CCM YAPEWA ANGALIZO KUPOTEZA JIMBO LA TARIME DC 2025 IKIMSIMAMISHA WAITARA -KADA CCM ZAKAYO WANGWE

  Рет қаралды 24,142

JAMBO TV

JAMBO TV

Ай бұрын

Habari na Mwandishi wetu @Fredrizzo Samson
#ccm #jambotv #trending #yanga #makonda #simba

Пікірлер: 130
@kingmseti9205
@kingmseti9205 Ай бұрын
Ilibhancha na Ubhoro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tarime Vijijini Tunaenda na John Heche Tarime Mjini Tunaenda na Bob Wange Kama tupo Pamoja gonga like waone
@DandasiKundi
@DandasiKundi Ай бұрын
Wanafaa Kwa asilimia 100
@josephmahando493
@josephmahando493 Ай бұрын
Kamanda umeongea point sana uko vizuri. Viva kijana vivaaa
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 Ай бұрын
Viva heche njia za MUNGU siyo za mwanadamu hapo sawa
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 Ай бұрын
Mmmh Ngoja tuone Mwishowe mtukuja kusema Samia hafai🤣🤣🥹🤣🧐
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 29 күн бұрын
Usijidanganye ccm hawezi sehemu kubwa kushinda uchaguzi wa huru na haki
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Ай бұрын
Safi Kabisa CCM sema kweli daima
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 26 күн бұрын
Pumbavu ccm lini ikasema ukweli
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Ай бұрын
Bora kama mmegundua
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go Ай бұрын
Asante mwamba
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 20 күн бұрын
Hongera saana kwakuwa muwazi CCM umewarahishia kupata mtu sahihi
@clemenceparokola
@clemenceparokola Ай бұрын
Heche njia nyeupeeeeee
@StevinGodfrey
@StevinGodfrey Ай бұрын
hechee arudishiwee jimboo lake😊
@manfredkibona3126
@manfredkibona3126 Ай бұрын
Hizo sasa ni fitina ambazo CCM inasema mwiko umejichanganya bro😅
@AthumanDauda
@AthumanDauda 28 күн бұрын
Amna Cha fitina au kafitina naona jipu litatumbuka
@YoyoChacha-gl5ui
@YoyoChacha-gl5ui Ай бұрын
Wew wetar hahuwezi kusida tarime
@jacksonsimon5020
@jacksonsimon5020 25 күн бұрын
Bado hamjasema, na mtasema tuuu!!
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 19 күн бұрын
Wewe sio ccm mbuz wwe ni mnafik sana
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Tarime mjini na vijijini hiyo ni chadema ninyi majoka ya kijani mlipata hayo majimbo kwa bahati na michongo tu! 2024/2025 tunataka majimbo hayo yarudi Chadema. Bob Wangwe na John Heche wanatosha sana! Wana Tarime ikatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi ccm.
@tronline6959
@tronline6959 29 күн бұрын
Kuna JITU litakufa kwa pressure 😂
@AbdallahMchani
@AbdallahMchani 19 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Jimbo la heche.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 29 күн бұрын
Sio tarime tu Kanda ya ziwa wanasiri kubwa
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 27 күн бұрын
Toa sera
@MATHAYOPETROGARYA
@MATHAYOPETROGARYA Ай бұрын
Naona huyu jamaa kaamua kumwombea John heche kura asubuhi sana sasa wewe jichanganye kumtoa waitara uone kama ccm tarime huko hautakufa!!!
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Ай бұрын
Haaaaaahaaaaaaaa
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Ай бұрын
Safi sana
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 28 күн бұрын
We utakuwa ni mgeni huu ukanda,yaani umepotea kifikra
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Binafsi hua naona waitara ni mwanasiasa mwenye hoja...lkn. Amekua kigeugeu sana KATIKA kuwatetea wananchi bungeni Kuna muda unaona huyu mwamba anatuteetea lkn kwa muda mwingine unaona anajipendekeza na kulamba miguu ya Samia.. Halafu Sasa amekua haonekani kwenye majimbo
@MATHAYOPETROGARYA
@MATHAYOPETROGARYA Ай бұрын
Ndo siasa inataka hivyo
@josephmahando493
@josephmahando493 Ай бұрын
CSR, Itamtafuna sana ni haki ya waliyo karibu na mwekezaji, aendeee,, na CSR ITARUDI TU NI HAKI YETU SISI TUNAO UMIA NA SHUGHURI ZA UENDESHAJI WA MGODI WA.
@lameckrange-ol6uz
@lameckrange-ol6uz Ай бұрын
Hayo yapeleke kwenye chama kwani hamna vikao Hiyo haijakaa vzr..
