🅻🅸🆅🅴 SUGU, MSIGWA WAWEKWA MTU KATI SHUHUDIA MDAHALO HUU

  Рет қаралды 42,985

JAMBO TV

JAMBO TV

2 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 272
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Ай бұрын
Waooooh kaka,we ni mtu na nusu sugu.
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 ай бұрын
Hapo mmeonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa, ila kiukwel wote mko vizuri, nimependa sana hii.
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 ай бұрын
Mdahalo huu kwa kweli ni meupenda hongera sana
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 2 ай бұрын
Natamani hii midahalo ifanyike kwa viongozi wote wa kanda tutapata watu wazuri sana kuinua utawala bora hadi level ya chini kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Mjadala haukuwa wa afya
@frankSamwel-rg3lz
@frankSamwel-rg3lz 2 ай бұрын
Midahalo kama hii ina stimuleti thinking. Big up chadema na Act wazalendo kwa kuliona hilo
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 2 ай бұрын
Hii ndiyo demokrasia ya kweli, big up chadema❤❤❤❤❤
@nzagiherman1628
@nzagiherman1628 2 ай бұрын
Mdahalo mzuri sana. Tunapata wasaa wa kuelewa thinking, goals na the end... Nafurahi sana kuwasikiliza mnavyorespond hoja na maswali.
@mcongomakete1664
@mcongomakete1664 2 ай бұрын
Asante sana kwakufafanua hapo maana mh msigwa anapotosha uma
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 2 ай бұрын
Chadema bigup sana kwa njia hii inawajengea uwezo zaidi chadema
@PelleSamky
@PelleSamky 2 ай бұрын
Hongera sana Naiona Nuru Chadema Mungu awabariki sana na wakubali
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Ай бұрын
Kweli sugu upo vizuri kaka yangu,me nakuaminia,kumbe sugu uliona huyo Mzee anaenda kuindoka,saafi sana sugu
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 2 ай бұрын
Haya ndiyo mawazo huru ninayoyataka yanajenga yanamuamsha kiongozi asibweteke nipo na Sugu
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 2 ай бұрын
Uongozi ni kazi sana aisee inataka roho ya Bwana wa Mungu iwe juu yako. Hapa Sugu na Msigwa wanapamhana kupata tu nafasi ya Uenyekiti wa kanda tu aisee kwa kweli ni kazi saana.
@user-un8si7wk1z
@user-un8si7wk1z 2 ай бұрын
Hii debate ni excellent. Wamefanya vinzuri ĝ
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 ай бұрын
Ni mapema mno. Lazima uzijue siasa za Africa ndugu yangu. Tusiige wamagharibi kila kitu.
@shinjemsuka1822
@shinjemsuka1822 2 ай бұрын
Sugu ana hoja za kitoto sana, comedians
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Sio kweli ila nimependa mdahalo huu
@Fesary
@Fesary 2 ай бұрын
Na ameshibda; Sugu anaongea simple lakini strong
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Hoja za Kitoto kama??
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 ай бұрын
ÌNGEKUWA CCM WANAJIGEUZA CHAWA KWA MTU MMOJA HII NDIYO CHADEMA TUNAYOIJUA❤❤❤
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 2 ай бұрын
Tuache makundi ya hivyo ili tushinde uchaguzi wa serikali za mitaa mwako 2024 na uchaguzi mkuu 2025. God Bless Us - CHADEMA
@noeljacob9644
@noeljacob9644 2 ай бұрын
Ila maswali ya Odemba yamenyoka sana🙌🙌🙌🙌
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
😂😂
@AronsMugisha55
@AronsMugisha55 2 ай бұрын
Mko vzr sana Chadema
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 2 ай бұрын
Hii ni nzuri sana....hata atakaeshinda atajua ana kazi ya kufanya na si kujibweteka tu!!
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Sana, walioshinda watimize majukumu yao kwa bidii na ubunifu mkubwa kwa mujibu wa katiba. Congratulations for the voted leaders, all are winners
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 2 ай бұрын
@illomowerner7690 sure, they have a great job to do!!
@othannmpoli9896
@othannmpoli9896 Ай бұрын
You have show us, the meaning of democracy keep it up !!! May be next time….,.!
@AronsMugisha55
@AronsMugisha55 2 ай бұрын
Chadema mmekuwa mfano mfano mzr one mnavyofanya mdahalo live ili kumpata kiongozi bila mizengwe aise hii ni demokrasia ya hali ya juu sn. Safi sana vyama vingine viige mchakato huu wa kupata viongozi
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 ай бұрын
Mdahalo mzuri sana
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 2 ай бұрын
Kanda ya Nyasa mnawatu wazuri sana mimi nawashauri wajumbe wawape wote, maana simwoni wakumwacha.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
hahahaaaas
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 ай бұрын
Well said Mchungaji Peter Msigwa.
@respiciusmugezi8645
@respiciusmugezi8645 2 ай бұрын
Mimi sijui sana siasa lkn ninachokiona kwa Msigwa ni mtu ambaye anajua kujieleza vizuri na kujitetea ya wezekana hiyo ni kalama yake,ila kwa utendaji sio mzuri
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 ай бұрын
Uko vzuri
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Uko Sahihi Msigwa anakipaji Chakujieleza Vizuri sana
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 ай бұрын
Kweli ndugu msigwa anajua SN kujieleza kujibu hoja lkn UTENDAJI hajui sn pili huwa anajua yy yupo superior than others tatu hajui miiko na mipaka na yake na viongozi wake alinukuliwa akipingana na makamu mwenyekiti hadharani ni kosa lile
@ignasmwamwenda3154
@ignasmwamwenda3154 2 ай бұрын
Msigwa, kwenye ngorongoro mmmmh, ulijikwaa
@jamessoke4454
@jamessoke4454 2 ай бұрын
Safi Sana kwa mdahalo mzuri
@dismasmtui729
@dismasmtui729 2 ай бұрын
Safi sana CDM
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r 2 ай бұрын
Nyie ni maswaiba nawajua na kiukweli mko vizuri maana tunhitaji hoja kamili kama hizi,wote mko vizuri kimawazo tunawatakia heri ktk uchaguzi.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Bonge la hoja, unajitambua
@PaulKabungo
@PaulKabungo 2 ай бұрын
Safi Sana
@user-oo3qw8ns7g
@user-oo3qw8ns7g 2 ай бұрын
Congrats msigwa, freedom of opinion
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 ай бұрын
Safii kabisa hiyo ndio democrasia
@johnmakundi9877
@johnmakundi9877 2 ай бұрын
Chadema mko vzur hongera kwa mabadiliko
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Big post
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 2 ай бұрын
Huko ndiyo kushindana kwa hoja,mwisho wa siku mmoja akishinda mnapongezana. CHADEMA safi sana.
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 2 ай бұрын
Ndg yangu hapa ni kuangushana sio kushindana ndani ya Chama halipaswi hili maana baada ya huu uchaguzi mmoja Kati Yao ataanguka kisiasa sayansi ya siasa haitakiwi Chama kimoja viongozi wawili tena wa ngazi za juu kufanya hayo madhara yake ni makubwa Sana ndani ya Chama kisiasa
@V24hrs
@V24hrs 2 ай бұрын
Kumbe waliokimbia walikosea sana
@elishampoki8751
@elishampoki8751 2 ай бұрын
Nakubali
@finiasmaengela2996
@finiasmaengela2996 2 ай бұрын
Mjadala mzuri Sana
@costamasuba1099
@costamasuba1099 2 ай бұрын
Pamoja siyo mzoefu wa siasa ,ila mfumo wa kifikiri ndio engine ya Kila jambo,wote hao wanamazuri na madhaifu ,ila mchungaji ni mbobevu kwenye leadership,sugu ni hodari wa kumobilize watu,sugu he have to lean more.
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 2 ай бұрын
Kweli kabisa hata wakati wa ukoloni shule zilikuwepo chini ya miembe na watu walipata elimu ndo waliopata elimu wamejenga shule
@wilfredmdemu611
@wilfredmdemu611 Ай бұрын
Cm nao wafanye mdahalo kama huu tutaona vioja kwa kweli
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Mpeni ushindi sugu sugu ameshinda huu mdahalo
@safarimashimba5080
@safarimashimba5080 2 ай бұрын
Hot soup!
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 2 ай бұрын
Mh Msigwa nakukubali sana ila hapa naona Mh Sugu ana nafasi kubwa ya kushinda.
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 2 ай бұрын
Chama kingine kiige hiv Kama wataweza
@conradjunior5940
@conradjunior5940 2 ай бұрын
walianza ACT hii
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d 2 ай бұрын
Chama kinakuwa sasa zamani chama wanachaguaana tu sasa ivi mtifuano
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 2 ай бұрын
Chief Odemba ni hbar nyingne kwa wanahabar
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 ай бұрын
Nawaomba viongozi wangu wapongezane wao kwa wao mi nawakubari wako vzr hawawezi kufanana ndo maana ya democrasia atakaeshinda tumeshinda wote chadema kizazi kipya cha kuhoji Mungu ibariki chadema na watu wake
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt 2 ай бұрын
Jamani msigombane ndani yachama
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 2 ай бұрын
Safi sana
@karenstephen8738
@karenstephen8738 2 ай бұрын
Good! Hiki ndicho chama cha siasa bhana
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Kweli kabisa kamanda, umehoji na kutoa mawazo yako kizalendo... materialistic
@NyangiMarwa
@NyangiMarwa 2 ай бұрын
Mdaharo mzuri sana ila siku nyingine boresheni sauti
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 ай бұрын
Muzingwa uko vizuri sana
@AnithaQueen-jc6wt
@AnithaQueen-jc6wt 2 ай бұрын
Msigwa yuko vizuri sugu akae pembeni kwa heshima ya chama
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 2 ай бұрын
Msigwa P. you are so strong you deserve what you have and you will win this battle on 29.5.24
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
UKO wapi @regnald Let's know about your prediction whether is has gone okay or not😂
@DenisKagine
@DenisKagine Ай бұрын
Msigwa very nice,
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 2 ай бұрын
Wana ccm tuingie tujifunze Chadema mambo mema si vibaya kuviiga.
@williamshehemba7224
@williamshehemba7224 2 ай бұрын
Hii ni kitu nzuri sana CCM WAIGE HILI KWA ULIMWENGU WA SASA
@komboarts7110
@komboarts7110 Ай бұрын
Sugu swala la kilimo umejibu kwa Utulivu wa maono
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 2 ай бұрын
Chadema ni chama kikubwa sana kinakuabsiku Hadi siku.
@karenstephen8738
@karenstephen8738 2 ай бұрын
Nilikuwa najua yale ya wamasai yatamfuata Msigwa pole hili litakuangusha trust me bro check your arrogance
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Great prediction @karestephen
@user-gy3bv7nm7d
@user-gy3bv7nm7d 29 күн бұрын
Msigwa mjanja mjanja tu hana jipya atulie tu amuache sugu nae
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 2 ай бұрын
Daaah ila Msigwa 💪💪💪💪💪
@YaeLondon-xy7sh
@YaeLondon-xy7sh 2 ай бұрын
Msigwa apishe nainatosha kama amejenga chama na mboye
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 2 ай бұрын
Sugu nchi haijengwi kwa connection ni policy
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Not Impressed by anyone!
@mcongomakete1664
@mcongomakete1664 2 ай бұрын
Mbona anajikanusha miaka 10 sio mzaha kama hakuna sampo ya miaka 10 umeshindwa
@edomukiluswa2262
@edomukiluswa2262 2 ай бұрын
Msigwa kuhusu jambo la ngorongoro ni kama ulikuwa CCM, Jaribu Tena kujisahihisha kulingana na Imani ya Chama chako, Kuhusu lugha jaribu kupunguza kingereza, Watanzania walio wengi utawaacha nyuma hivyo ujumbe wako kutowafikia Sawa sawa
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Muungwana ni vitendo, hoja nzuri @edomukiruswa
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Msigwa mdahalo umekushinda yaan hauleeweki
@mwl.elishafredrickmwambeng8921
@mwl.elishafredrickmwambeng8921 2 ай бұрын
Msigwa ni genius sana.... I wish angekuwa ndani ya CCM tushuhudie potential yake ikiwa full taped
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 ай бұрын
Ccm hamuwapi watu wenye pontetiol nafasi
@mwl.elishafredrickmwambeng8921
@mwl.elishafredrickmwambeng8921 2 ай бұрын
@@lusajomwaipopo5042 ni kweli mkuu ndipo tunapofeli kama Chama.... Tunaenda Kwa kujuana zaidi kuliko Nini mtu anajua....
@MsifuniMahenge
@MsifuniMahenge 2 ай бұрын
Tumpe sugu Kwa Sasa nyasa msigwa miaka kumi imetosha
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Msigwa umeferi kwenye huu mdahalo
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
indigenous • \in-DIJ-uh-nuss\ • adjective. 1 : having originated in and being produced, growing, living, or occurring naturally in a particular region or environment 2 : innate, inborn.May 12, 2024 Msigwa Hapo au hajui au Kapotosha, Indignous Haina Maana ya Suti au Nyumba Ina Maana (Watu wa Asili wa Mahali, Iwe wana Suti au rubega) Wamasai ni Indiginous wa Maeneo hayo.
@omegamwasenga9823
@omegamwasenga9823 2 ай бұрын
Msigwa anapaniki, twende na Sugu nyasa.
@V24hrs
@V24hrs 2 ай бұрын
Aliwaita nyumbu kwakuwa nyie ni nyumbu kweli. 😂😂
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Huna akili
@nicasissa
@nicasissa 2 ай бұрын
Msigwa is a big brain
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Katika huu mdahalo nimeamini sasa kuwa sugu ni mwanasiasa mkubwa sugu ameshinda huu mdahalo
@success-only
@success-only 2 ай бұрын
Kipepeo msigwa mbona anapanic ? Kuna wakati msiwa ataisaliti chadema Ulishabikia na kuungana na ccm kuwafukuza wamasai ngorongoro
@user-ne1ni8cp4b
@user-ne1ni8cp4b 2 ай бұрын
Chill bro msigwa
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 ай бұрын
Musikwazane wote moo vizuri kisiasa katika taifa letu
@1xbetagent24hrsnicolous3
@1xbetagent24hrsnicolous3 2 ай бұрын
Msigwa kujipa sifa umekwama acha watu wakupe sifa Pili tuhuma simekuchafua Pili unajibu kwa hasira ambayo na jaziba usilazimishe mambo wakati umebugi stape Nipo nasugu
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 2 ай бұрын
In fact Msigwa tena
@samsonsanga4368
@samsonsanga4368 Ай бұрын
Kweny jibu la nyumbu mch umejib vzr san.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊👍✌️.
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 ай бұрын
Msigwa tayari umetumika mwachie sugu aongoze nyasa
@davidndaha9607
@davidndaha9607 2 ай бұрын
Apa nakubali kiongozi sio kuchaguliwa tuu ila kupewa charenge kesho akishindwa wanamwacha!.
@shukuruphanuel1729
@shukuruphanuel1729 2 ай бұрын
Msingwa ni Kiongozi, Wanachama wa CHADEMA waamue vizuri. Wakichagua vibaya watapotea
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Acha kuwapangia wajumbe nani achaguliwe, wapigakura watachagua kiongozi wao kutokana na mahitaji yao ikiwepo vipaumbele vyao. Isitoshe wote bado wataendelea kufanya kazi za chama hata kama si viongozi, aliyekwambia mtu akidondoka kwenye kura hafanyi kazi za chama? Acha akili mgando
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 2 ай бұрын
Kwa hoja nilijuatu Msigwa hashindwi. Sasa kwenye utendaji huko sijui sanaa
@finiasmaengela2996
@finiasmaengela2996 2 ай бұрын
Nimegundua msigwa kinachomsumbua ni suala la wamasai 😂
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 2 ай бұрын
Mdaahalo mhim kati msigwa na mbilinyi
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 2 ай бұрын
Haya ndio mambo
@MohamedAli-kq2zc
@MohamedAli-kq2zc 2 ай бұрын
Moderator mwenyewe mhhhhh.Mungu mwema
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 2 ай бұрын
Kweli hichi Chama Sasa ni kama cha chadema kugonganisha viongozi na kukosoana namna hii mbele ya watu ni kuangushana kisiasa au Kuna agenda? Maana sijabarikiwa na ukosoanaji wa namna hii viongozi wa Chama kimoja maana hadi Sasa kwa mtu mwelewa ameshamwona mmoja hapo kuwa hafai Sasa kesho yake kisiasa ndani ya Chama ni nn?
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 2 ай бұрын
Umesahau wakati wa kura za maoni za ubunge CCM majimboni watu mpaka wanagombana kama sio wa chama kimoja.
@bahatadof5543
@bahatadof5543 Ай бұрын
Kwa hiyo ofisi hazina maana,wakitaka kukuona watakukuta wapu sema mchungaji unachemsha
@boniphace1
@boniphace1 2 ай бұрын
Hii dhana ya kusema maendeleo siyo vitu bali ni watu ni mtego utakao toa good excuse ya kutowajibika. Ni kweli hatuhitaji vitu kama majengo, miundo mbinu n.k?
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 2 ай бұрын
Mimi si chadema lakini nawaunga mkono kwa mjadala mnaofanya hii itasaidia wananchi kuchagua viongozi makini
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Bonge la hoja @user
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 Ай бұрын
Jongwe music
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 2 ай бұрын
Msomi mh msigwa uwelewa wa juu sanaa
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 29 күн бұрын
Mmhh kumbe msigwa alisapoti CCM kufukuzwa kwa masai
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr 2 ай бұрын
Tumpe Sugu kura Zetu, Mchungaji msigwa aeleweki,mmetutukana,pili ameunga mkono kufukuzwa Kwa wamasai
@WilfredRweyemamu-rp5re
@WilfredRweyemamu-rp5re Ай бұрын
Alishawahi kuunga mkono juhudi za mr prdnt asubuhi alafu jioni akapinga.dable standard.😅
@balljmushi9599
@balljmushi9599 2 ай бұрын
Tatizoo,,ni moja tuuu,,,UCHU WA MADARAKA.
@boneyme9433
@boneyme9433 2 ай бұрын
Chadema let VITENDO.
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 2 ай бұрын
Mdahalo ni mzuri. Unafikaje vijijini kwa radio mbalimbali ambako TV hawana??
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 117 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 12 МЛН
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 9 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН