
Unaweza ukajikuta unafukuza watu wote unabaki mwenyewe.
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Haya ndio madudu da hii kali
@bebisheni4380
@bebisheni4380 3 жыл бұрын
Ukituma mtu alipie maji ulie sajili hupewi mrejesho ndio nini mnatuvurugua
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Huyo muasibu hajui hata kazi yake
@issamsomba7219
@issamsomba7219 3 жыл бұрын
Wewe waziri wa maji rais wetu hataki hicho unacho kifanya utatumbuliwa acha ,msikilize rais wako kwanza,una was tia ndani baadaye watatolewa tuu,atakwambia hujaunda tume ya kuchunguza
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Hivyo vibinti ndiovyakuvinyonga vikumahivyo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Ukikuta wamekula pesa wawe wanazo Lipa hata nyumba zao wakupe deni
@gadsonndato2941
@gadsonndato2941 3 жыл бұрын
Wanajaza matumbo yao na kuleta dharau kwa wananchi wanaotoa pesa
@yusufubashiriyusufubashiri2849
@yusufubashiriyusufubashiri2849 3 жыл бұрын
Hi
@kadabrajey8864
@kadabrajey8864 3 жыл бұрын
Wazir tuna kusobli uje khanden nako tumechoka kuteseka mirad ya maji huku hatuion mhesh khanden tumechoka kuteseka na kero za maji
@kadabrajey8864
@kadabrajey8864 3 жыл бұрын
Awezo njo khanden uwatumbue hawa viongozi wasio penda mandeleo katika mji wa khanden
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Huyu dada aidhani sana kama anahusika bali wakuu wake alowakuta ndo walomuelekeza hivyo
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Vimalaya hivyo.
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 3 жыл бұрын
Huyu ndo magu ajae baada ya miaka kadhaa atakuwa magu og
@user-pj7mu5sk7e
@user-pj7mu5sk7e 9 ай бұрын
Njo manyara
@ndagamwesa9955
@ndagamwesa9955 Жыл бұрын
Wapokonywe malizao zoote
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН
Waziri Aweso amsimamisha mama yake mzazi mbele ya Rais Samia
2:56
EastAfricaTV
Рет қаралды 32 М.