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 27 күн бұрын
Nimependa ukamandani
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Ай бұрын
Chuki binafsi zina wasumbua sana ccm. Heche jimbo wamesha kupa.hilo asubuhi mapema.
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h Ай бұрын
Bob wangwe au heche hao ndo watu sahii
@deomaiko9632
@deomaiko9632 29 күн бұрын
Hii ndio siasa 😂😂
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano Ай бұрын
Aheri huyo waitara kuliko huyo mliyemkaribisha juzi atawavuruga kwelikweli
@JosephMosabi
@JosephMosabi 21 күн бұрын
Kwani hamna vikao vya chama mkayaongelea huko
@user-fw6xu8gn2q
@user-fw6xu8gn2q Ай бұрын
Broo upigaji ndani ya ccm ni haki yao kwani ripoti ya cag inajileza vzuri tu nani kachukuliwa hatua mama amesema kila mtu alee kwa urefu wa kamba yake hujasikia? Acha watu wale mema ya inchi
@georgedaudisabuni5339
@georgedaudisabuni5339 Ай бұрын
Kukataa wazee wa mila hapo ndipo unabugi viongozi wa dini wanaumhim wao na wazee wa mila wanaumhim wao usiangalie imani yako
@user-jg2dy4kb6j
@user-jg2dy4kb6j Ай бұрын
Heche ni suala la muda tu kuchukua jimbo
@JosephatMsafiri
@JosephatMsafiri Ай бұрын
Haya yapo hata majimbo mengine pia na inawezekana kuna kozi maalumu wanayopitia kwani hakuna hata moja linalotofautiana.
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 27 күн бұрын
Naomba mbaki nae hata sisi akirudi chadema hatumtaki😂😂
@user-fl8jf5zn9j
@user-fl8jf5zn9j Ай бұрын
Huyo waitera ni chawa,tu. Hafai kuwa hata kiongozi kwanza anatamaa sana
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 28 күн бұрын
Shida hakushinda 2020 Na haya ndio malipo yake Maana watu walipiga kura wakimtaka Mwl.John wegesa heche Ila jana jana yenu mkapola uchaguzi Sasa vumilieni Maana kura huwaamua maana Pauline ya wengi ni kauli ya mungu Sasa kura ni kama kauli
@weslaus7750
@weslaus7750 26 күн бұрын
Nilichogundua ww ndo mpinzani wa Chama Cha Mapinduzi na Waitara
@HadaikaNgabona
@HadaikaNgabona Ай бұрын
Huyu si mwana ccm.
@robertphilip385
@robertphilip385 26 күн бұрын
Fukuzeni huyo waitara mlevi mkubwa toeni kabisa huyo mono mongugi
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Ай бұрын
Kumekucha!!
@MweraRiro
@MweraRiro Ай бұрын
Fuatilia katika tiktok ya wiki moja iliyopita,,,,,nilisema tangu 2005 hakuna mbuge alie wahi kurudi mara mbili au awamu ya pili bungeni kufikia 2025 itakuwa miaka 20 sijui kama kaka yangu atavunja record
@MashakaMatuku
@MashakaMatuku Ай бұрын
Na bado mmeanza kusinichiana wenyewe,, waachieni wenye Jimbo lao
@kirariwilanya1850
@kirariwilanya1850 Ай бұрын
Waitara ni Mbunge wa Magu & Ccm.huyo hajawai kushinda Tarime watu tunajua hata Waitara na watu wake wanajua kwamba "Heche ndie Mbunge wa Tarme vijijini ni swala la mda tu"
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mungu wangu Waitara kimemsibu nini
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Ай бұрын
Wenzako bungeni mpina aliyesema kweli katimuliwa.
@joycethomas7918
@joycethomas7918 Ай бұрын
Sasa kwanini usipeleke kwenye viongozi wa kanda ya juu. Hilo kosa kusemea kwenye mitandao, hiyo inaonekana vitina zenu wenyewe
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Ай бұрын
Kumbe hata nyie wenyewe mnatoana uhai😢😢😢😢
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 Ай бұрын
Njia muliyo ipita je mutabadikisha? Hongera kutambua wema huzaa wema tenda utaweza
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 Ай бұрын
Kumbe kuna ubaguzi wa ukoo huko kwenu!! Hamfai kabisa kuitwa Watanzania,mnatuletea tabia za Kikikuyu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 26 күн бұрын
Pipoooooooo✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥👌👌💪💪💪 ccm tumewachoka tokeni mapema
@HappyCalicoCat-zq8mo
@HappyCalicoCat-zq8mo Ай бұрын
Wewe unataka jambo acha kumsumbua mheshimiwa
@HadaikaNgabona
@HadaikaNgabona Ай бұрын
Wewe ni mjinga kabisa. Mambo hayo ni ya vikao.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Hiyo tabia ya Waitara ndio aliyonayo huyo mwingine uliyemkaribisha hana sifa za uongozi kwa Sasa akiona Kuna mtu anaongelea nafasi yake ndie anakuwa adui yake
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 Ай бұрын
Waitara 2025 hana chochote tarime
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Ай бұрын
😂😂😂😂 MaCCM yamevurugana Hatari
@user-ec8qn3cv1l
@user-ec8qn3cv1l 28 күн бұрын
Achaumbeaww mkuria anaumbea utafiriujaenda jandoya kisu
@michaelmwikalo971
@michaelmwikalo971 Ай бұрын
Si mlimuona lulu 😂 kisa muibomoe Chadema wenyewe kwa wenyewe sasa mnanyukana kwisha habari yenu na msubiri ya Msigwa sasa😂
@yohanamsongole6489
@yohanamsongole6489 Ай бұрын
Huyu kijana hafai
@ntegrity277
@ntegrity277 28 күн бұрын
BOB WANGWE NI MBUNGE POPOTE TANZANIA HUYU NI DHAHABU YA MARA KITAMBAA SAHIHI CHA KUTUFUTA MACHOZI YA CHACHA ZAKAYO WANGWE BOB WANGWE HATA HECHE HATOSHI MBELE YAKO! WEWE NI KIPENZI CHA WANA TARIME JARIBU MY SON
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
Unafiki tu wa kisiasa mbona 2020 mlikula hela zake na mkamnadi mpaka akapita ubunge we kijana lazima umekisa vijicent vya waitara
@fwc5552
@fwc5552 Ай бұрын
Alipita kwa kupigiwa kura na nani
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Nileteee uyu imeanza kutugeuka
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 28 күн бұрын
Hahahaaa
@ryobajohn7177
@ryobajohn7177 Ай бұрын
HUYO HAFAI
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Ай бұрын
Mshikemshike Tarime....😂
@AthumanDauda
@AthumanDauda 28 күн бұрын
Kanda ya ziwa mbona kitaeleweka tu majipu tutayatumbua mda ukifka
@nestor384
@nestor384 Ай бұрын
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
@MayalakusekwaNkwabi
@MayalakusekwaNkwabi Ай бұрын
Wewe na Waitara ni CCM ni WAONGO
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 28 күн бұрын
Mumuhoj na watara na nyabugeti tumjue
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Ай бұрын
Mbona uwizi ni asili yenu unashangaa nn? Wakiwaambia nyingi ni wapigaji mnawaona wabaya, sasa mnasema wenyewe. Ni muda tu
@emmanuelhema186
@emmanuelhema186 29 күн бұрын
Hufai kuwa kiongozi wewe hayo ni mambo ya ndani ambayo mnatakiwa kuyaongelea kwenye vikao vyenu vya ndani utakuwa na lako jambo hapo husaidii chama bali unakiharibu
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 28 күн бұрын
Ndani hakuna nafasi
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 Ай бұрын
Waitara kwsiha
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 27 күн бұрын
Waitara kwisha
@VenanceMbanga
@VenanceMbanga Ай бұрын
Acha wafu wazikane wanyewe
@AMANIMSORE
@AMANIMSORE Ай бұрын
tarime kwanza watu baadaya mkuu
@SungwaFrancis-sx1ls
@SungwaFrancis-sx1ls Ай бұрын
Wewe ni musaka tonge huna lolote la maana la kusaidia chama,kwa kashifa hii unayotoa ikiwezekana naomba chama kikufukuze uanachama hufai kuitwa mwana CCM.
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Ай бұрын
mkimfukuza ndo mtashinda uchaguzi? mlipewa ubunge kama ubani na mwenda zake --- sasa mtaisoma namba kama kauli ya chama chenu inavyosema.
@BoscorPatrick
@BoscorPatrick Ай бұрын
kijana mwenzangu achana na siasa.unusuru uhai wako .ccm hawapend mkweli watakupina au kukustava/ kukutundulis.kukuben sanane n.k
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 Ай бұрын
Mimi nasema Waitara ni tapeli. Huyu ni jirani yangu ila kibaka
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 Ай бұрын
😂😂😂
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 29 күн бұрын
Waitara ni mavi kabisa
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Ай бұрын
Huyu si kada wa CCM wala mwanaccm.CCM wana sehemu zao maalumu za kuzungumzia mambo yao sio kwenye mitandao! Zaidi ya hapo CCM wana sare zao zinazowatambulisha, ambazo ni rangi ya kijani, makada wanaoisoma katiba ya CCM wanafahamu. Kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mengi yatasemwa yakilenga kuchafuana.
@kibemassao6478
@kibemassao6478 Ай бұрын
Ww ni bogus, huoni nembo ya ccm hapo kifuani? Au umeshiba maharage
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Ай бұрын
Massao nyie ndio mliozoea kuandika mambo bila kufahamu sawa na kudandia gari kwa mbele sawa na huyo mwenzio. Nikuelekeze ndugu yangu kwenda kwa wakongwe wa chama hiki kuelimishwa. Kwa kukusaidia tuu ebu angalia picha za wana ccm wawapo kwenye shughuli zao maalumu za ama mikutano ya kichama, kisha unitajie idadi ya wajumbe wanaokuwa na vazi lenye rangi ya huyo jamaa yako. Usiandike tuu ulipaswa uelewe kilichoandikwa. Pale kilichoandikwa ni rangi wewe bila kuelewa ukaona nembo.Ebu tafiti kwanza
@henrymwamakula
@henrymwamakula Ай бұрын
Kiongozi umetukosea wanaccm kamati ya maadili na kamati ya siasa ya wilaya ipo mbona umkurupuka kwenda kuongea kwenye media
@sainatv2688
@sainatv2688 Ай бұрын
Sasa kimeumana ila chunga ulimi utafichwa msa c mrefu tata maana chama chenu kwa kuficha hahahaha
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Kama hutoi huduma yeyote akiwekwa anapigwa tu
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
Acha ujinga wewe nani akuamini wewe mchumia njaa tuache kumuamini mh mbunge mwakilishi wetu.
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Ай бұрын
Ww una hila zako kama ni hoja si upeleke kwenye Vikao vya Chama au na ww una mgombea?
@yohanamsongole6489
@yohanamsongole6489 Ай бұрын
Huyu hana jipya nimusaka tonge
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Waitara tupeni nje. Weka Heche hapo
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 19 күн бұрын
Pumbavu zako wwe unatumiwa
@user-mx8om2iv1d
@user-mx8om2iv1d Ай бұрын
waitara ni taira kama kichwa chake
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Ай бұрын
Huyu mpumbavu katumwa, hana lolote. CCM Vibaraka kama Mpuuzi huyu anayeongea wanapo achwa ndio chanzo cha migogoro..
@ntegrity277
@ntegrity277 28 күн бұрын
Wewe umeshindwa kumuenzi baba yako CHACHA ZAKAYO WANGWE hata alipo analia! Ungebaki CHADEMA watu wa Tarime hawawezi kumuacha CHACHA ZAKAYO! Mdogo wako BOB WANGWE NI JEMBE aje Tarime achukue ubunge asubuhi wewe hufai
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 27 күн бұрын
Usogere watu
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Nyie watu wa Tarime CCM,msijaribu kumuengua Waitara,na Mbunge makini ni Mbunge anajua kuzitetea hoja za mama Samia,lakini zaidi anajua kulia bungeni tafadhali kaa naye.Hoja zako peleka kwenye vikao vyenu.
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 27 күн бұрын
Pamoja na hizo sifa zako kwa Waitara,ni vyema umkaribishe jimboni mwako umpiganie apate kura ili awaongoze nyie huko
@user-gx9jr5le2f
@user-gx9jr5le2f Ай бұрын
We mwehu huna lolote
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
Kumbe wewe ni mpuuzi tu unaongelea mambo ya uchaguzi leo mbona bado acha mbunge afanye kazi aliyo tumwa na wananchi
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 28 күн бұрын
Chuki binafsi hizo.wewe uogopi kufungwa??
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Ай бұрын
Jomba uko vizuri waitara mbwembwe nyingi tiripu hii ataenda gombea msata
@hemedimbilikila9768
@hemedimbilikila9768 Ай бұрын
Hahahah msata Tena duh
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 20 күн бұрын
Sasa na wewe mitandaoni ndio umeona pa kutolea malalamiko? Hakuna vikao vya Chama? Unaboa bwana!😢😢😢
@gidongailo7174
@gidongailo7174 17 күн бұрын
Mwache aseme bhana😂😂
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 17 күн бұрын
@@gidongailo7174 ndio keshasema tena!
@christopherryoba580
@christopherryoba580 27 күн бұрын
Hata wewe una matatizo jitafakar kada mwezangu
@user-ze1zz5zy9o
@user-ze1zz5zy9o Ай бұрын
huyu kiukweli nimjinga kabisa anamsemaje mbunge ktk ujasiri huo simama imara
Why Protesters Flew Russian Flag In Northern Nigeria - Falana
28:18
Channels Television
Рет қаралды 54 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 36 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН